chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kushika Dola ni ndoto za mchana

    Hiki Chama wamelenga kushika dola? Lini? Kwa mikakati ipi?
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wakati naleta Uzi kuwaomba viongozi wa juu CHADEMA kususia uchaguzi na siasa nilisema kuwa viongozi wa chini hawana ulinzi kama nyie

    Viongozi wa juu CHADEMA wana ulinzi wa aina 3. 1. Ulinzi kwasababu jumuia za kimataifa wanawafahamu. Si rahisi kumuua kiongozi wa mkuu wa chama cha upinzani kwakuwa wauaji nao wanahitaji misaada kutoka kwa watu ambao wameruhusu upinzani. Kiongozi wa upinzani ngazi za chini hata akiuwawa jumuia...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu adai kada wa Chadema aliyeuawa Manyoni ni ndugu wa Mwanajeshi. Maelezo ya Polisi kwamba alifanya fujo sio ya kweli

    ..Msikilize Tundu Lissu akieleza kilichotokea mpaka kada wa Chadema akapigwa risasi. ..kuna ushahidi usio na shaka kwamba kada wa Chadema ameuwawa na mawakala / agents wa CCM. ..maelezo ya Polisi mkoa wa Singida yanatofautiana na maelezo ya Mkuu wa Wilaya ya Manyoni...
  4. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, ni wakati wako sasa wa kuachia ngazi kwa heshima, siasa za kuonewa huruma hazitoifikisha mbele CHADEMA

    MBOWE SASA NI WAKATI WA KUPUMZIKA KWA HESHIMA CHAMA MUACHIE TUNDU LISSU. Ikiwa Chadema itaendelea kuwa chini ya uongozi wa Mbowe basi wana miaka michache sana kwenye siasa za Nchi hii kama chama kilichodhaniwa mbadala wa CCM. Siasa za Mbowe za kuonewa huruma kila mara Wananchi tumezichoka na...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufanikiwa kuharibu uchaguzi sasa wanataka kuifarakanisha CHADEMA

    Nguvu waliyo nayo CHADEMA imewatisha sana Ari waliyo nayo CHADEMA imewaogopesha sana Uchaguzi wa kwanza serikali za mitaa uliosababisha mauaji ya wapinzani wengi kwa wakati mmoja kuna kivuli kinawatisha sana na ndicho kinachowafanya watende mambo ya kikatili sana Uchaguzi mkuu ni miezi 12 ijayo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri:CHADEMA na wanaharakati mbalimbali, wakati umefika Mdude apewe tuzo ya ushujaa katika siasa za mapambano na harakati za kupigania haki za watu

    Wadau, kwa sasa, huyu bwana bila shaka ndio anaeongoza kwa kupata misukosuko kutoka na harakati za kisiasa pampja na kupinga uovu wanaofanyiwa watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wasio wanasiasa. Kwa ujasiri aliona na utayari mkubwa alinao wa kubeba gharama ya hii kazi hata ikibidi kwa...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tunduma: Mgombea wa CHADEMA aliyeuawa baada ya kuvamiwa nyumbani kwake Azikwa

    Hotuba ya Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Tunduma, Boniface Mwakabanje, Aliyoitoa kwenye Maziko ya Mgombea wa Uenyekiti wa chama chake yaweza kuwa ndio hotuba bora ya Mazishi yatokanayo na Mauaji ya kisiasa Nchini Tanzania. Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho ya Marehemu huyu, Amina Bali...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Geita: CHADEMA wapinga jinsi mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliendeshwa. Wasema kulikuwa na ubaguzi!

    Wakuu, Wadau mbalimbali wameeeendelea kutoa maoni Yao baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kumalizika Huko mkoani Geita katika Wilaya ya Nyang'hwale wanachama wa CHADEMA wamejitokeza na kuzungumzia namna ambavyo hawajaridhishwa na mchakato wa Uchaguzi. Wanachama hao walidai kumekuwa na...
  9. L

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lissu Alitaka CHADEMA Ishinde uchaguzi Kupitia Kura ya Nani Wakati yeye Mwenyewe Hakupiga Kura?

    Ndugu zangu Watanzania, Unajua kuna watu na wanasiasa hapa Nchini wanaweza kufikiri watu wote ni wajinga kama wao au watu hawana akili au watu hawajitambui au watu ni Manyumbu au kufikiria labda watanzania ni vichaa na mambumbumbu. Hivi inaingia vipi akilini kwa mtu mwenye akili Timamu na...
  10. Inside10

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tabora: Kada wa CCM ajiua baada ya Kada wa CHADEMA kushinda Uenyekiti wa Kitongoji

    Kada wa Chama cha Mapinduzi aliyefahamika kwa jina la Justine Kiatu, anadaiwa kujiua baada ya mgombea wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Rajabu Lupanda kutangazwa mshindi wa nafasi ya uwenyekiti wa Kitongoji cha Ikomwa Mlimani mkoani Tabora, akimshinda Edward Petro wa Chama Cha...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali aendelea kusota Rumande, Kesi yake dhidi ya RPC wa Songwe kusomwa Jumatatu

