chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Serikali kazia hapo hapo msiwape nafasi tena CHADEMA wasijifanye wao ni last born kususa susa - Nchi ilikuwepo bila CHADEMA na itaishi bila CHADEMA

    Dunia yote inajua walisusa, wakagomea ku sign kanuni za uchaguzi walitegemea serikali itawabembeleza. Sasa hivi maisha yanaendelea, mpaka kufikia 2030 CHADEMA itakuwa imekufa. Mfadhili mkuu w CHADEMA kila mtu amemuona, Tundu Lisu aliwahi kunukuliwa akisema aliwahi kukutana na kiongozi wa dini...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Bashiru: CHADEMA kutoshiriki uchaguzi umechangia kwa kiasi kikubwa Samia kupata ushindi mnono

    Jamani njooni msikilize Bashiru! Kwa mimi nilivyomuelewa kwamba CHADEMA ndio mbabe wao ndio maana CCM imeshinda kwa kishindo!. Ila kajisahau kwamba uchaguzi uliharibika sana! hizo kura za kushinda kishindo zilitoka wapi? ==================== Katibu Mkuu mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Katibu wa Mambo ya Nje CHADEMA Deo Munishi aeleza Uporaji wa Uchaguzi Tanzania Kwenye Mkutano wa Junge Union Rust, Ujerumani

    Munishi anazidi kuipeleka CHADEMA kimataifa, kuna kitu anazidi kukijenga zaidi ndani chama chake! ================= Leo mjini Rust, Ujerumani pembezoni mwa mkutano mkuu wa Junge Union, Katibu wa Mambo ya Nje wa chama Deo Munishi amekutana na ujumbe wa mataifa mbalimbali akiwemo Mwenyekiti wa...
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania walihitaji kuwa na CHADEMA kama hii. Inapaswa ichangiwe fedha ili shughuli za ukombozi zifanikiwe

    Ianzishwe kampeni maalumu kwa ajili ya kuiwezesha CHADEMA hii chini ya Lissu ili ukombozi upatikane. Hainunuliki na wala haipo kwa ajili ya matumbo yao. Soon ukombozi utapatikana by any means necessary. Watu laki tano tukichanga kila mmoja 1000 ni pesa zitazowezesha ukombozi kupatikana
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kada wa CHADEMA, Joseph Mwasote anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana tangu Oktoba

    Huyu ni Kada wa Chadema anaitwa Joseph Mwasote maarufu kama China, mkazi wa Tunduma mkoani Songwe. Anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana mwezi uliopita. Familia yake imehangaika kumtafuta maeneo mbalimbali bila mafanikio. Oktoba 29, 2025 mwanae aitwae Stephano akaamua kuandamana kama sehemu ya...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya October 29 Vyama vyote vimeshuka zaidi Chadema pekee imebaki juu

    Baada ya October 29 Vyama vyote vimeshuka zaidi Chadema pekee imebaki juu. CCM sasa wanajulikana kwa mabaya uchawa na kudanganya sasa kuko wazi. Vyama vingine vyote kwa kushiriki uchaguzi ambao ni haramu vimejifuta kwenye mioyo ya Watanzania na hakuna Matanzania mweye akili zake atawaamini...
  7. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: CHADEMA imetoa mawakili nchi nzima kwa watu wote wenye kesi za uhaini, hakuna kurudi nyuma hadi ukombozi upatikane

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Wegesa Heche amesema chama hicho kwa kitatoa mawakili kwa wote walioshtakiwa kesi za uhaini nchi nzima Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Novemba 12, 2025 baada ya...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tutaanzisha Kampeni Tanzania Nzima ya Kuchoma Kadi za Uanachama CHADEMA Endapo Viongozi wa Chama watajiingiza kwenye Maridhiano

    Heche na Genge lako ,mko kwenye Kikaango!!. Sikilizeni Wananchi na Wanachama wenu. Taifa Lina Msiba mzigo sana, tunazika Kila siku, mbaya zaidi Ndugu zetu wengine Miili yao Imeteketezwa. Aiseee Endapo mtajichanganga tu, Tutaanzisha Kampeni ya Kujiondoa Uanachama CHADEMA Tanzania nzima...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Vyama vyoooote ukiondoa Chadema, vinatafuta individual rewards za wagombea na si fighting for National democratic interests

    Unatumikia bunge batili, serikali batili,. compromised judiciary and the like! Mjinga ndiye atakuona kuwa uko bungeni kama mpinzani. Uko pale kuganga njaa yako na si vinginevyo. For example Shaibu wa ACT.Utafanya nini peke yako? Tena katika ubatili?
  10. JamiiForums Tanzania Kamati Kuu Chadema kujadili matukio ya Oktoba 29

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam kujadili masuala mbalimbali ya kisiasa, ikiwemo vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 katika baadhi ya maeneo nchini. Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche amebainisha hayo leo Jumanne...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuiunga mkono CHADEMA sababu ya misimamo thabiti ya Heche na Lissu

    Huu ndio ukweli usiopingika. Hawa watu hawana siasa za kibiashara kama Mbowe Misimamo yao ni kulinda rasilimali za taifa letu. Kupinga utekaji na unyanyasaji. Kupinga wizi wa kura kwakutaka katiba mpya.
  12. JamiiForums Tanzania What if nafasi 4 za ubunge zilizosalia wanapewa CHADEMA?

