chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Megalodon

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tuheshimu Watangulizi wetu; Tusiwe kama CCM wanavyomnanga Hayati Magufuli

    Uchaguzi Umeisha; ni wakati wa kumpa USHIRIKIANO Lissu. Tuweke tofauti zetu kando na tujenge chama chenye TIJA na Chenye UWEZO wa kushika Dola. Kwa mabadiliko haya, ipo siku Chadema inakwenda kushika DOLA, I swear. You may think i am crazy……. But i am not the only one. Kubwa zaid, Mbowe ni...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

    Wakuu, Leo mbali na kuwa ni Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA pia wanasherekea Miaka 32 ya CHADEMA kupata Usajili wa Kudumu, ambapo ulipatikana Januari 21, 1993. https://www.youtube.com/watch?v=6W33TIKrrOE Mbivu na mbichi kujulikana leo, tumeona mengi na kusikia mengi kila upande ukitetea kwake. Je...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu wa CHADEMA kutangazwa mchana huu. Nani kumrithi John Mnyika?

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu mpya wa Chadema atatangazwa mchana huu Bado haijajulikana ni nani hasa, japo kuna Majina kadhaa yanatajwa. Juhudi zangu za kulazimisha kuvujishiwa jina kwa manufaa ya JF zinaendelea, Nzi wangu akiweza tu kunusa basi haraka sana kwa chap...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe atoa neno baada ya matokeo, awaagiza wateule kufanya upatanisho

    Wakuu, Mbowe atoa neno baada ya Lissu kutangazwa kuwa Mwenyekiti Mpya Taifa, anza kwa kushukuru Mungu kwa zoezi zima kwenda vizuri bila ya kuwa na changamoto yoyote na kujenga chama chenye heshima, hadhi, maono, chama kilichojaa matumaini ya wote wanaoitamani kesho iliyobora zaidi. Mbowe asema...
  5. MTAZAMO

    JamiiForums Tanzania Chadema Mpya na hatma ya siasa zetu!

    Kuchaguliwa kwa Tundu Lissu kuwa mwenyekiti wa Chadema kunatoa fursa ya kushughulikia madhaifu kadhaa ndani ya chama hicho wakati kikijiandaa na uchaguzi wa 2025. Maeneo muhimu yanayohitaji tahadhari ya haraka ni pamoja na: 1. Mshikamano wa Ndani na Umoja Chadema imekuwa na migogoro ya ndani...
  6. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wenje kujitoa Chadema kabla ya kufukuzwa

    "....kachanganyikiwa!" "...hivi anapigia simu watu wake kule CCM mfululizo. Mkubwa mmoja kamshauli aondoke kabla ya kushughulikiwa ili eti kulinda heshima yake. Kaahidiwa mapokezi makubwa siku ya Ziara ya Rais Samia hivi karibuni atakapo kwenda kuzindua ile Meli mpya." Duru.
  7. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Lissu ila CHADEMA haihitaji Mwenyekiti Mpya, inahitaji mikakati mipya itakayovuka mipaka ya Siasa

    Niwe muwazi, Tangu viongozi mbalimbali CHADEMA walivyoanza kukiri kwamba bila katiba mpya hawawezi kuchukua uongozi wa nchi kusema kweli imani yangu na mapenzi yangu kwa chama hichi imeporomoka sana maana nilikua najiuliza kichwani .... "Miaka yote hii wana "front" mgombea urais walikuwa...
  8. Joseph Ludovick

    JamiiForums Tanzania Karibu Lissu, kwaheri CHADEMA

    Chungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole. Kwaheri CHADEMA.
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo yampongeza Tundu Lissu kwa Ushindi wa Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

    Chama cha ACT Wazalendo kimeonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kumpongeza Tundu Lissu kufuatia ushindi wake kama Mwenyekiti wa CHADEMA, nafasi ambayo pia inamfanya kuwa Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Pia, Soma: Pongezi mbalimbali za viongozi kwa Ushindi wa Tundu Lissu kuwa...
  10. DOM_LEADER

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu CCM imepoteza mvuto kwa kiwango kikubwa. Uchaguzi wa CHADEMA ni ushahidi tosha

    Mimi si mpenzi wa kuongea au kuandika mambo bila hata kufanya utafiti kidogo. Ukweli ni kwamba mwaka huu, CCM imepoteza mvuto kwa kiwango kikubwa, na sijawahi kushuhudia hali kama hii hapo kabla. Angalia hata umaarufu wa matukio haya mawili: uteuzi wa Mwenyekiti wa CCM pale Dodoma na uchaguzi...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msigwa atupa dongo kwa Mbowe baada ya kushindwa Uchaguzi CHADEMA asema "Shimo alilonichimbia mimi ametumbukia mwenyewe"

