chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Mkalukungone Mwamba

    Odero: Hakuna kikao cha CHADEMA kilichoazimia kukataa Maridhiano

    Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) Odero Charles Odero anadai kwamba hadi sasa hakuna kikao chochote rasmi kilichofanyika ndani ya chama hicho ambacho kimeazimia kwamba chama hicho hakitashiriki maridhiano yanayotarajiwa kufanyika hapa nchini siku za usoni, Soma Pia: Odero...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Mbowe, Lissu, Heche, Lema, Mnyika na Sugu wanazeeka, sioni Chipukizi mwenye Hekaheka na uwezo mwenye miaka 25-40. CHADEMA wanampango upi?

    Hamjambo. Nimeona viongozi wa Chadema. Asilimia tisini wapo juu ya miaka 50+ huko. Kwa umri huo sio umri tena wa kufanya harakati zile za hekaheka. Harakati zinazohitaji nguvu kubwa ya Mwili, akili na kuongea. Viongozi hao kimsingi wamejitahidi katika maisha Yao yote ya ujana kupigania kile...
  3. Mafyangula

    Wakili Marijani: Mnyika ameupotosha Umma, shauri la mgawanyo wa mali wa CHADEMA

    Wakili mwandamizi Shaban Nsato Marijani ameeleza kuwa kilichozungumzwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia (CHADEMA), John Mnyika kuhusu wigo wa shauri la mgawanyo wa mali ni upotoshaji. Wakili huyo amefafanua kuwa msimamo ukiotolewa awali haujawahi kubadilika mpaka pale Mahakama itakapoamua...
  4. L

    CHADEMA kujenga ofisi ya makao makuu ndogo Dodoma

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ametembelea kiwanja kinachotarajiwa kujengwa ofisi za Kanda ya Kati ya chama hicho kilichopo Kata ya Ipagala, Mtaa wa Ilazo jijini Dodoma. Akizungumza katika eneo hilo, Heche amesema ofisi hiyo itakuwa makao makuu ndogo pamoja na ofisi nyingine...
  5. The Palm Beach

    MKURUGENZI WA SHERIA CHADEMA: Mrejesho wa shauri la marejeleo Na. 8323/2026 na Kesi ya Msingi ya mgawanyo wa mali na maombi madogo Na. 8960/2025

    Mahakama ya Rufaa, iliyoketi jijini Dodoma jana ilipata maelezo kutoka kwa mawakili wa wadawa kuhusiana na marejeo ya shauri la madai Na. 8323/2026 shauri la msingi, pamoja na Maombi madogo namba 8960/2025 maombi ya zuio kwa Chama kufanya shughuli za kisiasa na kutumia mali za chama. Kuhusiana...
  6. Parabolic

    Hoja nne za CHADEMA Mahakama ya Rufani katika mapitio kesi ya mgawanyo wa mali

    Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dk Rugelemeza Nshala amefafanua hoja nne walizowasilisha katika Mahakama ya Rufani katika marejeo ya kesi ya mgawanyo wa mali za chama hicho, leo Machi 24, 2026. Hoja hizo ni pamoja na ukomo wa muda wa mgogoro unaobishaniwa, thamani ya mali zinazotakiwa kugawanywa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    Mnyika: Wana CHADEMA endeleeni na shughuli za siasa

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameeleza kuwa mwenendo wa shauri la maombi ya marejeo ya mwenendo wa kesi ya mgawanyo wa mali za chama umeendelea kufichua ukweli kuhusu tafsiri sahihi ya amri ya zuio lililotolewa Juni 10, 2025. Akizungumza mara baada ya...
  8. Tlaatlaah

    Hivi Chadema ina mwanasheria kweli?

    Hayupo, hana uwezo au viongozi wa Chadema masalia hawamuamini? Kulikoni viongozi wa Chadema masalia ndio wanabwabwaja zaidi mambo ya kisheria zaidi ya mwanasheria mwenyewe? Kama yupo, sidhani kama anaweza kuwasaidia chochote kuhusu sheria na Chadema masalia wakafanikiwa. Mungu Ibariki Tanzania.
  9. Mkalukungone Mwamba

    Dkt. Nshala: Afunguka yaliojili kwenye kesi ya mgawanyo wa mali wa CHADEMA

    Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Rugemeleza Nshala, akizungumza kwa niaba ya Jopo la Mawakili wa Chama hicho amesema kuwa Mahakama ya Rufaa imesikiliza na kupokea hoja zote za maombi ya marejeo ya mwenendo wa kesi ya mgawanyo wa mali za chama hicho, kesi...
  10. DodomaTZ

    Nini kipo nyuma ya pazia mfululizo wa misukosuko ya Chadema?

