chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna tume ya kukabiliana na maafa, matokeo yake hakuna uwajibikaji. Waziri Mkuu Simamia sheria ya maafa uunde timu husika mapema

    Vijana wa chadema walipokwenda Rufiji Mkuu wa wilaya alijibu kimzaa kwamba tatizo siyo kubwa. Waliposema wataanza kurusha picha za hali ilivyo serikali imeshtuka imepeleka mawazri na watendaji wengine wengi. Serikali inachokosa ni TUME YA KUKABILIANA NA MAJANGA; Duniani kote walipofanikiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Ninafurahishwa sana na vita ya wenyewe kwa wenyewe mtandaoni baina ya makada wa CHADEMA. CCM itatawala kwa miaka mingi sana

    Ni jambo ambalo limenifanya nifurahie sana hii sikukuu ya Eid. Huko X (Twitter) kuna vita kali baina ya makada wa chama cha Mbowe. It's Fredy Justine against Ntobi & Martin Maranja. Vita ni kali sana. Ntobi na MMM wanaporomosha matusi mazito kwa kada mwenzao Fred ambapo Fred nae hajakaa kinyonge...
  3. JamiiForums Tanzania Tuhuma za wanaharakati wa CHADEMA kupewa pesa na viongozi wa CCM zinaenda kukizamisha chama, Martin Maranja atajwa

    Nanukuu alichoandika mjumbe wa bavicha, kamanda Faustine "….. waraka wa Wazi kwa Martin Maranja Masese, MMM na Watu wote. Mwenyekiti wetu wa Chadema Taifa (my role model) alipo ona opportunity ndogo ya kuketi na kuzungumza na Samia namna bora ya kuleta mabadiliko ya kimfumo na upatikanaji wa...
  4. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya apongezwa

    Wadau mbalimbali kote Duniani Wamempongeza Mwenyekiti mpya wa Chadema Mkoa wa Mbeya . Baadhi hawa hapa
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa CHADEMA moto, Vigogo wanyukana bila huruma

    Hii ndio Taarifa unayopaswa kuifahamu popote ulipo, kwamba huko Chadema moto unawaka, mwenye hoja ndiye atakayechaguliwa , Isipokuwa ni Aman tupu, hakuna kulogana wala kuuana kwa sumu kama wale Jamaa. Naomba nifichue siri kwamba niliombwa kugombea Mkoa wa Mbeya, lakini nikaona kwamba kwa sasa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Emanuel Nchimbi put your words into action

    “Embracing Nyerere's Legacy for Tanzanian Progress” In an emotive and forward-thinking speech delivered at the Mwalimu Nyerere Memorial Academy on April 8th, 2024, Dr. Emanuel Nchimbi, the Secretary-General of Chama cha Mapinduzi (CCM), outlined a compelling roadmap for Tanzanian leaders to...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA tafuteni hoja, bwawa kujaa maji ni jambo la kawaida duniani kote

    Kama ilivyo kawaida ya Chadema wazee wa matukio kwa sasa ajenda yao ni bwawa la Nyerere. Nachotaka kuwaambia chadema kujaa kwa bwawa sio udhaifu wa utaalam ila ni jambo linalotokea kwenye mabwawa yote nchini na duniani. Watanzania wanataka kujua pesa zao za join the chain na michango ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wasemaji wa CHADEMA wamepoa sana, kuna nini?

    Wakuu, Ni muda umepita bila ya kuwasikia wasemaji wa CHADEMA kupitia mitandao haswa Lema na Mdude. Ni ukweli kuwa usemaji wao ni wa kufizia matukio na si usemaji wa kuuza sera za chama chao. Nikiwa kama mdau mkubwa wa hawa watu naombeni kujua ni nini kimewapata hadi kutoweka kwenye mitandao...
  9. JamiiForums Tanzania Ninawashukuru sana makada na viongozi wa CHADEMA kwa free publicity wanayoipa CCM kupitia majukwaa yao mitandaoni

    Nitakuwa mchoyo wa shukrani na pongezi nisipoandika uzi huu wa kuwashukuru na kuwapongeza kwa dhati makada na viongozi wa CHADEMA kwa kukitangaza bure Chama Cha Mapinduzi kupitia majukwaa yao mitandaoni. Kila CCM inapofanya jambo lake huwa viongozi na makada wa CHADEMA hupost kwenye pages zao...
  10. JamiiForums Tanzania Mkutano wa hadhara wa Chadema Mbulu Wafana

