ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania CCM achaneni na wabunge wa miaka 20+, watawachelewesha na kutuchelewesha sisi pia

    Mna wanachama wengi sana, watu wenye miaka 20 bungeni watachaguliwa tena kwa rushwa na sio kwa kupendwa na watu. Kama hakufanya kitu kwa miaka 20 hatafanya kitu tena, atafanyakazi kwa mazoea tu. Hawa watalichelewesha taifa kwakuwa wanategemea rushwa kupita sio sifa za kutenda kazi
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi mna mpango gani na watu wetu mnaowashikilia? Ni siku tatu hadi sasa mmekaa kimyaa na wala hamtoi taarifa?

    Baadhi ya wananchi wamekamatwa hapa Mbarali na Jeshi la Polisi kwa sababu wamepinga matokeo ya kura za maoni za kupatikana kwa mgombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbarali kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuwaweka mahabusu lakini Jeshi la Polisi halitoi taarifa yoyote juu ya kukamatwa kwao...
  3. JamiiForums Tanzania Upinzani na Mabadiliko ya kweli katika Nchi yetu yataanzia ndani ya CCM 2028-2030 na kusambaa Nchi nzima na kuunganisha wazalendo wote

    Habari JF, binafsi sina uwezo wa Mungu wa kuweza kujaza mtungi wa gasi au kufanya miujiza , lakini ninaiona Tanzania baada ya 2030 ikiwa chini ya Mikono salama , wazalendo na wapenda maendeleo . Tuombe Uzima
  4. JamiiForums Tanzania Sio kwa ubaya lakini nashauri CCM yale mabasi yenu bora myageuze kuwa mwendo kasi

    Najua hii posti akiona ndugu yangu Lucas lazima atabubujikwa na machozi ya furaha.. Lakini kwa jinsi mwaka huu ulivyo baada ya Chadema kujitoa kwenye uchaguzi Sisiemu hakuna wa kushindana nao.. Hizo gharama ikiwemo na yale mabasi ni bora kuyapeleka kwa wananchi tu.. Sioni ulazima wa kutumia...
  5. JamiiForums Tanzania (TBT) Rais Samia: Mkiambiwa Rais wenu ni muuaji waambieni ndiyo ameua nguvu hasi ya wapinzani

    Moja ya hutoba za rais samia miezi michache iliyopita alisikika akisema haya? ''Mkiambiwa Rais wenu ni muuaji waambieni ndiyo ameua nguvu hasi ya wapinzani'' Soma pia: H Polepole: Serikali ni kama nyumba isiyo na mwenyewe
  6. JamiiForums Tanzania Rias Samia: Ulaya na marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi

    Hebu tumskie kidogo Rais wetu akijaribu kutuambiwa kuwa hii ni nyeupe na wakati sisi kwa macho yetu tunaona ni nyeusi. Ulaya na marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi.
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Khatau achukua fomu ya udiwani Makonde

    Mgombea udiwani Kata ya Makonde Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Kijana Abdalah Khatau amechukua fomu ya kugombea udiawani ambapo Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Ngazi ya Kata hiyo amemkabidhi fomu mgombea huyo. Soma pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea...
  8. JamiiForums Tanzania Upinzani wetu jueni hamna kitu mtakifanya mkafanikiwa

    CCM IMEJIPANGA! MWAKA HUU MTAISOMA 🎹 Upinzani jueni kuwa KAZI ya CCM ya kuwaletea maendeleo ishafanyika toka mwaka 2020 mpaka Leo kilichobaki kwa CCM Wananchi na Wana CCM ni kusema ASANTE CCM ASANTE CHAMA TAWALA kupitia KURA Upinzani hamuwezi mkakurupuka from no where Leo eti fyokofyoko...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Ikiwa CCM wana uhakika wa kushinda, Uchaguzi ni wa nini tena?

    Kama CCM tayari; 1. Tuna tume Huru (Mwenyekiti, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Makamishna wote wameteuliwa na mgombea mojawapo), 2. Polisi wapo wanatubeba kila hatua, 2. Pesa (Tsh Bilioni 86 imetulia kwenye akaunti Kuu ya Chama) kwa nini tukafanye tena uchaguzi? Tupoteze tena mabilioni?
  10. JamiiForums Tanzania CCM: Nini ubaya wa REFORMS zinazodaiwa na CHADEMA?

