chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Picha: Moja ya megastructures ambazo CHADEMA walisema hazina manufaa kwa taifa lakini shujaa hayati JPM alihakikisha zitakamilika

  2. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA fanyeni mbinu zote mumnase Nape; ni msema kweli. Kaondolewa Uwaziri kwa kusema ukweli

    Bila kuwachosha kichwa habari kunajitosheleza. Si watz wanataka wasema Ukweli. Basi nape ni msema ukweli. Ccm hawawapendi wasema ukweli. Hivyo upindazi na hasa chadema achague hii karata. Mtakuja kunishukuru. Mbinu zote za ushindi anazijua
  3. JamiiForums Tanzania Kati ya CCM na CHADEMA, ni kipi kinanufaika na watu wazuri wa chama hasimu?

    Kwa muktadha wa huu uzi, Chama hasimu kwa CCM ni CHADEMA na kwa CHADEMA ni CCM. Watu wazuri ni watu wanaoweza kuwa msaada kwa Chama. Kati ya hivyo vyama viwili, ni kipi kimenufaishwa zaidi na hasimu wake?
  4. JamiiForums Tanzania Ni halali kwa Mch. Msigwa kuikosoa CHADEMA?

    Mimi siyo mfuasi wa Chama Chochote cha siasa, ila ni mpiga kuta mwaminifu. Sichagui Chama, namchagua mtu. Msigwa ni mwanachama wa CCM kwa sasa. Lakini miezi michache iliyopita, alikuwa CHADEMA akiwa ni mmoja wa viongozi waandamizi wa hicho chama. Baada ya kuhamia CCM, amegeuka kuwa mmoja wa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Chadema fuatilieni kinachoendelea ODM baada ya Odinga kuridhiana na Rais Ruto, mtakuja kunishukuru baadaye

    Kuna Mjadala mkubwa unaendelea kwenye Chama kikuu Cha Upinzani nchini Kenya ODM Nusu Mkate ya Baraza la Mawaziri imeigawa ODM kiasi Cha kutishia Usalama wake Chadema wameomba Nusu Mkate 2025 Ndio sababu nawashauri wajifunze faida na hasara zake sasa kupitia ODM Nafuatilia Mjadala Citizen TV...
  6. JamiiForums Tanzania Fursa Kwa Madada WA Kitanzania ambao hawajaolewa.

    Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Kwenye pita pita zangu huko mtandaoni nikakutana na Habari ya kijana Mmoja WA ki Jerumani anataka msichana WA Kitanzania Kwa lengo la ndoa. Nimeweka screenshot hapo chini inajieleza kabisa. Mkitaka maelezo zaidi mnaweza kwenda kwenye account yake ipo...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA inawahitaji akina Mdee kuliko akina Mdee kuihitaji CHADEMA. Warejesheni kuimarisha chama

    Kupata mwanasiasa mwenye kariba ya Halima Mdee na Esther Bulaya kwenye upinzani sio jambo jepesi, hasa katika nyakati hizi ambazo CCM inamtafuta kila mwanasiasa maarufu kutoka upinzani. Akina Halima ni wazoefu, wasomi, wenye misuli ya fedha za kupiga kampeni zao na za chama na wanakubalika...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nini mipango ya CHADEMA uchaguzi Serikali za Mitaa?

    Mimi nawasalimu wote humu ndani Imani yangu mko salama Nauliza tu je CHADEMA wamejipangaje kushinda uchaguzi serikali za mitaaa? Muda unayoyoma na hakuna mabadiliko kwenye daftari ya wapiga kura wanashindaje uchaguzi? Wameandaaa mfumo Gani Kwa Kila Kijiji CHADEMA kupata kura Tanzania...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kitendo cha CCM kupita mashuleni wanafunzi wajiandikishe ni mbinu mpya? Je, CHADEMA au ACT-Wazalendo wataruhusiwa nao kwenda?

    Huyo ni kiongozi wa CCM yupo shuleni anatoa hamasa wanafunzi wajiandikishe tangu nimenza kusoma takribani miaka 20 iliyopita sijawahi ona chama chochote cha siasa kinakuja kuamasisha wanafunzi wajiandikishe kupiga kura. Serikali ituambie je CHADEMA na ACT-WAZALENDO waende shuleni?
  10. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msitoke kwenye reli, acha wateuane _watengueane kazia ajenda zenu za kitaifa na chama chenu.

    Achana na CCM, wateuane, watenguane. Chadema endelea na mikutano yenu. Fichua maovu ya CCM kama mlivyokazia kwa Nape. Nadhani kama siyo Chadema, Nape asingelitenguliwa. Erythrocyte
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msingwa anainajisi Siasa za Demokrasia, CCM ni safi kuliko CHADEMA?

