chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Hatimaye Diwani wa Chadema Tunduma, Ayubu Sikagonamo aachiwa kwa dhamana. Amesoteshwa rumande kwa kusingiziwa uhujumu uchumi kwa miezi mingi sana

    Mh Ayubu Sikagonamo ameachiwa kwa dhamana hatimaye. Hongereni sana Chadema Kanda ya Nyasa kwa ushindi huu. Mh Ayubu Sikagonamo alisingiziwa ujambazi, polisi wakatengeneza filamu ya kuokota silaha nyumbani kwake, baada ya ushahidi kukosekana wakamtengenezea Uhujumu Uchumi kwa kushirikiana na Mh...
  2. JamiiForums Tanzania Tunakuomba Katibu Mkuu wa CHADEMA ufanye ziara maalum mikoa wa Songwe na Mbeya

    Nafahamu kwamba baada ya kuingia ofisini bila shaka unayo mipango mingi sana ya kukipeleka chama mbele zaidi, hilo wala sina shida nalo hata chembe, bali nakuomba kwenye ratiba yako ya mwezi January upange kutembelea chama chako kwenye maeneo niliyoyaainisha hapo juu. Ukifika Kyela tutajitahidi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Miaka 16 bila mabadiliko kwenye mfumo wa CHADEMA: Je ni mabadiliko gani wanayopigania kuyaleta Tanzania?

    Mada hii itajikita katika kuuchambua mfumo wa CHADEMA wa Mhe. Mbowe uliopo kwa miaka 16 sasa na utaendelea kuwepo kwa kadiri Bw. Mbowe atakapoona ni wakati wa kumwachia mwingine anayemuona anafaa. Jicho la Mbowe ndio linapendekeza na kuchagua nani amrithi, hii inatokana na kauli yake mwenyewe...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA yaanza kazi Mbeya Mjini. Mbunge wake aanza kumimina semina elekezi ngazi zote kwenye kata zote

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Mbeya Mjini kimeanza amsha amsha kwa kumwaga semina elekezi kwa viongozi wa Kata zote , Vijiji na vitongoji kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kiutendaji . Ikumbukwe kwamba siasa za kishirikina za kutembea mitaani na majeneza kama...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Madai ya CHADEMA Kanda ya Pwani kuhusu Kero ya mabasi ya mwendokasi yamuibua Waziri

    Kaimu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Baraka Mwago amezungumzia Kero kubwa ya Mabasi ya mwendokasi inayowakumba wakazi wa Dar es Salaam. Katika Salaam zake za mwaka mpya kwa Wakazi wa Kanda ya Pwani kiongozi huyo wa chama kikuu cha upinzani nchini alisema magari ya mwendokasi yamekuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kumekucha: CHADEMA Kanda ya Nyasa kuzungumza na Waandishi wa Habari Iringa Mjini

    Kaa tayari kwa hoja nzito . Wote mnakaribishwa
  7. JamiiForums Tanzania Nawatakia heri ya Mwaka mpya wa 2020 Viongozi, wanachama na wapenzi wote wa Chadema nchi nzima. Mungu yuko pamoja nanyi

    Hakuna haja ya maneno mengi, kichwa cha habari kinajieleza. Nimeamua kwa moyo wa dhati kabisa uliojaa upendo mkuu kuwatakieni Heri ya: Viongozi , wanachama na wapenzi wote wa Chadema ikiwa ni pamoja vyama rafiki vyote tunavyoshirikiana navyo kwenye harakati za ukombozi wa nchi yetu ...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuipinga Sheria ya Utakatishaji Fedha Mahakamani

    Wakuu natanguliza salamu za Mwaka mpya , baada ya salamu hizi najikita moja kwa moja kwenye hoja . Chama cha Demokrasia na maendeleo kanda ya Pwani kimeandaa Mawakili wawili watakaofungua kesi Mahakamani ili kupinga sheria ya " kishenzi " ya utakatishaji fedha Hayo yamesemwa na Makamu...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA sasa kataeni uonevu huu kwa Vitendo. Maxence Melo hauko salama, ona unavyojadiliwa

    Nianze kwa kutoa wito kwa viongozi wa CHADEMA kukataa uonevu kwa vitendo. Ushauri wangu ni kwamba: 1. Mkifuatiliwa na magari ambayo yanautata, toeni taarifa Polisi wasipojibu au kuchukua hatua kwa haraka, tumieni kila njia angalau hata gari moja inayowafuatilia ichomwe moto. Hakikisha muwe na...
  10. JamiiForums Tanzania Mnyika apewa Uchifu Mwanza na kupewa jina la Chief Malonja, ataka marekebisho ya Katiba

    Wana MWANZA wamempokea Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa shangwe na kuweka historia kwenye mkoa huo kwa kuamua kukabidhi hadhi ya Chifu wa Wasukuma. Hakika huu ni msimamo wa kujivunia sana kwa wana MWANZA na inaonyesha kuwa sasa wameanza kujua mchele ni upi na chuya ni zipi kati ya CCM na CHADEMA...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi hii No hate No fear ya CHADEMA imekaaje?

