chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Ni uamuzi upi tatizo CHADEMA wa MBOWE kuutaka uenyekiti tena, au ule wa LISU kuitosa nafasi ya umakamu mwenyekiti na kumendea uenyekiti taifa?

    Tatizo liko wapia haswa na lilianzia wapi pale chadema? au nani amemuona mwingine ni tatizo pale chadema kwenye harakati za mageuzi? na kwa mtazamo wako kama mdau wa siasa, kwa viongozi wa aina hii wasioweza kuwaunganisha wananchama wa chama chao kimoja, tena kidogo tu cha siasa, badala yake...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi ni mwanachama wa CHADEMA?

    Nimefatilia sana ktk uchaguzi huu wa chadema. Mtu ambaye anatumia nguvu kuhakikisha Lissu anakuwa mwenyekiti ni Maria Sarungi. Hutu ukipitia X zake anatupa mishale kila kona na kila anaeona Kikwazo cha Lissu. Anamuona Mbowe kama pandikizi ndani ya chadema na kama anamzibia LISSU. Swali . Jee...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kibatala kujitoa kusimamia kesi zihusuzo CHADEMA

    Wakili msomi maarufu Nchini Tanzania na ambaye mara zote hujizolea sifa kemkem kwa uhodari wake asimamiapo kesi za Wana-CHADEMA na hususani Viongozi wake inaelezwa ame-wataarifu watu wa karibu yake kukatishwa tamaa/kusononeshwa na atendewayo Lissu ikiwamo kutwezwa. "....Kibatala anafikiria...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanaharakati Odero Charles Odero ajitosa kuwania nafasi ya Uenyekiti CHADEMA Taifa

    Wakuu, Uchaguzi huko CHADEMA umeendelea kupamba moto, watu wameendelea kujitikeza kutia nia. Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Odero Charles Odero anatarajiwa kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ngazi ya Taifa kesho, Jumatatu, Desemba 23, 2024 katika...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe ametumia ujana wake wote kuitesekea CHADEMA kwa jasho na machozi

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Mwamba apewe Maua yake tu,apewe heshima yake tu.Atambulike na watu wote angali hai kuwa ndiye Mwamba aliyetumia ujana wake wote Kuitesekea na kuijenga CHADEMA kwa jasho na Machozi.Ametumia Muda wake wote kwa ajili ya chama. Inasikitisha sana unapoona Mwana CHADEMA...
  6. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea CHADEMA yanadhihirisha kwa nini wananchi walichagua kubaki na chama kimoja

    Watanzania waliwahi kuhojiwa rasmi juu ya mfumo wa vyama vingi au kimoja. Majibu yao yalikuwa wazi na ya moja kwa moja kwamba wangependa kubaki na mfumo wa chama kimoja. Mwalimu Nyerere aliona ni vyema kukataa maoni hayo kutokana na mashinikizo ya mabepari. Lakini uhalisia wa mambo unaendelea...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna juhudi kubwa za kuhakikisha kuwa Mbowe haendelei kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

    Hii ni ndefu kwa hiyo kwa wale ambao kusoma para zaidi ya moja ni mtihani wala wasianze kuisoma. Kuna wanachama na wafuasi wa CHADEMA pamoja na wapinzani wengine wa chama tawala ambao wanaamini kwa dhati kuwa ni wakati muafaka wa kubadilisha approach ya kuleta mabadiliko kwa sababu inayotumika...
  8. JamiiForums Tanzania Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote uone uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki

    Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote utambue uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki Amewaomba akina mama waliomlipia fomu wawaombee CHADEMA lakini pia waongeze maombi mengi kwaajili yake
  9. JamiiForums Tanzania Wazazi na ndugu zangu ni CCM, walikuwa wakinishangaa kwa nini siwaungi Mkono. Jana sabato wakaniuliza kichokozi vipi mwanamageuzi!

    Hahahaha! Nimeona niwasalimu kwa kicheko. Miaka kadhaa iliyopita, ndugu zangu ambao baadhi Yao ni wananafasi za uongozi huko CCM walikuwa wakichukizwa Sana na Tabia yangu ambayo kwao waliona haina Tija. Mara kwa mara walikuwa wakinishinikiza niwe upande wa CCM kama wao walivyo. Robert huko...
  10. JamiiForums Tanzania Kati ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe nani kaikigawa na kuikipasua CHADEMA zaidi?

