chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge Moshi Mjini Japhari Michael: Genge la Mbowe limeumiza watu wengi ndani ya CHADEMA

    "Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe Freeman Mbowe amezungukwa na kundi la watu ambao wamejijengea umangi meza. Bahati mbaya ni kwamba Mweyekiti ni mwepesi wa kupokea fitina na majungu na wakati mwingine anayapokea kwenye vikao visivyo rasmi. Na akishaamua kukushughulikia lazima atakushinda. Hawa...
  2. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Kumbe hakuna ugomvi ndani ya CHADEMA wako vizuri. CCM mjipange!

    Kumbe ni kweli umekuwapo mvutano mkubwa kati ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na Makamu wake Tundu Lissu. Lakini mvutano huo sio ugomvi kama mnavyo aminishwa na wapiga propaganda wa CCM bali ni kuwa hawajakubaliana kitu kimoja na ni kwa manufaa ya chama. Habari kutoka chanzo cha uhakika...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Makonda na Viongozi wa Dini Kwenye Matembezi ya Amani Arusha

    Katika kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa Tanzania, mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda pamoja na Viongozi wa dini wameitumia siku hii kufanya maombezi ya kuliombea taifa pamoja na mkoa wa Arusha, wananchi wamejitokeza kwa wingi. Soma, Pia: Paul Makonda: Tutakachofanya Tarehe 9 Disemba jijini...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Lissu akiwa mwenyekiti wa CHADEMA atahujumiwa sana na hatafanikiwa chochote, lakini pia akiwa mgombea urais wa CHADEMA atahujumiwa na atapata aibu

    Ukosoaji wake dhidi ya viongozi waandamizi ndani ya CHADEMA hususani kuhusu mambo ya rushwa na uchaguzi wa serikali za mitaa, ulionekana kama usaliti, hujuma, dharau na utovu wa nidhamu kwa mwenyekiti taifa wa chama hicho. Na kwahivyo sababu ya kuhujumiwa kwake msingi wake utakua ni huo Lakini...
  5. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanasiasa wenye msimamo mkali wanakaribia Kushinda, Kuongoza CHADEMA kuelekea 2025?

    Harakati ndani ya Chadema zinachangamka siku hadi siku.. CCM wamepuuza siasa za majadiliano na maridhiano ndani ya CDM na nje ya CDM.. Sio ACT wala vyama vidogo kwamba vinapatiwa ahueni... Upande wa Chadema shida inaonekana Freeman Mbowe amekuwa mpole sana kwa dola hadi kufika kipindi...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanachama, Viongozi CHADEMA wagawanyika kambi tofauti, hofu ya mpasuko yaongezeka

    Wakuu, CHADEMA itasilimika kweli mpaka 2025? ==== Uamuzi wa Tundu Lissu kukusudia kuchuana na Freeman Mbowe katika kinyang'anyiro cha uenyekiti wa Chadema, umekigawa chama hicho pande tatu huku sababu za Lissu kuamua kuchukua hatua hizo zikibainika. Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wana CHADEMA Waendelea Kujiunga na CCM Ngara

    Viongozi na wanachama 6 wa CHADEMA Ngazi ya Kata ya Muganza akiwemo Tumain Petro, Mwenyekiti BAVICHA wa Sasa wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi wakati wa tafrija ya Kusherehekea kukamirika kwa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Nyamagoma. Sherehe hiyo ilidhaminiwa na Mhe. Ndaisaba George...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mgombea urais kupitia CHADEMA uchaguzi mkuu 2025, ni ama DR. W.P.Slaa au J.S.Warioba

    Za chini kwa chini yasemekana kwamba, Warioba ana nafasi kubwa zaidi kupewa nafasi hiyo, huku mwenyewe akidai kutokua fiti kwa jukumu hilo zito na muhimu la uongozi, kwa sababu za kiumri. Kuna shinikizo ni kubwa mno kutoka kwa viongozi waandamizi wa vyama vya siasa hususan chadema, na hilo...
  9. USSR

