chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Mbowe: CHADEMA haipo kumbeba Rais Samia, atabebwa na chama chake

    Dodoma/ Dar. Kufuatia kauli ya mbunge wa Makambako, Deo Sanga ya kuitaka Chadema kutosimamisha mgombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amesema watasimamisha wagombea ngazi zote kwa kuwa bado wanapambana na CCM. Mbali na ombi la Chadema...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: John Shibuda mgombea Urais Chadema 2025

    Wadau zipo taarifa kuwa Uongozi wa Chadema unafanya mazungumzo na mwanasiasa machachari John Shibuda apeperushe bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 nafasi ya Urais. Hesabu zinazopigwa ni namna ya kupata kura nyingi kutoka Sukuma Land (Kanda ya Ziwa) kutokana na takwimu za Sensa...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Diamond kujiunga CHADEMA mwaka 2024 na 2025 kugombea Ubunge kupitia chama hicho

    Habari zenu wana JF wenzangu. Katika pitapita zangu maeneo fulan nimekutana na hii habari kutoka kwa mtu wa karibu mno wa msanii huyo, akidai kwamba Diamond yuko katika mchakato wa kulishangaza taifa hapo mwakani. Japo mimi sio mwanasiasa, lakini ningependa kumshauri ndugu yetu Diamond...
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHATO: Viongozi wa CHADEMA wasota rumande ya polisi kwa kukosa dhamana

    Inadaiwa tangu vurugu za kuchoma moto kituo cha polisi Muganza zitokee paranja lilipita na kamata kamata ikafanyika. Viongozi wa Chadema inasadikiwa walishawishi wananchi kufanya vurugu. Wanasota rumande wamenyimwa dhamana. Leo hii zaidi ya wiki na na siku kadhaa wameshonwa nyavuni Mbowe...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe afuturu na Wanachama wapya wa CHADEMA waliotoka ACT-Wazalendo huko Tandale kwa Tumbo, Msikiti wa Mbuyuni

    Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe Jana alipata I-ftari na Wanachama wa ACT wazalendo na CUF ambao wamehamia Chadema huko Tandale kwa Tumbo Msikiti wa Mbuyuni Mbowe amesema amepata faraja kubwa Yeye na Viongozi wenzake kushiriki katika I-ftari iliyoandaliwa na Wanachama Wapya Mbowe ametoa...
  6. JamiiForums Tanzania Meya wastaafu wa CHADEMA muigeni Boniface Jacob, onesheni wizi unaojitokeza kwenye halimashauri mlizohudumu

    Kwanza nitoe kongore mwa ex Mayor ndugu Mh Bon Yai Kwa uchambuzi wake makini na wa kuaminika hakika ametufugua macho Wana Dsm keep it broo!maana Mkaguzi ameyaandika na kusepa. Nitoe Rai kwa ex Mayor wote waliokuwa wakiongozwa na Chadema kujitokeza kichambua ripoti za mkaguzi ili kuonesha hali...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Watu wa kada tofauti tofauti Waichambue Ripoti ya CAG, wasiachiwe CHADEMA Peke yao!

    Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa kamati kuu mchungaji Msigwa ametoa rai Watu tofauti tofauti kujitokeza na kuchambua Ripoti ya CAG. Msigwa amesema Viongozi wa dini, Viongozi wa Ngo, Wanasheria na Wataalam wengine wasaidie kuchambua Ripoti ya CAG iliyojaa Wizi na Ufisadi badala...
  8. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina hamia CHADEMA, CCM hapakufai

    Luhaga Mpina ameamua kujivua gamba. Inawezekana ni kwakuwa yupo nje ya 18 za upigaji maana alipokuwa waziri sikuwahi kumsikia akiwa na akili kiasi hiki. Anashangaa hadi leo hii kumuona Mwigulu Nchemba na Makame Mbarawa na Kadogosa wakiwa bado mitaani badala ya kuwa nyuma ya nondo za gereza la...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee badala ya kujibu hoja ya Mnyika kuhusu Wenyeviti wa PAC na LAAC, yeye amtusi Mnyika na CHADEMA

    “Ni MUHIMU sana KUJIANDAAA kabla ya kufanya CHAMBUZI za CAG. Ukiwa haujajipanga vyema, unaweza jikuta unaongea UPUUZI. Na Mwenye DHAMANA akiongea UJINGA , anaidhalilisha TAASISI aliyopewa DHAMANA kuiongoza. Ushauri wa BURE,CAG ameongea mambo makubwa na mazito. Do your HOMEWORK”. Halima Mdee.
  10. JamiiForums Tanzania Sabaya atawafaa CHADEMA Ubunge Jimbo la Arumeru Magharibi

    Natumaini mko wazima. Leo nimeona nitoe ushauri wa kitaalamu kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Kwenye siasa kinachoonyesha ukubwa wa chama ni namba kwa maana ya idadi ya wanachama, wabunge, madiwani na viongozi wengine waliopatikana kupitia chaguzi mbalimbali. CHADEMA iko vizuri kwa idadi...
  11. JamiiForums Tanzania Bodi za Wadhamini za CHADEMA hazina Ufanisi katika Kusimamia Utendaji Kazi wa chama chao

