ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. CCM waliongozana na Kabudi kwenda kwa Papa walijifanya wamesafiri kutoka Tanzania kwenda kupeleka malalamiko yao, WOTE waliishia mapokezi

    Hawa ni wahuni wa CCM Jana waliongozana na Kabudi kwenda kwa Papa walijifanya wamesafiri kutoka Tanzania kwenda kupeleka malalamiko yao, WOTE waliishia mapokezi waliulizwa mmewasiliana na ofisi ya TEC Tanzania wakasema HAPANA wakaambiwa hatuwezi kuwasikiliza, walijua kwa Papa ni Buza kwa Mpalange.
  2. Hivi Samia una roho ya aina gani we mama

    Wewe Samia na wenzako hebu kuweni na utu. Huu ushetani wenu umefikia kiwango cha A+ Hebu kuweni na roho ya ubinadamu hata kidogo tu. Sisi Watanzania tuliwakosea nini mpaka mnatumia ubabe kutuongoza? Kwa nini hautaki kukiri kuwa ulikosea? Kwa nini hutaki kujiuzulu na huku Watanzania hatukutaki...
  3. Ujinga: Silaha ya CCM kuwatawala watanzania

    Mtu mjinga siku zote ni mtaji wa mtu mwerevu. Na siku zote watu laghai na waovu huzuia watu wajinga wasierevushwe maana huo ndiyo utakuwa msiba wao. CCM tangu baada uchaguzi wa mwaka 2000, imekuwa ikitumia ujinga wa baadhi ya watanzania kuendelea kubaki madarakani. Hebu ona mjinga anavyomlaumu...
  4. M

    Utawala wa sheria ufuate mkondo. Kwanini CCM waliongia mkataba na Mwekezaji Rashidi walimruhusu abomoe bila kulalamika?

    Kwamba muwekezaji Rashid ni mjinga aamke na kuanza kubomoa kama mwehu bila kuogopa mali za watu? Eneo ni mali ya CCM chama cha mafisadi nawezi. Kwanini alipokuwa anabomoa hao CCM wapo kimya? Serikali inaingilia vipi wakati hawana mkataba na Rashidi? Rashid kwanini hukumpiga ngumi nzito...
  5. Mwigulu Nchemba unadhania Watanzania ni Wajinga? Kwamba viongozi wa CCM ambao ni mafisadi kujaza fomu za maadili ndio defence?

    Unatudharau sana hasa sisi Wakulima wa Igunga tunalima chakula na kulisha hiyo Ilamba yote na kulipa kodi? Yaani kiongozi au mtumishi wa umma akijaza fomu za maadili kuwa ana mali aina fulani ndio justification kuwa sio fisadi na mwizi wa mali za umma? Usitufanye sisi wajinga na wapuuzi.
  6. Hongera sana Heche umejua kumchezesha bolingo Chawa Mbowe na CCM

    Asee Heche ni mwamba . Baada ya msiba huu mzito ni wazi Ccm wakishirikiana na watu wao Hususan Mbowe na zitto kuwatumia kuhakikisha msiba hauwapi Milage Chadema kwa mbinu mbali mbali .naomba mtililiko ya yaliyojiri - Kipenga kilipigwa kwa mbowe kutumia umkwe kuwa msemaji wa familia ,sisi...
  7. L

    Makonda aendelea kupaa. Alamba Uteuzi Mzito Ndani Ya CCM

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Mwamba Ni Balaa Kwelikweli. Hakamatiki Wala Hashikiki. Mungu Wake nI mkubwa sana na anatembea naye muda wote Kuna jambo kubwa sana limepangwa na Mungu Wake Kwa Taifa letu ambalo litatimia. Mengi nilishaeleza Juu ya huyu Mwamba na namna gani ni hazina ya Taifa...
  8. CCM Mnapoteteleka na Taifa linateteleka, nini kifanyike!?

    CCM kwasasa hamna rasilimali watu wa kutosha(quality and quantity wise) wakutegemeka na kutumainiwa na Taifa. Mnaonekana kama mnalimudu taifa lakini ukweli ni kwamba uwezo huo kwa sasa hamna ni vile tu mmeshika mpini na wengine wameshika kwenye makali... na ukata huu wa watu makini(competence)...
  9. Wito rasmi kwa Marekani(USA)na Jumuiya ya Ulaya (EU): Hii ndo namna pekee mnaweza kutusaidia Watanzania dhidi ya Utawala mbovu wa CCM.

    Nawaandikia Marekani, Umoja wa Ulaya, Uingereza na Canada. Kama sehemu ya mamilioni ya Watanzania tunaodhulumiwa haki zetu za Utawala huu mbovu wa CCM napenda kwanza kuwashukuru sana Marekani na Nchi zote za Jumuiya ya Ulaya na Mataifa mengine ya Magharibi kama Uingereza na Canada kwa namna...
  10. Kwa kiwango cha Upumbavu kilichopo kwa wana CCM sasa, ni lazima litokee jambo zito dhidi yao kuwafanya Wajifunze maana ya Utawala Bora.