    Katika siasa, mara nyingi matukio makubwa huanza kama ishara ndogo, lakini zenye ujumbe mzito uliojificha ndani yake. Kwa kipindi cha takribani mwaka mmoja sasa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimekuwa kikikabiliwa na mfululizo wa matukio mbalimbali hasa misukosuko ya kisiasa na...
  11. Zack Abdul

    Tibaijuka, umekosa haya? Mahakama ni chombo huru na muhimu, omba kadi ya CHADEMA lakini sio kuhamasisha vurugu

    Katika hali isiyo ya kawaida, Kwa kauli na mienendo yake ya hivi karibuni, Anna Tibaijuka ameonesha wazi kukosa haya kwa kiwango cha kutisha, anafanya mambo ambayo hata mtoto mdogo hawezi kufanya. Ni jambo la kusikitisha na la hatari kuona kiongozi wa umma mstaafu akitoa matamshi yanayochochea...
  12. Parabolic

    Profesa Tibaijuka aitabiria ushindi CHADEMA

    Waziri wa zamani na kada wa CCM Profesa Anna Tibaijuka ameitabiria ushindi CHADEMA, akisema katika misukosuko inayopitia ikiwa pamoja na tishio la kufutwa, chama hicho kitashinda. Katika andiko lake lenye kichwa cha habari: "MAWAKILI WA CHADEMA WAKIWASILI DODOMA KUTETEA CHAMA CHAO" aliloliweka...
  13. I

    Tibaijuka, umekosa haya? Mahakama ni chombo huru na muhimu, omba kadi ya CHADEMA lakini sio kuhamasisha vurugu

    Katika hali isiyo ya kawaida, Kwa kauli na mienendo yake ya hivi karibuni, Anna Tibaijuka ameonesha wazi kukosa haya kwa kiwango cha kutisha, anafanya mambo ambayo hata mtoto mdogo hawezi kufanya. Ni jambo la kusikitisha na la hatari kuona kiongozi wa umma mstaafu akitoa matamshi yanayochochea...
  14. Idugunde

    PostGE2025 Vurugu za Oktoba 29 zilifanywa na wanaCCM waliopinga rais Samia kupitishwa na mstaafu Kikwete bila mkutano mkuu, sio CHADEMA

    Ukweli ndio huu CHADEMA haujahusika na vurugu na wala haikushiriki kabisa. Lissu alikuwa jela hiyo Oktoba 29 na Heche alikiwa jela. Hawakuhamasisha mtu. WanaCCM ambao mpaka leo walishachukia mstaafu Kikwete kumpitisha rais Samia bila kufuata utaratibu wao wanaCCM ndio walihamasisha vurugu hiyo...
  15. Tlaatlaah

    Hivi Chadema bado ipo?

    Wanajishughulisha na nini kwa sasa baada ya kuachana na masuala ya kisiasa na kua kituo cha mamluki na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi katika eneo la maziwa makuu? Na je, shughuli zao hizo za ukuwadi wa mabwenyenye ya magharibi bado wanazifanyia Nairobi au wamezihamishia DRC? Na wale vijana...
  16. Troll JF

    CHADEMA isipojirekebisha, ina hatari ya kuwa kama kuku aliyekatwa kichwa

    Chadema iko katika hali mbaya mno kwa sasa, imefika wakati vijana ambao ndio tegemeo la chama wamekuwa wendawazimu, TWAHA MWAIPAYA badala ya kujenga hoja na kukosoa kwa fact Leo Twaha, ameshindwa kutofautisha maendeleo ya awamu ya sita na kipindi awamu ya tatu ya serikali ilipokuwa inaanzisha...
  17. Samia atosha tukutane2030

    CHADEMA ikifufuka tena ndani ya hii miaka 10 kuanzia 2025- 2035 nitagawa kila ninachomiliki kwa wenye uhitaji na nitaacha kazi

    Haijalishi wananchi wataipenda CCM au wataichukia kama wanavyoichukia sasa ila CHADEMA ndio basi tena imekufa.. Siasa ni mchezo mchafu na CHADEMA wamepigwa kijanja wamezima mazima. Kwa miongo takribani miwili wananchi waliiona CHADEMA kama kimbilio lakini tangu October 29 masaibu waliyopitia...
  18. kavulata

    Tumtengeneze Mwigulu kuwa Rais bora ajae

    Ninaziona kwake dalili njema za yeye kuwa Rais ajae. Sijui wewe kama huzioni. https://www.youtube.com/live/J_snXwqMPgU?si=9KenaV6X_GGepwnA
  19. Allen Kilewella

    Vibaraka wanaisambaratisha nchi lakini CCM wapo bize na CHADEMA

    Wakati vibaraka wa mabeberu wanasaini mikataba ya hovyo hovyo inayowatia hasara watanzania na Tanzania, chama kinachoongoza nchi Kiko bize kuishambulia CHADEMA. Wakati mabilioni ya fedha za umma yanaibwa ama na watumishi wa umma au watu binafsi, CCM iko bize kupambana na BAWACHA. Tanzania...
  20. Pakome

    Shutuma mpya kwa CHADEMA, wanachama wa Zanzibar wanadai Ruzuku pamoja na kupinga ubaguzi wa Dini, Ukabila & Muungano

    Shutuma mpya kutoka kwa CHADEMA Zanzibar wanadia kuwa CHADEMA haipeleki Ruzuku Zanzibar Wanachama wa Zanzibar hawaishii hapo vilevile wanadai kuwa CHADEMA imekithiri ubaguzi wa dini wakidai kuwa tangu kuanzishwa kwake haijawahi kumpa nafasi ya uenyekiti mwanachama wake wa dini ya Kiislamu...
Back
Top Bottom