chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. W

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Jeshi la Polisi limkamate Kenani Kihongosi aelezee kikao cha CHADEMA kilikaa wapi kupanga vurugu

    'Wamkamate Kihongosi akaieleze Polisi kikao cha siri cha CHADEMA kilikaa wapi kupanga vurugu' Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ameyasema haya Juni 17, 2026, kupitia mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya chama hicho Mikocheni, Dar es Salaam. Aidha, John Mnyika...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA nendeni kwenye maridhiano ndipo mdai Katiba Mpya

    MNYIKA unadai Bajeti ya katika mpya kwenye Serikali Ipi? nyinyi hamuitambui Serikali lakini mnataka bajeti iweke takwa lenu,kwanza mnachopaswa ni kuitambua Serikali halali ya awamu ya sita kisha mkae chini kwenye maridhiano haya mengine yote yatafanyika ama lah endeleeni na siasa zenu za...
  3. JamiiForums Tanzania Wahalifu Hujificha Kwenye Vurugu: Tahadhari!

    ✍️Mara nyingi tunapozungumzia taharuki au vurugu wengi hufikiria ni suala la kisiasa pekee . Lakini ukweli ni kwamba nyuma ya matukio hayo huwa kuna kundi la wahalifu wanaosubiri mazingira ya sintofahamu ili kutekeleza uhalifu wao. Hawa hawana ajenda ya kujenga Taifa wala kutetea maslahi ya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Heche: Lissu ana influence kubwa kwenye nchi hii, iwe CCM au CHADEMA hakuna mtu analingana naye

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza katika mahojiano kwenye kipindi cha Super breakfast cha EATV radio leo Juni 17, 2026. "Lissu ni mtu ambaye influence yake kwenye nchi hii ni kubwa kuliko mwanasiasa mwingine yeyote across the board. Ikiwemo...
  5. JamiiForums Tanzania John Heche: CHADEMA siyo Chama cha Fujo, wanaotishia kuua Watu ni CCM, Polisi hawachukui hatua

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesisitiza kuwa chama chake hakiamini katika vurugu bali kinafuata njia za kidemokrasia kupata uongozi. Akizungumza Juni 17, 2026 kwenye mahojiano na East Africa Radio, Heche ameeleza kuwa CHADEMA imevumilia uonevu mkubwa, ikiwemo viongozi wao...
  6. JamiiForums Tanzania POTOSHI Brenda Rupia :CHADEMA agenda yetu ni kuanzisha vurugu

    Kumekuwa na video iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Instagram, ikimuonesha Mkuu wa Kitengo cha Habari wa CHADEMA, Brenda Rupia, akitoa kauli ambazo zimefasiriwa kuwa chama hicho kina ajenda ya kufanya vurugu. Katika chapisho hilo, mwandishi amedai kuwa:"Huyu ni msemaji wa...
  7. JamiiForums Tanzania Chadema yamlilia Magufuli;Tuliisaliti damu isiyo na hatia.

    Mwanadamu daima si malaika,walisema ni Rais mbaya kuwahi kutokea ila sasa ubatizo wanaoupata unawafanya wajue yupi mbaya na yupi mzuri,
  8. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waweke mwongozo wa viongozi/ wanachama namna ya kujihami na kuitwa polisi na kupotea as if hawajaitwa na polisi

    Kaeni na wataalamu wa mambo ya usalama hata kama kuwatafuta nje ya nchi, wawape namna mtu akiitwa na polisi afanye nini kabla ya kwenda polisi. Nimesoma Mwenyekiti wa Vijana Kanda serengeti ameitwana polisi / walifika Nyumbani kwake na sasa hajulikani alipo Wekeni protocol mtu afanyeje...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa maoni yako unadhani bila siasa za fujo na kiki, Chadema inaweza kuishinda UDP au SAU kwa agenda, hoja au kura ikiwa, uchaguzi mkuu utafanyika leo?

    Nadhani utakubaliana na mimi kwamba bila fujo, ghasia na uropokaji hakuna kikundi kinachoitwa Chadema humu nchini. Na sote ni mashahidi kwamba matusi, chuki, uropokaji, mihemko nonsense na kufanya drama za kuatract public sympathy ndio utambulisho wa kipekee sana wa kikundi hiki cha kisiasa, na...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza operesheni Katiba Mpya, Free Lissu Kanda za Kusini, Nyasa, Magharibi

    Akizungumza na waandishi wa habari lo Juni 15, 2026, Mkurugenzi wa Uenezo na Uhusiano wa CHADEMA, Brenda Rupia amesema operesheni Katiba Mpya Free Lissu phase 2 itakayoanza Kanda ya Kusini Juni 18 na kukamilika Juni 29, 2026 Kanda ya Magharibi. Soma Pia; CHADEMA kuanza na oparesheni Katiba...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kauli ya CCM ndio kauli ya dola, ni mwendelezo wa mbinu zao kutaka kutengeneza taharuki ili chama kifungiwe kwa mara nyingine

