chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Arusha: CHADEMA wapinga matokeo uchaguzi serikali za mitaa

    Wakuu, Hii ni Arusha wananchi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waandamana kupinga matokeo wakidai haki yao jana usiku baada ya matokeo kutangazwa. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tabora: Mawakala wa CHADEMA na CCM wakimbia na mabox ya kura Nzega

    Wakuu, Mawakala wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Bukene na Wakala wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Jimbo la Nzega vijijini, wamekimbia na maboksi ya kupigia kura baada ya wagombea wao kuzidiwa kura kwenye uchaguzi waliokuwa wanausimamia. Akizungumza na Mwananchi leo...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar es Salaam: Mgombea wa CHADEMA aliyeuliwa kwa risasi, Kamanda Muliro asema amefariki kutokana na shinikizo la damu!

    Wakuu, Mbona mambo yanazidi kukorogwa! Aliyeelewa hapa aniaeleweshe! ==== Wakati Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akidai mgombea ujumbe wa chama chake Mtaa wa Ulongoni A, Modestus Timbisimilwa kuwa ameuawa kwa kupigwa risasi na Polisi, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Singida: Polisi wanamsaka Katibu Mwenezi CCM kwa kumjeruhi Katibu wa CHADEMA kwa kisu

    Wakuu, Huu uchaguzi ni balaa! ====== TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamtafuta Joseph Shila, Katibu Mwenezi wa CCM Kata ya Mitunduruni, Wilaya ya Singida kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kisu kwenye bega la kushoto Hamisi Nkua, (52) Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Singida. Kupata...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kahama: Wakazi wa Bukondamoyo kata ya Mhungula washinikiza mgombea wao kupitia CHADEMA atangazwe

    Mambo yamezidi kuwa moto huko Bukondamoyo kata ya Mhungula wilaya ya Kahama wakishinikiza mgombea kupitia CHADEMA atangazwe Sijui itakuaje. Asubuhi walikamata kura feki.
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwanza: Makada wa CHADEMA wadaiwa kukimbia na boksi la kura

    Watu wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza kwa matukio matatu tofauti likiwemo la vijana wawili ambao ni makada wa CHADEMA kukamatwa wakiwa na karatasi 181 za kupigia kura. Kamanda wa Polisi Kamishina Msaidizi wa polisi DCP Wilbroad Mutafungwa, amesema majira ya saa moja na nusu...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Meru: CHADEMA Wadai kupata ushindi katika kijiji cha Nshupu

    Kata ya Nkoaranga Kijiji cha Nshupu tumeshinda kitongoji kimoja tayari na wakala wa ccm amekimbia na kura zilizopigwa tayari tumeamishia nguvu na jeshi la Polisi wamekuja na tayari matokeo yamebandikwa.
  8. P

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar: CHADEMA wasusia uchaguzi Temeke, wawaondoa mawakala wao vituoni

    Wakuu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Temeke, Dar es Salaam kimetangaza kususia uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 unaoendelea sasa, kutokana na kile walichodai kuwa fomu za mawakala wao zimebadilishwa vituo hatua iliyopelekea mawakala hao kushindwa kuingia kwenye vyumba...
  9. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Polisi wathibitisha kumkamata Mtuhumiwa wa Mauaji ya Kada wa CHADEMA, Stephen Chalamila

    SONGWE: Jeshi la Polisi Wilaya ya Momba, limesema linamshikilia Mwanaume mmoja ambaye ni Dereva wa Bodaboda anayetuhumiwa kuhusika na Kifo cha Stephano Chalamila (23) ambaye awali aliripotiwa kuwa Mwanachama wa CHADEMA. Taarifa ya Polisi imesema tukio la mauaji ya Chalamila lilitokea Novemba...
  10. P

    JamiiForums Tanzania LGE2024 TANZIA Mgombea CHADEMA nafasi ya Ujumbe Kata ya Gongo la Mboto afariki kwa kipigo cha polisi

    Wakuu, Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Kata ya Gongolamboto, Mtaa wa Ulongoni A, Mgombea nafasi ya ujumbe Modestus...
  11. Bams

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ludewa, Mkoani Njombe, Majina ya Wagombea Kupitia CHADEMA hayamo Kwenye Karatasi za Kupigia Kura.

