chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe amteua Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa wakala wake Uchaguzi CHADEMA

    Wakuu Mbowe kaamua naye, kamteua Boni Yai Freeman Mbowe mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA amemteua Mjumbe na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai kuwa wakala wake katika zoezi la upigaji kura kwenye mkutano mkuu wa chama hicho ambapo wajumbe...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nani kawaleta hawa Wavuta Bangi hapa Mlimani City kwenye Uchaguzi wa CHADEMA?

    Kuna Vijana Wahuni wamelewa hapa Mlimani City wanapiga Makelele hovyo ya Lissu na Heche kila mahali kuanzia asubuhi hadi muda huu kiasi cha kuwa Kero kwa kila mtu hapa Mlimani City hata ambaye hajaja kwa mambo ya Uchaguzi, Hizi Siasa za kipumbavu hazikuwepo CHADEMA ambayo huko nyuma ilizoeleka...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyegundulika si mjumbe halali atimuliwa kwa ulinzi mkali Uchaguzi CHADEMA

    Aliyegundulika sio mjumbe atolewa chini ya Ulinzi mkali kwenye Ukumbi baada ya kugundulika kwenye Mkutano Mkuu CHADEMA, Mchakato wa Uhakiki ukiendelea. Bw. Marko Yohana amedai ameonewa, ameonesha kitambulisho na barua ya kuthibitishwa kwake.
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi Chadema waanza, hivi ndivyo uhakiki wapiga kura unavyofanyika

    Ni rasmi; agenda ya uchaguzi utakaoamua nani atakayeiongoza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa miaka mitano ijayo imeanza, na uhakiki wa wajumbe watakaofanya uamuzi umeanza. Uhakiki wa wajumbe hao unafanyika kwa kuita majina ya wajumbe wa kanda mojamoja ili kupata uhalali wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushiriki mdogo wa wanawake nafasi za Uongozi CHADEMA unakwamisha juhudi za kufikia usawa wa kijinsia kwenye demokrasia

    Wakuu, kama mnavyojua, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefanya chaguzi mbalimbali kuanzia ngazi ya Kanda hadi Taifa. Jambo moja lililonivutia kufikiria kwa kina ni ushiriki mdogo wa wanawake katika nafasi za uongozi. Hili ni tatizo linalozidi kuathiri usawa wa kijinsia katika siasa...
  6. kyagata

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi kadi ya uanachama wa CHADEMA?

    Kwa kweli nafuatilia mkutano wa hawa jamaa,wako smart and organised. Sio ule mkutano wa show offs za vijisanii uchwara uliofanyika huko dodoma. Kwa kweli nimepita hapo mtaani muda wa lunch naona wananchi wengi wanafuatilia huu mkutano na wengi naona wana bashasha usoni. Hivyo naomba namna ya...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TANESCO yaeleza sababu ya umeme kukatika Mliman City wakati Lissu akihutubia kwenye Uchaguzi wa CHADEMA

    TAARIFA KWA UMMA UPATIKANAJI WA HUDUMA YA UMEME KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM Jumanne, 21 Januari 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautaarifu umma kwamba hali ya upatikanaji wa huduma ya umeme katika Mkoa qa Dar es Salaam ni nzuri kwa ujumla licha ya kuwa na maboresho mbalimbali ya...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wachina wanafanya nini kwenye Uchaguzi wa CHADEMA?

    Wakuu, Hivi wawakilishi wa mabalozi wa kichina wanafanya nini kwenye mkutano wa mkuu wa CHADEMA? Tunaweza kuelewa kwanini kuna mabalozi wa Marekani, Uingereza na Sweden kwenye Uchaguzi wa CHADEMA kwa sababu nchi hizo zimekuwa ni supporters wakubwa wa upinzani nchini. Lakini Wachina ambao ni...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu awasili Mlimani City akiwa ndani ya gari yake aliyopigwa nayo risasi Dodoma na watu wasiojulikana, tena ikiwa bado na matundu yake ya risasi

    Mgombea wa Uenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amewasili Mlimani City akiwa ndani ya gari alilopigiwa risasi na watu wasiojulikana mjiji Dodoma mwaka 2017 likiwa bado na alama za risasi katika ubavu wa kushoto ambao alikaa wakati akishambuliwa, ambapo leo Januari 21, 2025 unafanyika uchaguzi...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanesco yadaiwa kuhujumu Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Yakata umeme Lissu akihutubia

    Inadaiwa wanakata umeme na kuwasha mara kwa mara Taarifa hii ni kwa Mujibu wa Katibu Mkuu wa Chadema aliyoitoa Ukumbini hapo. Nashauri wazime umeme wa Tanesco wawashe Generator. Kuhusu uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu M/kiti fuatilia LIVE - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hotuba ya Mbowe Uchaguzi Mkuu CHADEMA: Bora alivyokimbia Mdahalo maana Lissu angemvua nguo kweupe!

