chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. J

    Hivi Sera ya Bima ya Afya kwa Wote ni ya CCM au CHADEMA?

    Kuna baadhi ya makamanda wameniambia sera ya Bima ya Afya kwa Wote ni ya Chadema na kwamba Hayati Magufuli aliikopa kutoka Ufipa akaitia kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM. Mimi naamini hii ni sera ya CCM na imekuwepo tangia mzee Wassira akiwa ndiye mratibu wa ilani ya chama. Wanaojua zaidi...
  2. Viongozi 18 wa CHADEMA walioshitakiwa kwa kesi ya Mauaji Tunduma waachiwa huru

    Tumesema mara nyingi humu JF na kwingineko kuhusu unyama unaofanywa na serikali ya Tanzania kwa kulitumia Jeshi la Polisi kuwanyanyasa viongozi na wanachama wa Chadema , kwa kuwabambikia kesi za uongo ili kuiokoa ccm , lakini tukaishia kubezwa , kutukanwa na kusimangwa . Leo Viongozi 18 wa...
  3. Chama kipya cha Siasa kinachoitwa "Umoja Party" kuanzishwa

    Chama Kipya Kinakuja, Kinaitwa Umoja Party...
  4. CHADEMA nendeni na wamachinga na bodaboda mtanikumbuka baadaye

    Ndilo kundi linalonyanyasika sana kipindi hiki. Nyinyi msijali walikuwaje bali jalini mailage ya kisiasa.Hawa ndiwo watu wanaotegemewa hadi na wajomba zao huko kijijini kuwatumia elfu 5 kila wapatapo sasa wakiikosa ya kuwatumia huko kijijini lazima nao huko waelewe mchawi wa elfu 5 yao ni...
  5. 4

    CHADEMA kamatia hapo hapo, tumechoka sasa mbwai mbwai

    Niwasalimu Wana jf popote mlipo, MOJA KWa moja kwenye hoja Sio siri tena CHADEMA TZ mpaka mda huu tumepishana na jeshi la police tz , na waliotufikaisha hapa ni CCm kutumia vyombo vya dola kisa wapo madarakani, Hili limetuvulilugia sana nchi na kutengeneza mausiano mabaya Kati ya police na...
  6. J

    Yericko Nyerere: Polepole angekuwa CHADEMA tusingemvumilia, haiwezekani kiongozi kukivua nguo chama hadharani. Nape ni kiongozi

    Yericko Nyerere anasema Nape Nnauye ndio Kiongozi wa mwisho kijana kuongoza CCM ambaye chama kilimuandaa hawa UVCCM wengine wanaoongoza wameokotwa okotwa tu mitaani hawana nidhamu wala heshima. Yericko anasema kwa mfano Polepole alikuwa ni Kiongozi mkubwa sana ndani ya chama na anajua siri...
  7. CHADEMA, Jeshi la Polisi na Nipashe; taarifa hizi zilizosambaa mitandaoni zinawahujumu

    Kuna taarifa zilizosambaa mitandaoni leo kuwa zaidi ya Askari 10 wakiwa na silaha za moto walikuwa wamezingira Ofisi za CHADEMA Mbeya ambako kulikuwa na Kikao cha Ndani cha BAWACHA! Taarifa hizi ziliripotiwa na NIPASHE na kusambaa katika mitandao ya kijamii. Ni kawaida yetu kutaka kujiridhisha...
  8. S

    CHADEMA, hawa watu tusiwabeze, inawezekana wamechoka kutumika na sasa wameamua kuboronga

    Baada ya tafakuri ya muda mfupi, nimepata hisia kuwa hata kama wana uwezo mdogo, lakini sio wa kufanya makosa kama haya ya kiuandishi. Hivyo, nahisi huenda baadhi yao hawafurahii haya mambo,.ila wanafanya kwa kulazimishwa tu na matokeo yake na wao wanamua kufanya kazi chini ya kiwango...
  9. NCCR-Mageuzi naona ni bora kuachana CHADEMA tu

    Siasa inabadilika kila wakati kulingana na maitaji ya wakati husika, lakini moja ya vitu vinavyotisha na kusononesha ni vitendo vya wafuasi wa CHADEMA kuishambulia NCCR-Mageuzi! Mbatia amekuwa bega kwa bega na CHADEMA hasa katika mapito ya chama hicho, kesi Mbowe NCCR-Mageuzi imeweka mawakili...
  10. B

    CHADEMA ni kikundi cha waliokataliwa, kila siku hili kinazaliwa upya na kukua

    Kwa Afrika tunasoma wale wote waliopingana na serikali au waliokuwa na akili za kutisha nafasi za watawala waliitwa wasaliti, wahaini na viombe hatari kwa nchini. Juzi tumeona mjadala wa Bibi Titi Mohamed, aliposhindana na Mwalimu ndipo alipoitwa muhaini, tunamsoma Kambona, Maaalim Seif, na...
  11. Mkuu Gereza la Ukonga ashutumiwa kujiingiza kwenye siasa za CCM, adaiwa kusaka cheo kikubwa zaidi kupitia mgongo wa CHADEMA

