chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tumechoka kusikia kelele za CHADEMA

    CHADEMA hebu jitathminini. Kama mmeshindwa kulinda haki yenu, kaeni kimya, acha CCM wasonge mbele. Kila kona ni malalamiko ya kuenguliwa kwa Wagombea wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Unakuta wana CHADEMA mtaa mzima wamekusanyika wanalia kama watoto wadogo eti wameenguliwa kwenye kinyang'anyiro...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Singida: Tundu Lissu aongea na Waandishi wa Habari wa Ndani na wa Kimataifa

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ataongea na Waandishi wa Habari huko Singida, Mkutano uliopangwa kufanyika kwenye Ukumbi wa Kanisa Katoliki. Inatarajiwa Mtikisiko Mkubwa sana kutokea Nchini Tanzania. Taarifa ya Chama chake iliyosambazwa kote Duniani Hii hapa
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Geita Mjini: CHADEMA walalamikia kuenguliwa kwa wagombea Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Mambo ni moto kila sehemu, ni mwendo wa kuengua tu na kubakisha wa kupita bila kutoa jasho. ===== Viongozi na Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la Geita Mjini mkoani Geita, wamelalamikia kuenguliwa kwa majina ya wagombea wao wa nafasi za Uenyekiti...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Nachingwea: Asilimia 99 ya wagombea waliowekwa na CHADEMA waenguliwa kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa

    Wakuu, Uchafuzi wa Serikali Za Mitaa bado unaendelea. Hivi karibuni Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Wilaya ya Nachingwea kimeeleza kusikitishwa na hatua ya kuenguliwa kwa wagombea wake kuelekea uchaguzi mdogo wa serikali za mitaa, licha ya wagombea hao kuwa na sifa stahiki...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania CHADEMA walipaswa kususia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuanzia hatua ya mwanzo kabisa

    Vijana na wazee wa CCM hawana aibu, hawajawahi kuwa na aibu na hawatakuwa na aibu. Msipoangalia wagombea wa CHADEMA ambao hawajaenguliwa baadhi watauliwa na wengine kupewa ulemavu wa kudumu. Hebu muiache CCM itawale wa uhuru. Pelekeni maombi kwa msajili wa vyama vya siasa akifute CHADEMA labda...
  6. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mpasuko Chadema wiki mbili kabla ya Uchaguzi

    Yapo madai kwamba mikutano mwingine ya Chadema inaruhusiwa na Polisi lakini baadaye Polisi wanaizuia kutokana na shinikizo kutoka ndani ya Chadema. Sasa tunakwenda kwenye huu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa: matumaini yangu ni kwamba itakuwa Uchaguzi wa amani. Huu ni Uchaguzi ambao utaonyesha...
  7. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Chadema wasema Mgombea wao ateuliwa kugombea CCM

    Wana Jamvi salama. Hebu sikieni hii hapa Kigoma Kusini Chama Cha Demokrasia na Maendeleo walimdhamini mgombea kwa tiketi ya Chadema lakini baada ya Uchambuzi wa Majina, jamaa kajikuta ameteuliwa kugombea kupitia CCM Jamaa wa Chadema walivyomuona wakaweka pingamizi wasimamizi wasaidizi wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA mnaenguliwa kwa sababu mnapenda kuenguliwa

    Kumekuwa na kelele za CHADEMA karibu Nchi nzima wakilalamika kwamba wameenguliwa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu 2024. Mimi naomba kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, kama ni kulalamika mmeshalalamika sana na kama ni kulia mmelia sana. Kungekuwa na mtu wa kuwasikiliza...
  9. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA: Wagombea wa Vijiji 24, Vitongoji 118 na Wajumbe wa Halmashauri za vijiji 242 wameenguliwa Kilosa

    Waswahili wanasema ukiwa Muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu, Jana mkurugenzi wa halmashaurimya wilaya ya KILOSA Ndugu MICHAEL GWIMILE alisema hawajawaengua kabisa wagombea wa CHADEMA na kwamba kila kitu kinakwenda sawa na kufuata kanuni, sheria na taratibu za kiuchaguzi, sasa hizi ni namba za...
  10. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mkurugenzi wa Wilaya ya Serengeti, Dkt. Maulid Madeni: Wagombea wa CHADEMA walioenguliwa hawakujiandikisha kupiga kura

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na mambo ya nje hapo jana, kudai kuwa baadhi ya wagombea wa Chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wameenguliwa bila sababu za Msingi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi huo. Moja ya eneo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Kama Sikio la Kufa