    Nimetoka kuangalia video fupi ya ugomvi baina ya Mbunge Msukuma na Mtu aliyeelezewa kama Muwekezaji. Katika video ile ukimsikiliza kwa makini msukuma na yale mazungumzo yake na yule anayeitwa muwekezaji utaelewa mambo yafuatayo; 1. Msukuma anaamini yeye ni sehemu ya Serikali na Serikali ndo...
  11. Ccm ya Samia na wasira imeshindwa kutuma MWAKILISHI kwenye msiba wa Gavana wa kwanza, kisa alihasisi chadema? Shame on you.

    Haya majitu ni ya ajabu ajabu sana, hivi zee kama wasira limeshindwa kwenda kumzika Mzee mwenzie? Mtajitetea na UWEPO wa MWIGURU ilihali yeye aliiwasilisha serikali je macc yalishindwa Nini kutuma MWAKILISHI? Au Samia na wasira waliwasilishwa na mrisho gambo😂🤣? Haya majitu ni majitu ya ajabu...
  12. Hivi Halotel inamilikiwa na CCM, kama Chanel Ten au? Wanahuduma za ovyo kama vyoo vya HALIMASHAURI.

    Nina uliza halotel wanamilikiwa na ccm au? Tuna siku ya Saba uwezi weka Hela au ht kutoa Hela yaani wanahuduma za OVYO km vyoo vya HALIMASHAURI what's wrong with halotel in Tanzania?; Soma Pia: Mnaoweka pesa HALOPESA kuweni makini
  13. Kwa nilichokiona Morogoro, ni sahihi kusema serikali ya CCM inachelewesha maendeleo ya huu mkoa kwa makusudi kabisa!

    Nina mwaka wa nne kwenye huu mkoa sasa. Tangu nifike hapa kwa mara ya kwanza nilikuwa mtembezi sana, ili kufahamu maeneo, uchumi, na tabia za wenyeji wa huu mkoa. Niligundua mambo yafuatayo: 1. Wenyeji ni watu wasio na makuu na waungwana (kama tu tabia za Wazaramo na makabila ya Pwani), ni...
  14. Kudai katiba mpya ili uchaguzi uwe huru na haki ili taifa likae sawa ni kukosa hoja ? Mbowe bado kibaraka wa CCM

    Nimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani. Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu...
  15. CHADEMA aliyoianzisha mzee Mtei ilikuwa kwa ajili ya kulinda maslahi ya CCM sio kama hii ya sasa chini ya Lissu na Heche.

    Mpaka anaondoka Mbowe ilikuwa ni sehemu ya CCM kudanganya jumuia ya kimataif kuwa kuna upinzani nchini. Ilikuwa ipo kibiashara zaidi ili kunufaisha matumbo ya mabwanyeye waliojipachika jina kuwa wapinzani wakati sio wapinzani. Sasa hovi chini ya Lissu na Heche ndio kimekuwa chama cha upinzani...
  16. CCM yaipa pole Msumbiji kwa kukumbwa na mafuriko

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Ndg. Rabia Abdalla Hamid akiwa na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania, Ricardo Ambrosio Mtumbuida alipofika kuwasilisha salamu za pole katika Ofisi za Ubalozi wa Msumbiji jijini Dar es Salaam...
  17. Askofu Mwamakula: Jenesta Mhagama anavyowachungulia CCM akitokea Toharani(pulgatory)

    Mbele ya mwili wa Jenista Mhagama na kabla hajazikwa kiongozi mkubwa katika moja ya mihimili alinukuliwa akisema Victor Mhagama, mtoto wa Jenista arithi Ubunge wa Jimbo la Peramiho. Hii ilikuwa kampeni tosha na hivyo Victor hakuhitaji kupiga kampeni yeyote achilia mbali kutoa takrima. Mara baada...
  18. Mkitaka kuifuta CHADEMA ifuteni na CCM pia

    Kuna dhana inajengwa Kwa miaka zaidi ya 25 Sasa, kuwa vyama vya upinzani vifutwe kibaki chama kimoja tu CCM. Huwa sielewi akili za watu wanaowaza kuwa kama Tanzania vyama vingine inawezekana kuvifutia usajili ila CCM inatakiwa kubakia. Hivi mnaowaza kuwa vyama vingine na hasa CHADEMA, vinaweza...
  19. R

    Kihongosi: CCM ni chama pekee kinachohubiri amani

    "Chama kinachohubiiri amani nyinyi ni mashaidi ni chama cha mapinduzi peke yake, tukija hapa tutasema dumisheni umoja, upendo na mshikamano, tukija hapa tutasema lindeni amani ya nchi yetu, tukija hapa tutasema tusipoteze tunu ya amani yetu, huwezi kusikia tukiongea vinginevyo. Chama hiki...
  20. R

    Kihongosi: Hatuwezi kushindana na vyama vidogo tunavyovilea, CHADEMA, ACT, CUF wote tunawalea

    Akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa Chama cha mapinduzi ni chama kikubwa hakiwezi kushindana na vyama vidogo ambavyo wanavilea akitaja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…