ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watu wamejiandaa kuyaona machozi ya CCM

    Maisha ya wateule yapo hatarini sana . ROHO YA KISASI imestawi mno. Maandamano ya tar 29 yametengeneza kitu kipya sana . Waliyokuwa wakijihusisha na maandamano yale wengi wao walikuwa vijana na hasa wale waliyokuwa na chembechembe nyingi za usiasa za mageuzi ndani yao huku % ndogo sana...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi - Rasmi jeshi la polisi ni jumuiya chini ya mwamvuli wa CCM

    14 November 2025 Rais wa chama cha mawakili Tanganyika msomi Boniface A.K Mwabukusi pia asema bora jeshi la Polisi likapewa usajili na msajili wa vyama vya siasa Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=UMmGpqh9Ask
  3. N

    JamiiForums Tanzania CCM sasa wanajificha kwenye hoja za kidini,amani na kujifanya wao ndio wasemaji wa 'Gen Z'

    Habari za wakati huu ndugu zangu wanajamvi. Bila kupepesa macho CCM kwasasa wanajificha kwenye udini ukihoji uhalali wa uchaguzi na mabadiliko kwenye tume ya uchaguzi,katiba mpya utaambiwa wewe unamchukia Samia kwasababu yeye ni muislam. Hapa JamiiForums na kwenye mitandao mingine ya kijamii...
  4. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Wazazi CCM ,Tuondolee Upuuzi wako hapa, Kati ya Muuaji na Aliyeuliwa nani alitakiwa Kumsamehe MWENZAKE ??.DEC 9 sio mbali, Tutaelewana tu

    Ninawaapia Mbele ya Mbingu hii ,Kama ambavyo Mungu anaishi, basi Siku zenu zaja. Kwa Bahati mbaya sana ,Vichwa mwenu kwa Sasa mmebakisha Matope ya kuvukia Mabarabara, hamna lolote mnalofanya mkitumia Akili Walau kiduchu. HUWEZI KUUA WATU KISHA UKAENDELEA KUONGOZA. HUWEZI KUUA WATU ALAFU...
  5. JamiiForums Tanzania CCM haitafuti maridhiano. Inatafuta acceptance kwenye society

    “When you dance with the devil, the devil doesn’t change. You do.” Kuna watu wanaua, wanaiba Dawa hospital, Wanaiba miradi ya Maji, wanakula hela za Halmashauri, wanapora haki mahakamani, wanapitisha sheria mbovu bungeni, wanateka, wanaiba bilions of money wanaficha kwenye magari, tuambiwe...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Huko BAKWATA kama ilivyokuwa CCM nako hakuna mwenye akili akashauri vizuri? Waandamanaji ndio wamesababisha mauaji na sio Polisi?

    Yaani sasa hivi kila ukiingia mtandaoni unapigana na hisia zako usije kupata presha kwa hasira! Aaaaaa! Wazee kabisa ambao vijana wanategemea muwe na busara kushauri mambo vizuri mnajitokeza kuongea upuuzi bila soni hata kidogo usoni! Pia soma PostGE2025 - BAKWATA na taasisi za kiislamu...
  7. T

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali ya CCM inaandaa Maridhiano na Gen-Z fake

    Kuna fununu kuwa Serikali fake ya CCM inakuja na mkakati wa kuwa na maridhiano na Gen-Z waliandaliwa na CCM, hili kuonesha kuwa Gen-Z wamemkubali Samia kama raisi. Tuwe makini na uongo wa CCM
  8. JamiiForums Tanzania CCM Sikio la kufa. Wezi wameanza kuunda baraza la mawaziri

    Matukio ya karibuni yanaonyesha mifano dhahiri kwamba viongozi ni watu wa kejeli kama kuwataka wananchi “waende Burundi” badala ya kujisahihisha, na uteuzi wa watu wanaofahamu maovu ya serikali lakini wanapewa nafasi za juu kana kwamba lengo ni kufunika yaliyovunda. Wananchi wameonesha wazi...
  9. JamiiForums Tanzania Sasa Furaha ipo wapi?

    Raha ya ushindi ni kufurahi pamoja na waliokuunga mkono katika kuupata ushindi. Kunakuwa na vibe au hype fulani hivi ya kipekee pale unapokula kiapo , nyomi la raia wakishangilia kwa furaha na bashasha. Inapendeza sana .tena ukute wewe ni wa kipekee kulingana na jinsia yako... Inapendeza...
  10. JamiiForums Tanzania Huku kwetu bendera, baiskeli, kofia, nguo za CCM hazionekani shida ni Nini wakuu?

