chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. C

    JamiiForums Tanzania Tuwashauri wapinzani: Mambo yanayopunguza sifa kwa wapinzani ni haya hapa

    Naomba tuwasaidie VYAMA VYA UPINZANI ili kama wakipenda kujirekebisha, wafanye hivyo kwa misingi ya kuongeza nguvu za hoja badala ya malumbano. 1). Waelewe kwamba Tanzania inawatu wengi wajinga. Na kutumia ujinga wa watu ili kupata nafasi za uongozi kamia wanavyofanya ccm ni uharifu. Ni human...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mh Tundu Lissu Mkoani Songwe na Rukwa

    Wakuu natanguliza salamu , Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA zinaendelea leo tena Mkoani Songwe na Rukwa . Endelea kubaki hapahapa JF kwa habari za uhakika ======= Laela , Momba Kumekucha Momba Rukwa moja
  3. S

    JamiiForums Tanzania Sasa CHADEMA ni Chama Tawala, ni suala la muda tu - ukweli ndio huo

    CCM kubalini yaishe japo mnasema Mapinduzi daima, kubalini kwa roho safi kabisa wala msiwe na kinyongo. Ukiangalia CCM haina tena mvuto kiukweli huku mitaani achana na majukwaa, huku mitaani kila mtu ni CHADEMA mwaka huu. Ona sasa CCM wamebaki na wasanii kwa kuwavalisha kofia kama kumbukumbu...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA, TBC TV wanawaharibia kampeni ya mgombea Urais wenu Tundu Lissu; chukueni hatua sasa na haraka kabla hawajaharibu zaidi!

    å Leo tarehe 16/9/2020 nimejikuta natazama taarifa ya habari ya saa 2 usiku huu kwenye TV kupitia channel ya TBC. å Taarifa ya kwanza ilikuwa ni kuripoti matukio ya kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka huu 2020 ya vyama tofauti tofauti. å Wa kwanza kuripotiwa ni mgombea wa CCM, John Pombe...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA nidhamu inawapungua katika kampeni zenu, mnaweza kukosa baadhi ya kura kwa kutafsiriwa kama msio na maadili

    Ukiona kampeni za CHADEMA siyo siri zinasisimua. Naweza nisiwe hasa na sababu zinazoeleweka, lakini ukweli unabaki kwamba ni kampeni nzuri. Kuna tatizo la utovu wa nidhamu ninaloliona ambalo bila shaka litawafanya watu waliostaarabika kuinyima kura Chadema au kuwa katika mtanziko. Nijuavyo mie...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Njombe na Mbeya

    Leo tena Rais Mtarajiwa wa awamu ya 6 anazidi kusonga mbele na kampeni zake za kuwaomba wananchi wamchague kwa kura nyingi mno ili aweze kuleta Uhuru kamili . Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za uhakika ======== UPDATES Njombe Mjini ========= UPDATES 2 Lissu aingia Mbarali
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu hutaweza kututoa wamachinga mitaani

    Imeandaliwa na Umoja wa Wamachinga Iringa Kauli ya mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kuahidi kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga kwenye mitaa mbalimbali ya miji na majiji tunaipinga vikali kwasababu inataka kutuingiza kwenye umasikini. Katika kampeni zake, Lissu...
  8. JamiiForums Tanzania Morogoro mjini: Mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CHADEMA Bi Devotha Minja arejeshwa rasmi na NEC

    Kamwambieni Abood kuwa asiyempenda kaja, atoke mafichoni akanadi sera. Devotha wa Chadema ni mgombea halali wa jimbo hilo. Hongera kamanda, ulipambana mpaka ukalala ndani! ===
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Mnyika: Rufaa za madiwani ni 574 , zilizotolewa uamuzi ni 195. Wabunge 18 walioshinda rufaa hawajapewa barua, hawawezi kujinadi

    Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika alipokuwa anaongea na wanahabari , kumbe hata wale wabunge walioshinda rufaa zao bado mpaka leo hawajapewa barua, na kwa sababu hiyo hawawezi kuanza kampeni. Taarifa za wajuzi wa mambo zinaonyesha kwamba hii mbinu ya konokono ni mradi wa...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 ACT Wazalendo wapo tayari kuunga mkono CHADEMA, Membe bado hajajibu suala kama atakubaliana

    ACT-Wazalendo ipo tayari ubia na CHADEMA KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema chama chake kipo tayari kushirikiana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuungana mkono kwa wagombea wanaokubalika kwenye majimbo ili waweze kuibuka na ushindi. Alitoa...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

    Wakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni. Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa lengo la kueneza sera nzuri mno za CHADEMA , ikiwa ni pamoja na kuomba kura kwa mabosi wake ambao ni...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu na CHADEMA hawana Ilani?

