chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kada wa CHADEMA - Tunduma adaiwa kushambuliwa na kuuawa na Green Guard

    Taarifa iliyotolewa na Mwanachana wa CHADEMA, Hilda Newton imeeleza kuwa kada wa chama hicho katika mji wa Tunduma, Steve Chalamila amevamiwa nyumbani kwake na kuuawa na wanaodaiwa kuwa Green Guard. Amendika kupitia mtandao wa X "tumepata msiba mkubwa Kamanda wetu Stivu Chalamila ameuwawa...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Morogoro: CHADEMA yadai Mwenyekiti wao wa Kanda ya Kati ajeruhiwa wakigombea Uwanja na CCM

    Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zimehitimishwa rasmi hapo jana, Jumanne Novemba 26.2024 huku leo, Jumatano Novemba 27.2024 zoezi linalosubiriwa na wengi ni la upigaji wa kura, ambapo kufuatia sera za mbalimbali vya siasa wananchi wanayo nafasi sasa ya kuchagua viongozi wanaowataka Hata...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Msimamizi Uchaguzi Arusha: CHADEMA walikosea, tukawaita kuwasaidia wakatugomea

    Wakuu, Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya wilaya ya Arusha Ndg. John Kayombo amesema mvutano uliopo miongoni mwao na Wanachama na Viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Arusha, unatokana na makosa ya kiutendaji yaliyofanywa na Chama hicho kwa kuandikisha mawakala...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mawakala wa CHADEMA Arusha ngoma nzito, wadai kukosa fomu za kiapo

    Mwenyekiti wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kanda ya kaskazini Godbless Lema pamoja na wanachama wa chama hicho wamefika katika ofisi za Halmashauri ya Jiji la Arusha baada ya mawakala wao kuapishwa na kuto kupewa Fomu licha ya kuwa siku ya uchaguzi ni kesho. Akizungumza wakati...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kituko: Aliyepitishwa Kugombea CHADEMA ahamia CCM

    Aliyekuwa mgombea wa Mtaa wa Viwandani kata ya Unga LTD Jijini Arusha kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Jumatano Novemba 27, 2024, Julius Shedrack amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) akieleza kuguswa na mwenendo wa...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Siyame: Chagueni CHADEMA, CCM haijabadilika

    Wakuu, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Momba, mkoani Songwe, kimehitimisha kampeni zake za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kufanya mikutano katika kata za Bonde la Kamsamba wilayani Momba. Mtia nia wa ubunge jimbo hilo, Fanuel Siyame, amewataka wananchi kuwachagua...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Picha: CHADEMA tunakubali hali ya kiuchumi ni ngumu lakini this is too much. Hii ni stage au kichanja cha vyombo?

    Wakuu, Nimelia sana baada ya kuona picha hii ya Tundu Lissu akiwa anahutubia huko Singida. Najua kuendesha chama cha siasa Tanzaniani ngumu hasa upande wa kifedha lakini ifike hatua mjipe thamani kama Chama Kikuu Cha Upinzani. Hivi inakuwaje mtu mzito kama Tundu Lissu mnamsimamisha kwenye...
  8. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu atimba Ikungi na kugawa Nakala za viapo kwa Mawakala wa CHADEMA. Suphian Juma wa CCM naye kuwaongoza Wana Ikungi!

    Wakati God bless Lema wa Arusha na Pambalu wa Mwanza wakiendelea kulialia, Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu yuko Ikungi Singida na mambo yanakwenda vizuri Kadhalika mkoani Mbeya mh Sugu anaendesha seminar ya Mawakala na wanakwenda vizuri Suphian Juma naye yuko Ikungi bampa to bampa...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa CHADEMA Kilimanjaro, Gervas Mgonja azungumza tuhuma zilizofanya akamatwe na Jeshi la Polisi

    Baada ya Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro kumshikilia Gervas Eliewaha Mgonja, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo mkoa wa Kilimanjaro kwa kosa la kutoa kauli za kuhamasisha wananchi kuvamia makazi ya wasimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 wa mkoa huo...
  10. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania Huwenda Chadema ndicho Chama kilichokataliwa na Baba wa Taifa kushika hatamu kama ilivyokuwa kwa Lowasa?

