chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haitaki wasomi?

    Tangua ujio wa Chadema zaidi ya miaka thelathini iliyopita, ni haswa chini ya uongoze wa Mzee Mbowe kumekuepo na snitofahamu kati ya viongozi wanohoji na ambao ni wasomi dhidi ya viongozi ambao hawako kwenye hilo kundi. Tumeshuhudia wasomi nguli wakiondoka chadema kwa sababu za ajabu kabisa...
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Agenda ya CCM ni kuikuza ACT- Wazalendo na kuidogosha CHADEMA

    Imeshangaza nilivosikia katibu wa CCM Nchimbi akisema Chama chenye wagombea wengi cha upinzani ni ACT kwamba kina wagombea Zaid ya 3000 Me nimetoka Ngara hadi Dar sijaona mtaa wala Kijiji chenye mgombea wa ACT ACT ni CCM B ACT akishinda ni CCM imeshinda Na Sasa ACT watapewa mitaa kadhaa ili...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Kati ya mkutano wa Lissu, Lema na Kigaila upi ndiyo msimamo wa CHADEMA?

    Au tusubiri na press conference ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa ili kuthibitisha kwamba CHADEMA imegawanyika vipande au makundi matatu yanayojitegemea? Nakumbuka niliwahi kukomenti mahali kwenye platform hii kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA taifa akifanya press conference mathalani leo, haziwezi...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Arusha: Vurugu zaibuka, wafuasi CHADEMA wataka kunyukana

    Wakuu, Hawa ndio wahuni waliotajwa kupachikwa CHADEMA kufanya hujuma Uchaguzi Serikali za Mitaa! Kaka anapayuka kwelikweli kumbe sio siyo mgombea aloyekutana na kashkash za kukatwa majina🤣🤣😂😂 sasa analalamika kuonewa wapi? :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: Angalia video hapo ucheke na wewe.
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Benson Kigaila: Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi anafanya kazi ya CCM

    "Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi, awe Mwanachadema, awe MwanaCCM, awe hana Chama ana shida kati ya hizi mbili mosi; hakuwepo wakati wote wa zoezi hili hivyo hajui anachokizungumza au pili; anafanya kazi ya CCM kwa makusudi kabisa." Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Bara. Kupata...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kada wa CHADEMA amlipua Makalla wa CCM mbele ya wanahabari. Amwambia aache kiherehere, asema CCM haijajiandaa na Uchaguzi!

    Wakuu, Inaonekana kauli za Amos Makalla za hivi karibuni zimewakera sana viongozi wa CHADEMA ambao hivi karibuni wamejitokeza rasmi kumjibu. Akiwa anazungumza kwenye mikutano tofauti tofauti, Makalla amekuwa akisema kuwa CHADEMA wamekuwa wakilalamika sana kuonewa kwa sababu hawajiandaa na...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Katavi: Asilimia 100 ya Wagombea wa CHADEMA Kata ya Itenka wamewekewa pingamizi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi, Masanja Musa Katambi akizunguza na Waandishi wa Habari, leo Novemba 12, 2024. Amezungumzia Kata ya Itenka iliyopo Halmashauri ya Nsimbo Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi. PIA SOMA - LGE2024 - Dodoma: CHADEMA wadai kuna figisu majina ya wagombea...
  8. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA wanazungumza na Waandishi wa Habari kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    13 November 2024 Arusha, Tanzania CHADEMA WANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MUDA HUU, tathimini kuelekea uchaguzi 2024 https://m.youtube.com/watch?v=GStMiPMklKs Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Mhe. Amani Golugwa Leo tarehe 13 November 2024, akiwa na Godbless Lema ambaye ni mwenyekiti...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu awataja wanaostahili kuongoza CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Bara, Tundu Lissu, ameweka wazi aina ya watu wanaostahili kuwa viongozi ndani ya chama chao. Akizungumza leo Novemba 13, 2024 mkoani Singida wakati akifungua mkutano wa viongozi wa chama wa mkoa huo katika ngazi mbalimbali, Lissu amesema "Naomba mfikirie...
  10. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Kwa tukio la kujaribu kumteka Deo Tarimo tutaendelea kuwalaumu CHADEMA bure

    Miaka ya karibuni CHADEMA kimekuwa kikiitisha maandamano na muitikio wake umekua ni almost zero Wameibuka watu wengi wakilaumu chadema kwamba wanashindwa kuwashawishi watanzania bali ukweli umeonekana jana mubashara Imagine mtu anatekwa mchana wa saa 8 watu wako pembeni wanashangaa tu alafu...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Hujuma Uchaguzi: Mwakajoka atuhumu kuenguliwa kwa Wagombea wa CHADEMA Mikoani