    Hizi nguo baiskeli kofia za hiki chama zilikua zinavaliwa Kila mara huku kwetu ila baada ya kufika tarehe 29 zilikua zimepotea ghafla yaani imekua bidhaa hadimi basikeli hazionekani nguo hazionekani kofia hazionekani shida ni Nini wakuu nimeshindwa kuelewa hizi bidhaa zimekua adimu sana je...
  11. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kinachoitwa Maridhiano Ni Uhuni wa Watawala na CCM, Maridhiano Yalistahili Kabla ya Uchaguzi

    Mmesikia kelele za watawala, baada ya kupoka madaraka kwa nguvu kupitia uchaguzi bandia, baada ya kuwaua watanzania wengi waliokuwa wakipinga uchaguzi haramu, baada ya kuteka, kuwaua na kuwapoteza watanzania wengi, kwa unafiki mkubwa, sahizi wanaimba maridhiano. Kabla ya uchaguzi, watanzania...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Unyama wa CCM na serikali yake

    Habari zenu ndugu zangu watanzania. Leo naomba tujadili unyama wa serikali ya ccm na washiriki wake. Tanzania ni nchi yenye majabu sana ila October 29, 2025 kuna upumbavu na ujinga ambao umeonekana wazi wazi kwenye macho ya dunia ambao ulikuwa haujawahi kushuhudiwa kwenye nchi yoyote hapa...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Adui wa Tanganyika sio Samia, sio CCM, ni mfumo tulioulea wenyewe

    Watanganyika tumejenga tabia ya kutafuta mchawi wa matatizo yetu kila kukicha — tukimlenga kiongozi, chama, au mtu fulani. Wengi leo wanamlaumu Dkt. Samia, wengine CCM, wengine wafanyabiashara, na wengine polisi. Lakini ukweli mchungu ni kwamba adu yetu kama nchi siyo Dkt. Samia, siyo CCM, siyo...
  14. JamiiForums Tanzania Uzuri ni kwamba tumejua CCM itaondoka madarakani sio kwa box la kura bali ni kwa Nguvu ya Umma

    Watanzania wote wenye akili timamu na wananchi wote wamejua kupitia uchaguzi wa mwaka huu kwamba CCM haiwezekani kuondoka madarakani kwa box la kura na box la kura ni utapeli mtupu baada ya wananchi 98% kuonekana wamepiga kura kitu ambacho ni Uongo...
  15. G

    JamiiForums Tanzania CCM watawezaje kuandaa taifa la watu wenye uadilifu , watawezaje kufundisha watoto wetu wasiibe , wasile rushwa wasiue wasiseme uongo ?

    Kama tutakosa taifa lenye kizazi Cha watu wenye uadilifu Nini hatima ya Taifa letu ? Watawafundishaje kushindana bila kumuua mpinzni wako kimasomo kibiashara na kimaisha ? Mzazi anafurahi kuona anaondoka akiwa amewaacha wototo wake kwenye mazingira salama Kwa matendo tuliyoyaona ya Serikali...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAVICHA: Yalitokea Oktoba 29, Serikali ya CCM wameharibu msingi wasitafute wa kumuangushia Jumba bovu"

    Baraza la Vijana wa CHADEMA Taifa kupitia kwa Katibu Muenezi wa BAVICHA Taifa, Felius Festo kinimi watoa tamko juu ya yaliyotokea yaliyotokea Oktoba 29, 2025, "wameharibu msingi wasitafute wa kumuangushia Jumba bovu"
  17. D

    JamiiForums Tanzania CCM Kizimkazi tayari wanamsagia kunguni Emmanuel Nchimbi

    Kama upo Dodoma wakati huu utayasikia haya; CCM Kizimkazi, CCM Janjaweed tayari wanamsagia kunguni Dr.Nchimbi, kwamba asijikute yeye ni Rais. Hawapendezwi na “tone” ya maridhiano ya Dr.Nchimbi. Wanadai ndiyo kwanza kumekucha “mission unaccomplished”, penda tusipende. Wakati Ukuta, Watanganyika...
  18. M

    JamiiForums Tanzania It takes longer to crawl out of a hole than it does to fall into it, its sad Ccm makes no effort to crawl out

    Despite what happened in the darkness, the truth is coming out fiercely every day like a volcano, and the evidence is overwhelming. Yet, there has been: No accountability. No resignations. No appeasements. No investigations No public mourning No local media coverage No relief.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Nitaendelea kusisitiza wapinzani wote ni CCM, munielewe

    Viongozi wa upinzani wote Tanzania ni mamruki wa ccm wanalipwa kufanya maigizo ndiyo maana hawadhuriki kwenye maandamano na familia zao kwa serikali inagharamia kila kitu ikiwemo kuwalipa wanapokaa ndani na kuhudumia famialia zao. Hiyo ya kukamatwa mara kwa mara ni geresha kuwapumbaza...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Tafakari hii fedheha: Hakuna kiongozi hata mmoja wa juu kutoka CCM mwenye uwezo wa kufanya mahojiano na media kubwa kama Al Jazeera au CNN

    Hiyo ni kuanzia na aliyejiapisha hadi aliyeapisha. Ukweli ni kwamba hawa wanaojiita viongozi wetu ni dumbheads tu hakuna kitu vichwani mwao. Yan wao ni full janjajanja, ghilba, wizi, ufisadi na uongo. Wakati akina Kagame na akina Ruto interviews za AJ, CNN na BBC huzigonga tu kama wananawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…