chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Reforms wanazozitaka Chadema ni ngumu kiasi gani mpaka zisifanyiwe kazi? Mbona Reforms ni sehemu ya "4R" za Rais Samia lakini CCM wanapinga?

    Hili ni swali ambalo najiuliza. Kama 4R ni falsafa ya Raisi, kwanini chama chake kinapinga Reforms zinazopendekezwa na wapinzani? Badala ya kuchangamsha bongo zao namna ya kuyachukua mapendekezo ya Chadema, nguvu kubwa zaidi imeelekezwa katika kuwabeza, kuwatukana, kuwatisha, na kuwakatisha...
  2. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Ujio wa G55 na mwelekeo mpya wa Chadema

    Wakati uongozi wa Chadema ukikutana na watia nia ya kugombea ubunge na udiwani katika ofisi ya makao makuu jijini Dar es Salaam Machi 3, 2025, kundi hilo linaundwa na wagombea na watiania wa ubunge 55 wa Chadema wa 2020 na 2025, limewasilisha maoni yake kwa maandishi likipinga kampeni ya No...
  3. Gabeji

    JamiiForums Tanzania G55 ya watia nia wa chadema ni waroho wa madaraka. Wamesahau watanzania wangapi wamepoteza maisha kwasbb ya uchaguzi feki!

    Ivi watanzania sijui ni nani alie tuloga? NYERERE angekuwa na roho ya uoga kiasi hiki mpaka leo tusingepata uhuru. Nimesoma hoja zao hao G55, hazina mashiko zaidi ya uroho,ubinfsi, na tamaaa, za madaraka. HAWA G55 wamesahau ni watanzania wangapi wamepoteza maisha ,kutekwa, vilema, masikini...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mgawanyiko Chadema kwa maslahi ya nani

    Inashangaza kuona mgawanyiko wa makundi ndani ya chadema swali muhimu kwa maslahi ya nani?
  5. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tunavyo vyama vingi, tusiwabembeleze chadema kushiriki uchaguzi

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.Emmanuel Nchimbi amesema kuwa ni kosa la kisheria na kikatiba kukilazimisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kushiriki uchaguzi bali kiungwe mkono kwenye msimamo wao wa kutoshiriki.
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?

    Wakuu Je, Mbowe yupo nyuma ya yanayoendelea kati ya wagombea na watiania wa ubunge 55 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa 2020 na 2025 maarufu G55 wanaowakilisha zaidi ya watiania 200, wakiwemo viongozi wa juu wa chama hicho dhidi ya uongozi wa sasa chini ya mwenyekiti wao Tundu...
  7. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wale ambao wanakataliwa kugombea Ubunge kupitia Chadema. Kuna Vyama vingi tu msikonde

    Mi nadhani ukiona CHADEMA wanasema No Reforms No Election. Njoo CCM, TLP, ACT, CUF, NCCR, CHAUMA n.k mbona rahisi sana. Haina hata haja ya kujiuliza mara mbilimbili. Hii kauli mbiu alianzisha Mbowe mwenyewe na ushahidi upo. Imeonekana hakuna reforms basi kusiwe na Election. Mbona rahisi sana...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Emmanuel Nchimbi: Msiwalazimishe CHADEMA kushiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya...
  9. hp4510

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukimsikiliza Lissu kwa Umakini, Utagundua kuna kiongozi mkubwa yuko nyuma ya CHADEMA

    Wakuu mambo vipi? Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea Utagundua kitu Fulani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali yuko nyuma yao And I think wanaplan moja kubwa ambayo so far serikali haijajua Possibly wakaja...
  10. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Godwin Mollel: Watanzania wana akili, CHADEMA wakiendelea hivi Chama kitakufa, watakumbuka busara za Mbowe

    Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameweka video hii na kuambatanisha na ujumbe huu: "Hii ndio reform Watanzania wanataka Siyo zile reform za Lissu na Heche , Watanzania wanaakili ...
  11. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA waendelea kutimkia CCM, Kingozi wa BAVICHA Songea ahamia CCM, aitaja 'No Reforms No Election' asema ni maneno ya vita