    CHADEMA ni Kama Sikio la Kufa Msemo maarufu wa wahenga usemao Mfamaji haachi kutapatapa, unaakisi hali halisi ya Chama Cha Maendeleo na Demokrasia kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na hata uchaguzi mkuu wa 2025. Ninashangaa kauli za viongozi wa CHADEMA kulalamikia kuenguliwa kwa wagombea...
  12. USSR

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kazi za serikali za mitaa ni kazi za kujitolea chadema waambiwe ukweli kiwa kama huna kazi huwezi pata

    Unaambiwa kigezo kikuu cha kazi za serkali za mitaa ni kujitolea kama huna kazi isiombe utakuwa huna vigezo wao ndio wakiomba walikataliwa ukosa vigezo wanaanza kulia lia tu. Chama kisichofuata hata ishu ndogo kama hizi kitaweza kweli kusimamia mambo ya maana ya siri na nyeti kitaifa na...
  13. Hamduni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Chadema hamkujiandaa na uchaguzi, acheni kulalamika!

    Tangu mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, sijaona viongozi wa CHADEMA wakieleza mkakati wa kushiriki na kushinda uchaguzi huo. Badala yake, wamejikita kwenye malalamiko dhidi ya CCM na serikali. Hakuna hata mchakato wa wazi uliotumika kuwapata wagombea ndani ya chama. Walikaa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyanganyilo cha serikali za Mitaa

    CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyanganyilo cha serikali za Mitaa Na Amosi Kagilwa, Kanda ya Pwani. Vilio na kwiki vimetawala leo kila kona ya nchi kutoka kwa viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo( CHADEMA) na wagombea wao kwa Kuenguliwa katika...
  15. Mndeme jeremia

    JamiiForums Tanzania Chadema itikadi yenu ni nini??

    Kuelekea Uchaguzi mkuu wa Serekali za Mitaa ambao unatarajiwa kufanyika Tarehe 27 Novemba Mwaka huu. Baada ya tafakuri ya kina, Kuna swali moja kubwa nimejiuliza kuhusu CHADEMA(Chama cha Demokrasia na Maendeleo). 1. JE NINYI NI WAUMINI WA ITIKADI GANI? Pamoja na mafanikio makubwa kisiasa katikA...
  16. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Bado Chadema na vyama vya upinzani hamjachelewa tangazeni kujiondoa kushiriki uchaguzi wa Tamisemi. Hakuna uchaguzi hapo

    Kwanza Mimi siwezi kuuita uchaguzi wa serikali za mitaa kama hauna mandatory ya kisheria juu ya wasimamizi. Ni mpumbavu pekee atatetea Tamisemi kusimamia uchaguzi ingawa hakuna uwazi na mkuu wake akiwa mwanachama wa CCM. Waziri wa TAMISEMI ni mwanachama wa CCM na kwa Sheria za ushindani na uwazi...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Kuna kila sababu chadema kubadili mbinu za kukabiliana na ccm

    Chadema iingize wanachama wake ccm. Wanachama maarufu watangaze kuachana na chadema, kisha wapokelewe kwa shangwe na nderemo huko ccm. Wasiokuwa maarufu mamia kwa maelfu, wachukue kadi za ccm kimya kimya nchi nzima. Huko huko ndani ya ccm ndiko mabadiliko yatafutwe.
  18. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Uchaguzi Serikali za mitaa 2024 na mkuu 2025 , CHADEMA na upinzani kwa ujumla hatujajipanga

    .nimepita mitaa mingi wananchi wanawaongelea na kuwajua wagombea wa CCM tu .mitaa mingi haina ofisi za vyama vya upinzani . CHADEMA tunafocus mambo hasi kama wizi ,wagombea kutokuwepo-wagombea ambao hata wananchi hatuwajui kuelekea uchaguzi baada ya kujikita katika zoezi zima . .Kwa nchi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, acheni kulia lia. Chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma

    Kwa mara nyingine tena napenda kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, punguzeni kulia lia, chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma. Ebu jiulizeni, mmeanza kulia tangu lini? Baada ya kulia mmepata faida gani? Amini, Amini nawaambia, msipokubali kujitoa SADAKA kwa ajili ya kutafuta HAKI, mtalia...
  20. Cannabis

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Boniface Jacob awataka wanachama wa CHADEMA wasiwe na sifa za nzi wawe wakali kama nyuki, atangaza msako wa wale waliowaengua wagombea wao

    Boniface Jacob amewaasa wanachama wa CHADEMA kutokuwa na sifa kama za nzi ambao hata wakiwa wengi mtu akipiga tu mkono wanapoteana bali wawe kama nyuki ambao hata wakiwa watatu panakuwa hapakaliki.
Back
Top Bottom