chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Morning_star

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Bwuaanaah!

  2. Kinjekitile Jr

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Hizi damu zinazomwagika za viongozi wa CHADEMA zinatoa picha mbaya na nzuri huko tuendako

    Wasalaam ndugu wana JF! Nisikuchoshe, usinichoshe, tusichoshane. Twende kwenye mada yetu moja kwa moja Kwa wale waumini wa dini karibu zote duniani yaani ukristo, uislam, Uyahudi, Wabuddha, Wahindu, Washinto na ata hizi dini za Mababu zetu zote zinaamini kwenye kutoa sadaka/Zakkah...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, acheni kulalamika kila muda, chukueni hatua

    Viongozi na wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wahanga wakubwa sana kwa manyanyaso na kila aina ya dhuluma. Mara tu wanapofanyiwa hayo wamekuwa wakijitokeza kwenye Vyombo vya habari na kulalamikia vitendo hivyo. Mimi nafikiri kwa sasa tutoke kwenye kulalamika na twende kwenye kuchukua hatua kali...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA ina lengo la kweli kushindana kwa hoja na sera au dhamira yao ni kufanya nchi isitawalike kwa kukwamisha chaguzi?

    Kauli tata za viongozi wa CHADEMA zimeibua taharuki. Kauli hizo zinaonesha hila za kisiasa na viashiria vya kuibua vurugu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025. Benson Kigaila, mmoja wa viongozi waandamizi kutoka chama hicho, ametoa matamshi yanayodai kwamba CHADEMA...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Viongozi CHADEMA Jimbo la Kibamba watoa takwimu za uandikishaji Uchaguzi Serikali za mitaa

    Kwakuwa wanatambua toka zoezi hili limeanza kulikuwa na dalili mbaya na nia ovu ya kuhujumu uchaguzi huu na kwasababu watakwenda kubandika takwimu hizi leo Oktoba 21, Viongozi CHADEMA Jimbo la Kibamba wakiwakilishwa na Ernest Mgawe, Mwenyekiti wa jimbo hilo, watoa takwimu za uandikishaji...
  6. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani wapewe ulinzi wa Polisi saa 24

    Amemkuta mwanamke kituoni, akalipa nauli ya anakoshuka ,nae akashuka, Akampigia boda boda, wakati anamsubiri kijana wa boda boda. Akaja mtu akamgusa bega akasema upo chini ya ulinzi akatokea yule mwanamke akamfunga pingu, gari likaenda wakawa wanapumzika wakanunua chips. Wakamuweka kwenye mti...
  7. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Nyarusi aliyetekwa naye pia ni CHADEMA?

    Yaelekea kuna habari mpya hapa baada ya Aisha Machano,yule mdada ambaye ni too serious ,kwamba yupo mtu mwingine ametekwa.https://x.com/mdudechadematz/status/1848059782189777138https://x.com/mdudechadematz/status/1848059782189777138
  8. K

    JamiiForums Tanzania Propaganda za CHADEMA na mkakati wa kuchafua taswira ya nchi

    Mnamo tarehe 19 Novemba 2015, katibu mkuu mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na aliyekuwa mgombea urais, Dk. Willibrod Slaa, alitoa kauli kwamba “Chadema wanatekana,” akifichua siri nyingi kuhusu chama hicho. Kauli ya Dk. Slaa inahusiana moja kwa moja na madai ya kutekwa kwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 2019 Dr Bashiru na Polepole walitumia Nguvu lakini 2024 Dr Nchimbi na CPA Makalla wanatumia Sayansi ya Siasa, Orodha imeshawavuruga CHADEMA

    Kwa Dar es salaam Nina uhakika Vyama vya Upinzani havitapata Ushindi hata wa Mtaa mmoja Ujiji ACT Wazalendo wataambulia Mitaa miwili Mitatu halikadhalika Mbeya na Arusha CHADEMA wataambulia Mitaa miwili Mitatu Kwa sasa Sekretarieti ya CCM ina Watu wanaojua Siasa ni Sayansi na kwamba Nguvu ni...
  10. Joseph Ludovick

    JamiiForums Tanzania Copy and Paste Inaiumiza CHADEMA

    Katika uchambuzi wa sababu zinazoweza kuzuia mafanikio ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuna hoja yenye nguvu kwamba CHADEMA imeiga kwa kiasi kikubwa mifumo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ingawa CHADEMA kinajitambulisha kama chama cha upinzani, mifumo yake ya ndani ya kiutawala...
  11. erasto Samwel

    JamiiForums Tanzania Chadema shukeni ngazi za chini

    Ushauri wangu kwa Viongozi wa juu fanyeni juu chini mpeleke pesa ngazi za chini za chama za Mitaa na kata huko ndiko kuna kazi kubwa na zinahitaji pesa sana. Hizo nguvu za juu mzilete chini. Mfano mawakala wanahitaji pesa wanahitaji chakula ili zoezi liwezekane vizuri. Kuna maeneo mawakala wa...
  12. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA huwa hawana ulinzi?

