Habari,
Nimekuwa kimya kwa miaka mingi, kutokana na miangaiko ya hapa na pale.
Lakini kila ninapopita mitaani, vichochoroni na kwenye madimbwi ya maji na kutana na neno hili 'KAMANDA" nikirudi kwenye Uso kitabu, X, Insta, nikienda JF nakutana na neno hili "KAMANDA". Yaani mtu hata chakula chake...