chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tusikate tamaa, ukombozi wa Nchi ni Process

    Kamwe, kamwe, kamwe tusikate tamaa. Ukombozi huwa haupatikani kwa njia ya mkato tu. Wakati mwingine ni process ndefu yenye milima na mabonde. Lililotokea leo kwenye kesi ya Tundu Lissu lisitukatishe tamaa, inawezekana ni hatua mojawapo ya kuelekea kwenye ukombozi kamili. Niwaombe sana wale...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Chadema wamefungwa, Watanzania wengi wanaojinadi wapinzani nyuma ya keyboard hawana habari,upinzani mfikirie upya, mtaumizwa sana

    Muda huu Lissu kadakwa, Heche kadakwa, Mnyika kadakwa, na viongozi wengine wengi wa Chadema. Lakini watanzania wanaojitamba ni wapinzani huko vijiweni na mitandaoni hawana habari, maisha yanaendelea kama kawaida Talk of the town muda huu ni kuhusu nusu fainali ya Simba, Mwijaku, Harusi ya Jux...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Updates: Makamu Mwenyekiti wa Chadema Zanzibar awa Mahututi, Juhudi za kumhamishia Muhimbili au Nairobi zinaendelea

    Taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho Kanda ya Pwani hii hapa. "Katika kundi la watu 13 waliochukuliwa Kisutu kwenda kupigwa maporini Ununio wa kwanza ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar ambaye amepigwa sasa hivi ni mahututi sasa hivi yupo hospitali ya Mwananyamala wanamfanyia rufaa ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Pole wanaCHADEMA waliotumia gharama nauli, malazi nk wa ndani nje ya nchi kuhudhuria kesi ya Lissu Kisutu

    Pole wanaCHADEMA waliotumia gharama zao nauli ,malazi muda nk wa ndani na nje ya nchi kuhudhuria kesi hewa ya Lisu ,mahakama ya Kisutu ambayo haikuwepo wangewekeza kwenye biashara wangekuwa mbali kimaisha Wasirudie tena huo ujinga Wanwache apambane na hali yake
  5. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Wanasema CCM ina wanachama wengi je kama wapo wapi mbona hawana nguvu ya kimtandao kama wenzao CHADEMA?

    Wanasema Ccm ina wanachama wengi je kama wapo wapi mbona hawana nguvu ya kimtandao kama wenzao CHADEMA.? Hapa lipo swali la kujiuliza Sana. Ina maana sisiemu nguvu ya kimtandao kwanini hawana . Ikiwa wanachama wa sisiemu labda hawana smartphone au hawana bundle au hawajui kusoma na kuandika.
  6. Kinumbo

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa CHADEMA

    Napenda kutoa ushauri huu kwa wafuasi wa CHADEMA na wanao kiunga mkono kwa namna moja ama nyingine. Toka uongozi mpya uingie madaraka katika chama hicho yaani mwenyekiti wake Tundu Lissu na makamu wake John Heche kumekuwa na kashi kashi nyingi za hapa na pale. Kwa asilimia kubwa ya wananchi wa...
  7. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania Watanzania wamewapuuza Chadema

    Siku ya Leo Chadema walitangaza kuonyesha dunia wao ni nguvu ya Umma na waliripoti wanachama zaidi ya 10,00 kusafiri kutoka mikoa mbali mbali kuja mahakamani Kisutu Cha Kushangaza wale tuliombiwa walijaza Hotel za Kariakoo, Posta awakuonekana Kisutu Niendelee kutoa Rai Chadema endeleeni...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA: Hadi sasa, hatujui walipo Heche na Mnyika

    Mkurugenzi wa mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa hadi sasa hawafahamu ni wapo alipo John Mnyika na John Heche. Ameandika; "Mpaka sasa, hatujui aliko Katibu Mkuu wetu John Mnyika na John Heche Makamu Mwenyekiti ! Walitekwa waziwazi na maofisa wa maeneo ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema imeshakufa, ilifia hapa

    Kwa huzuni kubwa niseme kuwa chama cha CHADEMA ni kama kimeshajifia. CHADEMA imebaki hasa hasa kwa wanaharakati wa demokrasia tu ila imepoteza kwa kiasi kikubwa uungwaja mkono wa wananchi, huu ni ukweli mchungu. CHADEMA ILIFIA WAPI? Kifo cha CHADEMA kilianza kwenye uchaguzi wa 2015 pale...
  10. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA lazima iwe sauti ya haki na mabadiliko. CHADEMA inaweza kuongoza Watanzania

    Hali ya kisiasa Tanzania sasa ni ngumu, na CHADEMA iko kwenye wakati wa changamoto kubwa. Wananchi wanapigwa na polisi, viongozi kama Tundu Lissu na John Heche wanakabiliwa na ukandamizaji, na haki za msingi zinakiukwa. Hapa kuna ushauri wa kimkakati kwa CHADEMA, kwa uchungu na mwelekeo wa...
  11. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Wako wapi kina Madenge ? mabingwa wa kuitetea CHADEMA kwenye mitandao

