Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Nadhani chama kimekata tamaa, kimegawanyika. Nadhani sasa vyama vingine vizibe ombwe hili. Wenzetu wakija kuchochea vurugu, uharibifu wa amani, wana pa kukimbilia, kwa wajomba zao Canada na Ulaya, sisi kwetu ni hapahapa, tupatunze
Tunatambua mchango wenu katika kuikosoa serikal katika vyama vya upinzan vilivyo kaza bas ni chadema vyama vongine ni wakat wa uchaguz kisha hupotea
Uchaguz ni hesabu na mipango mipango huanza mapema wenzenu ccm wako busy na michakato ya kuwaandaa watu kisaikolojia juu ya wagombea wanaitisha...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Boniface Jacob aka Boni Yai amesema kuliko ilivyozoeleka mgombea Wao wa Urais wa JMT 2025 atawashangaza wengi
Huenda ikawa ni Surprise kubwa, amesema Kiongozi huyo wa Chadema
Taarifa hii itawachanganya Makamanda wengi wanaoamini Mgombea Urais atakuwa Tundu...
Kifo cha Mlevi wa Misenyi na Aibu Kwa “Mashine ya Propaganda” ya Chadema
Wachambuzi wengi wa mambo wameonya mara kadhaa kuwa masuala mengi hapa nchini yanayodaiwa kuwa na changamoto ama yanakuzwa au ni sehemu ya uzushi wa “mashine ya propaganda” ya vyama vya upinzani hasa Chadema.
Leo utata...
Hiki ni kipindi muhimu sana katika chama chochote cha upinzani hasa tunapoelekea uchaguzi Mkuu wa 2024.
Lazima chama kionekane kipo active katika kipindi hiki muhimu kwa kwa kuhakikisha taarifa zake za mabadiliko ya kisiasa yapo muda wote kwa wananchi.
Ndani ya tovuti kunakuwa na mawasiliano...
Sasa ni rasmi, Dk Slaa bado ni kada wa CHADEMA, kadi yake iko hai na kailipia kwa miaka 20.
Dk akitia jina, Lissu atakumbana na upinzani mkubwa kupata tiketi ya chadema kugombea urais mwaka 2025
Soma Pia: Tundu Lissu arejea nchini, asema atagombea urais 2025 kuitikia wito wa Watanzania
Ofisi ya msimamizi wa Uchaguzi kata ya Sogea Mjini Tunduma imefungwa kwa muda usiojulikana katika kipindi hiki cha Uchukuaji na urejeshaji wa Fomu za wagombea huku chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)kikilalamikia kunyimwa nakala ya Fomu walizorejesha kwaajili ya uteuzi wa wagombea...
Wana jamvi, kazi yangu ni kuzunguka tuu na kuwaletea yanayojiri, jioni hii nikiendelea na harakati zangu za utafutaji, nimekutana na wazee wa CHADEMA eneo la Ndala lililopo Wilayani Uyui Tabora.
Wazee wa CHADEMA wanadai kwamba wameenda kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali...
Wasalaam,
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mtaa mwezi ujao naona CHADEMA mmeamua kulamba matapishi yenu kwa kushiriki uchaguzi ambao kwa vyovyote vile hamuwezi kuashinda kwani kwa 90% wazimamizi wote wa uchaguzi ni makada wa CCM.
Inashangaza kwenda kwenye uchaguzi kisha mkishashindwa mtaita...
Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu amesema amepita kwenye ofisi kadhaa huko Newala na kukuta ofisi zimefungwa. Akitolea mfano Kijiji cha Mnyambe, Kata ya Mnyambe ambapo mpaka saa saba mchana, msimamizi wa uchaguzi alikuwa amefunga ofisi na kukimbia. Ameongeza kuwa mgombea kupitia CHADEMA...
Zoezi la kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti na Wajumbe wa serikali ya mtaa kwenye Mtaa wa Mailimoja B halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani limelazimika kusimama kwa zaidi ya masaa matatu baada ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) kufika kwenye ofisi hiyo...
Binafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika.
Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika
Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta,
Shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka kutoka 2200 mwaka 2021 mpaka 2700 mwaka 2024.
Kawawekea matozo ya kila...
Kwanza kabisa ni kuwag'oa viongozi wenye vinasaba na CCM kama Mbowe na Mnyika.
Pili ni kuleta mabadiliko makubwa kwa kuwapa elimu Wananchi kuwa CCM sio ile ya enzi za Mwalimu bali sasa ni ya wapigaji.
Haya ndio mapinduzi ya kweli kama ya yale ya Cuba yaliowaondoa wanyonyaji.
Pia soma...
Wana Jamvi kuna mengine sio ya kuacha kabisa maana Wakati uchaguzi serikali za mitaaa ukitarajiwa kufanyika Novemba 27 Mwaka huu, leo wakati nimekaa kwenye kijiwe cha kahawa Ipuli hapa, nimepata taarifa kwamba Baadhi ya Waliokuwa wanataka kugombea nafadi za uenyekiti serikali za mitaa wamekacha...
1. Kupoteza Ushawishi kwa Umma: Chadema kimekosa mvuto kutokana na kukimbiwa na wanasiasa wenye uwezo wa kushawishi, wanasheria mahiri, na wanataaluma wakubwa. Wakati zamani walijenga hoja na ajenda zenye nguvu, sasa wamesalia bila nguvu ya kushawishi umma.
2. Migogoro ya Viongozi wa Juu...
Kama ulidhani Uchaguzi huu ni lelemama, na labda ulitarajia Wagombea wako watapita bila kupingwa kwa vile kuna kitisho cha kutekwa na kuuawa, basi anza kutafakari Upya
Hawa hapa ni Wananchi wa Kata ya Ndato wakiwasindikiza Wagombea wa Chadema kuchukua fomu.
Soma Pia: CHADEMA waanza kuchukua...
Watu wanaodaiwa kuwa ni Askari wa Jeshi Polisi mkoa wa Dodoma wamefanya upekuzi katika nyumba ya mwanachama na kigogo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Honesty Msacky nyumbani kwake Nzuguni B kwa madai ya kuwa anamiliki silaha kinyume na taratibu za nchi.
Akizungumza baada ya upekuzi...
Mbunge mstaafu wa Iringa mjini mchungaji Msigwa amesema Kimsingi yeye " HAJAIKIMBIA" Chadema ila Chadema ndio imemkimbia yeye
Soma Pia: Mchungaji Peter Msigwa Awatupia CHADEMA Vijembe vya Moto
Mchungaji Msigwa ametoa Siri hii ya moyoni kwake kwenye Mahojiano na Carol Ndosi kwenye podcast ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.