chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. P

    JamiiForums Tanzania Wakili LIVINO: Sasa ni wazi Mbowe ni Kaburi rasmi la CHADEMA , Mbowe ndio mauti ya Upinzani wa Tanzania

    Anaandika Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzània Livino == UZIMA NA MAUTI: UNACHAGUA NINI? (Maalumu kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu - CHADEMA 2025) Chagueni hivi leo mtajayemtumikia. YOSHUA 24:15. 1. FREEMAN MBOWE ni KABURI la CHADEMA. Mbowe ni Mauti ya Upinzani: Chagua Mbowe; uvune mauti na...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa Lissu kutachangiwa pakubwa na mikutano ya wiki nzima isiyokuwa na maana ya Godbless Lema

    Ukifuatilia Press conference za Godbless Lema kwa wiki nzima, hazina impact yoyote kisiasa kwenye kumuongezea Tundu Lisu kura za wajumbe wa mkutano mkuu na hatimae kumfanya awe mwenyekiti wa chadema Taifa, Ispokua zinasaidi pakubwa, kummpambanua Lema mwenyewe ni mtu wa aina gani. Kwasababu ni...
  3. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Huu Ndiyo Ukweli; Uchaguzi wa CHADEMA Ndiyo Uchaguzi wa Kinyonge Hivi?

    Safari ya imeanza 2025, hapa yupo Samia Suluhu pembeni Nchimbi. Nyuma hapo, bado kugumu ila kesho jogoo anawika safari nyingine inaanza. Toka Dodoma tufanye uchaguzi na kuwapitisha miamba miwili sijaona block yoyote kutuzuia miezi michache ijayo. Niseme kweli tupu, kabla ya Dodoma na hata...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CHADEMA ni kati ya Chama mabadiliko au hali kubaki ilivyo, kati ya Giza na Nuru, kati ya Umoja au kusambaratika au maslahi binafsi

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu salini kwa Mungu wetu ili mtuletee Mwenyekiti anayefaa hata kama mmepewa pesa. Hiyo si hoja Muogopeni Mungu wa Mbiguni. Hofu ya Mungu iwaongoze kesho. Usiku mwema.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ntobi: Baraza kuu la CHADEMA lakubaliana na maamuzi ya kamati kuu

    Baraza kuu la CHADEMA, kwa kauli moja, limekubaliana na maamuzi ya Kamati Kuu ya kuwaengua kina Twaha na genge lao kutogombea ujumbe wa kamati kuu kwa kupiga kura za wazi. Demokrasia inazidi kushamiri ndani ya Chama chetu. Je, kuna swali? Anaandika Ntobi
  6. Common Folk

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na ACT wakichanga karata zao vizuri, nchi ni yao mwaka huu

    CCM tayari wameshabugi kwa kumchagua mgombea wao kiholela, hata kama inajulikana ni mama ndiye angekuwa mgombea, lakini nguvu ya "MCHAKATO" wenyewe ndiyo huwa inaleta mshindo mkuu huko mtaani. Sasa mpaka kufika mwezi wa saba, ratings ya mama huko mtaani itakuwa ndogo sana. Hata hivyo, majabali...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa chadema umetuonesha rangi halisi ya hawa wanaojiita wapinzani

    Huu uchaguzi wa chadema umetuonesha jinsi gani hawa wanaojinasibisha watetezi wa wananchi wapo kwa ajili ya matumbo yao na si kwa ajili ya wananchi! Soka,mawazo,saa nane,mzee kibao, azory,mwangosi na wengine I feel sorry to you kumbe mlikuwa mnatumika as punching bag na hawa top layer wa chadema 🥺🥺🥺
  8. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wajumbe mkutano mkuu CHADEMA wapokea bahasha nono, Mbowe mitano tena

    Wasalaam, Kuna taarifa za uhakika kutoka kwa mjumbe mmoja wa kamati kuu kwamba CCM wameingilia kati uchaguzi kwa lengo la kuhakikisha Mbowe anashinda na wajumbe wengi wametumiwa miamala kwa simu zao ili wamchague Mbowe. Inasemekana kutokana na njaa kali ya January hii wajumbe wengi wameamua...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kesho ni uchaguzi wenu Chadema, nachojua mimi Freeman Mbowe hawezi kuachia uenyekiti kwa Tundu Lissu, Never

    Mbowe is very smart, he is always speaking confidently, ndio maana habagazi mtu. Anaposema chama kitaendelea maana yake atashinda kwa vyovyote vile Iła atampa LISSU agombee urais. Atashinda uchaguzi Iła wale wote waliomtukana atawaingiza kwenye Kamati Kuu. Mbowe hana kinyongo lkn ukitaka...
  10. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Waliokatwa ugombea CDM 2025 poleni; lkn karibuni CCM (Mama atawapokea)

    Nimesikitika sana na vitendo viovu na hujuma mnazosema mmefanyiwa. " Wote mliokatwa majina, Wote mlioenguliwa, Wote mtakaodhihakiwa, Wote mnaopenda demokrasia pana, Kwa mikono miwili na kwa upendo wa hali ya juu mnakaribishwa ktk chama kizuri cha CCM. Ulizeni waliokuja i.e Msigwa, Mtatiro...
  11. comte