    Leo natamani kupata maoni ya makada wenzangu wa Chama Cha Mapinduzi, waliopo humu jukwaani. Kuna ubaya gani wa kuwapa CHADEMA reforms wanazozitaka ili washiriki uchaguzi bila manung'uniko? Mm binafsi sijapata kusikia mtu hata mmoja, ndani na nje ya CCM akisema hivi, reform hii inayodaiwa na...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwenye siasa hakuna uadui au urafiki wa kudumu. Lakini kwa Luhaga Mpina hapana.Hajatumwa na CCm

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM kwa zaidi ya miaka 20, Luhaga Mpina sasa kaondoka kwenye Chama hicho na kujinga na ACT Wazalendo, huko amefika tu na kupewa nafasi ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu ujao Kwa kipindi chote akiwa CCM, Mpina alikuwa mpinzani wa ubadhirifu wa mali ya...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Kikao Cha Serikali na Waandishi habari, Kumbe wanataka Waandishi habari warushe Matukio ya Vituo vya WanaCCM Mamluki wakipiga kura

    CCM hii ya mbumbumbu wakidhani wanahadaa Umma na Jumuiya za Kimataifa. Wanaendesha Kampeni chini chini na Waandishi wa Habari wa Main Media na Hawa Akina Jambo TV ,MillardAyo ,n.k Mpango upo hivi .. Wapiga kura wanaojulikana ni Wanaccm , walipangwa kusombwa na MaBus na Malori kutoka Kituo A...
  13. JamiiForums Tanzania Shuhudia Rais Hussein Mwinyi alivyoelekea Dodoma katika vikao vya CCM vitakavyopitisha Wagombea

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar na kuwasili jijini Dodoma kushiriki katika vikao vya kikatiba vya Chama Cha Mapinduzi ngazi ya Taifa leo tarehe 20 Agosti, 2025. Katika uwanja wa ndege wa Dodoma...
  14. JamiiForums Tanzania Michezo michafu ya CCM yaanza kuwarudia na kuliangamiza Taifa. Tumeshakuwa kuwa Lawless Country

    Kwa sababu iliwapendeza wao waliona sawa pale Mwambe alipojiondoa Chadema alafu akaendelea kuwa mbunge wa CCM kipindi cha awamu ya 5 kinume kabisa cha Katiba na Sheria za Nchi. Kwa sababu iliwapendeza wao, wakaona sawa kabisa wabunge 19 wa Chadema walipoendelea kuwa wabunge baada ya kufukuzwa...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania CCM naona tunaka kutimiza kama yale yaliyotokea kwa Pharao wakati Mungu alipoamua kuwakomboa wana wa Israel

    mropokaji sasa ameanza kuropoka mazito. Hivi tunaamini kwamba hakuwezi kutokea mabadiriko ya kiungozi ambapo wanaotajwa watapoteza kila walichonacho?mabadiriko ya kiungozi yakitokea katika hali ya amani hata wastafu wanakuwa na uhakika wa ulinzi wa mali zao,na uhai wao.sasa kwa anayoyaongea...
  16. JamiiForums Tanzania CCM imetutoa mbali: Tuungane kukitetea chama chetu kilichotutajirisha

    Wakuu, chama kimeporwa na genge la wahuni aka wana mtandao. Tusaidieni kukirudisha mikononi mwetu ili mambo yakae sawa. October tunatiki, mama yetu kipenzi tunakupenda sana. No reforms no election.
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Upinzani wa Tanzania umepoteza golden opportunity dhidi ya CCM

    Vyama vya upinzani vya Tanzania ukiondoa chama cha CHADEMA Vimeonesha wazi ya kwamba havipo kwaajili ya kuiondoa CCM madarakani bali vipo kwaajili ya kukifanya chama mapinduzi kuendelea kuwa madarakani. Vyama vya upinzani vilikuwa na nafasi adhimu ya kukibana chama Cha CCM kikae pamoja nao na...
  18. JamiiForums Tanzania CCM inakaribia milestone muhimu

    Sasa ndiyo watakaogombea ubunge watatangazwa kwa hiyo tutegemee nchi itakuwa tayari kwa Uchaguzi. Kama CCM imeanza vyema kutokea mchakato wa Uteuzi ulivyoanza,kama CCM imekuwa na sera nzuri toka Chama kilipoanzishwa CCM itakuwa salama kama siku zote. Bado swala la Chadema linakuwa kizungumkuti...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Monalisa: Kila ikifika wakati wa uchaguzi tunachukua watu wa CCM

    Akizungumza na kituo cha East Afrika Redio leo Agosti 20, 2025 Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anaweka wazi kuwa hakubaliani na hii dhana kwamba kila ikifika wakati wa uchaguzi basi wao wanachukua wagombea kutoka chama cha mapinduzi (CCM)...
  20. JamiiForums Tanzania Nauliza tu hivi Polepole angeendelea kuwa Mwenezi CCM Taifa au Balozi wa Cuba haya anayoyafichua sasa Serikalini na CCM alipanga kutuambia lini labda?

    Tafadhali nawaomba mlio nae karibu na kumuunga mno mkono mniulizie hili Swali kisha ama Yeye au Nyie mje Kunijibu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…