Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Baada ya kufanya uchunguzi wa kina na timu yetu toka Lumumba tumegundua kuwa wanaharakati, magaidi na CHADEMA ndio walionzisha zomea zomea wakati mwana FA alipotaka kuwasilisha salamu za serikali kwenye tamasha la bongo fleva.
Tuligundua wanaharakati , magaidi na vijana wengi wa CHADEMA...
Je,
anapata usaidizi wowote maalumu wa kiafya kutoka kwenye idara za chama chake kulingana na nafasi yake chadema taifa, na kutokana na maoni mseto yanayoenezwa mitandaoni dhidi ya tuhuma za ufisadi wa fedha za chama zinazomkabili?
Kwa maoni yangu,
licha ya familia yake kumtia moyo, nadhani...
baada
chadema
gani
hali
kisaikolojia
kutrend
makamu
makamu mwenyekiti
makamu mwenyekiti wa chadema
mitandaoni
mwenyekiti
mwenyekiti wa chadema
sana
taifa
tuhuma
ufisadi
zake
Hawakosi kuposti thread hata kumi kwa siku zote zikimshambulia..
Hawa chawa Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Dr wa Manesi, Retired, Troll J kwa mrengo wao na kujinasibu kwao hujitanabaisha kwa ujasiri na bila kificho kuwa ni wana CCM na watetezi wa Samia Suluhu Hassan wakiapa kuwa hata ikitokea...
Nilikuwa sijawahi kuchangia CHADEMA 'good money' zaidi ya vimichango vya hapa na pale. Sasa kwa kuwa maCCM yanataka kututoa kwenye reli hili viongozi wetu waache kushughulikia mambo ya msingi ya Taifa letu.
Siasa za kijinga zimepitwa na wakati. maCCM yanashindwa kujibu hoja za msingi za...
Mnatuhumiwa kwa tuhuma nzito sana za mauaji ya kimbari yaliyofanyika Oktoba 29 na mkakaa madarakani bila ridhaa ya wananchi.
Mnatuhumiwa kuteka na kuua raia wema akiwemo Humphrey Polepole na wengine wengi.
Kuleta hoja kuwa Heche amekula michango ya Chadema ni ushamba na upuuzi wa kisiasa.
Sakata la tuhuma za ufisadi wa John Heche limechukua sura mpya baada ya mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya kilindi kutamka hadharani kuwa John Heche awapishe na tuhuma zake za Ufisadi na haogopi kufukuzwa ndani ya Chama.
==========
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Mathias...
Huyu naye inasakiwa amepotezwa.
👇
Julius Mbalile Erick (pichani), alikuwa ni Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Murongo Jimbo la Kyerwa mkoani Kagera. Kwa mujibu wa taarifa ya aliyekuwa Mbunge wa CHADEMA, Anatropia Theonest ambayo imetolewa leo, Julius Mbalile Erick alitekwa na kupotea katika...
Taaayari!!!! Jamaa wamezimana maokoto, Heche kawazidi wenzake ujanja, kala tonetone na za wafadhili walioingiza fweza kwenye account yake binafsi. Na Mnyika anadai wapewe ruzuku ya sh. 500m serikalini, serikali ambayo wanasema ni haramu na hawaitambui.
Heche hajui kwamba chadema ni saccos ya...
Kama Mnahalalisha ufisadi wa Heche mjue tu kuwa mnakiuwa chama chenu.
Mnailalamikia CCM kwa ufisadi halafu muda huo huo mnahalalisha vitendo vya uvunjifu wa uaminifu kwa makamu mwenyekiti wenu.
Kama mnamaanisha kuchukua dola na sio mzaha acheni huu ujinga.
Kama kala hela za Chama muondoeni...
Kwasababu ni wazi kwenye baraza kuu la Chadema taifa lililoitishwa kufanyika mwezi September 2026, pataibuka mambo mazito na maazimio magumu sana ambayo yanaweza kupelekea kuitishwa kwa mkutano mkuu maalumu wa Chadema taifa, ambao maamuzi yake, yanaweza kupelekea some political casualties kwa...
Kwa sasa huwezi kumwambia kitu mtanzania yoyote mwenye kiu ya mabadiliko na mwenye chuki dhidi ya ufisadi na uharamia juu ya CHADEMA. Ndio chama pekee ambacho kitawaletea ukombozi watanzania kama mambo hayatabadilika.
Kuna dalili kubwa inayofanya watu kuwa na tashwishi ya kujua je, yale ya...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amethibitisha kuwa fedha zote zinazochangwa na wananchi pamoja na wanachama, ikiwemo mifumo ya kielektroniki na zile za "tonetone" zinazokusanywa mikutanoni, ziko salama kabla na baada ya matumizi.
Mnyika aliongeza kuwa, kwa mujibu wa taratibu za kifedha za...
https://www.youtube.com/watch?v=m-kVFwmIRKE
"Ile ile kauli ya Rais ambaye sisi hatutambui uchaguzi wake ya kusema kwamba wanaharakati wanafanya ugaidi. Ni kauli hatari sana ikiachwa ilivyo na watetezi wa haki kote nchini. Na mimi nasema haya kwa sababu kutokana na taarifa za maandamano ya...
Chadema wakikubali mtego wa CCM kuingia kwenye maridhiano yasiyo na tija watakuwa wamejimaliza wenyewe, madai yao yote yatafunikwa na blanketi la maridhiano.
Chadema itakuwa imejiziba mdomo kwa mikono yake yenyewe kila kitu wataambiwa wasubiri matokeo ya maridhiano.
Maridhiano feki hayana...
- Mfanyabiashara aliyetoroka nchi, anayesifika kutapeli mabenki atajwa kuwa nyuma ya Heche, Mpina na wengine
- Ni mmiliki wa kampuni ya Mafuta Steti Oil inayotuhumiwa kujihusisha na mambo mengi machafu
- Yaelezwa amejiegemesha CHADEMA kuichafua serikali baada ya kukosa zabuni ya kuingiza...
Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani.
Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya...
Kama ni Ishu ya maridhiano tu ndugu zangu Ccm ridhianeni na chaumma au Act ndo iliingia kwenye uchaguzi.
Chadema Haina hata diwani kwanini mnalazimishe waingie kwenye maridhiano wakati Kuna watu wako tayari kina Yeriko na Zito .
Nyie si mnataka TU ionekane mmeridhiana kama kule Zanzibar ingawa...
Tunaamini katika ndoto ya kweli. Ndoto ya haki, ukweli na usawa.
Sasa Chadema tutaifanya ndoto ya watanzania iwe ya kweli.
Chadema hatupo kutaka kugawana madaraka na CCM ndio tuite maridhiano. Tunaamini katika maridhiano ya kweli.
Walioamini kwenye maridhiano ya kugawana ela, vyeo na...
Ni wazi sakata la rushwa na ufisadi wa mali za chama ndani ya Chadema taifa ni kaa la moto, na sasa limechukua sura mpya baada ya viongozi wa chadema ngazi mbalimbali kuanza kuonja joto ya jiwe, ikiwa ni pamoja kusimamishwa na kuvuliwa nyadhifa mbalimbali za uongozi walizonazo baada ya kuhoji...