chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Nimemlaani Odero Odero. Ndiye msaliti wa CHADEMA anayetumiwa kujihusisha na kinachoitwa "maridhiano!"

    https://youtu.be/tDVpmZ0SUe0?si=vTrRwFzHt2jxBNwL Hatimaye mshiriki wa usaliti kwa CHADEMA kwa mlango wa nyuma kujihusisha na kinachoitwa maridhiano ajulikana. Ni Odero, mgombea uenyekiti wa CHADEMA aliyeshindwa kupata hata kura 10 ktk uchaguzi mkuu mkuu wa chama uliofamyika January 21/1/2025 na...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya Chadema kujimaliza yenyewe kisiasa, ni chama gani cha siasa kitafuata nyayo na kujichimbia kaburi la sahau kisiasa Tanzania?

    Maana kwasasa, Kimebaki kama kituo cha mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kikijikita zaidi katika kuchakata porojo na uzushi ambao hauwasaidii bali kuwapoteza zaidi, na kosa kubwa zaidi ni kufanya makao makuu yao kua Nairobi chini ya yule mdada mkuu wa vibaraka aliewahi...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa matakwa ya CHADEMA, Mange na wapinzani sasa hivi nchi hii ingekuwa chini ya utawala wa Kijeshi. Asante CDF, hukuwa mroho wa madaraka

    Kuanzia Agosti mpaka October 29 2025 CHADEMA na upinzani baada ya kususia uchaguzi na kuona kuwa mbinu hiyo haitaleta tija kwao wakaja na mbinu ya kuhamasisha vurugu kali. Waliorganize vizuri tena kwa muda mwingi. Uharibifu uliofanyika tarehe 29 na tarehe 30 haukuwa bahati mbaya. Huwezi...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA walitoa sadaka ya kujimaliza Oktoba 29, hawainuki tena

    Waliaandaa mpango ambao walikuwa na uhakika nao kuwa utaua vijana wengi wasio na hatia. Vijana walipewa pesa na ahadi lukuki kama watakubali kujitoa mhanga kuiangusha serikali. Waliwadanganya vijana kuwa jeshi litakuwa nao bega kwa bega huku wakijua kuwa wanawalaghai vijana. Vijana walikufa...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Nchemba, hazungumzi na watanzania, anazungumza na CHADEMA

    Kila nikimsikiliza akiwa jukwaani nakuja kufahamu kwamba Waziri Mkuu anahutubia kwa mipasho mikali sana huku akiwajibu CHADEMA, ni kama vile haelewi madai ya CHADEMA au anafanya makusudi. Kama ilivyo kawaida yake tangu huko alipotoka. Huyu ni MUHAFIDHINA. Wakati nchi imevimba kwa yaliyotokea ya...
  6. JamiiForums Tanzania Inayowindwa ni CHADEMA siyo Fr Kitima

    Kuna watu wanashangazwa na harakati za baadhi ya wana CCM kutumia wanaojiita waumini wa Dhehebu la kikatoliki, kupambana na Padri. Charles Kitima. Kilichoko nyuma ya harakati hizo si vita dhidi ya Kitima bali ni vita dhidi ya CHADEMA. CCM kwa sasa ni heri wabakie na wanyonya damu kuliko...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Watu wàandamane kwenda ubalozi wa Saudia uone kama watapiga hatua mbili. Inteligensia itafanya kazi barabara,lakini kwa "Wakatoliki" fake imekufa

    Tuko pabaya, kama kweli serikali itawanyamazia hawa wahuni, kuna vita ya dini inapikwa! Simbachawene , IGP na Mulilo, wajibikeni kukemea hili
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA hawakusoma alama za nyakati wakati wa kuliandaa jambo lao

    Haki za wanawake: Dunia inafanya majaribio (pilot study) kuhusu wanawake (women empowerment) kushika nafasi kubwa duniani. Dunia nzima inawaona chadema (wanaume) kama vile wanachukua advantage kwa Rais kuwa mwanamke wakidhani kuwa wanawake ni dhaifu kuliko wanaume. Walitumia watu dhaifu sana...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa CHADEMA kutoshiriki kinachoitwa "maridhiano" ni aidha unapotoshwa makusudi au ni hawa wajiitao wachambuzi uchwara kutoelewa maudhui yake

    Mfano ni huyu kwenye YouTube audio video clip hii hapa Chini ya video hiyo, kwenye comment section, mdau mmoja aka komenti hivi, nikaipenda comment yake na nikaamua kushea nanyi kwa ajili ya mjadala mpana ============================================= "Taarifa yako ni potofu, unawapotosha...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA hatarini kufutwa na kusambaratika kabisa