    Anapoikosoa chadema chama kilichompa utajiri alionao Leo anakosea sana. Hata CCM lazima wawe makini na mtu kama Msigwa. Iko siku atayachukua ya madhaifu ya CCM na kuyapeleka kwingine maana anayajuà. Msigwa anataka kutuaminisha kuwa CCM ni wazuri sana kuliko CHADEMA, hii ni kweli? Huu ni udhaifu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Join the chain na CHADEMA digital ilikuwa miradi ya Mbowe na Wakenya

    Aliyekuwa Mwanachama, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mjumbe wa Kamati Kuu na Mbunge kwa kipindi cha miaka 10 kupitia chama hicho ambaye hivi karibuni alirejea Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mchungaji Peter Msigwa amemshutumu Mwenyekiti wa Chama hicho...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe hastahili huduma ya Balozi wa mtaa anaoishi

    Mzee Mbowe amekuwa akizunguka na Chopa huku akifurumusha matusi hadi kwa marehemu. Juzi alipokuwa Arusha aliwahadaa wale vijana wa huko kuwa Rais wa awamu ya tano aliwatesa wachagga wakati wa utawala wake. Naomba popote anapoishi asipewe huduma yoyote ile toka kwa viongozi wetu wa shina...
  14. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe Foundation ndani ya Chadema ichunguzwe, ina ufisadi wa kiwango kikubwa

    Tuhuma kuwa ndani ya Chama cha CHADEMA Kuna taasisi imeundwa inaitwa Mbowe Foundation lisichukuliwe kuwa ni Jambo la kisiasa, Hawa watu wamejitanabaisha kuwa wana uwezo wa kuongoza nchi, sio wajanja wajanja kama watanzania wanavyoamini lkn ndani yake Kuna uhuni, wizi na makandakando mengi tu...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nahitaji Peter Msigwa auambie umma wa Watanzania ataufanyia nini baada ya kuhama CHADEMA, siyo CHADEMA imefanya nini!

    Mchungaji Msigwa Ukihitaji salamu subiri kwanza Utopolo wamkung'ute, Kolo 5 - 1 hiyo tarehe 8, tofauti na hapo utaula wa chuya! Bado nashangazwa sana na Siasa anayoifanya mtu mzima Peter Msigwa, sababu ya yeye kuhama CHADEMA alisema ni uminywaji wa Demokrasia huku lawama kibao akimtupia...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lusinde: CCM na Vyama vya Upinzani ni kama mjukuu na babu, hakuna ugomvi kati yao ila ukifika uchaguzi wakae pembeni

    Katika Mkutano wa Msigwa unaofanyika leo Julai 20, 2024 Iringa Mjini Lusinde amesema; "CCM na vyama vya upinzani ni kama babu na mjuu, hakuna ugomvi kati yao. "Mjukuu anaweza kucheka anavyotaka na mjukuu wake, kama babu ana mapengo mjukuu anaweza kuingiza mpaka vidole kwenye mapengo yake, babu...
  17. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 'Mbowe Must go inalenga kuyumbisha CHADEMA, kuweni Macho wamachama

    Kipindi hiki kuelekea uchaguzi kuna mambo mengi tutaona. Leo nimesikia sauti ya watanzania wakihamasishana ili kumshinikiza Mbowe aachie ngazi. Mara kadhaa Dr Slaa ametoa tahadhari kuwa kitendo chochote cha kumtaka Mbowe aachie ngazi hususani kipindi hiki cha uhasama wa akina Msigwa na CCM ni...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kama mnaona Gen-Z wanatija kwenu basi hamieni Kenya, tumewachoka na siasa zenu zenye vimelea vya vurugu

    Naomba niwaase viongozi na wafuasi wa chadema wote kwamba; sisi nchi yetu ya Tanzania ni nchi ya aman umoja na mshikamano kamwe sisi Kama raia wakawaida hatutaruhusu vurugu ya aina yoyote ile nchini mwetu Kama mnavutiwa na hao Gen z nendeni Kenya na kamwe msithubutu hapa nchini kwetu. Uongozi...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Msigwa na Upendo Peneza wajifunze kutoka kwa Hayati Edward Lowassa

    Wanasiasa Peter Msigwa na Upendo Peneza wamehamia CCM hivi karibuni kutoka CHADEMA chama kulichowalea na kuwakuza hadi kufikia ngazi ya ubunge na kuwa miongoni mwa wanasiasa maarufu hapa nchini kutokana na michango yao bungeni. Pia soma: CCM kuubeba msiba wa Lowassa bila kumuomba kwanza msamaha...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Msigwa: Msajili wachunguze CHADEMA, wana vikundi vinaitwa ZOO na JOB. Mbowe ni Nkurunziza

    Aliyekuwa Kiongozi na Mbunge wa Chadema baadaye akahamia CCM Peter Msigwa, amemuomba Msajili wa Vyama vya Siasa kuchunguza vyama vya Siasa hasa CHADEMA sababu wanafanya vitu nje ya katiba ya chama. CHADEMA wanataka kuvuruga amani. Nkurunziza(Mbowe) baada ya kuona hakubaliki ndani ya Chama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…