Watu wanne, akiwemo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, Issa Kalupula (60), wamefariki dunia na wengine 28 wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wamepanda (Higer T574 DZY) kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kiwanga, Wilaya ya Rufiji, Barabara Kuu ya Kilwa - Dar es Salaam...