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekanusha madai ya CCM kuwa imefanya vikao vya siri na wanaharakati wanaoishi nje ya nchi ili kupanga kufanya vurugu nchini kupitia maandamano. Madai hayo yalitolewa na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenan Kihongosi Juni 13, 2026...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Nshala: Mwanakulitafuta, mwanakulipata - Saidi Mohamed na Ahmed Rashid wajiandae CHADEMA mamilioni ya fedha kama fididia ya hasara

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetuma onyo kali kwa waliokuwa wanachama wao, Saidi Issa Mohamed na Ahmed Rashid, kikitaka wajiandae kukilipa chama hicho mamilioni ya fedha kama fidia ya hasara waliyosababisha kufuatia mfululizo wa kesi wanazofungua mahakamani. Kauli hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini ukimya wa Freeman Aikaeli Mbowe, unaipa kiwewe Chadema masalia kisiasa kwa sasa?

    Freeman Aikaeli Mbowe, aliwahi kua mwenyekiti wa chadema taifa kwa kipindi kirefu kiasi, lakini tangu uongozi mpya wa chama hicho ulivyoshika hatamu, Chadema masalia nayo imekosa utulivu wa kisiasa, lakini pia Chadema masalia haina agenda, sera wala hoja ya kueleweka. Chadema masalia imekua...
  14. JamiiForums Tanzania Itashangaza sana kama CCM yenye uongozi dhaifu kama hii isipotolewa kwenye dola na CHADEMA hii yenye watu makini na wanaojitambua.

    Sikatai na wala sipingi kuwa CCM ipo madarakani sababu ya kuwa vyombo vya dola vimeikumbatia. Lakini nguvu ya umma ni zaidi ya bunduki na vifaru. Heche na Lissu wamekiheshumisha chama chao. Kwanza kwa kuwa na msimamo wa kutonunulika. Sasa kwa Chama ambacho kina viongozi kama Kihongosi na Ally...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kamati Maalum ya CHADEMA Zanzibar yaridhia Said Issa kufutwa uanachama,

    MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CHADEMA ZANZIBAR KILICHOFANYKA PEMBA TAREHE 07 JUNI 2026. Kamati Maalum ya CHADEMA Zanzibar ilifanya kikao chake cha kawaida tarehe 07 Juni 2026, Kisiwani Pemba chini ya uongozi wa Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Mhe. Said Mzee Said. Kikao hicho...
  16. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: Kihongosi ametumwa kutafuta sababu CHADEMA ifungiwe mikutano

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amedai kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, ametumwa kutengeneza propaganda za uongo ili kupata sababu za kisheria za kukifungia chama hicho kufanya mikutano ya hadhara. Pia soma...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa hali ya kisiasa ilivyo sasa nchini, CHADEMA haiwezi kupata wabunge zaidi ya wawili endapo itakuwa na sifa ya kushiriki uchaguzi

    Kwasababu sidhani kama kuna mTanzania atachagua mihemko, chuki, ghasia, makasiriko, porojo, uzushi, malalamiko yasio koma au migawanyiko, na aache kuchagua wabunge wa vyama vya siasa vyenye agenda na mipango ya maendeleo yake mwenyewe kisiasa, kijamii na kiuchumi. Nadhani ombwe la uongozi ndani...
  18. JamiiForums Tanzania Kihongosi: CHADEMA wamefanya vikao vya siri ili kuhamasisha vurugu kupitia maandamano wanayoratibu

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa na kile kilichokiita ni mipango ya siri inayoratibiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yenye lengo la kuhamasisha vurugu nchini kupitia maandamano. Kauli hiyo imetolewa leo Juni 13, 2026, Jijini Dodoma na Katibu wa Itikadi, Uenezi na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kihongosi na CCM achaneni kuwasingizia Chadema, angalieni muungano unavunjika. Sikia maneno ya sheikh

    Watanganyika endeleeni kupaza Sauti ya Utaifa ya Tanganyika. Kadri Wazanzibari wanavyojibu ndio mpasuko ndani ya Jamii unaongezeka, sikiliza kwa makini huyu Sheikh anayozungumza alafu useme kwa nini kusiwepo na Serikali ya Tanganyika. CCM mjibuni huyu Sheikh.
  20. JamiiForums Tanzania Nyie viongozi wa CHADEMA mpo serious kuchukua dola? Kwa nini mnafanya uzembe wakati njia nyeupe kuchukua dola?

    Mnatambua wazi kuwa CCM imeshachokwa na Watanzania. Watanzania hawaitaki CCM na hawamtaki rais Samia. Hili lipo wazi. Mnafanya uzembe kuandikisha wanachama kwenye vyuo vikuu. Mnafanya uzembe kuandikisha wanachama ambao wana uwezo na kupambanua mambo kama Deogratius Mahinyila. Ni kweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…