chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Chadema ni wa MOTO Balaa CCM kazi wanayo uwanja wa uchaguzi ukiwa huru

    Guys guys Imagine hapa TAL Bado yupo jela lakini mwitikio bado ni mkubwa na unatisha hatari wamedhibitisha kweli ni chama kikuu Tanzania. Sipati picha Lissu awe huru hii chadema iko na MOTO 100 times kabla ya kufungiwa na baadhi wa wa mbunge wa CCM waanze kujitafakari mapema kama wataendelea...
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Mamia ya Wananchi wamsimamisha Heche Magufuli bus Stand. Huu ni upendo mkubwa kwa CHADEMA. Watu wanahitaji ukombozi

    Upendo kwa Chadema
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Odero avuliwa uanachama CHADEMA. Alikuwa akipigia chapuo maridhiano!

    Wakuu, Mambo ni motooo, wajinga wate wanawekwa kando, huwezi ukawa mpuuzi halafu watu wakuangalie tu... akaungane na mboga mboga kushangilia mauaji ya Oktoba 29! ====== Mwanachama na aliyekuwa mgombea wa Uenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa 2015, Odero Charles...
  4. JamiiForums Tanzania Chadema ni Chama cha neglected society

    Ukifanya utafiti mdogo utagungua kuwa kumbe Chadema kimejaa watu ambao wamekataliwa na jamii mfano, wezi, ma single mothers, waliokimbia shule, matapeli, nk. Watu wakiona mfuasi wa Chadema wanakimbia wanajua usalama wao haupo Inshort huwezi ukawa unaheshima ndan ya jamii halafu ukawa Chadema.
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira, Maridhiono siyo na CHADEMA ni Maridhiano ya Kitaifa na kuliponya taifa

    Akizungumza na BBC nguli wa siasa barani Afrika Stephan Wassira amesema Maridhiano siyo na CHADEMA ni mustakabali wa Kitaifa kwa hiyo wale wanaosema Notorious criminal Tundu Lissu aachiwe ndo tuingie kwenye Maridhiano mnajidanganya Maridhiano yatafanywa na Vyama vya siasa 18 na CCM iko tayari...
  6. JamiiForums Tanzania BAADA YA RIPOTI YA CHANDE, UPO UWEZEKANO WA CHADEMA KUFUTWA.

    Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa. Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani. Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya. Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA wakisusia maridhiano watasusia na vikao vya kuandika Katiba Mpya?

    Nilimsikia Rais Samia akisema ataunda tume ya maridhiano nchini ya kuwaleta watanzania pamoja kabla ya kuanza mchakato wa kuandika Katiba mpya. Nimewasikia chadema wakisema hawatahusika wala kushiriki kwenye maridhiano. Kwa maoni yangu sioni namna chadema itakavyoshirikishwa kwenye kuandika...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Chadema unda team ya Kufanya SWOAT analysis ya Ripoti ya Chande

    Tafuteni wataalamu ndani na nje wafanye SWOAT ANALYSIS ya ripoti ya mchongo ya Chande et al. Msiache ikapita bila kuonesha STRENGTHS( kama zipo anyway),BUT za kuwasaidia ku impeach serikali zipo; WEAKNESS ( hapa ndipo pa kuichimbia), OPPORTUNITY seize this opportunity to expose the brutality of...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA yaikataa rasmi Ripoti ya Tume ya Jaji Chande, yadai ni njama za kuficha ukweli, yataka uchunguzi wa kimataifa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinarejea msimamo wake wa awali wa tarehe 19 Novemba 2025 kutotambua mchakato mzima wa Tume iliyoundwa na Samia Suluhu Hassan, na kinapinga kwa ujumla wake ripoti iliyowasilishwa leo tarehe 23 April 2026 na Tume hiyo chini ya Jaji Mohamed Chande...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA nao waunde tume Yao ya uchunguzi

    CHADEMA nao waunde tume yao ya kuchunguza kilichotokea Oktoba29 na kuendelea kisha watoe majibu yake.
  11. JamiiForums Tanzania Natamani kusikia CHADEMA imefutwa nchini

    Tunamuomba msajili akifute chama cha Chadema hiki chama ni adui wa amani ya Tanzania yetu .
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA na wanaharakati leo ikibidi msilale majumbani kwenu

