Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Ushauri kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama waendelee kuwafuatilia hadi chooni hawa wahuni, genge la kihalifu ambao wamejificha kwa mwamvuli wa kisiasa Chini ya Chama Cha Chadema.
Genge hili kila kukicha lina panga na kuratibu mipango miovu ya kuchafua amani ya nchi, kufanya matukio ya...
CHADEMA imelaani kitendo cha Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kuwashikilia wanachama wake 10 waliokamatwa Kibaha bila dhamana na bila kupewa nafasi ya kuonana na ndugu zao.
Chama kimesema kitendo hicho ni kinyume cha sheria na Katiba, kikitoa wito kwa Polisi kuwapatia wanachama hao haki za msingi...
Huyu dogo James anakosea sana kusema kuwa Mbowe aliwasaidia kina Lissu, Lema, Msigwa kuwa wanasiasa wakubwa. Mbowe alichofanya ni kama Madrid inavyosajili mastaa wa soka toka timu mbalimbali. CHADEMA iliwahitaji kina Lissu na wenzake kuliko wao walivyoihitaji CHADEMA. Kwa mfano Lema hata...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Arusha, Elisa Mungure, ametoa wito kwa Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho ngazi ya taifa, Freeman Mbowe, kujitokeza hadharani na kuunga mkono kaulimbiu ya chama ya “No Reforms, No Election”, kwa kuwa ndiye mwanzilishi wa msimamo...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetajwa kuiogopa CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokana na mazingira ya kukibana chama hicho kikuu cha upinzani huku vyama vingine vya upinzani vikionekana kuimarika, kikiwemo ACT Wazalendo na CHAUMMA.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Baraza la...
Nimesema hivyo kwa sababu, CHADEMA pamoja na wanachama wao, hawaamini, hawakubali na wala hawaridhiki mtu mwingine kuwa na mawazo na maamuzi tofauti na wao.
Wanalazimisha yule watakayemfanya adui, LAZIMA kila mtu amfanye adui. Ukiamua binafsi kwa maslahi na faida yako mwenyewe Ukamfanya rafiki...
Ukweli unauma kumbe Mama ni kama punda aliyembeba yesu alifikiria ni yeye mashuhuri sasa ukweli unajulikana kwa kushuka sana kwa umashuhuri wake. Wakati ule maongezi ya Haki na demokrasia ndiyo yalimpa umashuhuri sasa yupo na wana mitandao wakina Kikwete na Rostam tunaona tofauti.
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliotaka kuruhusiwa kuendelea na shughuli za kisiasa, baada ya zuio lililowekwa kutokana na kesi ya mgawanyo wa mali za chama hicho.
Akizungumza baada ya uamuzi huo Agosti 18...
Kwakuwa Kwa sasa Chadema inafanyiwa hujuma mbalimbali.
Naomba wawekeze Katika majukwaa ya mitandaoni ,
Hizi Hujuma wanazofanyiwa Chadema zisiwe sababu za wao kurudi Nyuma.
Tone Tone iendelee kama kawaida iwe online na hela inayokusanywa iwe inatolewa taarifa ili kuanagalia Speed na kuboresha...
Hamjambo!
Sijui nini kinaendelea, na sitaki kujua. Kumaanisha siwezi kueleza na sitaki kuelezewa kuhusu kile kiitwacho Kesi ya Lisu.
Ila nitashauri mambo madogo ambayo yanamashiko tunapoenda katika ukingo wa zoezi hili;
1. Kuanzia leo, Wale wanaojiona wana ukaribu na Lisu, wanachama wenzake...
Mbowe
KIGAILA
MWALIMU
CHAUMMA
ZITTO
SPIKA
JAJI MKUU
MAHAKAMA
YANGA
ENG HERSI
ALI KAMWE
Kwa ufupi kila mtu ni mbaya kwao.hii ni dalili ya kuchanganyikiwa kitaalamu inaitwa paranoia yaani ukichaa unaoogopa hadi ndugu au mwenza wako.
Ongeza orodha
Kila inapofika kesi ya Lissu au ya Chadema lazima kutokee tafrani ya wafugaji na Polisi, huu ni mchezo wa kifala sana unaochezwa na Kitengo cha propaganda cha chama hicho ili watanzania tuamini kuwa chama hicho kinaonewa na kinapambania haki, kamanda Muliro usikubali uhuni wa namna hiyo, upande...
Naona aibu sana kuona chama ambacho kilikuwa kwenye ubora wa kipekee miaka kadhaa nyuma sasa kimeporomoka na kufanya vitu visivyoeleweka.
Serikali haina dini japo watu wake ni waamini wa dini mbalimbali.
Siasa za CHADEMA kwa miaka ya karibuni zimekuwa siasa za ki Mandela Mandela na Ki Martin Luther King(Ukipigwa shavu la kulia geuza na la kushoto). Hakuna Steven Biko na Malcom X tena (Jino kwa Jino) huko katikati ndio maana uonevu unazidi kila siku.
Miaka ya nyuma akina Lema walijitahidi kuwa...
Akizungumza na kituo cha redio cha East Afrika leo Agosti 18, 2025, Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, amesema kuwa CHADEMA imefanya kazi kubwa sana katika kujaribu kuuaminisha umma kuwa ACT ni CCM ‘B’ jambo analosema si la kweli bali ni propaganda ya kisiasa.
Chanzo...