    Mkoani Njombe, na hasa wilayani Ludewa, uchaguzi umevurugika kwa kiwango cha kutisha. Awali, katibu wa CHADEMA mkoani Njombe, alieleza kuwa wilaya ya Ludewa ilikuwa ya pili kitaifa kwa idadi kubwa kuenguliwa wagombea wa CHADEMA, ambapo kati ya wagombea 198 wa vitongoji, walienguliwa wote, kati...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA Katavi walalamikia Wagombea wao walioapa kama Mawakala kuondolewa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Katavi, Rhoda Kuchela amebainisha kutokea kwa kasoro nyingi katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024. Akizungumza mara baada ya kupiga kura katika Kituo cha Shule ya Msingi Kashato, Manispaa ya...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Songwe: CHADEMA Momba wajitoa kwenye uchaguzi

    Wakuu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Momba, mkoani Songwe kimeeleza kusikitishwa kwake na baadhi ya vitendo visivyofaa kwenye zoezi la uchaguzi ulioanza mapema leo, Jumatano Novemba 27.2024 ikiwemo baadhi ya wagombea wao kutokuta majina kwenye vituo vyao na kuongezwa...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA Iringa mjini wasusia Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Iringa Mjini kimesusia uchaguzi wa serikali za mtaa kwa Kilee walichokiita kutoridhishwa na mwenendo mzima wa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Iringa mjini. Akizungumza na Nuru Fm mwenyekiti wa Chama Cha Dermokrasia Na Mandeleo {Chadema} Jimbo...
  15. Inside10

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Manyoni: Jeshi la Polisi linamshikilia Askari aliyesababisha kifo cha mgombea wa CHADEMA

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia Askari mmoja wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mwananchi mmoja tukio ambalo lilitokea Novemba 26,2024 majira ya saa 5:00 usiku huko katika Kitongoji cha Stendi, kata ya Mkwese Wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dodoma: Mwenyekiti CHADEMA akiwasha, apora daftari la wapiga kura baada ya kubaini kuna rafu

    Wakuu, Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA watoa Orodha ya Matukio yanayoendelea Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024

    TAARIFA KWA UMMA Matukio mbalimbali ambayo yametolewa taarifa mpaka muda huu wa saa nne kamili asubuhi, leo tarehe 27 Novemba, 2024 siku ya kupiga kura, uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mauaji Tumepokea taarifa za viongozi wetu kuuwawa usiku wa kuamkia leo kama ifuatavyo: 1. Jimbo la Manyoni...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Simiyu: Karatasi za kupigia Kura zakamatwa zikiwa zimewekewa tiki kwa wagombea wa CCM

    Anaandika mkurugenzi wa mawasiliano na mambo ya nje wa CHADEMA John Mrema kupitia mtandao wa X "Karatasi za Kupigia kura zikiwa tayari zimekwa tiki kwa wagombea wa CCM zimekamatwa Mkoa wa Simiyu Jimbo la Bariadi Mjini Mtaa wa Ngashanda kata ya Malambo" Soma pia: Mbinu za wizi wa kura...
  19. Nyendo

    JamiiForums Tanzania LGE2024 TANZIA Manyoni: George Juma Mohamed, Mgombea wa CHADEMA auawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia tar 27, 11, 2024

    Mgombea kupitia Chadema wa Kitongoji cha Stand, kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni Mashariki George Juma Mohamed ameuwawa kwa kupigwa risasi ya kiuno usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba 2024, majira ya saa saba usiku nyumbani kwake. Mwili wa marehemu upo hospitali ya wilaya ya Manyoni. Pia...
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kuuawa, kutekwa, kupotea na kushambuliwa kwa viongozi wa CHADEMA, kunaashiria nini?

    Wakati huu Leo tarehe 27/11/2024 ninapoandika hapa, tayari CHADEMA wametoka taarifa za kuuawa kwa wanachama wao wawili. CHADEMA wameripoti kuwa kwenye Kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni aliyekuwa mgombea wao kwenye kitongoji kinachoitwa "Stendi" amepigwa risasi na kufariki. Lakini pia CHADEMA...
Back
Top Bottom