Chadema ya Lisu haiwezi kuwa kama Chadema ya Mbowe.

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,541
Reaction score
9,498
Hakuna ubishi kuwa tangu Lisu achukue nafasi hiyo kwa figisu kali dhidi ya Mbowe, Chama kimepoteza mvuto na ushawishi.....kadiri siku zinavyo zidi kusonga mbele ndivyo athari ya kukosekana kwa Mbowe inavyo zidi kuonekana, chama kimepwaya sana, kimepoteza nguvu na ushawishi.
tuache masihara Mbowe alikuwa MUHIMILI mkuu ndani ya Chamdema.
 
Wazee wa nyama na pombe za bure wamepukutika,,,,, kina ntobi, Yericco, Martin, Boni yai n.k ! On a serious note,,,, upinzani ni kama haupo Tz, ni jina tu ! JPM Aliuzima 2020, usiulize aliuzimaje
 
Figisu tena? Kulikuwa na figisu pale?

Kwann ccm hamtaki kukubali Lissu alishawashindaga tu? Mtaishi na kumuwaza hadi lini?

Tangu ile siku kaponyoka kwenye zile risasi 30 ilitakiwa mkubali tu kashawashinda huyu
 
Kama CCM ya wasira na CCM ya Kinana, Upo sahihi
Mmoja anasinzia mwingine
 
Hakuna ubishi kuwa tangu Lisu achukue nafasi hiyo kwa figisu kali dhidi ya Mbowe, Chama kimepoteza mvuto na ushawishi.....kadiri siku zinavyo zidi kusonga mbele ndivyo athari ya kukosekana kwa Mbowe inavyo zidi kuonekana, chama kimepwaya sana, kimepoteza nguvu na ushawishi.
tuache masihara Mbowe alikuwa MUHIMILI mkuu ndani ya Chamdema.
CCM ni genge la wezi wa mali na kodi za watanzania
 
Hakuna ubishi kuwa tangu Lisu achukue nafasi hiyo kwa figisu kali dhidi ya Mbowe, Chama kimepoteza mvuto na ushawishi.....kadiri siku zinavyo zidi kusonga mbele ndivyo athari ya kukosekana kwa Mbowe inavyo zidi kuonekana, chama kimepwaya sana, kimepoteza nguvu na ushawishi.
tuache masihara Mbowe alikuwa MUHIMILI mkuu ndani ya Chamdema.
Wacha wee...
 
Figisu tena? Kulikuwa na figisu pale?

Kwann ccm hamtaki kukubali Lissu alishawashindaga tu? Mtaishi na kumuwaza hadi lini?

Tangu ile siku kaponyoka kwenye zile risasi 30 ilitakiwa mkubali tu kashawashinda huyu
Kutoa mada upo sahihi, sababu mojawapo kuu ya Hali kuwa hivyo ni uwepo wa wanachadema weeengi wabwatukaji wasiotumua (au hawana) akili kama huyu hapa. Hebu angalie jibu lake la kimipasho kwanza Huku akionekana kimlilia huyo lissu wao kwa sauti inayosikika kama inapitia piani hv.
 
Hakuna ubishi kuwa tangu Lisu achukue nafasi hiyo kwa figisu kali dhidi ya Mbowe, Chama kimepoteza mvuto na ushawishi.....kadiri siku zinavyo zidi kusonga mbele ndivyo athari ya kukosekana kwa Mbowe inavyo zidi kuonekana, chama kimepwaya sana, kimepoteza nguvu na ushawishi.
tuache masihara Mbowe alikuwa MUHIMILI mkuu ndani ya Chamdema.

Sasa si ndiyo vyema zaidi kwenu ma CCM, au?
 
Figisu tena? Kulikuwa na figisu pale?

Kwann ccm hamtaki kukubali Lissu alishawashindaga tu? Mtaishi na kumuwaza hadi lini?

Tangu ile siku kaponyoka kwenye zile risasi 30 ilitakiwa mkubali tu kashawashinda huyu

Usisahau kuna tuhuma nzito zilitolewa na mwanachama mwandamizi Wenje kuwa kulikuwa na mipango ya kumpindua Mbowe iliyo ratibiwa na Lema wakati Mbowe akiwa gerezani......figisu zilianzia hapo zikiambatana na kumtuhumu Mbowe kwa mambo kadhaaa.....ya uongo.
 
Chama kinaongozwa na dikteta Lissu, anaewazuia wanachama wake kugombea, huo mvuto utatoka wapi?

Chama kinakuwa na mvuto kinaposhiriki chaguzi za kushika dola.
 
Hakuna ubishi kuwa tangu Lisu achukue nafasi hiyo kwa figisu kali dhidi ya Mbowe, Chama kimepoteza mvuto na ushawishi.....kadiri siku zinavyo zidi kusonga mbele ndivyo athari ya kukosekana kwa Mbowe inavyo zidi kuonekana, chama kimepwaya sana, kimepoteza nguvu na ushawishi.
tuache masihara Mbowe alikuwa MUHIMILI mkuu ndani ya Chamdema.
Subiri afikishe miaka ishirini (ya uongozi) kama aliyoongoza Mh. Mbowe ndo umlinganishe, mbona mapema sana hivi kufanya comparison! Umetumia kigezo gani?
 
Hakuna ubishi kuwa tangu Lisu achukue nafasi hiyo kwa figisu kali dhidi ya Mbowe, Chama kimepoteza mvuto na ushawishi.....kadiri siku zinavyo zidi kusonga mbele ndivyo athari ya kukosekana kwa Mbowe inavyo zidi kuonekana, chama kimepwaya sana, kimepoteza nguvu na ushawishi.
tuache masihara Mbowe alikuwa MUHIMILI mkuu ndani ya Chamdema.
Mbona katiba ya ccm ili kiukwa pale dodoma na hamsemi na kupaza sauti ? Au ile haikuwa figisu?
Mbona mlikuwa mnasema mbowe ni kiongozi wa kudumu na chadema ni SACCOS yake na sasa mnalialiq alivyoondolewa kidemokrasia?
Unapoteza muda kujadili chama kilichopoteza mvuto? Kwann usijadili UDP au TLP?
 
Back
Top Bottom