chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Waliotumwa kuivuruga CCM jimbo la Hai wameanza kuweweseka, mchana wapo CCM usiku wapo Chadema

    WALIOTUMWA KUIVURUGA CCM JIMBO LA HAI WAANZA KUHAHA, MCHANA WAKO CCM USIKU KWA MBOWE Na Imani Kwayu Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi katika Jimbo La Hai umeacha makovu makubwa Kwa wasaliti wa Chama hicho waliokuwa wamejichimbia kimyakimya wakitega michongo yao ya namna ya Kupenyeza watu wao...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Chadema yaitaka Serikali kueleza imejipangaje kukabiliana na baa la njaa na bei kali za vyakula

    Hii ndio Chadema Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika amesema Serikali inatakiwa ieleze ndani ya Bunge na Nje imejipangaje kukabiliana na baa la njaa linalokuja na bei kali za bidhaa zinazoongezea wananchi ugumu wa maisha Aidha Mnyika aliwataka polisi wamtajie kifungu cha Sheria...
  3. JamiiForums Tanzania Idugunde nikihamia CHADEMA nitaleta mabadiliko makubwa sana. CHADEMA wapatapa ofisi mpya na utapeli utayeyuka

    Napenda mabadiliko ya kweli. Sipendi uswahili wa kiswahili. Yaani porojo zisizofaa. Mara mwanaChadema anachangisha michango kwa kutumia akaunti yake ya M pesa nihakikisha inakufa. Nitahakikisha pesa za umma haziliwi hovyo na tunapata ofisi ya Ghorofa moja. Nitahakikisha poroja za Twita...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA iko kwenye hatua ya "Maturity"; Katika hatua hii, haiwezekani kuifubaza au kuifuta..!

    Kuna wana CCM kadhaa na mashabiki wao wasio na uelewa ama ufahamu wanasema kuwa CHADEMA haina dili tena, imekwisha. Hawa ni wajinga, wanahitaji kuelimishwa kwa sababu hawajui wasemalo... Katika dhana ya ujenzi wa taasisi yoyote, kuna kitu kinaitwa kwa lugha ya kiingereza Project Life Cycle -...
  5. JamiiForums Tanzania Uharaka unahitajika kwenye maamuzi ya CHADEMA

    Ndugu Wana jukwaa hasa wadau wa demokrasia kuna tatizo kubwa sana nimeliona kwenye uharaka wa kufanya maamuzi ndani ya CHADEMA. Hapa tuangalie baadhi ya mifano. 1. Kuondoka kwa Dr. slaa kuliichukua CHADEMA zaidi ya Mwaka mzima mpaka kuziba nafasi Ile. Ikimaanisha kama Dr Slaa angeamua kurudi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Samia yawapoteza CHADEMA katika ramani ya siasa, hakina tena ushawishi kwa Watanzania

    Ndugu zangu Hivyo Ndivyo Hali Ilivyo kwa Sasa, Kasi ya Rais Samia kuwatumikia watanzania wa makundi yote,vyama vyote, Rika zote, jinsia zote, Kanda zote, Dini zote,makabila yote,maeneo yote na watu wa Hali zote bila ubaguzi wa aina yoyote kumeipoteza Chadema Katika Ramani ya siasa hapa nchini na...
  7. JamiiForums Tanzania Chadema hawafai kuwa 'ruling party'. Ikitokea wakawa watawala basi nchi itaharibika kwa kila namna. They dont deserve by any means necessary!

    Wataibuka matapeli wa kuchangisha michango ya kila namna. Kwa kisingizio cha kujenga chama na ofisi makao makuu. Huko Twita itakuwa ni upuuzi uliotamalaki kuhamasisha nonsensical ideas. Maandamano ya kuunga maazimio yatakuwa hayakatiki. Watu hawatafanya kazi. Polical chaos will emerge. Hawa...
  8. JamiiForums Tanzania Uchaguzi 1995: Kumbe Jakaya Kikwete alikuwa kwenye rada za CHADEMA

    Baada ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kufunguka kwamba kundi lake lilitaka kuanzisha chama baada ya kuenguliwa kugombea Urais Kupitia CCM Mwaka 1995, Gazeti la Raia Mwema linadokeza kwamba Mpango wa kundi la Boyz to Men ilikuwa kujiunga Chadema. Taarifa hii imenifanya niiamini, kwa sababu...
  9. JamiiForums Tanzania Mbatia ailipua Serikali ya CCM, aitaja CHADEMA

    James Mbatia, kiongozi aliyetimuliwa kwenye chama cha NCCR MAGEUZI hivi karibuni, ameitupia lawama serikali ya Tanzania na chama cha Mapinduzi kwa kuratibu mchakato wa kung'olewa kwake. Katika hali ya Kushangaza Ndugu Mbatia ameishutumu pia CHADEMA kuhusika na kung'olewa kwake, japo haieleweki...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge aliyefukuzwa CHADEMA aomba ulinzi wa Mahakama, adai ana siri nzito

    Grace Tendega ambaye ni kati ya Wabunge 19 waliovuliwa Uanachama na chama hicho alitoa ombi hilo mbele ya Jaji Cyprian Mkeha ambaye alimjibu kuwa anatakiwa kujibu maswali kama anavyoulizwa na sio nje ya hapo. Wabunge hao walifika Mahakamani kuhojiwa kuhusu ushahidi wa Malalamiko ya Viapo baada...
  11. JamiiForums Tanzania Kesi ya wabunge 19 wa viti maalum waliofukuzwa CHADEMA, Wakili Kibatala aanza kuwahoji mahakamani