    Huwa najiuliza hivi siku upinzani ukichukua nchi utaanza kutatua kero za wananchi moja kwa moja au utaanza kulipa kisasi? Kukamata kamata watu na kusukuma ndani? kukumbushia wapi walionewa kama jibu litakuwa ni kuwakaMAta wakina Makonda, wakina Hapi wakina Mzee Magufuli (bila kujali kinga)...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Kenya wengi ni watoto wa wapigania uhuru lakini Tanzania ni watoto wa wakulima, wafugaji na Chadema wafanyabiashara

    Nilikuwa nasoma historia za wanasiasa wa Kenya akina Mudavadi, Ruto, Kalonzo Musyoka, Raila na wengine wengi nimeona 95% ni watoto wa wapigania Uhuru. Yaani wana ile spirit ya siasa. Nikarudi hapa nyumbani kwa wakina Mwigulu, Mbowe, Tundu Lissu, Zitto, Nape, January na wengine wengi nimegundua...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mdude chadema amtuhumu afande Niko wa kitengo cha madawa Kurasini kwa utekaji watu

    Anadai afande huyu ni mtekaji a.k.a mtu aiyejulikana na kamuomba IGP amchukulie hatua kitu ambacho tunajua hakitawezekana hahahahahahahahahahaaaaa
  14. J

    JamiiForums Tanzania Chadema na ACT Wazalendo wanaweza kutumika na wabobezi wa siasa kali

    Hivi vyama viwili kila kimoja kimeelekea zaidi upande fulani tofauti na kingine jambo ambalo ni hatari kwa umoja wa kitaifa. Nimejaribu kuangalia uongozi wao wa juu na kamati kuu za vyama hivi viwili sijaona uwiano kabisa ni kama vile vyama vya uarabuni au nchi za Scandinavia. Nawashauri...
  15. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Salamu za sikukuu ya Noeli na Mwaka Mpya kwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

    Kwa viongozi, wanachama na wafuasi wa Chama chetu na Watanzania wote kwa ujumla, PEOPLE'S Naomba nianze kwa kuwapa salamu za msimu huu wa Sikukuu ya Noeli na kuwatakia kila lenye kheri katika Mwaka Mpya unaokuja. Pili, naomba kuwapongeza kwa kukamilisha Uchaguzi Mkuu wa Chama chetu katika...
  16. JamiiForums Tanzania Dr Mashinji ambaye ni Katibu Mkuu mstaafu wa CHADEMA amkabidhi ofisi Katibu Mkuu mpya John Mnyika

    Huu ni utaratibu wa kawaida kwa chama cha siasa kikubwa na kilichokomaa kama Chadema Mungu ibariki Chadema
  17. JamiiForums Tanzania Tumsaidie Katibu Mkuu mpya (CHADEMA)

    Tumsaidie Katibu Mkuu Mpya VIPAUMBELE POTOFU: 1. Kudai tume huru 2. Kuandaa wagombea uchaguzi mkuu 3. Chadema ni msingi 4. Chadema digitali 5. Ilani ya uchaguzi VIPAUMBELE SAHIHI: 1. Kusimamia na kutoa Mapato na matumizi 2. Kuhakikisha chama kinajivua sifa ya ukanda 3. Kurekebisha...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Chadema aonekana Lumumba akiteta na mwenezi wa CCM

    Mbunge wa Chadema ( jina linahifadhiwa kwa sasa) ameonakana katika mtaa wa lumumba akiwa na mwenezi wa CCM wakiteta jambo lililoonekana kuwa la muhimu sana. Tusubiri kidogo labda wanaccm mtapatiwa zawadi ya Krismas. Maendeleo hayana vyama!
  19. J

    JamiiForums Tanzania 2019 umekuwa mwaka mgumu kwa CHADEMA lakini wenye mafanikio kwa CCM na ACT Wazalendo

    Kiukweli mwaka 2019 unaoelekea ukingoni umekuwa mgumu sana kwa Chadema ambayo ilikimbiwa na wabunge wake wengi. Kadhalika ni mwaka ambao Chadema ilimpoteza mwanachama wake maarufu kuliko wote mzee Lowassa aliyehamia CCM. Pia mzee Sumaye na mzee Mgeja na kundi kubwa la madiwani waliamua kuachana...
  20. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Chadema, Mheshimiwa John Mnyika aongea na Wanahabari

    ===== Dar es Salaam. Katibu Mkuu mpya wa Chadema, John Mnyika ameanisha vipaumbele vitano vya chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Mnyika aliyeteuliwa na mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kuwa katibu mkuu Desemba 20, 2019 kuchukua nafasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…