chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Morogoro: CHADEMA wafichua uwepo wa vituo vya kuandikisha wapiga kura kwenye kambi ya Jeshi ya JKT

    Wakuu, Baada ya videos kusambaa mtandaoni kwamba kumekuwa na uandikishwaji mkubwa wa wanafunzi underage kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, sasa hivi kumeibuka shutma mpya dhidi ya zoezi hilo. Akiongea leo asubuhi, kada huyu wa CHADEMA amefichua kuwa kuna baadhi ya vituo vya kujiandikisha...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Vijana wa CCM wamshambulia Mjumbe wa Kamati Tendaji ya CHADEMA katika Kituo cha Uandikishaji

    Mchungaji Israel Ernest Ngatunga, ambaye ni mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kata ya Msongola, Jimbo la Ukonga, anadaiwa kushambuliwa na vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wanaandikisha wananchi nje ya Kituo cha Uandikishaji cha Kwa Mussa...
  3. D Metakelfin

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CHADEMA kuhusu Maandamano na Mikakati Mipya

    MAXIMILIAN LUDOVICK "Kaka Lema, hebu BASI kubalini kufundwa kwa HISTORIA, NADHARIA na NYAKATI. Maandamano haya wakati huu kwa WATANZANIA hawa wasiojitambua, ni UPOTEVU BURE wa MUDA, na UDHARIRISHAJI wa TASWIRA NA NADHARIA ADHIMU ya MAANDAMANO ya AMANI.🥺🥺 Baada ya kile kilichojiri kwenye...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Amos Makalla: Tulipokuwa tunajiandaa na Uchaguzi wenzetu walikuwa kwenye Maandamano!

    CPA Amos Makalla ametoa angalizo kwa vyama vya upinzani hususan CHADEMA kuwa kimeanza kutafuta visingizio vya kishindwa uchaguzi wakati ambapo hakijajiandaa kabisa na uchaguzi. “unachokipanda ndicho unachokivuna wenzetu wameanza kulalamika tulitegemea haya mana hawakujipanga Sisi Viongozi wote...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Tarehe 17 Oktoba, 2024 Makao Makuu ya Chama Mikocheni, Hutakiwi kukosa

    Wakuu Mambo ni Mengi mno na Muda ni Mchache, lakini niwaombe sana kutegea sikio Mkutano huu, Hakika mtapigwa na Bumbuwazi. Katibu Mkuu wa Chama John Mnyika atazungumza na watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari kesho tarehe 17 Oktoba 2024 saa tano asubuhi, Makao Makuu ya Chama...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Njombe: Polisi wakamata wafuasi wa CHADEMA waliomshambulia wakala wa CCM aliyedaiwa kusambaza majina hewa

    Polisi mkoani Njombe wamekamatwa watu wawili wa CHADEMA, Emmanuel Raston Ngelime (44) na Obadiah Tedius Chogwa (47) siku ya Jumanne, Oktoba 15, 2024 baada ya video kusambaa, ikionyesha wakiwa wamemzuia na kumhoji kijana aliyejitambulisha kama kijana wa CCM, Antony Mtagawa baada ya kuadaiwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli CHADEMA wana idadi ya mawakala 55 tu kwenye vituo vyote 666 jijini Dodoma?

    Jinsi wanavyosema kuwa wamejipanga vyema kwenye uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa lakini takwimu zinawasuta. Kutokana na taarifa ya msimamizi wa uchaguzi jijini Dodoma CHADEMA wana mawakala 55 tu katika vituo 666 vilivyopo Jijijni Dodoma. Ndugu zangu CHADEMA mkajipange upya vinginevyo...
  8. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wameshindwa watoa kina Mdee bungeni wanakuja na Samia Must Go, nchi hii ina maajabu mengi sana

    Ukiwaza na kufikiri kwa kina sana utagundua Chadema wananufaika na hawa wabunge 19. Hili halishangazi ila kuwaacha watu wanaokula mamilioni kinyume cha sheria na kutaka kumtoa Samia kitu ambacho wanajua kabisa hawataweza ndio kinashangaza.
  9. African businesses

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mungu ataikumbuka tena Tanzania 2025, Watanzania wataamua kukiweka chama kipya madarakani

    Leo nimeona niandike kidogo kama sio kutoa ushauri kwa chama kipya kitachopewa idhini na wananchi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania. Kwa ufupi ni kwamba 2025 ni mwaka ambao utalejesha matumaini makubwa kwa watanzania, kwani bahada ya utawala wa muda mrefu wa hiki chama watanzania watahamua...
  10. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawakujifunza Septemba 23?