    Wakuu, Lissu amepiga hotuba moja safi sana, Mbowe karudi kule kule kuanza kuanza kuongelea historia ya chama, mara kusifia wafanyabiashara (wanaompa hela za kuhonga wajumbe :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKWlaugh:), mara aanze kupiga majungu kuhusu matusi kwenye chama, yaani bure kabisa. Ndio maana...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA wakataa ulinzi wa Polisi, wasema hawataki kulindwa

    Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wahoji ulinzi wa Polisi kwenye Mkutano wao wa Uchaguzi huu ikiwa hawajawahi kufanya hivyo kwenye chaguzi zao zilizopita.
  13. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA anaongoza wajumbe au wanachama?

    Wakuu habari za mchana, wakati joto la uchaguzi likizidi kupaa kuna hii notion imekuwa ikirudiwa rudiwa na Team Mbowe. Kwanza walianza campaign team ya Mbowe, akafuata Mbowe mwenyewe kwenye mahojiano na gazeti la mwananchi na sasa imerudiwa na mashabiki wake hapo mlimani City. Video hapo...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wagombea CHADEMA walivyowasili kwa mbwembwe kwenye ukumbi wa Mlimani City

    Mgombea Uenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, amekuwa wa kwanza kuwasili katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaa, ambapo leo Januari 21, 2025 unafanyika uchaguzi wa kuwapata viongozi wa juu wa chama hicho. Lissu amewasili katika viwanja vya ukumbi huo saa 10:15 asubuhi, akiwa ndani ya gari...
  15. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mtu anayeutafuta uongozi kwa kutumia nguvu ya rushwa ya fedha, huyo hatokani na Mungu Yehova. Huyo baba yake ni shetani - ibilisi. Mkataeni

    Kwa wajumbe wote wa mkutano mkuu CHADEMA Taifa, DSM; Nimeshitushwa sana na X-Twit hii ya Askofu Mwamakula... Je, kweli mambo yako hivi..? MASWALI KADHAA YA KUJIULIZA: 1. Nani anafanya hivi miongoni mwa wagombea? 2. Kwanini anafanya hivi kujilazimisha kuwa kiongozi? 3. Huyu mtu...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Chadema ukifika Uendako wasalimie NCCR Mageuzi, CUF na TLP waambie CHAUMA anawasalimia sana!

    Nakumbuka NCCR Mageuzi walimdharau Lyatonga Mrema Lakini alivyowatenda Chama kimedumaa hadi Leo CUF nayo ndio wale wale Sasa ni zamu ya chadema Nawatakia uchaguzi mwema!
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Leo sio tu siku ya Uchaguzi wa Mwenyekiti CHADEMA. Leo ni siku ya kuamua mustakabali wa miaka 100 ijayo ya Tanzania

    Sidhani kama Wajumbe wa CHADEMA wanalifahamu hili? Tanzania ilipofikia sasa, hasa kutokana na changamoto za rushwa na uongozi mbaya unaogharimu maisha ya wananchi masikini kila kukicha, ni jambo moja tu linaloweza kutubadilishia hali hii na kuhakikisha uwepo wa Tanzania imara yenye maendeleo ya...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Leo wajumbe wa mkutano mkuu CHADEMA msifanye kosa la kukirudisha chama kwenye siku za uanaharakati

    Lissu hajaweza na hataweza kutoka kwenye hulka yake ya uanaharakati (activism). Hii ni hali ya chini kisiasa au utoto wa kisiasa. CHADEMA chini ya Mbowe kilishavuka hatua hiyo kitambo sana. Lissu ataivuruga CDM kwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na kukosa uzoefu na uvumilivu kwa wanachama...
  19. ZVI ZAMIR

    JamiiForums Tanzania Maombi Maalum kwa Uchaguzi wa CHADEMA.

    Ee Mungu mwenye uwezo wote, tunakuja mbele zako kwa unyenyekevu na shukrani kwa nafasi ya kuwa sehemu ya mchakato wa kidemokrasia ndani ya chama cha Chadema. Mwenyezi Mungu mwenye rehema na neema, Tunakuja mbele zako leo tukiwa na mioyo ya shukrani kwa fursa hii ya kuchagua viongozi wa CHADEMA...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Wakili LIVINO: Sasa ni wazi Mbowe ni Kaburi rasmi la CHADEMA , Mbowe ndio mauti ya Upinzani wa Tanzania

    Anaandika Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzània Livino == UZIMA NA MAUTI: UNACHAGUA NINI? (Maalumu kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu - CHADEMA 2025) Chagueni hivi leo mtajayemtumikia. YOSHUA 24:15. 1. FREEMAN MBOWE ni KABURI la CHADEMA. Mbowe ni Mauti ya Upinzani: Chagua Mbowe; uvune mauti na...
Back
Top Bottom