chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Hivi CHADEMA imechokwa na wanaCHADEMA wenyewe kwa kukosa agenda na kupoteza uelekeo au ni kwa sababu uongozi wake mpya kukosa maono na dhamira njema?

    Ni wazi CHADEMA inaelekea kupotea kwanye medani ya siasa za Tanzania ikiwa katika hali ngumu, baya na dhaifu sana kiuchumi, kisiasa na kijamii hasa baada ya kukosa kabisa agenda hata moja ya kutetea mambo yanayohusu mahitaji ya kila siku ya wananchi bali kwa kujikita kuwatumia wanachi kutetea...
  2. Z

    Ndani ya kipindi kifupi tu Lisu amekipasua chama vipande viwili, G55 na timu Lissu

    Mbowe amekijenga chama miaka 20 kikiwa na umoja na mshikamano hadi anakabidhi kijiti alicho king"ang'ania Lissu. Mtoto akililie wembe mpe! baada ya siku chache tu Chadema imegawanyika vipande, G55 na timu Lisu. Umoja na mshikamano alio ujenga mbowe kwa zaidi ya miaka 20 umevurugwa na Lisu ndani...
  3. B

    Hotuba ya Rais Samia ikipishana na matarajio ya raia, ina maana gani?

    25 Aprili 2025 JAMIIFORUMS NI JUKWAA KUBWA LA MEDIA, NAAMINI WATU WAMEITAFAKARI HOTUBA PIA TOFAUTI NA MEDIA ZINGINE TUNAWEZA KUIJADILI ILI KUJENGA TAIFA Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano, jioni tarehe 25 Aprili 2025 alitoa hotuba inayo semekana aliongea na taifa. Je wewe kama...
  4. Nikimuangalia Lissu na Maria Sarungi namuona Kibwetere alivyowaangamiza wafu wake kwa kukosa maarifa

    Askofu kibwetere alikuwa na wafuasi wake waliokosa maarifa na kumtegemea yeye kwa kila asemalo bila kupima madhara yake mwisho wa siku akawafungia kanisani na kuwachoma moto wakaangamia kwa kukosa maarifa yeye akatokomea kusiko julikana. Hivi sasa hilo jambo naliona kwa wafuasi wa chadema...
  5. PreGE2025 Rais Samia acha kusema uongo na kukuza mambo. CHADEMA ilihamasisha mabadiliko ya uchaguzi sio vurugu

    Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ? Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi...
  6. PreGE2025 CCM Mjitafakari wananchi ndiyo hawawataki, Chadema mnawaonea bure tu

    Hivi Tatizo letu ni Chadema Kweli? Wana CCM wenzangu naomba tujiulize, hivi wanaotusumbua ni Chadema kweli au ni Wananchi? Waliotukataa ni Chadema au ni Wananchi? Chadema ni nani Hawa? Wako wangapi? Mbona takwimu zetu mara zote huonesha ni wachache wasio na madhara? Mbona hawana Jeshi...
  7. Chadema kusanyeni video zote mnayoteswa na Police, zipelekeni Human Rights Watch na Amnesty International ili dunia ijue

    Huu unyama unatisha sana CHADEMA msikae kimya Chadema kusanyeni video zote mnayoteswa na Police, zipelekeni Human Rights Watch na Amnesty International ili dunia ijue
  8. PreGE2025 Wasira: Martha Karua kama anadhani anaweza kushughulika na migogoro, aende DRC au ashughulikie matatizo ya Kenya

    Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Stephen Wasira amemkosoa vikali mwanasheria na mwanasiasa wa Kenya, Martha Karua, kwa kile alichokitaja kuwa ni kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, hususan kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu...
  9. A

    Ukweli ni kwamba Hawa CHADEMA wamekuwa wakitutumia vibaya kwa maslahi Yao binafsi

    Ukweli ni kwamba Hawa watu wamekuwa wakitutumia vibaya kwa maslahi Yao binafsi hasa fundraising,maandamano na wakiapata hawatujali Wametufanya pampers wakitumia wanaitupa huko na kutotueleza namna gani tunaweza tumia fursa zilizopo nchini zilizowekwa na Rais Samia Suluhu na kutufanya tufaidike...
  10. ACT Wazalendo ndo wanadeka sasa, je nao watapata zamu Kama CUF na CHADEMA?

    Nimekumbuka sana Wakati CUF wanaitwa MAGAIDI , CDM waliitwa IKULU kunywa CHAI wao walijua wanapendwa kumbe enzi hio hawakuwa TISHIO kwa MUUNGANO sasa Leo Goma Limegeuka wao ni Tishio ni Zamu ya ACT sasa kuitwa IKULU kunywa CHAI, hili ni Somo vyama vya upinzani kuungana na kutodhani wanapendwa...
  11. R

    Irresistible logical conclusion kutokana na matendo yaliyofanywa jana na polisi kwa wafuasi wa Chadema ni ipi?