    Huu ni mtizamo wangu. Rais ametenga zile nafasi 4 za ubunge kwa wapinzani, na wanapewa CHADEMA kama sehemu ya maridhiano. Kisha katika hao ndipo mmoja anateuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu kama ilivyokwishatabiriwa awali. CHADEMA wataingia huu mtego?
  13. JamiiForums Tanzania Ole wenu Viongozi wa CHADEMA muonekane kwenye Maridhiano, Uhaini una Dhamana? Wauaji wanatafuta Picha, Chama kitakufa

    Hawa wacheni wakaridhiane na Tuliouliwa Ndugu zetu . Hasira ya Wananchi Iko juu sana. Yoyote atakayeonekana Kuridhiana na Wauaji huyo ni Msaliti . Narudia, Ole Ole Ole wenu !!! .
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Viongozi wa CHADEMA ikibidi mfunge akaunti zenu za benki kwani mnaweza ingiziwa mabilioni muonekano mmenunuliwa

    Kwa yanayoendelea na hasa baada ya kusoma ujumbe wa Yerriko kwenye mtandao wa X, nawashauri mfunge akaunti zenu kwa muda. Nashauri hivi kwasababu hawa watu wanaweza kuwawekea hela chafu kisha bank statement zikavujishwa ili tu wawaondolee credibility kwa wananchi. Sitaki kuamini Yeriko...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Ugaidi ina Dhamana? Kwanini Viongozi wa CHADEMA wamepata Dhamana? Kuna presha ya maridhiano?

    Kwa mujibu wa sheria za Tanzania mtu anayetuhumiwa au kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi hawezi kupata dhamana, kitu ambacho tulikitegemea kwa viongozi wa CHADEMA kina Lema, Heche, Boni Yai na Golugwa. Wawasumbue weee kama wanavyomsumbua Lissu, mwishoni DDP aseme hana nia ya kuendelea na kesi hiyo...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA na Askofu Mwamakula acheni kuchapisha mitandaoni habari za uongo

    Inasikitisha sana kuona huyu Askofu wa CHADEMA, ndugu Mwamakula pamoja na chama chake wakipost mara kwa mara habari za uongo ili mradi kuishambulia CCM. Wakikamatwa na kufunguliwa mashtaka watamlaumu mtu? Jana Askofu wa CHADEMA kazusha kuwa Rais Samia kahojiwa na THE REPORTER KE na kujibu jinsi...
  17. C

    JamiiForums Tanzania CCM msitupigie kelele mnapo kuwa mnagonga meza kwa shangwe pale bungeni huwa mnaona mnatunga sheria za kuwakomoa CHADEMA na fikra zinakomea hapo

    Mkiwa na viongozi wasio na maono haya ndio madhara yake, mnapo kuwa kwenye vikao vya chama mnapitisha mambo huwa hamuwazi nje ya kikao hicho , na manapo kuwa mnapitisha sheria za hovyo pale bungeni kwa umoja na mshikamano mkubwa kabisa huwa hamuwazi nje ya pale.sasa mnatulalamikia nini huku...
  18. JamiiForums Tanzania Vyama pinzani vilifelisha watanzania kwa tamaa za muda mfupi na kudhani wanaikomoa CHADEMA

    Laiti kama vyama pinzani wangebeba agenda kuu ya kutokubali kufanya uchaguzi mpaka reforms kadhaa zifanyike mfano uwepo wa tume huru ya uchaguzi, kukataa uhuni wa vitambulisho vya taifa (NIDA) na vya vitambulisho vya kura kuunganishwa na mfumo wa CCM , bila shaka tungepata mwanzo mzuri wa kupata...
  19. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tunaelewa kuwa serikali imepanga kuwakamata na kuwapa kesi ya uhaini viongozi wetu ili chama kikose viongozi na kupoteza uelekeo

    Kupitia taarifa yao kwa umma CHADEMA wameonesha masikitiko yao na hofu kufuatia kukamatwa kwa viongozi wake wa juu. === TAARIFA KWA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuufahamisha umma kuwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limemkamata Naibu Katibu Mkuu Bara, Mheshimiwa...
  20. JamiiForums Tanzania The End of the End of CHADEMA on planet Earth - Ngoma ilivuma sasa inapasuka (Watu wote wenye akili wanajua hili)

    Mtu mwenye akili timamu hawezi kupingana na mimi ninaposema kwa CHADEMA ilipofikia kwa sasa ni pema peponi. Manifesito imeishia hapa. Watu wanataka waone kabisa anguo na kuteketea kwao. Cinema zote hizi zinazoendelea ni kutokana na anguko hili. CHADEMA ilikuwa imesimika mizizi na ilikuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…