    JamiiForums Tanzania Kwa Takwimu hizi, CHADEMA bado ni Chama kichanga sana

    Je, wajua kwamba Chadema kwenye kanzi data yao ina wanachama wasiozidi 450,000 nchi nzima. Hivyo, ukitazama ndani ya miaka 32 ya kufanya siasa nchini CHADEMA inasajili wanachama 14,062 tu kwa mwaka. Kama utagawanya tena hiyo 14,062 kwa mikoa 26 CHADEMA ina wastani wa wanachama 540 kwa kila...
  10. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania CCM na Chadema VS Yanga na Simba: Ukisikia yala ujue imempata, alielenga ana shabaha hajafanya makosa

    Habari zenu wanaJF wenzangu Leo mimi kama mtanzania mwenye haki ya kutoa maoni, nimekuja kutoa maoni yangu na kuweka sawa historia kuhusiana na swala la michezo pamoja na siasa zetu hapa nchini. Kabla ya kuendelea na mada yangu, naomba nikiri tu kwamba kwa sasa michezo imekuwa ikipewa...
  11. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Siasa Tanzania: Kwa Nini Vijana Wanajihisi Kusalitiwa na CHADEMA?

    Nakumbuka mwaka 2015 jijini Dar es Salaam, kipindi ambacho kishindo cha kampeni za CHADEMA kilikuwa kikubwa. Kati ya matukio yaliyonivutia ni kundi kubwa la watu nililoliona maeneo ya Magomeni likielekea Msimbazi kuhudhuria mikutano ya chama. Ingawa wakati huo sikuwa na mshikamano wa karibu na...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mkurugenzi, Dionis Myinga afafanua ushindi wa Wilfred Ritte (CHADEMA) licha ya kuenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha Uchaguzi wa Uenyekiti wa Kijiji

    Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Dionis Myinga ambaye pia ndiye aliyekuwa Msimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa wilayani humo amesema kuwa aliyekuwa Mgombea wa Uenyekiti wa kijiji cha Usari kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo @chadematzofficial...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliofukuzwa Shule kisa wazazi wao kuwa CHADEMA warejeshwa shuleni

    Saa chache tangu taarifa ya kufukuzwa shule kwa wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga kwa madai ya wazazi wao kukiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nkasi, Afraha Hassan amesema waliokumbwa na kadhia hiyo walikuwa tisa na tayari...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Wanafunzi waliofukuzwa shule kisa wazazi wao kuwa CHADEMA, warudishwa shuleni

    Saa chache tangu taarifa ya kufukuzwa shule kwa wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga kwa madai ya wazazi wao kukiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nkasi, Afraha Hassan amesema waliokumbwa na kadhia hiyo walikuwa tisa na tayari...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Viongozi wengi waandamizi wa CHADEMA wakubali yaishe kwa amani, wengi wao wanatarajiwa kutimkia CCM kuliko vyama vingine vya siasa

    Unadhani ni nini kimewavutia hata wakuamua kukimbilia zaidi CCM kuliko vyama vingine vya siasa? Ni ukata wa fedha wa kutisha ulioko ndani ya vyama hivyo vya siasa nchini au ni ufinyu wa fursa za kazi na nafasi ya kubaki relevant kwenye political scene na angalau kula maisha kidogo na wana CCM...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA Mkoani Rukwa

    Salaam Wakuu, Awali, ikidaiwa kwamba Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Geita Mjini: CHADEMA yasusia Uchaguzi wa marudio Mtaa wa 14 Kambarage, kwa madai ya ukiukwaji wa Kanuni

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Geita Mjini kimetangaza kutoshiriki uchaguzi wa marudio wa nafasi ya Mjumbe wa kundi mchanganyiko katika Mtaa wa 14 Kambarage, kikilalamikia dosari kwenye mchakato wa uchaguzi wa awali. Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Geita Mjini, Pasiquna...
  18. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Siasa Zetu: Watoto wa wanachama wa CHADEMA wasimamishwa Shule Nkasi kwa maelekezo ya Mkuu wa Wilaya na amri ya mwalimu Mkuu

    Tunapeleka taifa letu wapi? Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana .. Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto... Habari yenyewe ni hii👇 WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WASIMAMISHWA SHULE Mwalimu Mkuu (REGIUS...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Clyton Chipando (Babalevo) alisema wenye akili timamu CHADEMA hawafiki 10

Back
Top Bottom