chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama CHADEMA watasusia uchaguzi basi wapiga kura kwenye uchaguzi 2025 watapungua kwa asilimia kubwa

    Kuna uamuzi uliopitishwa na CHADEMA ya No Reform No Election na kama wataendelea kushika uamuzi wao huu wapiga kura 2025 watapungua kwa kiasi kikubwa sana. Ni vema Serikali ikafikiria na kufanya uamuzi ili nchi iendelee kuwa na Amani.
  2. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: G55 (Mpox) wana hoja dhaifu, mtazamo usioeleweka na mikakati ya duni dhidi ya CHADEMA

    Mwanzoni nilidhani labda ni hisia zangu lakini baada ya kuwasikiliza nikagundua nilikuwa sahihi kwa 100% kuhusu kundi la watia nia wa ubunge 55 kupitia CHADEMA maarufu kama G55 ama Mpox ambao wameamua kuja kinyume na msimamo wa Chama chao kuhusu agenda ya No reform, No election. Hapa chini ni...
  3. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Anayeona NO REFORM NO ELECTION haina maana kwake mlango uko wazi kwenda vyama vingine

    No reform No Election limewatia tumbo joto hasa wasaka tonge. Slogan hii ilianzishwa na Wana CHADEMA wote na leo wanapotaka nafasi za Rais, Ubunge na Udiwani wanatoka wazi kuukana slogan yao. Ndugu zangu tumbo ni mbaya sana. Wengi pale CHADEMA wako kwa nafasi ya matumbo yao na siyo kuitetea...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kagera: Viongozi wa Dini wamtaka Tundu Lissu aache Uchochezi, walaani vikali kauli za kuamsha Uasi

    Viongozi wa dini mkoani Kagera wamelaani na kukemea vikali kauli ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lisu aliyoitoa akihamasisha uasi na kuvuruga uchaguzi mkuu ujao. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA inajichinja na kujikaangaa kwa mafuta yake yenyewe

    Wailianza kwa mbwembwe sana chini ya uongozi mpya kwamba, mapambano ya kidemokrasia dhidi ya maslahi mapana ya wanachadema na wananchi wote wa Tanzanzania, sasa yanapata pumzi mpya, uelekeo mpya na yatakua yana sura mpya kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania october2025. Na wanachadema wengi...
  6. uchumi2018

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa G55 ndani ya CHADEMA kunaonesha tangu mwanzo mapandikizi yalikuwepo

    Salaam wakuu, Ninachokiona kwa sasa kuibuka kwa kundi la G55 ndani ya CDM inadhihirisha kulikuwepo na mapandikizi waliozoea kutumia chama kama mtaji kwa faida zao binafsi.
  7. Dp800

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hoja 6 za kwanini No Election lazima itekelezwe ikiwa Reforms hizi hazijafanyika

    https://youtu.be/--J45XU5LAs?si=_xbKbAZN1lVA2KpD Mh. Tundu Lisu ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema ameeleza kwa undani na urahisi sana mabadiliko 6 ambayo Chadema inadai, Katika mkutano wa leo wa uliofanyika Nachingwea. Sikliza kwenye link hiyo kuanzia dakika ya 27 Naomba CHADEMA Media...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea CHADEMA ni marudio tu ya historia

    Kumewahi kuwa na mapambano ya kambi 2 tofauti ndani ya vyama vya upinzani toka mwaka 1995 CUF ya Maalim Seif Vs CUF ya Prof Lipumba KNCCR ya Agustine Mrema Vs NCCR ya Masumbuko Lamwai NCCR ya James MBATIA Vs NCCR ya Joseph Selasini Sasa ni CHADEMA ya Tundu Lissu Vs CHADEMA ya Freeman Mbowe...
  9. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la kesi- icc dhidi ya serikali ya Tanzania- wanasheria CHADEMA amkeni na mfanye kazi- fofofo- hamtatoboa na hiyo no reform no election

    PENDKEZO LA KESI- ICC DHIDI YA SERIKALI YA TANZANIA- WANASHERIA CHADEMA AMKENI NA MFANYE KAZI- FOFOFO HAIWATOI KWENYE NO REFORM NO ELECTION. NAWAPA MUONGOZO BILA MALIPO. Kichwa: Pendekezo la Uchunguzi wa Uhalifu wa Kisiasa na Ukiukaji wa Haki za Binadamu katika Serikali ya Tanzania Kwa...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ,No Reforms No Election baada ya mzunguko wa kwanza kuisha, Nguvu Kubwa ielekezwe maeneo ya Kimkakati zaidi