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa Frank George Mwakajoka, amesema wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wamekiuka kanuni za uchaguzi kwa kuwaondoa wagombea wa chama hicho bila sababu za msingi. Mwakajoka amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa...
  12. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Naishauri CHADEMA ianzishe chombo kinachoitwa "Mabaraza ya Wazee" kwa kila ngazi nchini

    Mimi ni mfuatiliaji mkubwa wa masuala ya kisiasa hapa nchini. Nimeona zoezi la maandalizi ya uchaguzi wa viongozi Serikali za mitaa lilivyoanza na linavyoendelea. Pia nimesikiliza matamko ya viongozi wa CHADEMA kuhusu mwenendo wa zoezi hilo. Niwe muwazi, kuna mambo baadhi hayajajulikana na...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Msimamizi wa Uchaguzi akanusha wagombea CHADEMA kuwa na ulemavu

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Hai na Msimamizi wa Uchaguzi, Dionis Myinga amekanusha malalamiko yaliyotolewa na baadhi ya wanaotajwa kuwa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti kwa baadhi ya vijiji katika wilaya hiyo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa wameenguliwa baada...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Hai: Wagombea CHADEMA wadai kujaziwa fomu kuwa walemavu

    Wakuu, Huu uchaguzi kiboko! ==== Baadhi ya wagombea wa nafasi ya mwenyekiti katika vijiji vya Uswaa, Mamba na Kiselu katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wamelalamika kuenguliwa majina yao huku baadhi yao wakidai fomu zao zimeongezewa maneno na alama, wengine fomu zikionesha kuwa...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Arumeru: Wagombea CHADEMA Mbuguni waenguliwa, huenda wakasusa!

    Wakuu, Eh kususa tena! Ujumbe wa Lissu kuhusu kujipanga upya utakuwa haujawafikia? Bado tu hawaelewi wakisusa wenzao wala? ===== Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kata ya mbuguni wilayani Arumeru kupitia mwenyekiti wake, kimelia na kuenguliwa kwa wagombea wao. PIA SOMA - LGE2024 -...
  16. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu nenda taratibu, tumia hekima na busara kumaliza tofauti zako na Freeman Mbowe. Vinginevyo mnaiua CHADEMA

    Mimi The Palm Beach si mwanachama wa CHADEMA ila ni mpenzi na mfuasi wake na nakiunga mkono kwelikweli chama hiki... Ni wazi kuwa Kuna mgogoro mkubwa kati ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake Tundu Lissu ndani ya CHADEMA Nitasikitika na kuumia sana kama chama hiki cha siasa...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Kumbe Viongozi wa CHADEMA mpo after vyeo vyenu na siyo hali bora ya Wananchi?

    Moja ya kauli za Lisu kwenye press yake ya leo, amesema hivi: (sitanukuu neno kwa neno, nitanukuu muktadha tu) "Hapa katikati tuliletewa lugha laini tukaingia kwenye maridhiano. Tukadanganywa danganywa kuwa wewe sijui utakuwa nani nani. Wengine waziri mkuu n.k". Kwahiyo safu ya uongozi ya...
  18. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Lissu alizungumza RUSHWA ndani ya CHADEMA, wapo kimya, sidhani kama bado Lissu ana nguvu ndani ya chama

    Dkt. Wilbroad Slaa, Mwanachama na kiongozi mstaafu wa CHADEMA amedai kuna hali ya sintofahamu ndani ya chama chake cha zamani. Ameamua kusema kuwa CHADEMA inatamka mambo makubwa, lakini vitendo vyao vinaonyesha picha tofauti kabisa. Ameeleza wazi jinsi anavyokerwa na ukimya wa CHADEMA juu ya...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania LGE2024 RC Singida aagiza wafuasi 13 wa CHADEMA akiwemo Diwani wakamatwe

    Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego amevitaka vyombo vya ulinzi mkoani humo kuwasaka wafuasi 13 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo Diwani wa Kata ya Ntuntu, Omary Nkonki kwa tuhuma za kumshambulia Mtendaji wa Kata ya Ntewa A, Ramadhani Nyengo. Akizungumza na waandishi wa...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lissu: CHADEMA tunahitaji kurudi nyuma na kujipanga upya, kwenda mbele kwenye mazingira haya ni kujihahakishia anguko

    Wakuu, Wakati akijibu swali la mwandishi kwenye mkutano wake na waandishi Singida; (Uchaguzi umekwisha wanatakiwa wajipange upya, je, wanaimba mwimbo mmoja) Tundu Lissu amesema; ====== "Mimi napenda kuamini tunaimba wimbo mmoja, kama hatuimbi wimbo mmoja basi tutakuwa na hali mbaya sana...
Back
Top Bottom