cctv

  1. Waufukweni

    Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) yakanusha taarifa usajili wa CCTV kwa watu binafsi

    Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imebaini kuwepo kwa taarifa zisizo sahihi zinazosambazwa mitandaoni kuwa kila mwenye kamera za usalama (CCTV) anatakiwa kujisajili na Tume hiyo. Kupitia ufafanuzi wake, Tume imeeleza kuwa si kweli kwamba kila mtu binafsi mwenye kamera za CCTV anatakiwa...
  2. figganigga

    Serikali yapiga marufuku kutumia CCTV Camera bila usajili. Je, ni kuwalinda wasiojulikana?

    Habari za muda huu wana-JF, Kuna taarifa muhimu sana kutoka Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) ambayo kila mwenye biashara, ofisi, au anayetumia CCTV nyumbani kwake anapaswa kuijua mapema ili kuepuka faini na mkono wa sheria. Kwa ufupi, kulingana na sheria ya sasa, ni kosa kisheria...
  3. I

    Mnaofunga CCTV na mnaotumia mnijibu hili swali

    Je, kuna CCTV camera ambazo ukizifunga zinaweza kukupigia alarm wakati ambao wewe ungetaka ifanye hivyo? Mfano usiku, ninalala saa 5, kwa hiyo kuna option ya kuset kwamba kuanzia hiyo saa 5 usiku ninapolala hadi saa 11 alfajiri, akitokea mtu au kiumbe kikapita nje ya nyumba yangu au kusogea...
  4. Fbn

    Lengo lao la kutaka CCTV camera ziwe na usajili ni nini?

    Turudi nyuma tukio la lissu kupigwa risasi eneo wanapoishi wabunge.CCTv zote ziliondolewa na kulikuwa hakuna usajili. Nilichogundua sehemu zita kazokuwa na CCTv wakifanya utekaji wao wataweza kuzibiti taarifa na kukanusha kama hakuna tukio. Na huu usajili utaweza kujua jirani ,location na wapi...
  5. Fbn

    Hivi kwanini likitokea tukio ambalo serikali imefanya CCTV za jirani zinachukuliwa kwa nguvu na wewe unaunganishwa kwenye kesi

    Matukio Tanzania yanatisha sana. Sehemu ambayo iliona tukio la wavaa soski na bunduki tena ni serikali wakijua kuwa umeonesha walichokifanya basi umekwenda na maji. Kwa sasa kabla ya kwenda kuteka watu wanachunguza nyumba za majirani kama zina CCTV na wakijua na wewe unakuwa mmoja wa kesi zao.
  6. M

    RC Chalamila: Tunafanya utafiti tusajili CCTV Camera ili unachokiona na sisi tukione

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema kwasasa wanafanyia utafiti camera zinazofungwa majumbani kwa watu au sehemu mbalimbali nazo zisajiliwe kama ndege ambazo hazina rubani(drones) kwa sababu baadhi ya camera hizo hutumiwa vibaya na watu kuchunguza maisha ya watu binafsi...
  7. Fbn

    Mbinu za kujisafisha kwa mataifa mengine zinvyozidi kuonesha udanganyifu wenu serikali ya CCM. Na hili la UN limebuma

    Picha anayoonyesha Kombo baada ya kumbabatiza Katiba Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayosema ni ofisini kwa Katibu Mkuu, siyo kweli. HAIKUWA OFISINI kwa maana nyingi, hakuna, Mkutano rasmi wa Kombo na Katibu Mkuu uliofanyika hili alipokea document tu Mazingira ya ofisi za Katibu Mkuu wa UN ni...
  8. M

    GE2025 Kuna video ya CCTV inaonyesha polisi wanapiga vijana lakini kuna kivuli kinatembea kwa nyuma. Je, kuna matumizi ya AI?

    Angalia kwenye barabara, kuna kiumbe hakionekani vizuri kinatembea Isije ikawa wataalam wa ku edit videos na kutumia AI wapo kazini Kufikia sekunde ya 37, utaona kiumbe kingine kikionekana upande wa pili wa gari nyeusi, kikikimbilia kuelekea kwa mwenzake karibu na gari hilo. Baada ya hapo...
  9. M

    Polisi wanalazimisha biashara ns nyumba zenye cctv kufuta picha.

    Kama una cctv ambayo imechukua picha zozote za maandamano, tafadhali hamisha hizo picha haraka na kuzitunza. Wanataka dunia isijue kilichotokea. Kama una ndugu Unajua ana cctv mfikishie ujumbe. Wa record hizo taarifa zote na kuzificha. Polisi wanaanza kupita kwenye biashara za watu kufuta...
  10. Ashampoo burning

    Wizi wa Karne! Benki Kuu Yaibwa Bila CCTV Kuona – Hela Zaidi ya Bilioni 180 Tsh Zimepulizwa

    Tarehe 8 Agosti 2005, Jumatatu pale Ceará, Brazil – mambo yalilipuka! Wakati walinzi wa benki walikuwa kwenye ukaguzi wao wa kawaida ndani ya chumba cha hazina, wakakutana na kitu cha ajabu sana. Mbele yao, shimo kubwa limetobolewa sakafuni, na kumbe si mchezo – zaidi ya tani 3.5 za hela...
  11. Mwanza CCTV CAMERA

