chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. R

    Chadema (Mh Heche) yatolee tamko maneno haya ya Mulilo leo katika mkutano wa amani katika (uchafuzi" ujao

    1. Jeshi hili sidhani kama yupo anayependa kufa...................... 2. Tutasindikiza masanduku ya kura kuna watu wanajifanya mahayawani..................
  2. Obad: Msikubali kusaliti mapambano ya kudai haki kivyovyote vile

    Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Zakaria Obad amewataka viongozi wa chama hicho, viongozi wa dini na wananchi kwa ujumla kutokubali kudanganyika na kusaliti mapambano ya kudai haki nchini. Akizungumza na JAMBO TV siku ya Jumatano, Obad amedai siku za hivi...
  3. GE2025 Sugu: No Reforms haikuanza na CHADEMA. No Reforms walianza nayo wananchi kwenye Chaguzi kadhaa zilizopita

    Wakuu, Akizungumza leo, Sugu amesema kuwa agenda ya No Reforms No Elections haikuanzishwa na CHADEMA bali wananchi kwenye Chaguzi kadhaa zilizopita. Sugu amesema kuwa kwenye Chaguzi zilizopita Wananchi walikataa tamaa kwenye Uchaguzi kwani walianza kukataa kujitokeza kupiga kura Msikilizeni hapa
  4. Z

    Chadema sasa imebaki kuwa chaka la wahuni na wahalifu, tujitenge na genge hili la wahuni tusije kuwasumbua ndugu zetu bure.

    Kwasasa Chadema imebaki kuwa Chaka la wahuni na genga la kupanga na kuratibu mipango ya kihalifu. Hivyo yatupasa tujiepushe na genge hili kwani unaweza kujikuta unaingizwa kwenye matatizo buree halafu ndugu zako wataabike. Tujitenge na hili genge la kihalifu kwa usalama wetu.
  5. Madaktari bingwa wa Kenya walisema Tundu Lissu sio mtu wa kawaida

    Mungu huzawadia Dunia watu au Viumbe waliobeba kusudi la kuikomboa Jamii au Watu wake, Huwezi kumuona Mungu kwa Macho yako lakini Mungu huonekana kupitia Watu waliobebeshwa jukumuu la kusudi lake. Kasome Mt 2:1-23 SUV. Tundu Lissu anaweza kututafakarisha sana!! Je Lissu ni Binadamu wa kawaida...
  6. Dotto Magari amzidi wafuasi John Heche mara mbili, Dotto ana wafuasi 1.2 instagram, Heche laki tano tu, je wanachama 13 milioni wa chadema wako wapi?

    Sensa fupi ya mtandao wa Heche inaonyesha hali hii. Heche angegombea leo angeishia kura laki tank, bora amekimbia
  7. Kwetu wafuasi wa Chadema wanaonekana ni wahuni ni vibaka, Sasa wanajificha hawataki wajulikane

    Hapa nilipo kulikuwa na vuguvugu za kisiasa baada ya mikutano kufunguliwa, ilitokea wafuasi wa CHADEMA wanatoa kauli za kejeli na matusi ikabidi viongozi wa mtaa waingilie Kati kwa kuwaonya ili tabia ya kukejeri na kutukana watu ikome. Waliwawekea Sheria Kali (by-laws). Tunashukru Mungu mpaka...
  8. GE2025 Heche akiri kama kutakuwa reforms ndogo zinazowezekana CHADEMA itaingia kwenye uchaguzi, asema kuna mambo ya kikatiba yanaweza kuchukua muda mrefu

    "Kuna watu waliniuliza kama mna minimum reforms ambazo zikifanywa mnaweza kuingia kwenye uchaguzi, nikaambia Yes, kwa sababu sisi sio watu wa kuongea ongea, tumeandaa paper iko serikalini, Lakini vilevile sisi sio vichaa kwa sababu tunajua kuna mambo ambayo ni ya kikatiba yanaweza kuchukua muda...
  9. SI KWELI PreGE2025 Maria Sarungi amesema CHADEMA imepoteza mvuto wa kitaifa

  10. Z

    Ushauri kwa vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama viwe makini sana na hawa wahuni wa Chadema kwani wana nia ovu ya kuchafua amani na utulivu wa Nchi yetu

    Ushauri kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama waendelee kuwafuatilia hadi chooni hawa wahuni, genge la kihalifu ambao wamejificha kwa mwamvuli wa kisiasa Chini ya Chama Cha Chadema. Genge hili kila kukicha lina panga na kuratibu mipango miovu ya kuchafua amani ya nchi, kufanya matukio ya...
  11. CHADEMA: Tunasikitishwa na Jeshi La Polisi kuwakamata wanachama 10 bila ya kuwapatia haki ya kuonana na mawakili wao