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, Khalifa Mtukura amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa miongoni mwa wanachama 26 waliohama kutoka vyama vya upinzani. Mtukura ametangaza uamuzi huo wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel...
  12. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nayaona haya kwa Tundu Lissu na CHADEMA nikiwa kama 'political strategist'

    Nikiwa kama 'political strategist' nimetafakari na kuchambua hali ya siasa za upinzani hususani CHADEMA kuelekea uchaguzi Mkuu na nimeona yafuatayo: Kwanza ,nimeona kuwa upinzani wote watashiriki uchaguzi kikamilifu na kwa kiwango kikubwa. Hapa CCM haitakiwi kubweteka na wanajipanga kwa mbinu...
  13. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA wanafahamu hata wakishiriki uchaguzi hakuna msimamizi atawatangaza kushinda hata kata moja licha jimbo

    Kama mwaka jana wagombea wa Chadema na ACT waliondolewa uchaguzi wa serikali za mtaa unadhani wasimamizi wale wale wataweza kumtangaza diwani wa upinzani? Uchu wa madaraka umekuwa mkubwa lakini undugu na ufamilia umeongezeka sana nchini jambo ambalo linapelekea utu kuondoka mioyoni mwa wajukuu...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Wanasema ‘No Reform No Election’ unaashiria uasi, na tupo tayari kufanya hivyo

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Tundu Lissu, amesema wako tayari kufanya ‘uasi’ ili kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu usifanyike. Lissu ametoa kauli hiyo leo, katika Mkutano kati ya Uongozi wa Juu na Wanachama wenye nia ya kugombea Uongozi mbalimbali...
  15. econonist

    JamiiForums Tanzania Gabriel Mwita wa CHADEMA unataka Nini?

    Gabriel Mwita wa CHADEMA unataka Nini? Nina swali moja Kwa huyu kada wa CHADEMA Gabriel Mwita , Je Gabriel Mwita unataka Nini?. Kwanza, nakuuliza Gabriel Mwita unataka nini kwa sababu maamuzi ya kupitishwa kwa tamko la no reforms no election yalifanywa na vikao vyote halali vya Chama. Kuanzia...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wamechanganyikiwa. Hali tete sana

    Nimeelezwa na mnyetishaji wangu kuwa kimbunga cha vijukuu wawili wa Mungu, Tundu Lissu na John Heche kimeleta tafrani isiyo ya kawaida huko CCM. Support kubwa waliyopata CHADEMA kwenye mikutano waliyofanya Kanda ya Nyasa tu inasemwa kusababisha watu kulala na viatu huko CCM. Kujitokeza kwa...
  17. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Buchosa: Makada 8 CHADEMA watimkia CCM, Shigongo amtaka mmoja wao kueleza mateso aliyoyapitia CHADEMA

    Makada nane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la Buchosa wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hatua hii imetokana na kuridhishwa na kazi zinazotekelezwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo. Miongoni mwa...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchome wa Chadema atangaza kugombea Ubunge bila kujali harakati za "no reforms, no election"

    Mwenyekiti mstaafu BAVICHA mkoa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ametangaza nia yake ya kugombea Ubunge bila kujali harakati za Chama chake, CHADEMA za kuzuia Uchaguzi kama hakutakua na Mabadikiliko. Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa X, Mchome mwanachama wa...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Dhambi ya kupuuza ushauri wa Lucas Mwashambwa itawatafuna sana CHADEMA.

    Kwa mnyukano unaoendelea ndani ya chama kinachoongozwa na adui wa demokrasia Tundu Lissu ni wazi kuwa laana mbalimbali za kupuuza ushauri uliwahi kutolewa na wabobezi wa siasa za nchi hii nikiwemo mimi, Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah zinawatafuna kwa sasa. Mwaka 2021 nilitahadharisha kuwa bado...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Wagombea wa Ubunge CHADEMA kukusanya Saini milioni 15 kupinga Wizi wa Uchaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amewataka wale wote wanaotaka kugombea ubunge kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuchukua fomu za maoni na kwenda nazo majimboni kwa ajili ya kukusanya saini za Watanzania. Kupata matukio na...
Back
Top Bottom