    Chadema ni lini watapata funzo kuwa wananchi hawataki upuuzi wa maandamano basi wameshindwa kutumia njia mbadala kuhamasisha wanachama wao kujiandikisha wanaBwaza upuuzi kila kukicha usio na mafanikio!
  11. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula mpigania haki wa CHADEMA kanisa lake liko wapi?

    Sina maneno mengi wengi wanauliza kanisa la huyu askofu wa siasa lipo pande zipi waweze kwenda kupata msosi msosi wa kiroho na kisiasa!
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Arusha: CHADEMA yatangaza Maandamano kupinga Ukiukwaji wa Taratibu za Uandikishaji

    Taarifa yao waliyoisambaza kwa vyombo vya Habari hii hapa Maandamano ya amani Jimbo la Arusha mjini ya kupinga ukiukwaji wa taratibu na kanuni kwenye zoezi la uandikishaji wa daftari la wapiga kura la uchaguzi wa serikali za mitaa. Maandamano yataanzia Kata ya SEKEI eneo la Philips na kuishia...
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Msimamizi wa Uchaguzi Dodoma: CHADEMA wameweka mawakala 55 katika vituo 666

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeweka Mawakala 666 katika Vituo 666 vya kuandikisha Wapigakura huku Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ikiweka Mawakala 55. Msimamizi wa Uchaguzi katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Dk. Frederick Sagamiko amesema hayo wakati mkoani humo wakati akikanusha...
  14. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA: Uandikishaji wa Majina Uchaguzi Serikali za Mitaa una kasoro nyingi

    CHADEMA kimesema kuwa hakiridhishwi na mchakato unaondelea wa uandikishaji wa wapiga kura kwani kuna kasoro ambazi zimejitokeza. Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amebainisha changamoto hizo ambazo ni 1. Uandikishaji wa watoto ambao hawajafikisha miaka...
  15. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA yajipanga kuzuia watoto kupiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, wabaini madudu haya

    Katika maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, chama cha CHADEMA kimebaini udanganyifu katika mchakato wa uandikishaji wa wapiga kura. Mawakala wa chama hicho wamegundua kuwa kuna wanafunzi ambao wamejiandikisha ili kupiga kura, ingawa hawajafikisha umri wa miaka 18. Wanafunzi hawa...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mkurugenzi Jiji la Arusha: CHADEMA wasilalamike mitandaoni uandikisha daftari la mpiga kura, walete malalamiko ofisi kwangu

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, John Kayombo, ameibuka na majibu makali kufuatia madai yaliyotolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, kuhusu kasoro katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura kwenye daftari la mkazi linaloendelea nchini. Akizungumza na...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA Dodoma mjini wadai kunasa majina feki ya wapiga kura

    Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Dodoma Mjini umelalamikia kuwepo kwa vitendo vya hujuma katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwenye Daftari la Mkaazi. Akizungumza leo, Oktoba 14, 2024, katika ofisi za CHADEMA Kanda...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Makao Makuu ya CHADEMA, Mikocheni Dar es salaam

    Hongera Chadema kwa kufikia hatua hiyo wengine walijengewa na serikali.
  19. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Shekhe Bashiri Abdala wa CHADEMA akosoa zoezi la uapishaji Mawakala Tarime

    Kuna figusi zinaendelea kila mahali tunapoelekea uchaguzi serikali za mitaa. Msikilize Shekhe Bashiri Abdalla Mwenyekiti wa Chadema Tarime mjini akielezea kinachoendelea. PIA SOMA - LGE2024 - Wananchi wahimizwa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Tarime mji
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wana CHADEMA waliolazimishwa kujiunga CCM Wana mpango wakurejea Chadema hivi karibuni CCM chukueni taadhari

    Kuna majadiliano na mawasiliano yanafanyika kuhusu utaratibu mzuri wa waliokuwa wanasiasa ndani ya chama cha CHADEMA wakalazimishwa na JPM wahamie CCM wanajipanga kurejea CHADEMA. Mkakati huu unaratibiwa vyema na viongozi wa juu wa Chadema ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi mkuu 2025. Wakati huo...
Back
Top Bottom