    Habari wana jamvi, Nimekuwa nikifuatilia mikutano yote ya CHADEMA, mara nyingi wanakuja na hadithi mpya na nyingi zinatungwa na washabiki wao hapa JF kisha mgombea anapanda nazo jukwaani. Je, Chadema hawana Ilani yao? Nimejaribu kuingia Google lakini nimeona ya mwaka 2015. Je, mpya bado...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu (CHADEMA), aomba mdahalo na Dkt. Pombe Magufuli (CCM)

    Akiwa mkoani Iringa leo tarehe 13 Septemba, Lissu amesema "Natoa rai kwa Mgombea Urais wa CCM na vyombo vyetu vya habari, kufanikisha mdahalo kuhusu mustakabali wa Taifa letu la Tanzania" ===== LISSU IRINGA: MDAHALO NA MAGUFULI, MIKOPO ELIMU YA JUU NA HIFADHI YA JAMII KWA WOTE Mgombea Urais...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 John Mrema wa CHADEMA asiposhinda Segerea nahama Dar

    Huyu mama wa CCM jimbo la Segerea wana CCM wanamzomea kila mahali kwenye mikutano yako jimbo la Segerea. Kila anapopita anapata wakati mgumu mpaka anatamani kulia. Katika kitu ambacho Kamati Kuu ya CCM ni sikio la kufa ilikuwa kumrudisha Bonah Kamoli Segerea bila kujua alishinda vipi, huyu mama...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA kinavyozidi kupoteza kura, kimekuwa kikiwaponda wasanii wanaoburudisha kampeni za CCM wakati ni wapiga kura

    Kushinda uchaguzi ni moja na kuwavuta kwako watu wengi wezekanavyo ili wawe upande wako wao na familia zao wakupe kura. CHADEMA tumeiona ikiponda kuanzia Askari, wafanyakazi wa tume, viongozi wa dini, wenye magari wanaobeba wana CCM kwenda mikutanoni nk hao wote ni wapiga kura ambao CHADEMA...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi. - Bima ya afya kwa Watanzania wote. - Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka. - Hakuna tena kukatwa asilimia 15 kisa mkopo. Tutakatwa asilimia tatu tu. - Elimu ya maarifa, kubadili...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA hawataki tuwahoji kuhusu utendaji wa wabunge na madiwani wao?

    Ukitaka kuoga matusi humu jamvini waulize wanachadema wakwambie ni nini wabunge na madiwani wao walikifanya baada ya kupewa dhamana mwaka 2015? Kuna hoja ya kusema eti hawakuwa na dola lakini ukweli ni kuwa zipo halmashauri nyingi zilikuwa chini ya Chadema na hawakuja na lolote.
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Sina imani na CHADEMA na Lissu tena, hata wakishindwa itakuwa sawa tu

    Mimi ni mpenzi wa Chadema wa kufa Mtu, naichukia CCM kuliko kitu chochote. Ndio kitu kinachoongoza kati ya vitu ninavyovichukia. Lakini ikatokea Chadema ikashindwa kihalali kabisa bila hila wala wizi wa kura wa Aina yeyote, yaani Watanzania wakaichagua CCM kwa moyo mweupe kabisa bila mashakani...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Sitaki CHADEMA washinde, na hawatoshinda

    Kama misukule wa CHADEMA waliomo humu ndo wanaakisi fikra za viongozi wao wa chama, basi mimi Ngabu nasema sitaki kabisa hao watu washike madaraka. Kwa nini nasema hivyo? Kwa sababu hawa misukule wa CHADEMA ni wapumbavu kabisa. Sijawahi kuona watu walio watupu kichwani kama hawa watu. Katika...
  20. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kafulila katika mtihani wa kiapo cha ndoa, Je atamsaidia mkewe aliyeko CHADEMA katika kampeni?

    Haya mambo huwa yana ugumu wake. " Tutashirikiana na kusaidiana katika Shida na Raha hadi kifo kitakapotutenganisha" Sasa sijaelewa hapa kada wa CCM David Kafulila aka tumbili kama ataizingatia ahadi hii ya uaminifu katika ndoa wakati mkewe Kishoa atakapopambana na kada maarufu tena daktari wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…