    Licha ya kwamba ni uhuru na haki ya kila mwana CHADEMA kuwania nafasi ya uongozi kulingana na sifa, vigezo na masharti ya kikatiba yaliyopo ndani ya chama hicho. Je, ni nani hasa wa kulaumiwa kwa kukivuruga chama hiki cha siasa, ama kwa ubinafsi wake, uchu na tamaa zake za madaraka, kati ya...
  11. JamiiForums Tanzania Dr Aikande Kwayu wa CHADEMA: Kama mnaona CHADEMA chini ya Mbowe inasuasua nendeni vyama vingine. Kuna vyama vingine 19 nchini

    Wakuu, Wale wana CHADEMA ambao mnahisi Mbowe hatoshi kuongoza chama chenu mna salamu zenu huku kutoka kwa Dr Aikande ambaye ni mwanachama maarufu. Kwa logic hii maana yake pia CHADEMA mtafute nchi nyingine ya kuishi muache kuilalamikia CCM kwani kuna nyingine 194 duniani...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Toka CHADEMA kuanzishwa hakuna katibu mkuu aliyemfikia Slaa

    Tangu mwaka 1992 hadi sasa katika makatibu wote wa CHADEMA ni Dokta Slaa pekee alikuwa na msimamo na speech zenye msisimko. Mashinji na Mnyika ndiyo wauza sura zaidi hawana ishu.
  13. JamiiForums Tanzania Tujadili Demokrasia ndani ya CHADEMA. Je inashawishi ama kukatisha tamaa?

    Matukio, mwenendo na mitazamo ya wengi kwa sasa yamejikita kwenye mchakato wa kupata Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA. Tunachokiona kwa sasa nimnyukano mkali ambao ulianza kama tetesi na hususan michakato mirefu ya chaguzi kuanzia ngazi za chini hadi sasa kwenye nafasi ya juu ya uongozi wa chama...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe arudisha fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Wakuu, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akirejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa chama hicho kwa mara nyingine tena. Soma pia: Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?
  15. JamiiForums Tanzania Rasmi BAWACHA wamemlipia Mbowe Milioni 1.5 fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Wakuu, Inaonekana BAWACHA wametimiza rasmi ahadi yao ya kumlipia Mbowe fomu ya Uenyekiti Soma pia: BAWACHA Pwani kutoa Tsh. Milioni 1.5 kumchangia fomu ya uenyekiti Mbowe Kundi la wanawake wanaomuunga Mkono Freeman Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa Chadema kwa kipindi kingine cha miaka...
  16. JamiiForums Tanzania Ni chama kipi kwa sasa kati ya hivi itakuwa sehemu sahihi kwa Tundu Lissu na wapenda mabadiliko?

    Ni ukweli uliwazi kwamba Mbowe akishinda katika nafasi ya uenyekiti, CHADEMA haitakuwa na nguvu tena ya kupambania dola . Hii ni kutokana na idadi kubwa ya wafuasi kuhitaji mabadiliko ambayo yanaonekana ni vigumu kuyapata CDM kwa sasa . Hivyo kuna weza kuwa na haja ya kukipa chama kingine...
  17. JamiiForums Tanzania Mpasuko mkubwa kuukumba chadema....wah kadhaa kujitoa chadema ...

    Hulu zoezi la mjumbee WA kamati kuu kujitoa rasmi Moto umeanza kuwaka huko Kwa ndugu ZETU Na habari za chinichini. KUNA kundi KUBWA la watu wakiwemo wenyeviti kadhaa wakanda na derkl za mitaa waliochaguliwa majuzi kujitoa Hali kadhalika BAADA ya uchaguzi WA mwenyekiti KUNA vitukoo vingi...
  18. JamiiForums Tanzania Hadi sasa kwa maoni mitandaoni, Karibu 90% wanamtaka LISSU ambebe sura ya chadema mpya.

    Wafia Chadema mitandaoni karibu wote wako upande wa LISSU. Watu wanaoikosoa Serikali bila kuwa na mlengo wa chama wako na Lissu. Inaonekana picha ya Upinzani mitandaoni ni chama kisicho na ukaribu kabisa na watawala. Yaani ule wa kupinga na kuponda. Chochote nje ya hapo unahesabika ni CCM au...
  19. JamiiForums Tanzania Awamu hii ni ama ivuke Chadema sanaa au ivuke Chadema wazalendo. Haiwezi kuvuka imechangamana

    Na huo ndiyo ukweli. Chadema ya sasa imechanganya Chadema sanaa na Chadema wazalendo. Hizi Chadema zilikuwa pamoja. Mbowe ambaye ni kiongozi wa Chadema sanaa ametengana na Lissu ambaye ni kiongozi wa Chadema wazalendo. Hawa watu walikuwa pamoja na sisi wafuasi wa kila mmoja tulikuwa pamoja...
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hana mpango mkakati wa Kupambana na Rushwa

    Kwa jinsi alivyo hawezi kukataa kupokea rushwa, wala hawezi kupambana na rushwa kwa namna yoyote ile. Kwanza ni mbinafsi na amezongwa na shida za kifamilia sana. Na, ni mtu wa tamaa na uchu kupindukia, hususani kwenye suala la fedha, vyeo na madaraka. Ukimfuatilia kwa makini katika mazungumzo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…