    Waliokuwa Wagombea ubunge wa Chadema kwenye ule uchaguzi hewa wa 2020 , wamefunguka leo chanzo cha wao kuzuiwa kuingia ndani ya gereza la Ukonga kumuona Mwenyekiti wao Freeman Mbowe, katika siku halali na muda muafaka wa kuona Mahabusu. Wamefunguka yote haya katika Mkutano wao na Waandishi wa...
  12. Msemaji wa Magereza aanika sababu Makada wa CHADEMA kuzuiwa kumuona Mbowe

    Dar es Salaam. Baadhi ya makada wa Chadema waliofika kumuona Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe juzi katika gereza Ukonga jijini Dar es Salaam, hawakutimiza lengo lao baada ya askari Magereza waliokuwa getini kuwazuia wakisema kuwa wamepata maelekezo kutoka juu. Hata hivyo, Msemaji wa Magereza...
  13. Huyu dada ni kada wa CHADEMA?

    Tafadhali naomba anieleze anayefahamu. Huyu dada ndiye yule kada wa CHADEMA mtaalamu wa Katiba?
  14. Hivi CHADEMA mpaka leo haina watu wao huko Magereza?

    Wandugu, Kwa siasa za Tanzania zilipopitia, upinzani hasa CHADEMA ilitakiwa iwe na watu wao wanaowapa taarifa zote wanazohitaji katika idara zote za nchi hii. Niliwahi kuelezea humu ndani nini upinzani wanatakiwa kujifunza kutoka kwa Muslim Brotherhood. Kama huko nyuma iliwezekana kupata...
  15. R

    CHADEMA ni muhimu kujipanga kwa uchaguzi

    Lengo kuu la chama chochote cha siasa ni kushika dola. CHADEMA kipindi hichi inapitia wakati mgumu kwa mwenyekiti wake kuwa kizuizini. Jambo hili ni kubwa na mko wamoja katika kupigania haki ya mwenyekiti wenu, jambo hili ni kubwa ila nashauri lisiwatoe kwenye reli katika maandalizi ya...
  16. Kamati ya Utendaji ya CHADEMA Kanda ya Nyasa yakutana

    Labda kwa kuwafichulia siri , mimi ni miongoni mwa wazaliwa wa Kanda hii Kabambe , natokea kijiji cha Kajunjumele Wilaya ya Kyela , ni miongoni mwa wadau kadhaa waliochangia kuifuta ccm Kyela, wengine ni Japhet Mwakasumi sasa Marehemu, japo baadaye aliunga juhudi, ila demage aliyoisababishia CCM...
  17. Jengo la ofisi ya CHADEMA Bunda lavunjwa

    Nchi kila kukicha tunazungumzia kujenga ustawi wa demokrasia na kupunguza chuki na uhasama ili kulinda amani ya taifa. Kwa kiburi cha hali ya juu kabisa DC wa Bunda akijiita Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amevuja jengo la Ofisi ya CHADEMA Wilaya ambalo wananchi alijitolea michango...
  18. 4

    Mungu anawakumbusha Mbowe ni wingu tu ndani ya CHADEMA, mvua za mawe bado zimetulia

    Nawasalimu wote kila mmoja kwa imani yake wana JF. Nalazimika kuandika machache Ili nifikishe ujumbe tu. Kichwa cha habari kinajieleza sana, nini namanisha hapa Mh Mbowe ni Mwenyekiti wa chama cha Chadema Tz, anakabiliwa na mashitaka ya UGAIDI, maana nyingine wapenzi, wanachama wote...
  19. Kwanini CCM na CHADEMA ndio agenda kuu?

    Ukifuatilia kwa makini siasa za Tanzania zimeingia kwenye mtego wa ushabiki badala ya malengo chanya ya Kitaifa. CCM imekuwa ikitumia makada wake wa uenezi kufanya siasa za kishabiki zisizo na uzamivu wenye mantiki. Hoja kubwa za wanaCCM ni namna wanavyoweza kudhibiti mihemko na kushangilia...
  20. CHADEMA wajue hawapo juu Kisheria

    Wakati kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA ikiendelea ingekuwa vizuri kwa uongozi wa Chadema kuacha kutolea lugha za kejeli dhidi ya vyombo vya usalama pamoja na kuingilia uhuru wa Mahakama. Tunajua haki dhidi ya Mbowe itapatikana kama watanzania wengine. Kuendelea kuingilia uhuru wa Mahakama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…