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mgombea nafasi ya Uenyekiti BAVICHA: Lissu na Heche walitia doa kampeni za Uchaguzi wa BAVICHA

    Mgombea Uenyekiti BAVICHA Masoud Mambo akifunguka A to Z kilichotokea kwenye Uchaguzi BAVICHA baada ya wakubwa kuingilia kati. Source: East Africa Radio My take: Usafi wa Heche na Lissu uko mdomoni tu- ni wachafu kuliko uchafu wenyewe
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baraza Kuu la CHADEMA laidhinisha Wagombea wa Juu wa Uongozi wa Chama hicho, kwahiyo Kipute kiko pale pale

    Katika vikao vya Baraza Kuu vinavyoendelea leo hii, tayari mambo kadhaa yameanza kutolewa maamuzi. La kwanza ni hili la kuidhisha mtanange wa Wagombea wa Juu wa uongozi wa Chama hicho. Taarifa yao hii hapa Usiondoke JF kwa Taarifa za uhakika za Vikao hivi, Hii ni kwa sababu Mimi Mtumishi...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huenda vurugu na ghasia zikahamia kwa muda kwenye uchaguzi wa CHADEMA Taifa

    Joto la kisiasa linaloendelea kupanda kila uchwao miongoni mwa kambi hasimu za wagombea uenyekiti wa chadema taifa, huenda likaishia kuwasha moto wa ghasia na fujo kutokana na kujipiga kifua kwa kila kambi kwamba, ndiyo yenye haki na uhalali wa kushinda uchaguzi huo dhidi ya kambi nyingine...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ukishinda Uenyekiti CHADEMA Taifa pitisha Ubatizo wa utakaso kwa Wala Rushwa wote ndani ya chama...

    Mpo salama! Ni hakika Kesho Lisu anashinda. Ubatizo wa Utakaso "Baptism of purification" ndio Jambo pekee ambalo Lisu itampasa aanze nalo. Hakuna haja ya kugombana, kuvunja Chama. Mshindi amepatikana sasa ni Muda wa kuwekana Sawa. Wale wenye shutuma za Rushwa na waliofanya Rushwa wafanyiwe...
  15. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu na Mbowe uso kwa uso kwenye kikao cha Baraza Kuu CHADEMA 2025

    Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA 2025 kinafanyika muda katika makao makuu ya chama yaliyopo Mikocheni, ambapo viongozi wakuu, Freeman Mbowe na Tundu Lissu, wakutana uso kwa uso. Huu ni mkutano muhimu unaojadili masuala mbalimbali yanayohusu mustakabali wa chama kuelekea kesho Januari 21 kwenye...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika alivyowatambulisha wagombea CHADEMA Mkutano wa Baraza Kuu, ukumbi walipuka alipotajwa Lissu

    Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Januari 20, 2025 ulilipuka kwa shangwe kutoka kwa wajumbe wa mkutano wa Baraza Kuu la Chadema unaoendelea baada ya Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika, kuwatambulisha wagombea wa ngazi ya juu ya uongozi wa chama hicho. Mnyika...
  17. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Januari 21, 2025 nchi itazizima ni kishindo kufuatia Uchaguzi Mkuu CHADEMA

    Habari njema itawaamsha waliolala kwa kukosa MATUMAINI waliokata tamaa kujaa Furaha walioshindwa kutembea KURUKARUKA wasio ona KUONA walio na KIU kuuona mto walio na machozi KUFUTWA Kesho NYATI anafunguliwa zizini nyati anakwenda KUTUONGOZA kuchanja MSITU Hotuba ya KUSISIMUWA itapasuwa Mioyo...
  18. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu Chadema Kesho Kujibu Mapigo Dhidi ya CCM kwa Kusimka Lissu Mwenyekiti Taifa, Kumtangaza Mgombea Urais 2025 na Kumpatia Mgombea Mwenza?

    Mhe. Tundu Antipas Mughway Lissu, Mwenyekiti Mtarajiwa wa Chadema na Mgombea Urais Mtarajiwa Katika Uchaguzi wa 2025 Kutokana na mikutano mikuu ya Chadema na CCM inayofanyika kwa kufuatana ndani ya Januari 2025 sasa ni wazi kwamba busara kongwe za wanazuoni zitaanza kutimia. Wanazuoni wengi...
  19. Manyanza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hoja za Tundu Lissu Kuhusu Mwelekeo wa CHADEMA zinamtoa hatiani Zitto Kabwe

    Nimefanikiwa kuusoma unaoitwa Waraka wa Mabadiliko 2013 uliotayarishwa na Samson Mwigamba, aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha, na kuhaririwa na Kitila Mkumbo, aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama, uliolenga kumuuza Zitto Kabwe, wakati huo akiwa Naibu Katibu Mkuu wa chama, kwa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi wanasiasa wa CHADEMA wakihamia CHAUMMA leo, sheria inawaruhusu kuwa wagombea kupitia CHAUMMA kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu?

    Habari wadau! Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, sheria ya uchaguzi ilifanyiwa mabadiliko enzi za Mwendazake lengo ni kudhibiti watu kuhamia vyama vingine uchaguzi unapokaribia. Kwa kumbukumbu zangu, kuna mdau ambao mwanachama anatakiwa awe mwanachama wa chama husika Kama kigezo cha kuruhusiwa...
Back
Top Bottom