    Inachosha kusikia drama kila baada ya siku mbili mtu katekwa tena kiongozi akiwa kwenye kwenye kutekeleza majukumu ya chama. Ina maana ni mchana kweupe, Swali mtu huyo alikuwa hana ulinzi? wakati ni kiongozi wa kitaifa wa chama, hayo majukumu alikuwa anatekeleza chumbani kwake kwa maana ya peke...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Katavi: Mwenyekiti wa CHADEMA pamoja na timu yake wanadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi

    Mbilinge zinaendelea za kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa. Huku tukiendelea kusikia mambo yanayotokea kwenye vituo vya kujiandikisha. Leo huko Katavi yalitokea ni haya ================== Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela, pamoja na...
  14. mkuruga

    JamiiForums Tanzania Chadema KOROGWE MJI wapata viongozi wapya

    Atimaye Jana terehe 18/10/2024 chadema Jimbo la KOROGWE wamepata viongozi baada ya uhaguzi wa kidemoxrasia kufanyika ambapo nafasi mbalimbali kugombaniwa ambapo nafasi ya mwenyekiti aligombaniwa na wagombea watatu ambazo ni kamanda John mapunda alikuwa anatetea nafasi yake Ezekiel mbwilo pamoja...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Marekani yamsifia rais Samia kwa kuimarisha demokrasia na bunge laidhinisha ufadhili kwa Tanzania

    KATIKA kipindi ambacho CHADEMA imekuwa ikieneza propaganda potofu kuhusu hali ya demokrasia nchini Tanzania, ukweli umeonekana wazi kupitia matamshi ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) la Marekani. Viongozi wa juu wa CHADEMA, akiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu, wamekuwa wakiandika barua...
  16. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Arusha: Vurugu zatokea kati ya wakala wa Chadema na msimamizi wa uchaguzi.wananchi waingilia kati

    Vurugu kubwa zimetokea katika mtaa wa Engosengiu kata ya Sinoni kati ya msimamizi wa uandikishaji wa mtaa huo na wakala wa chadema na baadhi ya wananchi baada ya msimamizi huyo kutaka kumtorosha muandikishaji wa daftari bila ya kuonyesha idadi ya waliojiandikisha wakiwa na lengo la kwenda...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbeya: CHADEMA yatishia kususia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mbeya kimewaasa wananchi kutosusia uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vitongoji na vijiji kwa kuwa kura zao ndizo zitakazoamua aina ya viongozi na mustakabali wa maisha yao kwa kipindi cha miaka mitano ijayo (2024-2029). Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ushauri: CHADEMA ijiondoe kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa

    Salaam, Shalom!! HOJA ya ushauri hapo juu ni kupuuzwa Kwa mapendekezo muhimu ambayo mliyatoa ikiwemo uchaguzi huo wa Serikali za mitaa kusimamiwa na Tume huru ya Uchaguzi. Sasa Kwa kuwa yanayoendelea hivi sasa, wanachama wenu wanaendelea kuumizwa na Hila zimeendelea kutawala mchakato wa...
  19. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ukweli mchungu, CHADEMA wameshashindwa uchaguzi kabla ya uchaguzi wenyewe

    Wasalaam Nitasema kidogo tu tena kwa ufupi kabisa. Kwa mtu mwenye akili timamu ukiangalia uandikishaji wa wapiga kura katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa utaona wazi kwamba CCM wameandikisha wapiga kura wengi karibu nchi nzima. Hapa haijalishi wametumia mikono au miguu ila wanefanikiwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania SI KWELI LGE2024 CHADEMA wataka kila anayetaka kugombea nafasi ya uongozi Serikali za Mitaa achangie Tsh. 400,000

    Na Mwita Mwija Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika ameeleza kuwa kutokana na uhaba wa fedha, kwa sasa wagombea wote ngazo za mitaa, vijiji na vitongoji lazima wachangie kukiwezesha chama shilingi Laki nne (400,000) hii itasaidia uwezeshaji katika usimamizi wa chaguzi hizo kwa kuweka mawakala...
Back
Top Bottom