ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Makada wanne wajitokeza kumrithi Ndugai

    Wagombea 24 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamechukua fomu kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa, kufuatia kifo cha aliyekuwa Spika wa Bunge mstaafu na Mbunge wa jimbo hilo, Hayati Job Ndugai. Tukio hilo limefanyika jana, Agosti 12, 2025. Hatua hiyo inafuatia uamuzi wa...
  2. JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI | Zitto: Kikwete aliniita akaniambia ukisema leo unakuja CCM kesho nakupa 'Uwaziri wa Fedha'

    Mwanasiasa mkongwe na Kiongozi wa ACT Wazalendo aliyemaliza muda wake ameeleza kuwa sababu kubwa ya kuanzisha ACT-Wazalendo ilitokana na changamoto zilizuibuka katika chama alichokuwamo yaani CHADEMA mwaka 2012 baada ya kuanza kuundiwa mizengwe. Anasema alipofukuzwa katika chama hiko moja ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa hili la Yanga CCM wajitafajari upya hakika wanachukiwa hakuna mfano

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Sijawahi kuwaona mashabiki wa yanga wakimtukana matusi ya nguoni Rais wao heris said ila jana alioga matusi si mchezo Walidiriki kwenda mbali wakimtaka aachie kabisa nafasi ya urais pale yanga Na wao kama mashabiki wako tiari kukaa hata...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga ifungiwe na FIFA kushiriki mashindano yo yote ya kimataifa kwa kuchangia CCM!

    Mimi ni mpenzi wa Yanga lakini nimechukizwa sana kwa club hii kujihusisha na mambo ya siasa! Kwamba kwa kuwa Yanga ilishiriki katika kupigania Uhuru wa Tanganyika siyo sababu ya kujihusisha na mambo ya siasa! Eng. Herse anatumia Yanga kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa, kwa hiyo natoa wito...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Wafanyabiashara zamani waliichangia CCM kisirisiri kwa hofu ya kashfa zao kuibuliwa Bungeni

    Zitto Kabwe kupitia mtandao wa X, amesema kuwa baada ya CCM kuua bunge 2020 wafanyabiashara sasa hawajifichi tena kuchangia chama hicho hadharani tofauti na zamani ambapo bunge lilikuwa nguvu hivyo walilazimika kuvichangia vyama vyote kisirisiri ili kuhakikisha wanalinda maslahi yao. ---- CCM...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Najaribu kutafuta ujumbe halisi wa michango ya wafanyabiashara kwa ajili ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu

    Kuombaomba huwa mchakato wenye kumuondolea heshima yule muombaji wa misaada. Nilikuwa namsikiliza Makamu wa Rais Dr Mpango akiongelea namna utu wa kiongozi wa nchi maskini unavyodhalilika katika meza ya mkutano kati ya mawaziri wa kutoka mataifa ya dunia ya tatu na wale wa mataifa ya Ulaya na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili Maduhu William: Vyama pinzani vinahitaji kuwa na sera madhubuti na mbadala kushindana na CCM siyo maigizo

    Wakili Msomi Maduhu William Mchambuzi wa masuala ya Siasa akizungumza katika kipindi cha Sentro Clouds TV ameeleza kuhusiana na Vyama pinzani kushindana na Chama cha Mapinduzi CCM inahitaji kuwekeza katika hoja na watakachofanya kwa wananchi kuzidi CCM iliyopo madarakani kuwa na sera madhubuti...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi wafanyabiashara watakavyorejesha fedha walizoichangia CCM

    Wakuu naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Ukweli ni kwamba There is no free lunch in Africa. Kwa kuzingatia hili, hebu tujiulize hawa wafanyabiashara walioichangia CCM mabilioni ya pesa kwa mbwembwe na hadharani watarejeshaje fedha zao walizochanga? Tukumbuke kwamba hawa...
  9. JamiiForums Tanzania Harambee ya nini wakati CCM haina mshindani? Hayati Nyerere au Magufuli asingekubali haya

    Kama kungekuwa na uoinzani hapo sawa kuchangisha hayo mabilioni. Sasa hakuna upinzani. CCM ilishashinda uchaguzi hata bila ya kufanga Kampeni. Hizi pesa zilipaswa kupelekwa kusaidia watu vijijini ili wapate maji, shule na huduma za afya.
  10. JamiiForums Tanzania Kumbukizi, Makonda aliwahi kusema wafanyabiashara wengi wanaichangia CCM sababu ya hofu

    Hii ni kauli ya Paul Makonda akizungumzia wafanyabiashara ambao wamekuwa wakilazimika kukichangia Chama cha Mapinduzi ili kuepukana na shari ambazo wanaweza kupata ikiwa watakataa. ''Wafanyabiashara wengi wanakichangia Chama cha Mapinduzi sio kwasababu wanakipenda sana ni kwa sababu ya hofu, Na...
  11. JamiiForums Tanzania Ninataka kuiandikia FIFA kuhusu mapendano ya Yanga na CCM. Niongeze nini?