    Ndani ya Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA hali si shwari baada ya baadhi ya wanachama kutaka kuingia kwenye Uchaguzi ili kumchagua Mwenyekiti baada ya Tundu Lissu kusota Rumande kwa mda mrefu ambapo kijana Makini John Mnyika huenda akashika wadhifa huo kwani anaungwa mkono nje ya Chama...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ahmed Kombo: CHADEMA hawana haki ya kulalamikia Uchaguzi, wapunguze muwasho watulie

    Wakuu, Nimekutana na video ya huyu wakuitwa mwanaharakati huru, Ahmed Kombo, akimjibu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche. Kombo amesema kuwa Heche hana haki ya kulalamikia uchaguzi, akisisitiza kuwa mwanachama yeyote wa CHADEMA hana haki hiyo kwa sababu hawakutaka kushiriki uchaguzi...
  12. JamiiForums Tanzania Trump ametumia saa mbili tu kukifanya kitu kilichomshinda Putin kwa miaka 3

    Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!! Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi. Imagine unakuja kukamatwa...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania John Heche: CHADEMA haiko tayari kwa Maridhiano

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakitakuwa tayari kwa maridhiano yenye kupumbaza, kuhadaa, yenye ulaghai na yenye kuliondoa Taifa kwenye ukweli, haki na kile ambacho Taifa inataka na kusisitiza kuwa kamwe CHADEMA haitowasiliti Watanzania. Akiongea leo January 03,2026...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA ya miaka hii nalinganisha na kipindi anguko la NCCR lilikuja, End of an era

    Picha mbili ikionesha Chadema ya miaka hii nalinganisha na kipindi anguko la NCCR lilikuja, End of an era.
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, kama CHADEMA wangeshiriki uchaguzi MO29 ingekuwepo?

    Hili swali najiuliza Sana, kama CHADEMA wangeamua kushiriki uchaguzi na hii bogus INEC je maandamano ya October 29, yangetokea? Katika kitu kiliwaudhi Sana CCM ni Chadema kujitoa kushiriki kiini macho Cha uchaguzi. Matokeo yake kilichotokea tarehe 29 Kila mtu anakijua. Je chaguzi zijazo like...
  16. JamiiForums Tanzania Mbowe angekuwa ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA, hakuna mwanachama wake angepoteza maisha Oktoba

    Kiongozi mwenye busara analinda Wanachama wake lakini kiongozi asiyekuwa na hekima Wanachama wake watapoteza uhai Mbowe angekuwa ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA, hakuna mwanachama wake angepoteza maisha October Hii ni kwasababu Mbowe alikuwa anatumia hekima na busara kuongoza CHADEMA kwa miaka...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Siku CCM ikiruhusu tume huru ya uchaguzi, CHADEMA itashinda kabla ya saa nne

    Siku tume huru ya uchaguzi ikipatikana ccm hawana chao tena nchi hii. Chadema ilikuwa inapendwa hata kabla ya haya mauaji ya halaiki ya watanganyika. Baada ya haya mauaji ya kikatiri nadhani ccm itapata kura ya wanu na abdul tu. Chadema watachukua kombe kabla ya saa nne asubuhi. Hakuna...
  18. JamiiForums Tanzania Watu wamezikataa siasa za kitapeli

    Wenzetu wa CHADEMA mnakesha mitandaoni daily kumbe mnategemea mle kwa njia ya kutapeli watu maskin kupitia donation za kitapeli hii ni aibu. Halafu nimeshangaa kuona chadema wanajiita baba wa Gen z (panyaroad) huku uchangishaji wao wa kitapeli ukidolola, washindia mil 10 kwa saa 24 hii...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya NRNE chini ya Lissu na maridhiano chini Mbowe kufeli huu ndio ushauri wangu kwa Chadema

    Ni ukweli usiopingika kuwa hizo mbinu zote mbili zilizotumika katika vipindi tofauti katika uongozi wa mwenyekiti Mbowe na Lissu zote zimeangukia pua baada ya kushindwa na mbinu za ccm za miaka yote. Hadi sasa madai yote ya chadema hakuna hata moja lililotekelezwa hasa Yale yanayohusu uchaguzi...
  20. JamiiForums Tanzania Huu ndo uamuzi bora kuwahi kufanywa na CHADEMA

    Kitendo cha Chadema kutoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu utabaki kuwa maamuzi Bora kuwahi kufanyika na kukumbukwa na vizazi vyote. Heko chadema.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…