chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwanini uongozi wa Chadema hawajatuma muwakilishi wa kitaifa katika kumbukizi ya kifo cha Hayati Mwalimu Nyerere? Wana chuki naye kiasi hiki

    Chadema haijatuma muwakilishi yoyote wa ngazi ya kitaifa, hii ni chuki iliyokithiri kwa Hayati J. K. Nyerere.
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kama umekuta kituo cha Kuandikisha Wapiga kura hakina Wakala wa Chadema Toa Taarifa kupitia uzi huu, nitafikisha kwa Wahusika

    Yeyote aliyeona Kwenye Kituo chochote Tanzania labda Hakuna Wakala wa Chadema, Basi atoe Taarifa kupitia Uzi huu (Siyo PM), Mimi nitawasiliana na Viongozi wa Chadema kwa njia mbalimbali na kuwapa Taarifa haraka iwezekanavyo. Au kama umemkuta Wakala wa Chadema ana shida yoyote kituoni hapa, iwe...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Sina hofu ya CCM kushindwa na Upinzani Uchaguzi Mkuu labda kutokee mambo ya ajabu

    Mzee kikwete akiulizwa kuhusu Mtazamo wake wa Uchaguzi wa Mwaka huu na nafasi ya CCM amesema: "Mimi naamini chama kipo kwenye mazingira mazuri, lakini watu wanasema Politics is local, kuelekea Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa na uchaguzi wa Mkuu mwakani sina hofu na CCM, itaendelea kushinda na...
  4. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa "Elimu ni bora kuliko Pesa " unajidhihirisha sana kiuongozi ndani ya CHADEMA na CCM .

    CCM wanaamini katika Elimu hasa nafasi za juu na uteuzi, ili uteuliwe lazima kuwe na usomi ndani yake . Huku CHADEMA tunakwenda Kiuhalisia zaidi kwamba Pesa ni bora kuliko elimu na ukizikosa uwe na ushawishi kidogo . Yote sawa ila nadhani kuna upande unahitaji mabadiliko Muwe na siku njema
  5. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA wanishawishi nikajiandikishe

    Chadema wanishawishi, maana naona iwe jua iwe mvua ccm itashinda. Sasa waniashawishi. 1. Hawatalalamika kama kura zao zimeibiwa? 2. Watazilinda kura zao? PIA SOMA - LGE2024 - CHADEMA ikikomaa itashinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Boniface Jackob Aanza kazi Kanda ya Pwani, Aongoza Kikao cha Kamati ya Utendaji

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mfungwa wa Kisiasa ambaye alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani akiwa jela, Baada ya Mapumziko mafupi, Hatimaye ameanza kazi Rasmi PIA SOMA - Kuelekea 2025 - LGE2024 - Boniface Jacob achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Mwanza kwa maandalizi ya kuhitimisha kilele cha Mbio za Mwenge pamoja na Wiki ya Vijana

    Ziara ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Mwanza imeanza siku ya leo Jumamosi Oktoba 12, 2024 ambapo atatembelea na kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo miundombinu ya barabara, Sekta za afya, elimu, na uwekezaji, sambamba na kutoa maelekezo mahsusi ya kuharakisha...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Makalla: CHADEMA kazi ya kuwaombea kura siyo ya Serikali ni kazi ya chama

    Wakuu, Mambo yanazidi kuwa matamu, wakuu mkashiriki kupiga kura tujue kama hawa watu milioni wanaokusanywa kwenye mikutano ni wa kweli au ni janja janja ===== "Mbali na kupoteza Dira na mwelekeo chadema wameingia woga, baridi na kuishia kulalamika. Jana nilimsikia Mnyika anasema serikali...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa: Aeleza kutoridhishwa na mwenendo wa zoezi la uandikishaji katika siku ya kwanza

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa kimewahimiza wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la mkazi ili waweze kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu. Kauli hiyo imetolewa na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Bi...
  10. Bezecky

    JamiiForums Tanzania Tetesi: John Heche kumrithi Freeman Mbowe Uenyekiti CHADEMA

    Mwenyekiti wa wakati wote na wakudumu wa Chama kikuu Cha Upinzani nchini Tanzania Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Aikael Mbowe huenda akang'atuka kwenye nafasi hiyo ya ngazi ya Taifa aliyoihudumu kwa zaidi ya miongo mitatu mapema mwezi ujao. Habari za chini chini toka CHADEMA...
  11. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini mtu akihoji viongozi anaambiwa ni CHADEMA na akisifia viongozi anaambiwa yupo CCM?