    Katiba ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inaitaka Bodi ya Wadhamini ya Chama kufanya mikutano isiyopungua mitatu kila mwaka. Hata hivyo, nilibaini kuwa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) haikufanya mikutano yoyote katika mwaka huu wa fedha...
  12. JamiiForums Tanzania Hali ya mazingira CHADEMA Makao Makuu inatutia aibu wanachama

    Moja kwa moja niende kwenye mada, leo nimebahatika kuangalia uchambuzi wa ripoti ya CAG uliofanywa na mh.Mnyika! Uchambuzi sina shida nao tatizo ni yale mazingira ilipo fanyika press. Yani wameweka meza nje afu nyuma ya ukuta umechoka balaa, podium yenyewe imepauka pauka yan leo ndo nimejua...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA yampa siku tatu Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa awe amewajibika

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) , kimetoa muda wa siku 3 kuanzia leo hadi 13/4/2023 kwa Waziri Mkuu Mh Kasimu Majaliwa awe amewajibika kutoka na ubadhirifu wa kutisha ambao umeanikwa na ripoti ya CAG . Kauli hii ya kikakamavu imetolewa na Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika...
  14. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli hachafuki kirahisi kama mnavyodhani, Watanzania wana macho na akili timamu

    Hivi namna CCM mafisadi na wezi wa mali za umma walimvyomchukia hayati JPM wawe na ushahidi kuwa alikwapua tril 1.5 leo hii tungeupata hadi kwenye mitandao ya kijamii. Chadema wangechapisha hadi kanga. Leo hii baada ya rais Samia kushindwa kudhibiti ufisadi ndio mlete hoja ya tril 1.5 ambayo...
  15. JamiiForums Tanzania Unafiki wa CHADEMA: Wanampigania mtuhumiwa wa mauaji, wanapuuza haki ya aliyeuawa

    September 2020, Emmanuel Polycup Mlelwa ambaye alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Iringa, alitekwa, aliteswa, aliuwawa, na mwili wake ulienda kutupwa katika eneo la bwawa la Kibena huko Njombe. Katika uchunguzi, GEORGE SANGA ambaye hivi sasa members wa CHADEMA wanasema aachiwe, alikiri kuhusika...
  16. JamiiForums Tanzania Ezekiel Wenje: Magufuli asingekubali ufisadi huu wa awamu ya sita (Ripoti ya CAG)

    Mbunge wa zamani wa nyamagana (chadema) EZEKIEL WENJE amesema kama Magufuli angekuwa hai asingekubali ufisadi huu ulio tajwa kwenye report ya CAG. Wenje aliyekuwa waziri kivuli wa mambo ya nje ameosesha kubwa kwa sasa Chadema wanaona kubwa Magufuli alikuwa bora sana kwenye kupambana na rushwa...
  17. JamiiForums Tanzania Chadema mbona hamueleweki? Alipokuwepo kiongozi aliyepambana na ufisadi mlimchukia. Huyu wa sasa mnasema ni mwizi

    Ameandika Patrick John Asenga, Kada wa Chadema kwenye Mtandao wa Twitter “Huu ndio ukweli..... Kimsingi hakuna jina lingine unaloweza kuiita SEREKALI hii ya CCM chini ya Rais Samia zaidi ya kuiita ni SEREKALI ya MAJAMBAZI, MAJIZI, kutokana na Ripoti za CAG za kila mwaka. Hongereni nipashe kwa...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwaka 2025 watanzania tuchague wabunge wa CCM pekee maana CHADEMA na wenzoo ni sehemu ya CCM

    Hakuna upinzani sasa. Maana sio Chdema au wenzao wote ni sehemu ya CCM. Hili la maridhiano ni porojp tu na hizi ni uganga njaa wa kisiasa. Sasa kwa nini tuchague vyama ambavyo ni CCM b, c au d. Bora kuchagua CCM yenyewe tu kuliko kuchagua wanaoigiza upinzani feki Najua wanaChadema wengi...
  19. JamiiForums Tanzania Kumbe CHADEMA ni wazushi, waongo na wazandiki. Wakimchukia mtu wanamzushia uongo

    Walimsema sana Sabaya kuwa aliua watu, alitesa watu, aliteka mali za watu. Leo hii umekosekana ushahidi wa kueleweka wa kumfunga. Mdogo wangu Makonda ndo alisingiziwa mengi sana. Mpaka akahusishwa na kupigwa risasi kwa Lissu Antipas (Mungu azidi mponya) kumbe wala maskini. Makonda hakuwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Makonda na Sabaya wakati ni sasa wa kuhamia CHADEMA

    Kama bandiko linavyojieleza, leo hii kwakuwa Mahakama imemuachia huru Sabaya Bila shaka sasa ni muda muafaka wa kufanya maamuzi ya kurudi kwenye jukwaa la siasa yeye Sabaya na Makonda Na hili kuidhihirishia jamii kuwa wao kama vijana waliingia kwenye mitego ya kisiasa bila kujua madhara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…