    1. Naration za waathirika lo makao makuu ya Chadema 2. Waliokwenda kuwa damped ni kule kule ambako maiti nyingi zilionekana miaka yote ya nyuma 3. Aina ya mateso na alama ambazo maiti zinazookotwa coco beach na Ununio ni identcal na za jana! CONCLUSION; matukio yote ya kupotea kwa watu...
  12. PreGE2025 CHADEMA yalitaka jeshi la polisi lieleze ni sababu zipi zinafanya mpaka sasa Hilda Newton aendelee kushikiliwa na kutaka aachiwe mara moja

    "Kanusho la polisi kuwa hayuko kituo cha polisi Central itakuwa ni kanusho la uongo kwa kuwa alipelekwa kituo cha polisi Central jeshi la polisi kupitia kwa mkuu wa jeshi la polisi lieleze ni sababu zipi zinafanya mpaka sasa Hilda Newton aendelee kushikiliwa, na aachiwe mara moja kama wanaodaiwa...
  13. PreGE2025 Naibu katibu mkuu CHADEMA Zanzibar: Polisi wanavyotufanyia sio kama wanatuvunja moyo, bali wanatutia ujasiri wa kupambana

    "Hivi ambavyo wanatufanyia vitatengeneza visasi vya muda mrefu sana lakini mimi naamini wametufanyia sisi lakini vizazi vyao vitakuja kufanyiwa haya ambayo tumefanyiwa na sisi. Nataka nimwambie Rais Samia kwamba anachokifanya kutunyamazisha ni kosa kubwa sana kwa sababu binadamu yeyote anapitia...
  14. PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA kanda ya serengeti akieleza mwanzo mwisho walipopelekwa porini kupigwa

    Lucas Ngoto Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Serengeti ni miongoni mwa walikamatwa nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam wakati akitaka kuhudhuria mahakamani hapo kwa ajili ya kusikiliza kesi zilizokuwa zinamhusu Mwenyekiti wa chama hicho...
  15. PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA Serengeti: Kwanini pale wanapotesea watu, tulipoenda kupigwa ni eneo la jeshi? wanapata wapi kibali cha kwenda kupiga watu?

    "Mimi nina maswali ya kujiuliza na naomba watanzania wote tujiulize maswali haya, kwanini pale wanapotesea watu, tulipoenda kupigwa ni eneo la jeshi? Kama hao watu wanaotupiga ni askari wa kawaida wanapata wapi kibali cha kwenda eneo la jeshi na kwenda kupiga watu, kwanini? Soma Pia: John Heche...
  16. PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA Serengeti: Tuliambiwa omba Mungu, jikabidhi kwa Mungu, tukaanza kupigwa kipigo cha Mbwa koko, kama vile hawapigi binadamu

    "Tulipofika kwenye vichaka wakamshusha dada Pendo wakaanza kumpiga, kuna askari mmoja alikuwa na nyota kama mbili akaanza kumpiga Pendo kama anaua nyoka na wengine wote tukaambiwa shuka kwenye gari vua viatu ficha uso, na kama unaweza kuomba Mungu omba Mungu, jikabidhi kwa Mungu, tukavua viatu...
  17. PreGE2025 Amani Golugwa: Hilda Newton bado hajapatikana, Tunachofahamu alichukuliwa na polisi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema mpaka kufikia hivi sasa hakina taarifa za alipo mjumbe wa Baraza Kuu la chama hicho Hilda Newton baada ya kukamatwa siku ya jana akiwa eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar Es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari leo April 25...
  18. Wosia wa Babu kwa wanaCHADEMA katika Kipindi Hichi Kigumu: Mwenye Kusikia Asikie Lakini anayehitajika ni aliyeelewa

    Kama unashika bunduki na mimi nashika bunduki, tunaweza kuzungumzia sheria. Kama unashika kisu na mimi nashika kisu, tunaweza kuzungumzia kanuni. Kama wote tumekuja mikono mitupu, tunaweza kuzungumzia hoja. Lakini kama wewe una bunduki na mimi nina kisu, ukweli hauko tena katikati yetu—uko...
  19. L

    Tuungane kwa pamoja kama Watanzania, bila kujali itikadi za kisiasa, rangi, au dini, na kuitaka serikali iwachilie huru Hilda Newton

    Wananchi Wenzangu wa Tanzania, Hebu tuchukue muda kuangalia hali ya dada yetu Hilda Newton na mtoto wake mdogo hapa nchini Tanzania! Hilda, mwanaharakati, na mwanachama wa CHADEMA, alikamatwa kiholela ndani ya mahakama kwa kosa la kushiriki taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kesi ya...
  20. Ili CHADEMA ifanikiwe malengo yake unaishauri ifanye nini?

    Kuna baadhi ya watu husema CHADEMA inakosea jinsi ya kufanya siasa zake. Jee ili ifanikiwe kisiasa, CHADEMA inatakiwa ifanyeje siasa zake?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…