    Utamaduni huu ni changamoto sana ndani ya taifa letu, shida nini? Hasa 1. Elimu yetu ni mbovu? 2. Au ni umasikini? 3.Au ni taifa letu limekufa 4. Jamani shida nini? Na tufanye nn I'li kuondoa huu uccmulism na uchadalism?
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Daraja la Magufuli limekamilika. Je, Makamanda wa CHADEMA watalitumia?

    Walidai ni megastructures zisizo na faida. ==== Tanzania has completed the construction of the Magufuli Bridge on L. Victoria, Mwanza.The 3.2 Km bridge becomes the longest in East Africa costing $300 million.The bridge has reduced travel time to 4 minutes from 2 hours.
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI CHADEMA waandika barua ya kusitisha kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024

    Salaam Wakuu, Nimekutana na Barua hii mtandaoni, nasikia CHADEMA wametema bungo wanataka kujitoa kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa. Kuna ukweli hapa?
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Sisemi napinga mfumo wa vyama vingi bali napinga mfumo wa vyama vingi vya ubabaishaji kama wa CHADEMA na wengine

    Wakuu, Mambo yanazidi kunoga huko, ni mwendo wa kupondana kwa kwenda mbere! ==== “Nchi yetu ina utulivu mkubwa, tunapendana, tunashirikiana, sisemi mimi napinga mfumo wa vyama vingi, lakini napinga mfumo wa vyama vingi vya ubabaishaji kama huu wa chadema na vyama vingine. Hawa ni...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania SI KWELI CHADEMA yapiga marufuku ambao hawana elimu ya kidato cha sita na kuendelea kugombea serikali za mitaa na uchaguzi mkuu

    Chadema imewapiga marufuku maelfu ya watanzania ambao wana elimu ya msingi na kidato cha nne wasigombee uongozi wowote katila chama hicho katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Chama hicho, japo kimewanyima haki ya kugombea, kinatarajia kwenda kuwaomba kura ili...
  16. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanachama wa CHADEMA Katavi wachapana makonde, Mbowe ashutumiwa kugawa pesa kwa wajumbe

    Vurugu kubwa zilizotokea Katavi katika uchaguzi wa hivi karibuni wa Chadema, zimeonesha wazi jinsi migawanyiko inavyoathiri demokrasia ndani ya chama. Wanachama walichapana makonde na kuchaniana sare walizovaa, hali iliyopelekea kutoana damu na polisi kuingilia kati ili kutuliza machafuko...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 CHADEMA yakabidhiwa Ilani ya Uchaguzi kutoka kwa AZAKI 300 nchini

    Wawakilishi wa AZAKI pamoja na Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) leo, Jumatano Oktoba 8.2024 wametembelea ofisi za makao makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa AZAKI hizo kutembelea vyama vya siasa kwa lengo la...
  18. Nandagala One

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi CHADEMA kanda ya Kusini; Mganga wa Jadi Mpiga Ramli na Herbalist waibuka kidedea

    Heshima kwenu wanaJF . Uzi huu tachukiza wengi, ambao hawajawahi naleta thread za namna hii. Jumapili iliyopita kabla ya Jumapili ya jana, ulifanyika uchaguzi wa CHADEMA kanda ya Kusini mjini Masasi. Ni uchaguzi ambao uligubikwa na rushwa kutoka nje ya CHADEMA. Wapiga kura waliuuza kura zao...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI LGE2024 Mnyika amesema badala ya CHADEMA kujenga chama wapo Twitter

    Wakuu nimekutana na hii, ina ukweli?
  20. I

    JamiiForums Tanzania Wakati CCM ipo "Site" CHADEMA wanatafuta "Likes" na "Retweets"

    .
Back
Top Bottom