    Chadema ndicho chama Kikuu cha upinzani Tanzania licha ya misukosuko mingi inayopitia, hiki ndicho nafahamu na jambo hili liko wazi! Nimetafakari nikawaza na kuwazua mengi sana, na tafakari yangu ikanipa kuwaza hiki ninachouliza sasa Chadema kimepitia na kinaendelea kupitia kwenye wakati mgumu...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA watoa Elimu ya kupiga Kura ya Ndio na Hapana Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Kesho, tarehe 27 Novemba 2024, ni siku muhimu kwa Watanzania kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Hii ni fursa ya kipekee kwa wananchi waliojiandikisha kutumia haki yao ya kidemokrasia kuchagua viongozi bora watakaosimamia maendeleo katika maeneo yao. CHADEMA wametumia fursa hiyo pia...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Sisi CHADEMA hata kama wametuachia mitaa miwili tutakomaa nao na tarehe 27 hatuendi kinyonge

    Ubaya ubwela hakuna unyonge == Mwenyekiti wa kamati ya Uenezi CHADEMA kanda ya Nyasa, Bruce Nyamwangi akizungumza katika Muendelezo wa kampeni za kuwanadi wagombea wa Chama hicho kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa siku ya kesho 27 Novemba 2024. Soma pia: CHADEMA yakanusha kujitoa kushiriki...
  13. T

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA wanashiriki uchaguzi wakitegemea nini? Hatutaki malalamiko

    Msije baadaye mkasema mmedhulumiwa kura au kura zimeibwa. Mnapoingia uwanjani ni kuwa mmekubaliana na sheria na taratibu za mchezo. Hakuna excuses za kipuuzi. Ni kupambana na kukubaliana na matokeo. Hakutakuwa na excuses ni mapambano. Mshindi apatikane. Maana hamchelewi kusema mlinyanyaswa...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Godbless Lema: Viongozi wa CHADEMA Arusha wamenyimwa Viapo vya Mawakala siku moja kabla ya Uchaguzi

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, kupitia ukurasa wake wa X, ameeleza kuwa viongozi wa CHADEMA katika Jimbo la Arusha Mjini wamenyimwa viapo vya mawakala. Hali hii imeibua wasiwasi mkubwa, hasa ikizingatiwa kuwa kesho, Novemba 27, ni siku rasmi ya uchaguzi wa Serikali za...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigamboni: Mawakala wa CHADEMA walalamika kutokuapishwa hadi sasa wakati Mawakala wa CCM wakiendelea na mchakato huo

    Wakuu, Wakati taifa likiwa linajiandaa kuingia kwenye Uchaguzi kesho, maalamiko ya uonevu kutoka CHADEMA na vyama vingine yameendelea kupamba moto Huko Mjimwema, Kigamboni Mawakala wa CHADEMA wameripotiwa kukumbana na changamoto ya kutokuapishwa. Siku ya jana mawakala hao walipoenda mapema...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Mgonja, akamatwa na Polisi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Mgonja, kwa madai ya kutoa kauli za kuhamasisha wananchi kuvamia makazi ya wasimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 wa Mkoa wa Kilimanjaro. Kwa mujibu...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wenje awapa mbinu Wagombea CHADEMA kupata kura, CCM yakomalia ulinzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amewataka wagombea wa chama hicho katika uchaguzi wa serikali za mitaa kuomba kura kwa unyenyekevu, mbinu aliyodai itawasaidia kuzioata za wafuasi wa CCM na vyama vingine vya upinzani. Wenje ametoa ushauri...
  18. G

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Sielewi lengo la CHADEMA kushiriki uchaguzi huu

    Inajulikana wazi kuwa CCM hawawawezi CHADEMA katika sanduku la kura, hivyo imeweka nguvu kubwa kwenye figisu na dhulma. CCM tayari wameonesha taa nyekundu ktk hatua za mwanzo kwa kuwaengua wagombea wa chadema 16,0000, na baada ya rufaa wagombea 5,000 tu ndiyo wamerejeshwa. Pia viongozi wa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Makalla: CHADEMA acheni visingizio, migogoro ya ndani ya chama chenu na maandalizi mabovu ni kisiki kwenu kufanikiwa Uchaguzi Serikali za mitaa

    KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amoss Makalla ameitaka Chadema kuacha visingizio vya kulalamikia wagombea wake bali iseme ukweli kuwa haikufanya maandalizi kuingia katika Uchaguzi wa serikali za mitaa. Pia, amesema chama hicho...
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA "yapata ushindi mkubwa" Serikali za mitaa

    CHADEMA iliingia kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu 2024 ikiwa na malengo mawili. Kwanza CHADEMA walikusudia kuonesha kwamba kwa kutumia mfumo huu wa uchaguzi unaopendelewa na CCM, uchaguzi hautakuwa huru wala wa haki. Jambo la pili ambalo CHADEMA walikusudia kuonesha ni kwamba...
Back
Top Bottom