    CHADEMA imelaani kitendo cha Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kuwashikilia wanachama wake 10 waliokamatwa Kibaha bila dhamana na bila kupewa nafasi ya kuonana na ndugu zao. Chama kimesema kitendo hicho ni kinyume cha sheria na Katiba, kikitoa wito kwa Polisi kuwapatia wanachama hao haki za msingi...
  12. Huyu James Mbowe anatakiwa ajue Mbowe alisajili vipaji vya siasa CHADEMA na sio kwamba aliwatengeneza yeye

    Huyu dogo James anakosea sana kusema kuwa Mbowe aliwasaidia kina Lissu, Lema, Msigwa kuwa wanasiasa wakubwa. Mbowe alichofanya ni kama Madrid inavyosajili mastaa wa soka toka timu mbalimbali. CHADEMA iliwahitaji kina Lissu na wenzake kuliko wao walivyoihitaji CHADEMA. Kwa mfano Lema hata...
  13. GE2025 Mwenyekiti CHADEMA Arusha: Mbowe atoke hadharani na aseme 'No reforms No election'

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Arusha, Elisa Mungure, ametoa wito kwa Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho ngazi ya taifa, Freeman Mbowe, kujitokeza hadharani na kuunga mkono kaulimbiu ya chama ya “No Reforms, No Election”, kwa kuwa ndiye mwanzilishi wa msimamo...
  14. GE2025 Mwenyekiti wa BAZECHA Mbeya: Kama kweli CCM imefanya kazi nzuri kwanini waogope kushindana na CHADEMA

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetajwa kuiogopa CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokana na mazingira ya kukibana chama hicho kikuu cha upinzani huku vyama vingine vya upinzani vikionekana kuimarika, kikiwemo ACT Wazalendo na CHAUMMA. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Baraza la...
  15. CHADEMA sio waumini wa demokrasia kweli, wakipata dola watatunyanyasa kwa udikteta

    Nimesema hivyo kwa sababu, CHADEMA pamoja na wanachama wao, hawaamini, hawakubali na wala hawaridhiki mtu mwingine kuwa na mawazo na maamuzi tofauti na wao. Wanalazimisha yule watakayemfanya adui, LAZIMA kila mtu amfanye adui. Ukiamua binafsi kwa maslahi na faida yako mwenyewe Ukamfanya rafiki...
  16. GE2025 Huyu ndie Paul L Fulano. Kada wa CHADEMA ambaye kama hakuna wizi wa kura lazima awe mbunge wa Sengerema

    Huyu ndie Mwamba wa Chadema Sengerema.
  17. K

    Umashuhuru wa Mama 2021-2022 uliletwa na Chadema kumbe!! angalieni sasa

    Ukweli unauma kumbe Mama ni kama punda aliyembeba yesu alifikiria ni yeye mashuhuri sasa ukweli unajulikana kwa kushuka sana kwa umashuhuri wake. Wakati ule maongezi ya Haki na demokrasia ndiyo yalimpa umashuhuri sasa yupo na wana mitandao wakina Kikwete na Rostam tunaona tofauti.
  18. K

    Tatizo lijalo la CCM hawana vijana mahiri kama wa Chadema

    Hivi ukiangalia CCM chama kimajaa wazee wakina Kikwete, Samia. Vijana wengi hawana uwezo Chadema angalia viongozi wao ni vijana
  19. John Mnyika aelezea hisia zake baada ya maamuzi ya Mahakama kuhusu mgawanyo wa mali

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliotaka kuruhusiwa kuendelea na shughuli za kisiasa, baada ya zuio lililowekwa kutokana na kesi ya mgawanyo wa mali za chama hicho. Akizungumza baada ya uamuzi huo Agosti 18...
  20. Nashauri: CHADEMA, wafuasi wa Lissu, Ndugu, Rafiki na jamaa Wasiende Mahakama kuanzia siku ya Leo

    Hamjambo! Sijui nini kinaendelea, na sitaki kujua. Kumaanisha siwezi kueleza na sitaki kuelezewa kuhusu kile kiitwacho Kesi ya Lisu. Ila nitashauri mambo madogo ambayo yanamashiko tunapoenda katika ukingo wa zoezi hili; 1. Kuanzia leo, Wale wanaojiona wana ukaribu na Lisu, wanachama wenzake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…