chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Chadema kusanyeni video zote mnayoteswa na Police, zipelekeni Human Rights Watch na Amnesty International ili dunia ijue

    Huu unyama unatisha sana CHADEMA msikae kimya Chadema kusanyeni video zote mnayoteswa na Police, zipelekeni Human Rights Watch na Amnesty International ili dunia ijue
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Martha Karua kama anadhani anaweza kushughulika na migogoro, aende DRC au ashughulikie matatizo ya Kenya

    Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Stephen Wasira amemkosoa vikali mwanasheria na mwanasiasa wa Kenya, Martha Karua, kwa kile alichokitaja kuwa ni kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, hususan kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Hawa CHADEMA wamekuwa wakitutumia vibaya kwa maslahi Yao binafsi

    Ukweli ni kwamba Hawa watu wamekuwa wakitutumia vibaya kwa maslahi Yao binafsi hasa fundraising,maandamano na wakiapata hawatujali Wametufanya pampers wakitumia wanaitupa huko na kutotueleza namna gani tunaweza tumia fursa zilizopo nchini zilizowekwa na Rais Samia Suluhu na kutufanya tufaidike...
  4. britanicca

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo ndo wanadeka sasa, je nao watapata zamu Kama CUF na CHADEMA?

    Nimekumbuka sana Wakati CUF wanaitwa MAGAIDI , CDM waliitwa IKULU kunywa CHAI wao walijua wanapendwa kumbe enzi hio hawakuwa TISHIO kwa MUUNGANO sasa Leo Goma Limegeuka wao ni Tishio ni Zamu ya ACT sasa kuitwa IKULU kunywa CHAI, hili ni Somo vyama vya upinzani kuungana na kutodhani wanapendwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Irresistible logical conclusion kutokana na matendo yaliyofanywa jana na polisi kwa wafuasi wa Chadema ni ipi?

    1. Naration za waathirika lo makao makuu ya Chadema 2. Waliokwenda kuwa damped ni kule kule ambako maiti nyingi zilionekana miaka yote ya nyuma 3. Aina ya mateso na alama ambazo maiti zinazookotwa coco beach na Ununio ni identcal na za jana! CONCLUSION; matukio yote ya kupotea kwa watu...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yalitaka jeshi la polisi lieleze ni sababu zipi zinafanya mpaka sasa Hilda Newton aendelee kushikiliwa na kutaka aachiwe mara moja

    "Kanusho la polisi kuwa hayuko kituo cha polisi Central itakuwa ni kanusho la uongo kwa kuwa alipelekwa kituo cha polisi Central jeshi la polisi kupitia kwa mkuu wa jeshi la polisi lieleze ni sababu zipi zinafanya mpaka sasa Hilda Newton aendelee kushikiliwa, na aachiwe mara moja kama wanaodaiwa...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu katibu mkuu CHADEMA Zanzibar: Polisi wanavyotufanyia sio kama wanatuvunja moyo, bali wanatutia ujasiri wa kupambana

    "Hivi ambavyo wanatufanyia vitatengeneza visasi vya muda mrefu sana lakini mimi naamini wametufanyia sisi lakini vizazi vyao vitakuja kufanyiwa haya ambayo tumefanyiwa na sisi. Nataka nimwambie Rais Samia kwamba anachokifanya kutunyamazisha ni kosa kubwa sana kwa sababu binadamu yeyote anapitia...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA kanda ya serengeti akieleza mwanzo mwisho walipopelekwa porini kupigwa

    Lucas Ngoto Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Serengeti ni miongoni mwa walikamatwa nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam wakati akitaka kuhudhuria mahakamani hapo kwa ajili ya kusikiliza kesi zilizokuwa zinamhusu Mwenyekiti wa chama hicho...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA Serengeti: Kwanini pale wanapotesea watu, tulipoenda kupigwa ni eneo la jeshi? wanapata wapi kibali cha kwenda kupiga watu?

    "Mimi nina maswali ya kujiuliza na naomba watanzania wote tujiulize maswali haya, kwanini pale wanapotesea watu, tulipoenda kupigwa ni eneo la jeshi? Kama hao watu wanaotupiga ni askari wa kawaida wanapata wapi kibali cha kwenda eneo la jeshi na kwenda kupiga watu, kwanini? Soma Pia: John Heche...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA Serengeti: Tuliambiwa omba Mungu, jikabidhi kwa Mungu, tukaanza kupigwa kipigo cha Mbwa koko, kama vile hawapigi binadamu