    Kamati ya Maadili na Uadilifu ya FIFA Ninaandika rasmi kuomba uchunguzi wa haraka kuhusu tuhuma kwamba Klabu ya Young African Sports Club (Yanga SC) ya Tanzania inajihusisha na shughuli za kisiasa, jambo ambalo ni kinyume na Kanuni za FIFA zinazokataza kuingiliwa kwa siasa na ushiriki katika...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Jaji Warioba, Mangula, Butiku na wengineo Jitoeni kwenye CCM hii ya "Maokoto" Tujue kuwa nyie ni Wazalendo kweli!

    Salamu kwa Jaji Warioba, Mzee Butiku na wengine mnaoamini katika CCM iliyoasisiwa katika misingi ya mkulima na wafanyakazi. Nyie kwa miaka mingi mmekuwa ni tone la matumaini ndani ya nchi na chama kama kielelezo cha uadilifu, heshima na hekima. Lakini leo mnaona CCM inafanya mambo utadhani...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga waache unafiki kujifanya wamekasirishwa na timu yao kuichangia CCM

    Nimeona privaninho amepost katika ukurasa wake wa insta kama fahari ya wao kuichangia ccm lakini maoni ya wafuasi wa yanga wameonesha kukasirishwa sana na wengi wanatoa matusi ya nguoni. Mimi nawaambia mashabiki wa yanga waache kuchukia kinyesi cha binadamu huku wakifurahia kula funza...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Harambee ya CCM kilele cha kiburi na dharau kuu kwa Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania. Mmeona, mmeona wenyewe. Chama kile alichokiasisi Nyerere, kinaandaa karamu ya wenye fedha, kuiweka mbele, kila mmoja anapigana vikumbo kukaa mwza kuu ili Kumtafuna mama Tanzania. Mmeona wenyewe ndugu zangu, CCM na serikali yake hawana hofu, hawana aibu. Wanaalika mtu...
  15. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mawaziri Pekee Wamechangia na Kuimiminia CCM Kitita cha Millioni 365

    Ndugu zangu Watanzania, CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu, CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya watanzania,ndio chama chenye uchungu na Maisha ya watanzania,ndio daktari wa matatizo ya wananchi,ndio Bima kwa sote,ndio nuru na mwanga wa Taifa. Ndio sababu kila mtu anajitoa na...
  16. JamiiForums Tanzania Utawala wa CCM ni Alpha na Omega Tanzania

    Na hiyo ikimaanisha kwamba, ni wazi CCM ndio chama cha siasa cha mwanzo na mwisho kuitawala Tanzania. Hakuna uwezekano, wala hakuna dalili za kuwepo kwa chama kingine cha siasa cha kuitawala Tanzania au kuongoza serikali ya wananchi wa Tanzania badala ya CCM. Ama kwa hakika CCM ni mpango wa...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Wachimbaji wadogo wa Madini waichangia CCM Bilioni 16.2

    Wachimbaji wadogo wa madini wamechangia Bilioni 16.2 kwenye harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025, zilifanyika Mlimani city (CCM gala dinner 2025) Soma Pia: Harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025, Mlimani city (CCM gala dinner 2025) Hadi sasa wamekusanya Bilioni 56.31 cash Je ni...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya kuichangai CCM yanga yaona aibu yafunga comment

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Si tu kwamba aibu tunaona sisi wana yanga na mashabiki ya yanga Bali hata wao waliochanga wanaona aibu pia Wamefunga comment huko LONDON BOY
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Eng Hersi Said kuchangia CCM milion 100 ada zetu za uanachama ni kutudharau sisi wanayanga

    Nimechukizwa na Kitendo cha Eng Hersi Said kutangaza kuchangia milion 100 CCM bila rushwa yetu Wanachama Yanga ni timu ya Wanachama Hiyo milion 100 ilipitishwa na mkutano Gani ikachangie kampeni za CCM Eng Hersi Said umetugawa sisi Wanachama wa Yanga ambao sio Wanachama wa CCM, Au unataka...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wanawekeza CCM malipo tujajua yatakuwa kodi

    Wafanyabiashara wanawekeza CCM malipo tujajua yatakuwa wapi? Kodi za TRA Kukwepwa, usalama kuwaogopa na kukwepa kodi kutawasaidia bei ya vitu vyao kuwa chini na kuwafanya wapate pesa zaidi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…