    Mchungaji Peter Msigwa, ambaye ni mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya CHADEMA na sasa mwanachama wa CCM, ametupa dongo mtandaoni kwa Freeman Mbowe kufuatia kushindwa kwake katika uchaguzi wa ndani wa CHADEMA. Kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Msigwa ameandika...
  12. BonventureSr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ina Mengi ya kujifunza kwa CHADEMA Kwenye Uchaguzi

    Wote mmeona namna huu uchaguzi ulivyo kuwa wa wazi, Tofauti na Ndio za CCm na Hapana zao
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar ajiondoa kwenye mchakato

    Wakuu, Aliyekuwa anagombea Makamu Mwenyekiti upande wa Zanzibar Said Said ajiondoa kwenye kinyanga'nyiro hicho Pia soma Pre GE2025 - Nafasi ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar kurudiwa baada ya kutokuwa na mgombea aliyefikisha zaidi ya 50%
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa viongozi wa chadema wameahidi siasa za mapambano, CCM irudi kwenye siasa za jino kwa jino, nginja nginja, na mapambano

    CCM ni chama kinachobadilika kutokana na wakati na mazingira. Sasa ni wakati sahihi kurudi katika siasa za awamu ya tano. Ni wakati sahihi Sabaya na wenzake warudi ili watakaoleta ubabe wanyooshwe barabara. Inatakiwa ku-fine tuneand sharpen the instruments/tools
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaingia zama za kuengua, kusimamisha na kufukuza wanachama wake kama vibaka

    Ni kipindi ambacho chadema itadhiofika zaidi kwenye medani ya siasa huku wanachama wake wenye hekima na busara wakijiengua mapema kuepuka aibu ya ukosefu wa hekima na busara miongoni mwa viongozi wao dhidi ya wanachama wao. Ni zama ambazo utovu wa nidhamu na kutwezana utu vitaonekana ndio...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hawa ndio walioumizwa sana na matokeo ya uchaguzi wa CHADEMA

    1. Rais Samia 2.Dr. Nchimbi 3. Paul Makonda 4. Mrisho Gambo 5. Lucas Mwashambwa 6. @Mtumshi wa Mungu asiyemjua Mungu mama D 7. Crimea 8. Gwajima 9.Job Ndugai
  17. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Godbless Lema huenda akawa Katibu Mkuu ajaye wa CHADEMA

    Huyu mwamba ameonesha ukomavu mkubwa kwenye kampeni za kupambania team Lissu na Heche hadi kusimamia hesabu za ushindi. Haiyumkiniki, Mwenyekiti Lissu atampendekeza katika nafasi ya Katibu Mkuu ili kukijenga upya Chama ambacho kilishaanza kupoteza umaarufu wake baada ya Mbowe kuonesha wazi...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania wabubujishwa na machozi ya furaha na matumaini kwa ushindi wa Lissu. matumaini kwa upinzani kurejea?

    Wakuu, Watanzania wote mpaka CCM akina Lucas Mwashambwa na mwenzake aliyejitoa ufahamu mwishoni Retired wamebubujikwa na machozi baada ya Lissu kunyakua ushindi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA, na Heche akiwa kama Makamu wake. Si huku bara tu hata Zanzibar kule Kizimkazi nako ni shangwe...
  19. D

    JamiiForums Tanzania CCM wana cha kujifunza kutoka CHADEMA kwa hii Demokrasia iliyokomaa wanayoionesha

    CCM ni udikteta tu kuanzia juu mpaka chini. Ukionesha una mawazo tofauti unaundiwa zengwe nanusipokuwa makinini unaweza kiuawa. CHADEMA imegraduate mpaka kuweza kushika nchi. Ni chama makini sana kinachojari uhuru na mawazo ya kila mmoja. CCM jifunzeni siyo kusomba hawa wasanii mbumbumbu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Lissu kashinda ila tuiombee CHADEMA inaingia kwenye kipindi kigumu sana

    Kwanza niwape Hongera CHADEMA kwa kuendesha Uchaguzi wa Kiwango cha juu, na nimpongeze Lissu kwa Ushindi. Pili niombe Watanzania wote tuungane kuiombea CHADEMA kwa kipindi kigumu itakachopitia cha kuunganisha Chama chao,hekima ya hali ya juu sana inahitajika wakati huu. Ukiangalia Matokeo...
Back
Top Bottom