Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Chadema haikuanzishwa ili kupingapa na dhamira ya waasisi wa Taifa letu ya ku-mantain national sovereignty. Nashangaa kuona Leo hii chadema wanafanya siasa kwa mgongo wa mabeberu hii ni aibu na ni ujinga mkubwa.
Chadema haikuanzishwa ili kuirudisha nchi kwenye utawala wa mabeberu, chadema...
amani
amani ya nchi
bila
chadema
chama
from
health
hii
kimbilio
kuanza
kuhujumu
mabeberu
maisha
mental
mental health
mmoja
mtu
mtu mmoja
nchi
sovereignty
taifa
taifa letu
waasisi
wamefanya
wao
where
Mange Kimambi amelaumu CHADEMA kuwa ni waoga na kwa kuwa haihusiki Moja kwa Moja na maandamano ya 7/7 wiki 2 au 3 toka sasa yanayohamasishwa kwa kasi sana kupitia social medias mbalimbali...
Mange Kimambi yuko sahihi na ana haki kuwa na wasiwasi huu kwa kuwa anaijua na kuielewa vyema nguvu ya...
Kizimba kilichokuwa kimejengwa katika Kata ya Ramadhani, Jimbo la Njombe, kwa ajili ya kupandishwa bendera ya Chama wakati wa ujio wa Makamu Mwenyekiti, Mhe. John Heche, mkoani Njombe, kimebomolewa usiku wa kuamkia leo.
Nimetafakari sana matukio yanayoendelea Tanzania hivi karibuni. Kuna jambo moja la kutisha sana nimegundua.
Ni kwamba haya mambo yanayoendela Tanzania, hususa kinachoonekana kama ni mgogoro wa CCM dhidi ya Chadema na suala la Katiba, ni mambo yalipangwa na yanaratibiwa ili kuwagawa Watanzania...
CHADEMA NA SWALI LA MCHANGO WAKE KATIKA MAENDELEO YA TAIFA: MTIZAMO WA KIKOSOAJI
===
Katika mfumo wa vyama vingi vya siasa, kila chama hupimwa kwa uwezo wake wa kutoa mchango chanya katika maendeleo ya taifa, iwe kupitia sera, ushawishi wa kisera, ushiriki katika taasisi za kidemokrasia au...
Kama viongozi wa chadema kutwa wanakesha wanapitisha kapu la donation kuwatapeli watu nchini, Je! Wanauwezo wa kulipia land huko kwa mabeberu? Je wanauwezo wa kusomesha watoto huko kwa mabeberu? Je! familia zao zinaishije huko kwa mabeberu? Wanatudhalilisha waafrica tunaonekana hatuwezi kutunza...
Sijajua bado, kwanini mtu licha ya kusoma sana lakini bado anakuwa na akili za kufikirika ambazo zimekosa mental autonomous,
Mtu anajua kabisa chadema hawana hoja za kwann wapigiwe kura lakini bado anaamini kuwa CHADEMA itakuja shinda uchaguzi hii si akili ya kawaida huu ni ujinga wa kushindwa...
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhani amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutangaza kuikubali Serikali iliyoko madarakani inayoongozwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kabla ya kumuomba Waziri Mkuu kuingilia kati suala la Ruzuku kwa Chama hicho. Ametoa wito huo...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuutaarifu umma kuwa Sekretarieti ya Chama iliyoketi tarehe 10 Juni 2026 kwa mamlaka iliyoikasimisha na Kamati Kuu, imemteua Ndugu Shija Shibeshi kukaimu nafasi ya Katibu wa Kanda ya Kusini yenye mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma.
Ndugu...
CHADEMA mngemsikiliza Yericko Nyerere kuhusu ruzuku msingefikia hapa mlipofikia. Yericko alionya kuwa ni ngumu sana kuendesha chama bila ruzuku. Chama hakiendeshwi kwa michango kwa nyakati tulizopo. Leo bila aibu mnajitokeza na kutaka ruzuku kutoka serikali msiyoitambua.
Hii iwe fundisho kwa...
Kwa miaka takribani 20 ya uwepo wa vyama vingi sikutarajia kukutana na chama cha upinzani kinachopambamia dola huku kikitegemea msaada wa kifedha kutoka nje ya nchi kufanya harakati zake za kisiasa.ni aibu kubwa sana.
Ni heri Kubakia na wazalendo wa C.C.M waliojenga chama chao kwa kushawishi...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema serikali itoe majibu kwanini bajeti ya Katiba mpya haipo kwenye Bajeti Kuu ya Serikali iliyowasilishwa bungeni.
Aidha, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeunda kamati maalum ya Katiba mpya, itakayohakikisha katiba mpya inapatikana kabla...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeunda kamati maalum ya Katiba mpya, itakayohakikisha katiba mpya inapatikana kabla ya 2027.
Akizungumza na waandishi habari leo tarehe 17 Juni 2026, John Mnyika Katibu Mkuu wa chama hicho amesema kuwa kamati kuu imeunda Kamati hiyo yenye wajumbe...
'Wamkamate Kihongosi akaieleze Polisi kikao cha siri cha CHADEMA kilikaa wapi kupanga vurugu' Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ameyasema haya Juni 17, 2026, kupitia mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya chama hicho Mikocheni, Dar es Salaam.
Aidha, John Mnyika...
MNYIKA unadai Bajeti ya katika mpya kwenye Serikali Ipi? nyinyi hamuitambui Serikali lakini mnataka bajeti iweke takwa lenu,kwanza mnachopaswa ni kuitambua Serikali halali ya awamu ya sita kisha mkae chini kwenye maridhiano haya mengine yote yatafanyika ama lah endeleeni na siasa zenu za...
✍️Mara nyingi tunapozungumzia taharuki au vurugu wengi hufikiria ni suala la kisiasa pekee .
Lakini ukweli ni kwamba nyuma ya matukio hayo huwa kuna kundi la wahalifu wanaosubiri mazingira ya sintofahamu ili kutekeleza uhalifu wao.
Hawa hawana ajenda ya kujenga Taifa wala kutetea maslahi ya...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza katika mahojiano kwenye kipindi cha Super breakfast cha EATV radio leo Juni 17, 2026.
"Lissu ni mtu ambaye influence yake kwenye nchi hii ni kubwa kuliko mwanasiasa mwingine yeyote across the board. Ikiwemo...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesisitiza kuwa chama chake hakiamini katika vurugu bali kinafuata njia za kidemokrasia kupata uongozi. Akizungumza Juni 17, 2026 kwenye mahojiano na East Africa Radio, Heche ameeleza kuwa CHADEMA imevumilia uonevu mkubwa, ikiwemo viongozi wao...
Kumekuwa na video iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Instagram, ikimuonesha Mkuu wa Kitengo cha Habari wa CHADEMA, Brenda Rupia, akitoa kauli ambazo zimefasiriwa kuwa chama hicho kina ajenda ya kufanya vurugu.
Katika chapisho hilo, mwandishi amedai kuwa:"Huyu ni msemaji wa...