    Top mmoja kateleza katika maongezi kavujisha Taarifa sehemu kwamba Report ya Chande Tayari imewataja watu fulan na wanaweza wakapotea hivo wakamatwe kabla ya Juma kuisha na ikibidi wakamatwe leo usiku hivi inabidi mkae kwa rada sana !!! Najiuliza kwani kumbe report haikuwa ya maana yeyote ni...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA imeharibu maadili ya Taifa letu. Siasa zao zimejikita kwenye matusi, upotoshaji, vurugu na ufitinishaji; kama Taifa tuseme NO

    Kila siku tunalalamika kushuka kwa Maadili nchini lakini wavuruga maadili nchini ni chadema. Mpaka Leo hii maadili ya watanzania yameharibika kwasababu ya viongozi wa chadema na chama Chao cha chadema. Kwasababu matusi kwao ndo njia ya kufikishia ujumbe, upotoshaji kwao ndo ajenda ya kupata...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini mnawatetea sana Chadema, kwenye ishu ya Oktoba 29?

    Nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi kuhusu nafasi ya Chadema katika maandamano yaliyoacha athari mbaya kwa jamii. Kinachonitatiza ni kauli zinazoeleza kuwa chama hicho au viongozi wake hawakuhusika kabisa. Naomba ufafanuzi wa kina zaidi kuhusu hili. Ni kweli kwamba mara kadhaa tumeshuhudia...
  15. JamiiForums Tanzania Umuzi wa Heche kuanza kuwarudisha CHADEMA wasaliti kama Halima Mdee unaenda kuiondolea imani iliyokuwa imepanda kwa kasi CHADEMA

    Heche ameanza kuvuruga mambo maana Chadema ilishaanzaa kujenga imani kubwa sana kama chama ambacho hakinunuliki kama ilivyokuwa Wakati wa Mbowe. Lakini kitendo cha kuanza kuwarudisha wasaliti kama Halima Mdee na wenzake ambao baadhi yao walitimukia Chauma ni kitendo cha kuanza kuharibu imani...
  16. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Kyela asema 'Mwili utaumia lakini imani ya CHADEMA haitakufa' asisitiza Tundu Lissu aachiwe huru

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kyela, Victoria Swebe, ametoa tamko kali dhidi ya kile alichokiita "siasa za mateso" na kesi za kutengenezewa, huku akitaka mamlaka kukomesha vitendo vya utekaji na mauaji nchini. Akizungumza wilayani humo jana, Aprili 21...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hii ni stage ya ngapi ya kuwaangushia CHADEMA lawama za Oktoba 29? Mmesahau kama mliwapiga ban? Safari hii hamchomoki!

    Wakuu, Haki nacheka kama mazuri:BearLaugh::BearLaugh::KEKWlaugh:, mara hii mmeshasahau yote yaliyotokea? Aaah bana mbona mnataka kutupa mpira mapema hivi? Sasa hivi mtakuwa mnalia na kusaga meno huko mliko, yaani wote ambao mngewaangushia lawama mliwapiga ban, sasa hakuna mtu wa kumtupia...
  18. JamiiForums Tanzania Nini kinafanya CHADEMA kukubalika nyakati hizi wakiwa na wanawekewa Kizingiti kila kona?

    Baada ya hukumu ya mahakama ya rufani kuruhusu Chadema iweze kufanya siasa zake hapo ndipo mambo yamejidhihirisha wazi kuwa Chadema ina kubalika na ina nguvu. Mikoa yote ya Tazania bara ilikuwa ni shangwe na nderemo. Swali kubwa la kujiuliza ni kwa nini Chadema inazidi kupata nguvu ikiwa...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA yakutana na ujumbe wa African Women Leaders Network, yaeleza yalitokea Oktoba 29

    Mapema leo, uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ulikutana na ujumbe wa African Women Leaders Network uliokuwa ukiongozwa na aliyekuwa Rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf, akiwa ameambatana na aliyekuwa Rais wa Ethiopia, Sahle-Work Zewde. Ziara ya ujumbe huo nchini Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Nimewakumbuka CHAUMMA. Waliahidiwa Vyeo sasa wanaomba kurudi CHADEMA. Eti Shetani aliwapitia🤣🤣

    Yeriko Nyerere aliwaingiza chaka wakina John Mrema. Eti Mbowe kamwambia anajiunga nao.. Sasa wanamsumbua John Heche wakitaka kurudi. Waliahidiwa Vyeo... Ila havijapatoka.. Wamekata tamaa.. Salum Mwalimu anafanya biashara gani hadi ajenge Ghorofa Dodoma? Wengine hata hamu ya kuandika vitabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…