chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo Njombe inaunga mkono kampeni ya CHADEMA ya No Reforms No Election

    Katibu wa cha ACT Wazalendo mkoa wa Njombe Stanley Mbembati amesema chama chao kinaunga mkono kampeni ya chama cha CHADEMA ya No Reforms No Election kwani kama yatafanyika mabadiliko wanayoyahitaji yatanufaisha vyama vyote vya kisiasa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  2. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 MBEYA: Ahamia CCM kutokana na mambo mazuri yalifanywa na chama hiko, ikiwemo ujenzi wa barabara

    Wakuu Mbeya vipi huko ni kweli barabara zimekuwa nzuri kiasi hicho hadi mnarudi CCM? Aliyerudisha kadi ya Chama amesema ameamua kurudi CCM kwani Chadema hawana mipango inayoeleweka na kwamba maendeleo yanayofanywa na Rais Samia jijini Mbeya sio ya kuyafumbia macho. Kupata matukio na taarifa...
  3. Hossam

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha propaganda CHADEMA mmepoa sana!

    Nawashauri kipindi hiki kuelekea Oktoba na hatma ya uchaguzi mkuu jaribuni kuwa active. Wenzenu upande wa pili wako vizuri sana. Vijana wenu hasa kwenye online platforms waambieni wajaribu kwenda na kasi zaidi ya wenzenu upande wa pili. Pangu Pakavu
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Mbozi, Maelfu Wajitokeza Kuunga Mkono

    Taarifa kamili hii hapa, ni kutokea eneo la Vwawa Taarifa zingine zinaeleza kwamba, Wananchi wa hapo wamekubaliana kwa kauli moja kwamba bila Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi hakutakuwa na Uchaguzi.
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Tumeshafanya mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi, CHADEMA hawawezi zuia uchaguzi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Stephen Wasira amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo hakina hoja ya msingi ya kuzuia Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwani kama ni mabadiliko wanayoyazungumza yameshafika tayari. Amesema CHADEMA wao wanasema hawataki uchaguzi mpaka yafanyike mabadiliko...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Siasa za Chadema zinazoambatana na vurugu

    Hali ya wasiwasi miongoni mwa wananchi, wapenzi, na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imekuwa ni jambo la kutia wasiwasi na kujadiliwa sana katika kisiasa nchini Tanzania. Wasiwasi huo unajitokeza kutokana na matukio ya ukandamizaji, vurugu dhidi ya viongozi wake, na...
  7. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira: CHADEMA hawana hoja ya msingi kuzuia uchaguzi, mabadiliko wanayoyazungumza yameshafika tayari

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo hakina hoja ya msingi ya kuzuia Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwani kama ni mabadiliko wanayoyazungumza yameshafika tayari. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Machi 27, 2025 katika...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mch. Msigwa: CHADEMA wanawaza madaraka, husikii wakizungumzia matatizo ya wananchi! 'Reforms' zimefanyika

    Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini na Mwenyekiti wa mstaafu wa kanda ya Nyasa Chadema, akiambatana na Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Ndugu Amos Makalla amebainisha kuwa Chama chake cha zamani kinafaa kupuuzwa kutokana na kutokuwa na ajenda zinazogusa maisha ya wananchi na badala yake...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yaita watia nia wa Ubunge Nchi nzima kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Chama Mikocheni

    Watu wengi wenye upeo wa chini ambao wengi ni wanaccm (sababu zinafahamika) wanadhani kampeni ya No Reform No Election ni mpango wa Chadema kususia Uchaguzi. Ukweli ni kwamba jambo hili si kususia uchaguzi, bali ni kuzuia kufanyika kwa uchaguzi ikiwa hakutakuwa na marekebisho ya utaratibu...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Tunduma yavunja rekodi ya mahudhurio kwenye mikutano ya No Reform No Election Kanda ya Nyasa

    Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa baada ya Mkutano wa Tunduma Jioni ya leo Mengine si lazima sisi kuongeza chumvi ni vema ukajionea mwenyewe.
  11. Joseph Ludovick

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Inamuogopa Makalla

    Amos Makala akipokea wanachama waliotoka CHADEMA na kujiunga CCM Mbeya leo tar 27/03/2025 CPA Amos Makalla Katibu wa NEC Siasa, itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM amegeuka mwiba kwa CHADEMA.Ni mwanasiasa mwenye uzoefu mkubwa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Aliyejipambanua kwa uongozi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanachama CHADEMA Mbeya watimkia CCM

