Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
"Kwenye madhumuni ya uchumi yapo mambo 11, sisi CHADEMA kwenye uchumi inasema matumizi Bora ya rasilimali za Taifa katika kuwafanya Watanzania mmoja mmoja awe na uchumi wa kumuwezesha kuendesha maisha yake. Hayo ndio madhumuni ya kiuchumi ya CHADEMA"
"Sisi tunaamini kwamba CHADEMA ni Chama cha...
Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA, Julius Mwita, amewapongeza Tundu Lissu na John Heche kwa ujasiri wao, akisema ni viongozi wanaoweza kuleta hamasa kubwa wakati wa uchaguzi. Akizungumza kupitia Clouds FM, Mwita amesema;
"G- 55 haiwavurugi watu ila watu ndio wanajivuruga, sisi...
Hellow!
Neno tu "MAANDAMANO SIKU YA UCHAGUZI" ni taharuki tosha.
Pale kariakoo, polisi walijaribu kushawishi wafanyabiashara wafungue maduka, haikuwezekana sababu ya hofu ya fujo na hofu ya usalama na hofu ya mwitikio mdogo wa wateja.
Saaa nimekaa hapa nauliza hawa polisi wetu ambao huwa...
Huyu Mwamba alipaswa kutopewa nafasi ya kushinda Uenyekiti CHADEMA. Ni hatari zaidi ya hatari yenyewe. Kichwa kibovu kile kitaleta amsha amsha kuelekea uchaguzi ambayo Sisi Mbogamboga hatuitakagi.
Katika kitu ambacho sikukielewa hapa Tanzania ni kipindi Rais Magufuli alipoingia madarakani wapinzani wakawa wanampinga kwa Kila anachokifanya, kufikia hatua ya Magufuli kuwachukia na sababu ilikua wanampinga maendeleo ya Kila kitu.
Akishughulikia mafisadi wanamuita diktekta, mara katili...
CCM tusije tukanasa kwenye mtego ambao Chadema wanauandaa.Wao wanataka wapiga kura wasijitokeze kupiga kura siku ya uchaguzi.
Lakini wanataka kuhamasisha maandamano nchi nzima kama kampeni ya kuzuia uchaguzi hiyo siku ya uchaguzi.
Ikitokea vyombo vya ulinzi na usalama vimesambazwa kuzuia...
Chadema wanapitishia fedha zao katika Mpesa, airtel money, na huduma za aina hiyo, pamoja na za mabenki.
Nitoe angalizo kwa serikali na makampuni hayo kwamba miamala hiyo imeshasemwa na uongozi wa chadema kwamba itatumika kufanyia uhalifu wakati wa uchaguzi.
Kampuni ya simu, bora uifungie...
Hellow!
Kanuni ya wizi Iko hivi, Ili uibe, lazima wa kuibiwa awepo, na kitu Cha kuibwa kiwepo pia(subject matter).
Ni kweli, mwizi akikosa Cha kuiba, anaweza kuvua shati lake, akaliacha pale, akarudi kinyume nyume akajificha, akarudi akinyatia na kuliiba shati lake mwenyewe Ili tu ajifariji...
Wajumbe wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Cchadema (BAVICHA) Mkoa wa Dodoma, leo tarehe 7 Aprili 2025, wamemchagua Joseph Mussa Mahindoni kuwa Mwenyekiti mpya wa baraza hilo katika uchaguzi uliofanyika katika Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kati.
Soma Pia: Shangwe la CHADEMA...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema anapanga kuweka hadharani majina ya vigogo wanaodaiwa kuwa nyuma ya pazia la sakata la G-55, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakinufaika kifedha kupitia mradi huo huku wengine wakitumika kama...
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kati, Ashura Masoud, amewataka wanachama wa CHADEMA wenye maumivu ya uchaguzi kujenga mshikamano badala ya kujitenga au kupinga msimamo wa chama, akibainisha kuwa hatua ya kujitenga ni sawa na kuunga mkono Chama cha Mapinduzi (CCM)...
Siku ya kufukuzwa ikifika mtataarifiwa
Habari potofu imeandikwa kwamba Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imetangaza rasmi kumfuta uanachama Bw. John Mrema. Kwamba hatua hii imefikiwa baada ya kubaini kwamba Bw. John Mrema na kundi lake linalojiita G55 hawana nia njema na...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike.
Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi...
amani
barabarani
bila
chadema
heshima
inawezekana
kuelekea 2025
kuzuia
lissu
maandamano
no reforms no election
siku
tundu
tundu lissu
uchaguzi
uhalisia
uwezekano
Wakati wa kampeni ndani ya CHADEMA, kuna baadhi ya watu walikuwa wanawaambia wafuasi wa Lissu kuwa "hakuna kuhama chama" kama wakishindwa uchaguzi ule.
Leo hii lile kundi lililokuwa linawaambia wenzao kuwa hakuna kuhama chama, lenyewe ndiyo limo kwenye harakati za kutaka kuharibu chama.
Mengi...
Nimeona nitoe maoni yangu kuhusu hii fukuza fukuza iliyoanza huko CHADEMA chini ya Tundu Lissu. Ni jambo limeshangaza wengi kwa chama cha demokrasia kukataa maoni tofauti na kutotaka kabisa mjadala kuhusu maamuzi yaliyofanyika.
Kwa upande wangu naona Lissu na genge lake la kamati kuu wako...
https://youtu.be/Fb3MoEVaBF0?si=wM-FkXAimnUm9d2R
➡️Huyu ni katibu wa CHADEMA mkoa wa Iringa, Kanda ya Nyasa....
➡️Awaonya kutumia jina la G55 la wazee wa zamani, wazee wa heshima waliokuwa wanaipigania Tanganyika...
➡️Awapa jina sahihi linalowastahili kuwa wanapaswa kuitwa "Kikundi cha Wasaka...
Taarifa zingine za leo zinaonyesha kwamba Timu ya Chadema inayotoa Elimu ya Uchaguzi Huru na Haki huko Kanda ya Kusini imefika Masasi.
Unaambiwa Moto uliowaka kwenye Mkutano wa Masasi haujawahi kutokea katika kipindi kirefu mno kwenye eneo hilo
Kwa kifupi ni kwamba Wananchi wote wameelewa...
Wataalamu wa mambo wanasema unapokutana na shetani wawili mbele yako chagua shetani mwenye nafuu, kwa kizungu "choose the lesser evil".
Kama CHADEMA ingekubali kushiriki uchaguzi ingeenda kukumbana na mpasuko mkubwa zaidi. Watu hawajui hili baada ya Lissu kushinda uenyekiti wa CHADEMA...
Wakuu .
G55 wamejinasibu Kama wapo tayari kuongia katika uchaguzi October -2025.
Hoja zao ni hizi hapa
Endapo Chadema isiposhiriki uchaguzi Mkuu watakosa haki ya wao kuendelea kuwa chama kikuu cha upinzani.
Na Endapo wasiposhiriki uchguzi chama kitakosa ruzuku hivyo kitashindwa kujiendesha ...
Watanzania wote tumepigwa na butwaa hii tabia mbaya ya kidikteta inayoota mizizi kwenye chama cha Chadema.
Baada ya kuwafunga midomo wanachama wa Chadema wasitoe maoni wala mawazo mbadala kwa kutishia kuwafukuza, kuwapa majina mabaya na kuwanyamazisha.
Sasa tunaona kiongozi wa Chadema mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.