    Leo, ilikuwa siku ya kusomwa uamuzi wa kesi ya Habeas Corpus inayomhusu Mdude Mpaluka Nyagali dhidi ya RCO Songwe na wenzake wawili. Hata hivyo, kutokana na kuingiliana kwa usikilizwaji wa kesi nyingine ya mauaji, maandalizi ya hukumu ya shauri hili hayajakamilika. Soma zaidi: Mdude amburuza...
  12. econonist

    JamiiForums Tanzania Viongozi CHADEMA kubalini ushauri

    Pamoja na uchafuzi uliofanyika, ningependa kuwasii Viongozi wa CHADEMA wawe wasikivu na kusikiliza ushaurii. Mwanzoni nilishauri tusishiriki kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa baada ya mahakama kubariki TAMISEMI kusimamia uchaguzi huo. Kila Mtendaji kapewa maelekezo ya kufanya Sasa...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Polisi: Aliyekuwa mgombea wa CHADEMA hakutekwa, alijificha ili asigombee nafasi ya Uenyekiti wa Mtaa

    Wakuu, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia na kumhoji aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Uenyekiti katika mtaa wa Buswelu A kupitia CHADEMA, Pastory Apolinary Sililo anayedaiwa kuwa alitekwa na watu wasiojulikana. Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amesema mnano...
  14. Bams

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA Ivishirikishe Vyama Vingine Katika Kutoa Msimamo wa Pamoja Kuhusiana na Uharibifu wa Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakati wa mapambano ya kutafuta haki, unatakiwa kutafuta umoja wenye nguvu na kila mwenye dhamira njema bila ya kujali ukubwa au udogo wake. Pamoja na maneno mengi hasi na chanya, binafsi naamini vyama kama ACT Wazalendo na CUF, vina watu makini, wenye ushawishi, utashi na dhamira njema, na...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mabomu ya machozi yarindima Mbezi Luis baada ya CHADEMA kuchachamaa kuwa wameibiwa Uchaguzi

    Wakuu, Huko Mbezi Luis Jeshi La Polisi limetumia mabomu ya machozi kutawanyisha wana CHADEMA waliokuwa wanadai kuwa Mtendaji amemtangaza mgombea wa CCM kama mshindi badala ya mgombea wa CHADEMA ambaye ndiyo alikuwa ameshinda
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Amos Makalla: Kuna mgogoro mkubwa unakuja ndani ya CHADEMA

    Amos Makalla amewataka CHADEMA wamalize migogoro ndani ya chama chao na wasiwahadae Watanzania kwa kuwasingizia TAMISEMI, na kuwalaumu Chama cha Mapinduzi (CCM) bali wajilaumu wao wenyewe, wasifiche mgogoro na mpasuko mkubwa uliowafanya wakose maandalizi yakutosha. Aidha, ameongeza kuwa...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Ukosoaji kwa Serikali kunaiua CHADEMA

    Mchungaji Peter Msigwa aliyekihama Chama Cha Chadema hivi karibuni na kuhamia Chama Cha Mapinduzi CCM, wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa, akiwa mstari wa mbele kuipigia chapuo CCM huko mkoani Iringa, asubuhi hii amekuja na hoja binafsi wakati huu ambapo Kamati kuu ya Chadema inaketi...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Nategemea tamko 'LAINI' kutoka Kamati Kuu ya CHADEMA

    - Yaliyopita yamepita tumwachie Mungu. - Uchaguzi umekwisha tujipange kwa uchaguzi ujao. - Wanachama wa Chadema tunawaomba mshirikiane na viongozi waliochaguliwa. Asanteni kwa kunisikiliza. Expect same shit from the same goons. Rest In Peace Comred Maalim Seif, if you were you today...
  19. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA fanyeni haya kumng'oa huyu mkoloni mweusi

    Nikiwa kama mpenda demokrasia ya kweli na mtu niliyefadhaishwa na namna chaguzi zetu zinavyoendeshwa. Ningependa kuchangia yafuatayo kwa chama cha CHADEMA, chama hiki angalau kinabeba matumaini kwa wapenda demokrasia ya kweli 1. Chama kianzishe RUNINGA na RADIO yake, ndani or hata nje ya...
  20. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msipokee rambirambi wala salamu za pole kutoka kwa wale wanaowaua kwasababu za kisasa

    Kwa mujibu wa post ys Tundu Lissu kwenye mtandao wa X, aliekuwa mgombea wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa huko Manyoni mkoani Singida, bwana George Juma Mohamed aliepigwa risasi na kufarika, anatarajiwa kuzikwa leo. Witio: Tusiruhusu watesi wetu wafike msibani kwa lolote na wala...
Back
Top Bottom