    WANACHAMA CHADEMA MBEYA WATIMKIA CCM MBEYA: Zaidi ya Wanachama wapya 50 wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Mbeya kutoka katika vyama vya upinzani wakitaja kuridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo kuwa sababu ya kukiamini na kuamua kujiunga na chama hicho. Wanachama hao...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dk. Wilbroad Slaa: Sitagombea nafasi yoyote ya uongozi, bali nitaendelea kuwapigania Wananchi

    Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chadema Taifa Dokta Wilbroad Slaa, amesema kuwa kwa sasa hana nia ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi ila atabaki kuwapigania wananchi. Slaa ameeleza hayo wakati wa mahojiano maalumu baada ya kuzuka kwa tetesi zinazoeleza kuwa kurejea kwake Chadema ni kutaka...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, ni kweli watia nia za Urais, ubunge na udiwani wa CHADEMA uchaguzi mkuu hawaielewi No reform No reform, hata waitwe makao makuu?

    Na ikiwa watia nia wana uelewa finyu kiasi hicho hadi waitwe chadema HQ kufundishwa, vipi uelewa wa wanachama wa kawaida wa chama hicho, watakua katika hali gani ya ufahamu kuhusu hiyo no reform no elections isiyo na tija wala faida kwao? Kulikoni kuelekea uchaguzi mkuu wa October, CHADEMA...
  15. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Tukio la Kupigwa kwa Katibu Mwenezi wa BAWACHA, Bi. Sigrada Mligo na Kudhoofika kwa Uongozi wa CHADEMA

    Tukio la kupigwa kwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bi. Sigrada Mligo, na mlinzi wa makamu mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, Noel Ilivale, ni tukio linalosikitisha na linastahili kulaaniwa kwa nguvu zote. Tukio hili linavunja kabisa...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Mnyika ndiye anawasilisha NEC majina ya wagombea wa CHADEMA,uteuzi wake unapingwa, Msajili wa vyama akimtengua, its over!

    Kuna jambo linaenda kimya kimya, chama changu cha Chadema hakijajipanga nalo. Katibu Mkuu wa Chadema ndiye anasaini nyaraka za wagombea wa ubunge na Urais ili ziende Tume ya Uchaguzi. Hata hivyo, kuna mwanachama anasema kwamba Mnyika anashikilia nafasi ya Katibu Mkuu kinyume cha sheria, na...
  17. UHURUWANGU

    JamiiForums Tanzania Ijue Ratiba Rasmi ya Kampeni ya CHADEMA: NO REFORM, NO ELECTION 2025

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezindua kampeni maalum ya siku 48 kwa ajili ya kudai mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kampeni hii, inayojulikana kama "No Reform, No Election", inalenga kuhamasisha Watanzania juu ya umuhimu wa kupata Katiba...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kipigo kwa kada wa CHADEMA ni ishara mbaya kwa cham hicho

    Ninaona vipande vya video vikionesha kada mmoja wa CHADEMA amesulubiwa hadi kukimbizwa hospitali. Taarifa za kuaminika ni kwamba amepigwa na mlinzi wa CHADEMA ambaye alifanikiwa kuvitoroka vyombo vya ulinzi vilivyokuwa eneo la tukio. Kitendo hicho kimeonesha jinsi viongozi waliopo...
  19. Ileje

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM yapata aibu tena Sumbawanga

    Leo ilikuwa zamu ya wilaya za Kalambo na Sumbawanga kutembelewa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Mh. Tundu Lissu ambaye ameendeleza kampeni yake ya No Reforms No Election. Katika jambo la kusikitisha na aibu kubwa tangu jana CCM walizuia magari yote ya matangazo kwa kuwalipa wamiliki wake ili...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya Makalla ingesemwa na kiongozi wa CHADEMA unadhani nini kingetokea? Uhaini? Msajili wa Vyama vya Siasa ametenda haki?

    Wakuu, Naamini wengi kama mimi hatujaelewa kabisa jinsi suala hili linalotishia usalama wa taifa lilivyopita kimya kimya. Ugonjwa kama Ebola ni muda mchache tu kufuta generation ya watu ukiangalia na vile tulivyokuwa duni kwenye suala la afya linapokuja kupambana na magonjwa kama hayo...
Back
Top Bottom