    Hawa watu ambao kila siku wamekuwa wakijifanya mabingwa wa kuitetea CHADEMA kwenye mitandao—akina Madenge, Sativa, Mwita, Ntobi na wengine—leo wamekosekana kabisa mahakamani kwenye kesi ya Lissu. Wamekuwa hodari sana kwenye keyboard, wakipiga kelele mtandaoni kana kwamba wao ndio walinzi wa...
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Chadema kuhamasisha watu kwenda mahakamani ni kutumia watu kama ngao, wataumizwa.

    Nimewasikia viongozi wa cdm wakihamasisha wafuasi nchi nzima waende kwa wingi Kisutu kusikiliza kesi ya Lissu, lengo hasa ni nini kuita watu wengi wakusanyike kwenye eneo dogo sana la mahakama ambalo liko kwenye maeneo yenye pilikapilika nyingi za watu? Tunafahamu kuwa chadema ina wafuasi wengi...
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wapo mitandaoni , je hao Chadema walipo mitandaoni ni maroboti sio WATU ?

    Sisiemu huwa hawakubali kuwa hapendwi na kukubalika. Mfano watakuambia kuwa Chadema wapo mitandaoni Sana. Hii hoja mufulisi Ina maana watu waliopo mitandaoni ni maroboti.?
  14. Under-cover

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yaripoti kifo cha mtu mmoja

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Viongozi wa Chama hicho akiwemo Makamu Mwenyekiti, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, na Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi wakiwa pamoja na wengine sita wamefikishwa katika Hospitali ya Mwananyamala kwa matibabu baada ya kupigwa na kutelekezwa na Polisi...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boniface Jacob: Chadema itagharamia gharama za Wafuasi waliojeruhiwa Kisutu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boni Yai, amesema wanachama na makada waliojeruhiwa wakiwa viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, watagharamiwa matibabu yao. Baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema...
  16. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Mahakamani Kesi ya Uhaini na Uchochezi ya Mwenyekiti wa CHADEMA mh Lissu

    Nitakupa Update zote Kutoka Viunga vya mahakama Hapa Kisutu Kaa Karibu na Uzi huu... -------------------------------- Kesi imeanza kusikilizwa Mbele ya Mh. Hakimu Mhini Mawakili wa utetezi wamefika lakini waserikali na mtuhumiwa watakuwa kwa njia ya mtandao. Muda huu anaonekana kwenye screen...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya kukamatwa Kisutu, Naibu Katibu Mkuu CHADEMA-Zanzibar apatikana, adai kupelekwa Pori la Mabwepande na kupigwa sana

    Makamu Mwenyekiti Zanzibar Mhe. Said Mzee Said, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Ali Ibrahim Juma na wengine 10 wakiwemo waandishi wanne walikuwa wamekamatwa mapema leo wameachiwa maeneo ya pori la Mabwepande, Kawe wakiwa wamepigwa na kuumizwa sana na Jeshi la Polisi. Wameumizwa sana na sasa...
  18. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA walipanga kwenda Mahakamani kusikiliza hukumu ya Tundu Lissu au kufanya vurugu?

    Je, CHADEMA walipanga kwenda Mahakamani kusikiliza Hukumu ya Tundu Lissu au kufanya vurugu? Kuna mkanganyiko wa habari kuhusiana na mpango wa CHADEMA kwenda Mahakamani, je Wananchi tushike lipi kati ya CHEDEMA kwenda Kusikiliza hukumu ya Mwenyekiti Tundu Lissu au kwenda kufanya vurugu?
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi watanda Dar es Salaam kuzuia CHADEMA kwenye kesi ya Lissu

    Nimepatwa na mshangao kwa kukuta kila sehemu ya makutano na taa katikati ya jiji la Dar es Salaam ikiwa na magari mawili hadi matatu ya Jeshi la Polisi ambayo yamewasha double hazard na askari wakiwa na silaha wamesimama pembeni ya gari hizo. Hii haina tafsiri zaidi ya hofu dhidi ya Chadema...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Walioupande wa Lissu ni wale waliowahi kupata misukosuko ya mapambano G55 hawajawahi. chunguzeni

    Ukichunguza kwa kina Mrema. Ntobi na wenzake G55 hawajawahi kupata misukosuko na serikali ukiachilia kunywa chai maofisini na siasa laini. Na ndiyo siasa zao za kusaka fursa. Angalia historia ya Lema, Boniyai, Heche, Tundu Lissu,Pambalu,na Rais wa Mbeya Sugu nk. Hili ni kundi gumu silo la...
Back
Top Bottom