    Dar es Salaam. Kesi ya wabunge wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya chama chao hicho cha zamani imeanza kuunguruma mahakamani, baada ya kukwama mara tatu. Mdee ambaye alikuwa mwenyekiti wa Baraza la...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mahakama imemuachia huru Gerald Mwakitalu (CHADEMA). Alifungwa maisha

    Tarehe 15/02/2022 Mahakama wilaya ya Kyela, Mbeya ilimpa hukumu Gerald Mwakitalu kifungo cha maisha kwa mashtaka ya kudaiwa kuchoma nyumba ya mgombea wa CCM wakati wa kampeni za uchafuzi 2020. Leo 7/10/2022 ameshinda rufaa yake, amefutiwa hukumu hiyo, yupo huru. ====== Ni Gerald Mwakitalu...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Hivi Vijana wa CHADEMA Wanatumia kitu gani kinachoharibu uwezo wao wa kufikiri na kujenga hoja? Mbona hawana adabu wala hekima?

    Ndugu zangu nimeuliza nipate kusaidiwa kupewa majibu maana nikiangalia na kufuatilia kwa makini naona hatari kubwa Sana iliyopo mbele ya chama hiki, wataalamu wanasema kuwa ukitaka kujuwa urefu wa maisha ya chama chochote Basi huna budi kuangalia uwezo wa kiuongozi wa vijana waliopoo katika...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Pambalu, Mwaipaya, Lema, Asenga, Hilda, Heche na Mdude mnaiua Chadema

    Watajwa hapo juu wameamua kukesha kwenye mtandao wa Twiter 24/7 kupiga porojo na kutukana muda wote. Inatia huruma sana kwa umri mlionao badala ya kufanya mambo ya kuigwa na walio wadogo zenu nyie mmeamua kwa makusudi kabisa kuwahadaa vijana wadogo wa nchii kwa kuandika habari za kusadika na...
  15. JamiiForums Tanzania Ufisadi na ubadhirifu unaondelea nchini kuipatia CHADEMA nguvu za kisiasa tena. Awamu ya 5 CHADEMA ilipotea baada ya ufisadi kudhibitiwa

    Kwa namna Mapato ya Serikali yanaonekana kuwa hayatumiwi vyema ili hali Serikali inakusanya mapato mengi kupitia kodi, tozo na faini pia hata ada kibao. Wakati wa hayati JPM alidhibiti mianya ya upotevu wa pesa za umma. Aliweza kuwa na ukusanyaji madhubuti wa pesa za umma na zote zikatunzwa...
  16. JamiiForums Tanzania Tuliharibikiwa tuliporuhusu ufisadi wa bilioni 10 Chadema. Sasa tunahangaika namna gani kuchangisha watu

    Tulipaswa kukomaa ili waliokula bil kumi zetu wazitapike. Mbowe na genge lake walipaswa kuzitema. Leo hii tunahangaika kupata mapato. Join ze chain imefeli na sasa tuje na mkakati gani kuchangishana pesa?
  17. JamiiForums Tanzania Idugunde: Tusipotoshe umma wafuasi na wanachama wa CHADEMA hawatetei majambazi wala uhalifu. Criminal justice must prevail

    Kwenye ukweli basi ukweli uwekwe wazi. Hakuma mtanzania anyependa uhalifu. Kama jambazi ana silaha na anakiwa mkaidi kutii basi huyo ni halali ya polisi. Lakini inasikitisha kusikia kuwa mtuhumiwa alikamatwa nyumbani kwake na mpaka binti yake na yeye wakavuliwa nguo ili wafanye mapenzi kisa tu...
  18. JamiiForums Tanzania Chadema kimekuwa chama cha kutetea majambazi, inasikitisha sana

    Kwa sasa kero kubwa kwa wananchi imekuwa kukithili kwa ujambazi na majambazi yamekuwa tishio. Jeshi la police linajitahidi kupambana na majambazi kwa kila namna ili kuifanya nchi kuwa sehemu salama ya kuishi. Kwa bahati mbaya chama cha chadema (zamani CHADEPA) wao wamesimama kutetea majambazi...
  19. N

    JamiiForums Tanzania 'Chadema ni mpango wa Mungu', 'Mungu ibariki Chadema'; ndo kauli pekee zilizobaki za kujifariji wanachadema! Hakuna jingine teeena!

    Ndo ukweli! Kwa sasa hakuna hoja tena, ni kujifariji na kujifariji na kujisariji na kujifariji kwa kutumia mgongo wa Mungu. Ukiuliza tundu lissu anafanya nini ughaibuni? Utasikia 'chadema mpango wa mungu' Ukiuliza ilikuaje lowassa akagombea kupitia cdm? Utasikia, 'chadema mpango wa Mungu'...
  20. JamiiForums Tanzania Chadema yashuku mauaji majambazi Serengeti

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeshuku mauaji yaliyofanywa na Jeshi la Polisi dhidi ya majambazi wilayani Serengeti, Mkoa wa Mara, kikitoa hoja nne kuthibitisha mashaka yake. Mashaka hayo yanaibuka ikiwa ni karibu wiki moja tangu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Mara, Longinus...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…