Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Rushwa na vurugu zimeikumba CHADEMA katika uchaguzi wa Taifa 2025 uliofanyika Januari 13 na 16, ambapo mabaraza ya vijana (Bavicha), wazee (Bazecha), na wanawake (Bawacha) yalichagua viongozi wapya. Hata hivyo, baadhi ya wanachama walidaiwa kupokea rushwa, jambo lililosababisha vurugu kwenye...
Uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kesho una maana kubwa sana kwa Taifa letu.
Ni siku ambayo Historia ya siasa za upinzani Tanzania inakwenda kuandikwa.
CHADEMA wanakwenda kuamua ama kuendeleza siasa za upinzani au kuua kabisa.
Ukweli wa Mungu ni kwamba, kulingana na mazingira ya...
Wakuu,
Mambo yanakuwa matamu huko, Hilda ameweka bandiko kupitia account ya X kuwa mpaka CHADEMA yanatokea mambo ya hovyo ambayo kila wakati wanayapinga wakifanya CCM. Katika orodha hii inasemekana team Lissu kabakishwa mmoja tu, je tutegemee matokeo tofauti hapo kesho.
Kama wao kwa wao...
Mara baada ya Twaha Mwaipaya aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mjumbe wa kamati kuu Chadema na aliyekuwa mwenezi wa Bavicha katika uongozi uliopita kuenguliwa katika kinyang'anyiro hiko wanachedema mbalimbali kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii wameeleza hisia zao.
Kupata taarifa na matukio...
Watanzania wana maumivu mengi na hasira kubwa dhidi ya CCM, chama ambacho kimekuwa kama syndicate ya kuwaumiza watanzania walio wengi na kuzineemesha familia chache kupitia kodi za hao wengi wanaoumizwa.
CCM imekuwa na kiburi kisichoelezeka. Wananchi, kupitia tume ya Warioba walisema wanataka...
Baada ya mahesabu ya mgombea uenyekiti wao kugoma kabisa, na kwamba kura za wajumbe wa mkutano mkuu haziko upande wao licha ya kufanya press conferences wiki nzima kwa kutambulisha wajumbe, wenyeviti na makatibu wa chadema feki,
Hivi sasa wanajipanga kuingia ukumbini kwa lengo la kuhakikisha...
Rip chadema, ndivyo hivyo tunavyokuaga huku wakuu walliokuua maksudi wakipanga namna ya kujipoza mioyo yao kutokana na majeraha uliowaachia?
Chadema leo umeiga nyendo za CCM za kuengua watia nia ujumbe na nyadhifa mbalimbali ndani yako?
Chadema leo hii umewaliza watu kwa kuwakumbusha...
..Press conference ya kwanza hii hapa.
https://www.youtube.com/watch?v=lFV-oPTTN28
..Press conference ya pili hii hapa.
https://www.youtube.com/watch?v=Eidcj4OZ5AI
CC Erythrocyte , Tindo, brazaj, Fundi Mchundo
Chama ni watu na watu ni chama.
Mbowe na Genge lake Kwa kuwasikiliza tu ni watu wabinafsi, walotanguliza Mali , watu wasojali wanachama wao na gharama ambazo wanachama wanalipa...ndio Sababu kwao ni rahisi sana kununulika.
Hata hivo, CHADEMA itakufa Kifo cha Mende endapo LISSU ATAPOKONYWA...
Hivi Chadema wamerogwa?! Mbowe hasa karogwajwe?!
Kinachoendelea Chadema ni zaidi ya Isidingo, the need!
Naanza kupatwa na wasiwasi, hawa Chadema ama watauana ama watatwezana pakubwa!
Mbowe jitu zima limeamua kukiua Chama kwa mikono yake lenyewe kwa ulafi wa pesa.
Hadi keshokutwa nawaapia...
Kinyume na hapo watakua wanaendeleza unafiki wao ule ule wa sitaki nataka na tamaa za uongozi. Asubuhi anautaka umakamu, jioni anautaka uenyekiti kamili.
Na safari hii hakuna makapi kutoka CCM, uadilifu na uzoefu ndio msingi wa uongozi wa nchi kuelekea 2030🐒
Soma:Breaking News: - Uchaguzi 2025...
Uchaguzi wa Taifa wa CHADEMA, umekuwa ni jambo la heri sana. Ndio uchaguzi uliowafanya watu wengi wayatambue madudu ya baadhi ya viongozi.
Ni uchaguzi uliowaamsha wanachama na viongozi wa ngazi mbalimbali, kutambua kuwa kumbe hata ndani ya CHADEMA kuna takataka nyingi ambazo zipo ndani ya...
Habari za mwisho wa wiki wadau na kheri ya mwaka mpya.
Lakini kwanza nitie angalizo kwamba mie si mwanachama wa chama chochote bali ni mtaalam tu niliejifunza kufanya chambuzi na mambo mengine khasa ya kimataifa zaidi. Hivyo kuna wakati najikuta naangalia kinoendelea hapahapa nchini mwetu na...
1. Mambo mengine CHADEMA mnajichanganya aisee.
2. Huyu mtu hata kujieleza hawezi ana cheo huko CHADEMA?
3. Kiwango chake cha juu cha Elimu? Usikute ngumbaru mwenzetu!!
Hamjamboni Wandugu...
Tashtwiti Yangu Ya Leo Ni Juu Ya Chadema Imara Zaidi. Chadema Ya Kipindi Cha Dr. Slaa Na Zito.
Ndugu Wananchi Kwa Mbinu Na Maarifa Waliyotumia Chadema Mwaka Huu Katika Kurudisha Attention Kwenye Jamii Iliyopotezwa Na Hayati Magufuli, Hakika Wanastahili Pongezi Kwa...
https://www.youtube.com/live/ayxulwI31K4?si=kqdYhKIBgFkjxq0k
Hatimaye wenyeviti na Makatibu WOTE wa MIKOA wamekutana kwa pamoja ili kutoa msimamo Wao kuelekea Jan 21.
Fuatilia jf kwa habari za papo hapo
Moses Mgao, Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Kibaha Mjini amesema haya akiongea na waandishi wa habari
"Napenda kutangaza rasmi, sisi wanachama wa CHADEMA kutoka Mkoa wa Pwani na hasa watu wa Kibaha tumeamu tunakwenda kumpigia kura Mhe. Tundu Lissu awe Mwenyekiti wetu"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.