chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Ninaomba Jukwaa letu la JamiiForums liwahoji Viongozi wakuu wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao; kwa haya Yanayoendelea nchini mwetu

    Tunaomba wahojiwe viongozi wa Chadema kwa haya yafuatayo. 1. Kwanini wanakumbatia wanachama wao ambao tabia na matendo yao ni kero kwa jamii mfano wa akina Mdude, Maria sarungi nk 2. Kwanini hawawakanyi wanachama wao pale wanapotukana viongozi waziwazi huku wakiwa na logo za CHADEMA kwenye...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Sio kwamba Mbowe hajatambua kuwa alishafeli. Ni ile janja ya kuigeuza CHADEMA kitega uchumi ndio inamfanya akomae.

    Kama unaweza kujichotea mabil ya pesa na hakuna mtu wa kuhoji. Kwa nini usiwe mwenyekiti wa kudumu maisha? Hata kama utatambua kuwa kupata hata madiwani na wabunge ni ngumu maaana wananchi walishapuuza chama unachokimiliki kama kuku wa kufuga wa mayai. Unakuwa na kundi dogo kama la akina...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274

    Wakuu, https://www.youtube.com/live/xowt9FmWrvQ?si=db2lZWYu079tIJb7 UPDATE: Mwabukusi ashinda Urais TLS kwa kura 1274 Jumla ya kura: 2218 Kura zilizoharikika: 3 1. Boniface Mwabukusi - 1274 2. Sweetbert Nkuba - 807 3. Kapteni Ibrahim Bendera - 58 4. Paul Kaunda - 51 5. Emmanuel Muga - 18 6...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwabukusi ameshinda, Je CHADEMA ya Mbowe itanufaika vipi kisiasa? Naona wanapiga mayowe kila kona

    Huu ushindi utarejesha imani kwa wananchi kuwa CHADEMA sio Saccos? Kwamba Mwabukusi atasaidia kufuta upigaji wa Mbowe wa michango ya Wabunge na wanachama alizokwapua (Shahidi ni Msigwa) Kwamba Lissu atashinda 2025? Naona Shangwe kibao kwa makada CHADEMA kila kona ya Tanzania. Soma=>...
  5. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Matokeo uchaguzi TLS: Ni kivuli cha mchuano mkali kati ya CHADEMA vijana wa GEN Z vs CCM ya wazee wa Establishment

    UPDATES: Kama ilivyotarajiwa na wengi, Adv. Boniface Mwabukusi akiwakilisha young lawyers maarufu kama GEN Z - CHADEMA ameshinda kwa kishindo kikuu na kuwa Rais wa TLS kwa miaka mitatu 2024 - 2026 kwa kuwapiga kipigo cha mbwa mwizi wazee wa mfumo corrupt yaani CCM ESTABLISHMENT Juhudi kubwa...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu kijana wa CHADEMA ni msaidizi wa Mwabukusi? Ameenda Dodoma kama nani wakati sio wakili?

    Najiuliza sana maana kila alipo lazima na yeye atakuwepo
  7. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Tundu A. Lissu amepeleka wapi michango aliyochangisha watu ya kununulia gari?

    Sasa imekuwa Kama desturi kwa viongozi wakuu wa CHADEMA kuchangisha watu pesa na kutokomea nazo kusiko julikana mpaka Sasa; Ni Kama Wanatembelea chama kufanya Mambo yao mfano; 1. Hela za join the chain hazijulikani zilipo hii ilikuwa chini ya mwenyekiti wa chadema Taifa. 2. Hela za Lissu nazo...
  8. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA walidhani wanaweza kumtenganisha Rais Samia na Hayati Magufuli

    Sasa Ndio Chadema wamegundua uRais ni Taasisi tofauti kabisa na Nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Siasa kama alivyo mh Mbowe hapo Chadema HQ Mikocheni Mpendwa Wetu Mh Rais Samia ameamua kumuenzi Shujaa Magufuli kwa kuipa Stesheni Kuu ya Treni ya SGR Jina la " Magufuli " Hii ni Heshima kubwa...
  9. Jamaa Fulani Mjuaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa yanayoendelea maana yake "CCM" imegawanyika vipande vipande na wana hali mbaya kushinda hata CHADEMA waliokuwa wanadaiwa wamevurugana kisa Msigwa

    Kwa Mbungi linaloendelea ndani ya CCM sijui kama hakutakua na kumalizana Juu kwa Juu inaonekana huku ambako ni makazi mapya ya Bwana Msigwa kunawaka moto kuliko Kule alikotoka bwana msigwa. Hali ya kugawanyika ni kubwa mno na kwa kuangalia Upepo wao hawa jamaa wa kijani wanaweza hata kuanza...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yaingia Ileje, yatarajiwa kuwaamsha Wananchi waliopunjwa kila kitu