    "Tulipofika kwenye vichaka wakamshusha dada Pendo wakaanza kumpiga, kuna askari mmoja alikuwa na nyota kama mbili akaanza kumpiga Pendo kama anaua nyoka na wengine wote tukaambiwa shuka kwenye gari vua viatu ficha uso, na kama unaweza kuomba Mungu omba Mungu, jikabidhi kwa Mungu, tukavua viatu...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amani Golugwa: Hilda Newton bado hajapatikana, Tunachofahamu alichukuliwa na polisi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema mpaka kufikia hivi sasa hakina taarifa za alipo mjumbe wa Baraza Kuu la chama hicho Hilda Newton baada ya kukamatwa siku ya jana akiwa eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar Es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari leo April 25...
  12. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Wosia wa Babu kwa wanaCHADEMA katika Kipindi Hichi Kigumu: Mwenye Kusikia Asikie Lakini anayehitajika ni aliyeelewa

    Kama unashika bunduki na mimi nashika bunduki, tunaweza kuzungumzia sheria. Kama unashika kisu na mimi nashika kisu, tunaweza kuzungumzia kanuni. Kama wote tumekuja mikono mitupu, tunaweza kuzungumzia hoja. Lakini kama wewe una bunduki na mimi nina kisu, ukweli hauko tena katikati yetu—uko...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tuungane kwa pamoja kama Watanzania, bila kujali itikadi za kisiasa, rangi, au dini, na kuitaka serikali iwachilie huru Hilda Newton

    Wananchi Wenzangu wa Tanzania, Hebu tuchukue muda kuangalia hali ya dada yetu Hilda Newton na mtoto wake mdogo hapa nchini Tanzania! Hilda, mwanaharakati, na mwanachama wa CHADEMA, alikamatwa kiholela ndani ya mahakama kwa kosa la kushiriki taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kesi ya...
  14. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ili CHADEMA ifanikiwe malengo yake unaishauri ifanye nini?

    Kuna baadhi ya watu husema CHADEMA inakosea jinsi ya kufanya siasa zake. Jee ili ifanikiwe kisiasa, CHADEMA inatakiwa ifanyeje siasa zake?
  15. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania Ombi langu kwa CHADEMA na vyama vingine vya upinzani

    Wakuu Kutokana na yanayoendelea napendekeza vyama vyote vya upinzani viachane na swala la uchaguzi wawaachie wenyewe wafanye kampeni kivyao,wapige kura kivyao Wanapata nguvu ya kufanya yoote haya kwa sababu wanajua mwsho wa siku kuna watu watakuja kucompete nae kwa ushahidi tuu Sasa ni busara...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sintofahamu yatawala CHADEMA: Siku ya Pili Kada Hilda Newton hajaonekana

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea kumtafuta kada wake Hilda Newton aliyepotea tangu Alhamisi, Aprili 24, 2025, mara ya mwisho akionekana katika viunga vya Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam. Kupitia mitandao ya kijamii, wanachama wa CHADEMA wameeleza wasiwasi wao, wakidai...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche ameelezea tukio la wao kukamatwa na polisi

    Makamu mwenyeki CHADEMA Bara Heche, ataongea na Wanahabari leo. Pia ataelezeza kinagaubaga kilichotokea na kinachoendea na kitakachoendelea. Nitakuwepo mbele kabisa. https://www.youtube.com/watch?v=R7XKhHM8iJg Makamu Mwenyekiti, CHADEMA, JOHN HECHE John Heche ameeleza kuwa hawatokubali...
  18. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi: Tuliimarisha na kuweka ulinzi mkali Kisutu kutokana na matishio ya kiusalama na vitendo vya uhalifu

    Kuhusu suala la usalama Mahakama ya Kisutu kwa ujumla usalama uliimarishwa kwa kiwango cha juu kufuatia taarifa mbalimbali za matishio zilizokuwa zikipatikana kuhusiana na suala la kesi inayomkabili Tundu Lissu tarehe 24/04/2025. Kazi ya kuzuia vitendo vya kihalifu inaendelea kwani hilo ndio...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa tukio la jana la Mahakama ya Kisutu, bado uongozi wa chadema haujawaelewa G55 kwamba ni vigumu kuzuia uchaguzi kwa maandamano?

    Wahenga wanasema, shetani akitaka kukusababishia majanga, kwanza lazima akupe kiburi cha kukataa kila ushauri. Kama unaumwa, kwa makusudi unakataa kwenda hospitali, kama mto umejaa maji, unaambiwa usivuke, kwa kiburi unavuka. Kama ilikuwa ni ku-test theory, jana chadema wameona. Wana chadema...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tusikate tamaa, ukombozi wa Nchi ni Process

    Kamwe, kamwe, kamwe tusikate tamaa. Ukombozi huwa haupatikani kwa njia ya mkato tu. Wakati mwingine ni process ndefu yenye milima na mabonde. Lililotokea leo kwenye kesi ya Tundu Lissu lisitukatishe tamaa, inawezekana ni hatua mojawapo ya kuelekea kwenye ukombozi kamili. Niwaombe sana wale...
Back
Top Bottom