    Fundi CCTV camera, Mwanza

    Offer offer offer!!!! Pata complete set ya cctv camera 4 ikiwa na vitu vyote pamoja na ufundi kwa bei ya 750,000 tu ✓ufundi bure ✓tunamfata mteja popote alipo kwa gharama Zetu ✓camera zetu ni high quality ✓zina nasa sauti hivyo unaweza kusikiliza maongezi ✓zina mwanga mzuri hata kama ni...
  12. Mwanza CCTV CAMERA

    Tunafunga CCTV Camera, tupo Mwanza

    Tunafunga CCTV camera, alarm systm, Electric Fence, Remote gates nk Tunafunga camera za ulinzi majumbani, maofisini, mashuleni, hospitali, migodini, mashambani nk. Tunaunga mifumo yote kwenye sjmu ya mkononi hivyo utaweza kuona matukio yote kwenye simu yako ukiwa popote pale. Tunafunga fensi...
  13. M

    Cctv video: Kuweni makini mnapokuwa mnarudi majumbani usiku, Anusurika kuvamiwa na majambazi Getini

    Hii imetokea 10/08/2025, Goba madale karibu na Joy Eslava , mdada alikua anasubiri kufunguliwa geti alisahau remote ndani. Wakati anasubiri, hao jamaa wa boda wakamvamia. aliweza kuwakimbia ila kaumia mkono walimkata na kisu, pia kaumia jicho, vioo viliingia kwenye jicho moja. Asubuhi amesema...
  14. D

    Huduma za ufundi wa vifaa vya electronics na umeme

    Karibu kwa huduma ya ufundi wa vifaa vyote vya electronics na umeme, kwa ufundi wenye uhakika bila ubabaishaji na uaminifu wa hali ya juu. Vifaa hivyo ni kama;- Tv aina zote, Projectors, Amplifiers, mixers, Vinanda, Machine za kufulia, machine kubwa na ndogo za kuprint, machine za mazoezi...
  15. W

    Mtaalamu aliyevuruga mfumo wa CCTV kwenye kituo cha polisi alichoshikiliwa Ojwang' kwa malipo ya Ksh 3,000 amekamatwa

    Mtuhumiwa wa pili amekamatwa kuhusiana na mauaji ya kikatili ya mwalimu mwenye umri wa miaka 31, Albert Ojwang’, hatua inayozidi kuongeza uzito wa uchunguzi wa tukio hilo la kusikitisha. Vyanzo vya karibu na Citizen Digital vimethibitisha kuwa fundi aliyedaiwa kuvuruga mfumo wa CCTV katika...
  16. Fbn

    Inakuwaje CCTV ikaweza kuona majini na wachawi ila waganga wakashindwa kutuonesha

    Kama umefunga CCTV majumbani na kwengine muwe mnapitia rekodi mtakuja kugundua mengi sana. CCTV inauwezo gani wa kujua mpaka muriro kapita.
  17. V

    Imarisha ulinzi wa mali zako nyumbani na ofisini kwa kufunga CCTV CAMERA leo.

    Karibu tukufungie cctv camera leo kwa ubora wa hali ya juu na kwa gharama nafuu. Huduma zetu ni za uhakika na tunazingatia mahitaji ya mteja. -Tunazo camera nzuri zinazoonyesha picha nzuri 24/7 Tunazo brand maarufu za Dahua na HIk Vision Tunatoa mafunzo bure kwa mteja jinsi ya kutumia na...
  18. V

    Je unahangaika kupata huduma ya kufunga cctv camera kwa ajili ya ulinzi wa mali zako? Karibu tukuhudumie.

    Nenda kidigitali na ishi kwa amani bila kuhofia usalama wa mali zako nyumbani au ofisini kwa kufunga Cctv camera leo. Tunazo camera nzuri za kisasa zinazoonyesha picha nzuri usiku na mchana zenye 2MP Tunao mafundi wazuri wenye uzoefu wa kutosha Tunazo brand maarufu za Dahua na HIk VISION...
  19. V

    Funga Cctv camera kwa ulinzi imara

    Ishi bila wasiwasi kwa kufunga Cctv camera nyumbani au ofisini kwako. Tunao ujuzi na uzoefu wa kutosha na tunafunga camera zenye ubora wa hali ya juu. Utaona picha angavu zenye rangi usiku na mchana. Tupigie kupitia simu namba 0764308320 . Karibu tukuhudumie.
  20. V

    Karibu ujipatie huduma ya cctv camera

    Imarisha ulinzi wa nyumba ,ofisi au sehemu ya biashara kwa kufunga Cctv camera. Tunazo camera zenye ubora zinaonyesha picha angavu( HD) hata usiku. Pia unaweza kuangalia matukio yote kupitia kwenye simu yako ya mkononi ukiwa popote. Bei zetu ni nzuri na tunao mafundi wazuri wenye uzoefu wa...
Back
Top Bottom