    Chadema Kanda ya Nyasa ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoa wa Njombe, Rose Mayemba, Inaingia Jimbo la Ileje kwa kimbunga cha Mikutano ya hadhara mfululizo yenye lengo la kukata mnyororo wa Utumwa Ikumbukwe kwamba Ileje ni miongoni mwa Maeneo ya kimkakati ya ccm yaliyopangwa kudidimizwa...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

    Abdulrahman Kinana Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika. Katika majibu yake Mwenyekiti...
  12. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA mthibitishe Tundu Lissu kugombea Urais 2025 ili wapiga kura tujiandikishe kwenye daftari la kudumu

    Ki ukweli kutokana na uhuni unaofanyika kwenye uchaguzi mkuu hasa wizi wa kura nimeapa kutokuja kupiga kura tena. Mimi nimpenda demokrasia kwamba napenda nione nchi hii inakuwa na utaratibu mzuri kuruhusu hata upinzani kuongoza nchi. Kwa mfumo huu wa uchaguzi naona Tundu Lissu ana uwezo wa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hakuna mahali Msigwa amesema CHADEMA ni Chama Kibaya bali Mbowe Ndiye Mbaya. CCM muwe makini atarejea CHADEMA huyo!

    Wakati wote na mahali pote Mchungaji Msigwa anaelezea ubaya wa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe tu na huwezi kumsikia akielezea ubaya wa Chadema kama chama Ogopa sana Mtu wa namna kwani ni Janjajanja fulani Mlale Unono 😀
  14. Influenza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msigwa: Bwana Mkubwa ana historia ya kuondoa wanaomfahamu. Orodha ilitajwa kuwa lazima Msigwa, Lissu, Lema na Heche waondoke

    Akihojiwa na Mwanahalisi Digital, aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA na baadaye kuhamia CCM, Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa kuna orodha kabisa imewekwa ya Watu wa kuondoka ambapo yupo Msigwa, Lissu, Lema na Heche kwa sababu ni watu wana uelewa na wanahoji Amesema Wakati...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Picha: Moja ya megastructures ambazo CHADEMA walisema hazina manufaa kwa taifa lakini shujaa hayati JPM alihakikisha zitakamilika

  16. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA fanyeni mbinu zote mumnase Nape; ni msema kweli. Kaondolewa Uwaziri kwa kusema ukweli

    Bila kuwachosha kichwa habari kunajitosheleza. Si watz wanataka wasema Ukweli. Basi nape ni msema ukweli. Ccm hawawapendi wasema ukweli. Hivyo upindazi na hasa chadema achague hii karata. Mtakuja kunishukuru. Mbinu zote za ushindi anazijua
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kati ya CCM na CHADEMA, ni kipi kinanufaika na watu wazuri wa chama hasimu?

    Kwa muktadha wa huu uzi, Chama hasimu kwa CCM ni CHADEMA na kwa CHADEMA ni CCM. Watu wazuri ni watu wanaoweza kuwa msaada kwa Chama. Kati ya hivyo vyama viwili, ni kipi kimenufaishwa zaidi na hasimu wake?
  18. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ni halali kwa Mch. Msigwa kuikosoa CHADEMA?

    Mimi siyo mfuasi wa Chama Chochote cha siasa, ila ni mpiga kuta mwaminifu. Sichagui Chama, namchagua mtu. Msigwa ni mwanachama wa CCM kwa sasa. Lakini miezi michache iliyopita, alikuwa CHADEMA akiwa ni mmoja wa viongozi waandamizi wa hicho chama. Baada ya kuhamia CCM, amegeuka kuwa mmoja wa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Chadema fuatilieni kinachoendelea ODM baada ya Odinga kuridhiana na Rais Ruto, mtakuja kunishukuru baadaye

    Kuna Mjadala mkubwa unaendelea kwenye Chama kikuu Cha Upinzani nchini Kenya ODM Nusu Mkate ya Baraza la Mawaziri imeigawa ODM kiasi Cha kutishia Usalama wake Chadema wameomba Nusu Mkate 2025 Ndio sababu nawashauri wajifunze faida na hasara zake sasa kupitia ODM Nafuatilia Mjadala Citizen TV...
  20. Kanye2016

    JamiiForums Tanzania Fursa Kwa Madada WA Kitanzania ambao hawajaolewa.

    Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Kwenye pita pita zangu huko mtandaoni nikakutana na Habari ya kijana Mmoja WA ki Jerumani anataka msichana WA Kitanzania Kwa lengo la ndoa. Nimeweka screenshot hapo chini inajieleza kabisa. Mkitaka maelezo zaidi mnaweza kwenda kwenye account yake ipo...
Back
Top Bottom