    Arusha Mara Mwanza Shinyanga Mbeya Iringa Dar es salaam Tabora Tanga Bila Mabadiliko Mfumo wa Uchaguzi , Hii Mikoa ikishakinukisha tu, itasambaza matokeo yake Kwa Mikoa mingine. Miezi hii Mitatu ijayo kuanzia Huu wa 4-7 kazi kubwa ifanyike kwelikweli .
  11. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuongee uhalisia: CHADEMA wanaweza zuia uchaguzi kweli? Mrema yupo sahihi. Lissu ashauriwe

    No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko. Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi atapata nini? Ukimsikiliza Mrema ana hoja utazuiaje uchaguzi wakati Huna hiya mass. Watanzania wenyewe...
  12. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 G55 ( Chadema Asilia ) Vs Wanaharakati

    Kwa hali inavyoendelea sasa ndani ya Chadema kumeibuka mvutano kati ya Timu Lissu vs Team Mbowe Kwa haraka haraka Team Mbowe walianza kutengwa na kufurushwa makao makuu na wengine wakionywa kutoshiriki hata msiba unaomhusu Freman Mbowe na Injinia wa Mpango Huu ni Mchaga Godi Lema kwa madai...
  13. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Nimesikiliza hoja za G55 nimegundua ni pointless

    Nimesikiliza hoja za G55 nimegundua ni pointless, uongozi wa CHADEMA ondoeni hii aibu kwa kuwafuta hawa wahuni Sikujua kama Mrema angezungumza makapi kama haya, nilidhani ana hoja za msingi kumbe ni pointless Mrema ameonesha uma kiasi gani hafanani na elimu aliyopata chuo kikuu Anatia aibu...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ogopa teknolojia! Toka 2020 walisema bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi, Udikteta wa Lissu unatoka wapi? Kusimamia maono ya chama?

    Wakuu, Mambo yanazidi kunoga huko, mtifuano juu ya mtifuano😂😂. Leo kwenye press ya CCM B a.k.a G55 Mrema alisema kaulimbiu ya No Reforms ilianza toka 2020 lakini haikuwa na kipengele cha No Election. Akisema haya ni mambo ya dikteta Lissu anayewanyima na kuwatishia uhuru wao wa kujieleza...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Tabora: Sisi tutaendelea kuwatambua hawa G55 kama ni wasaliti kwa mujibu wa Katiba ya Chama

    Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Tabora na Kanda ya Magharibi, wakiwemo watia nia wa ubunge katika majimbo mbalimbali, wamejitokeza hadharani kulaani vikali kundi la G-55 lililoibuka ndani ya chama hicho, wakilituhumu kukiuka misimamo halali na maazimio...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Ruangwa akalia kuti kavu, ni baada ya kusombwa na Mafuriko ya No Reform No Election

    Mbunge huyo ambaye hakufahamika Jina lake, Anatajwa kuwa ni miongoni mwa Wabunge wa CCM waliopita bila kupingwa kwenye ulioitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020. Mbunge huyo anayetajwa kama Kigogo wa Serikali, leo Amepewa za Uso nyumbani kwake kutokana na namna Wagombea wa Upinzani walivyoteswa kwenye...
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Kuna haja ya kufanya maamuzi magumu ili kulazimisha mabadiliko

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amesema kuwa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa muda mrefu wamekataa kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi hivyo kwa sasa wanalazimika kufanya maamuzi magumu ili kulazimisha mabadiliko. Kupata matukio na...
  18. Joseph Ludovick

    JamiiForums Tanzania Utii wa CCM Vs Ujasiri wa CHADEMA

    Katika siasa za Tanzania, vyama vya CHADEMA na CCM vinaonekana kuwa na Mkazo na mitazamo tofauti kuhusu ujasiri na utii kutokana na malengo, misingi, na itikadi zao. CCM (Chama Cha Mapinduzi) kikiwa chama tawala, kimejikita zaidi katika dhana ya utii, huku CHADEMA (Chama cha Demokrasia na...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu apokelewa kwa furaha na Vifijo Nachingwea. Je, ni ngome ya CHADEMA?

    Tundu Lissu apokelewa kwa furaha Nachingwea. Je, ni ngome ya CHADEMA? Hakika CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani. CHADEMA wanaendelea kutoa elimu ya No reforms no Election kanda ya kusini.
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huu mwaka mgumu sana kwa CHADEMA, kitatoboa kweli?

    CHADEMA inapitia tanuru la moto mwaka huu, 1. No reforms, no election bado haijaeleweka. 2. G55 wanataka kukipasua chama 3. COVID-19 wanataka kurudi 4. Uchaguzi mkuu uko njiani, tume wanaendelea kuandikisha wapiga kura! 5. Mfumo nao bado unawawinda
Back
Top Bottom