    Chama kinachoongoza kwa kuungwa mkono na watu wengi Nchini Tanzania , leo kimefanya Mkutano wa Hadhara huko Mbulu , kwenye Kata ya Mbulu. Mwenyekiti wa Kanda hiyo, Nabii wa Mungu Godbless Lema ameongoza semina kali ya kumkataa Shetani na mambo yake yote. Hali ilikuwa hivi
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika CCM ikiondoka madarakani kwa njia yoyote ile haki na sheria, itadai haya yanayodaiwa na CHADEMA

    CCM hawataki mabadiliko ya haki kwa vile ubatili wa sasa unawanufaisha/yanawanufaisha. Siku ikitoka madarakani, CCM itayadai haya haya yanayopiganiwa na chadema maana ndio UKWELI NA HAKI. CCM tendeni haki ili kesho HAKI iweze kuwalinda, vinginevyo mnajipalia mkaa! Mkitoka mtakuwa kama KANU...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ahmed ally asiombe nauli CHADEMA, kwenda Misri

    Baada ya Club ya Simba kukasirishwa na kitendo Cha Serikali kuridhia Ombi la club ya Yanga la Kusafirisha Mashabiki wake 48 kwenda Pretoria Africa ya Kusini Kwa ajili ya mechi ya pili ya marudiano, Sasa imemtuma Msemaji wake Ahmed Ally kujitokeza Hadharani na kuikashifu waziwazi Serikali ya...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Bunge la Wananchi CHADEMA wamhoji Kitila Mkumbo ''mnatoa wapi izo data zenu jamani''?

    02 April 2024 https://m.youtube.com/watch?v=Eib1-kDDAlQ Wahoji mantiki ya Profesa Kitila Mkumbo kuondoa fedha ktk mzunguko wa fedha ili kupunguza mfumuko wa bei, wakati bei ya bidhaa zinaongezeka kutokana na upungufu wa bidhaa siyo serikali inavyofikiri watu wanapesa nyingi mifukoni ndiyo...
  14. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha, ngome ya Chadema yaingiliwa

    Binafsi ningependa Paul Makonda apewe huu Mkoa wa Dar. Ila kwa kuwa Mwenyekiti wetu wa Chama ameona kimkakati Paul Makonda akaivunjilie mbali Chadema na kuizika kabisa, tunaunga mkono uteuzi huu. Hata kama hakuna upinzani wowote nchini. Wapinzani wote wamepoteana. Siasa za rais SSH siyo za nchi...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Mkutano Mkuu wa Chadema Arumeru Magharibi wafana

    Ni katika mikakati ya Chama hicho kujiweka sawa kwa ajili ya chaguzi zijazo Taarifa kamili hii hapa
  16. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ondoeni pembe mbili na RANGI nyekundu katika bendera yenu, mtafanikiwa

    Salaam, shalom, Mheshimiwa Mnyika amewahi kuhojiwa na kusema kuwa, Mh Mbowe ndiye aliyeshauri RANGI nyekundu iongezwe katika RANGI za Bendera ya CHADEMA, kwamba RANGI nyekundu inaashiria Upendo. Mara kadhaa, viongozi wa CHADEMA wamewahi kunukuliwa wakidai, RANGI nyekundu katika bendera Yao, ni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Muitikio hafifu wapiga kura chaguzi za ndani CHADEMA nani alaumiwe?

    Tulielezwa Chadema ina wanachama takribani milioni nane (8) ila Idadi ya wapiga kura chaguzi za ndani Chadema haifiki hata watu mia moja (100+) ipo chini ya watu 60 yaani kila Mkoa zilipofanyika chaguzi kuchagua mwenyekiti kama hajapita bila kupingwa utakuta Mwenyekiti mkoa amechaguliwa kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Rose Mayemba aomba tena Uenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Njombe

    Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe anayemaliza muda wake , Kamanda kabisa Rose Mayemba , ambaye ametajwa kuinyoosha ccm katika uongozi wake Mkoani humo , huku akiisambaza Chadema hadi kwenye maeneo ambayo awali yaliamini kwamba CCM ni dini , ameomba tena nafasi ya uenyekiti wa Chadema Mkoani...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Bi Yosefa Komba wa CHADEMA jimbo la Muheza azungumza na Wananchi katika mkutano

    25 March 2024 Muheza, Tanga Bi Yosefa Komba wa CHADEMA jimbo la Muheza azungumza mazito ktk mkutano mkubwa CHADEMA YAONGEA KUPITIA MKUTANO NA WANANCHI WA MUHEZA Kamanda Yosefa Komba aitisha mkutano kuzungumza na wananchi wanaokabiliwa na changamoto nyingi ambazo hazifuatiliwi na mkurugezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…