ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM maji ya shingo Kyela, wapambe wa Mwakyembe waapa kuichagua CHADEMA. Mangula ashindwa kuokoa Jahazi

    Huku ikiwa bado Mbeba Maono Tundu Lissu kukanyaga ardhi ya Kyela, tayari CCM imeanza kupukutika yenyewe mithili ya mti wakati wa kiangazi, makovu ya kura za maoni yanaendelea kuitesa baada ya wapambe wa Mwakyembe kujiapiza na kugoma kumnadi wala kumpa kura zao mgombea wa CCM Ally Jumbe ambaye...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Katika majimbo ya Uchaguzi 264, Lissu kwa mwezi mzima wa kampeni katembelea majimbo 17 bado majimbo 257 ambayo CCM tupo

    Wale mnaopiga kelele kuwa Lissu kamaliza kazi mnaota Lissu mwezi mzima hadi sasa kahutubia kampeni majimbo Tena mijini 17 wakati jumla ya majimbo ya Uchaguzi Tanzania yako 264 Kuna majimbo 257 hajakanyaga sisi CCM tuko kote huko tunadunda Kama kawa tukisubiri kwa nderemo na vifijo tarehe 28...
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hapa Mtaani CCM hawapo tena siwaoni

    Sio kama siku za mwanzo za mwezi huu wa hekaheka za uchaguzi njano na kijani utafikiri msimu wa maua, ila hivi sasa wanaovaa njano na kijani hapa mtaani wamekuwa adimu sana. Wengi niliokuwa nawafahamu wamebadilika kimawazo na fikra zao sasa zinaona mbali,wamegundua shida na dhiki za maisha...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Nahitaji msimamo wa CCM kuhusu ajira, kuongeza mishahara, Fao lakujitoa na namna ya kukabiriana na majanga ili Lissu apate mawazo

    CCM mgombea wake kazungumzia ndege,barabara,stigraz,sgr na meli . Ningependa kusikia pia akizungumzia mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja na effect zake zinaonekana ndani ya muda mfupi, nayo nihayo niliyoorodhesha kwenye kichwa cha habari cha thread hii. Lakini niwakumbushe wana CCM...
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM itumie vijana kunadi Ilani na Sera zake. Hawa akina Mwigullu, Nape, January na Kigwangala wakati "umeshawatupa mkono"

    Wapiga kura zaidi ya 60% ni hawa vijana wa kizazi kipya ambao wana namna wanavyoelewana kwa " lugha " yao. Naamini UVCCM kuna vijana wengi wenye uelewa na uwezo mkubwa wa kuchambua sera kama wafanyavyo wachambuzi wa soka, wapeni nafasi. Hawa akina Kigwangalla wakati umeshawatupa mkono hawawezi...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani waitumie rasimu ya Jaji Warioba kuisoma hadharani ili kutoa mawazo hasi kwamba mapendekezo ya ilani zao ni mawazo yao binafsi

    Nimeipitia kwa mhutasali rasimu ya jaji warioba, Ni nzuri na imebeba mawazo halisi ya wananchi, nikagundua, ila za vyama makini vya upinzani vimekopy KUTOKA rasimu ya Jaji Warioba. Nashauri wapinzani kuisoma Tena hadharani ili wananchi wakumbushwe tu kuwa, rasmu ya katiba mpya ni nzuri kiasi...
  7. JamiiForums Tanzania Msajili asaidiwe asiinajisi Ofisi ya Umma. CCM + TLP, CHADEMA + ACT hawajavunja Sheria

    Labda huyu msajili atuambie Chama cha TLP kinachomnadi Mgombea wa CCM ndugu Magufuli sio chama cha Siasa. Kwa tafsiri ndogo ya kifungu cha 11A cha sheria ya vyama vya siasa Sura 258 iliyonukuliwa na msajiri hapo, ni kwamba sheria inahusu KUUNGANA KWA VYAMA yaani kwa kizungu wanaita...
  8. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kaliua, Tabora: Dkt. Magufuli aeleza sababu za Kapuya "kukatwa" na Kamati kuu ya CCM, asema amechoka amuachie kijana. Kaliua inahitaji spidi mpya

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, John Magufuli ameweka bayana sababu za aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu, Juma Kapuya kukatwa na Kamati Kuu ya CCM ingawa aliongoza kwenye kura za maoni za ndani ya chama na badala yake akapewa nafasi ndugu Aloyce Kwezi. "Kwenye mchakato...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM haifai, tatizo ni Upinzani hauna sifa za kutawala nchi. Inabidi tuvumilie tu

    Hapa JF tunapigana vijembe na hasa watu wa CHDEMA wakijaribu kuonesha kwamba wao wako fit kuliko CCM na kwa ujumla hawazungumzii vyama vingine utadhani kweli nchi hii ni ya CCM na CDM. CCM wana udhaifu wa kuwa na viongozi ambao wanahangaikia kuiba na kujitajilisha na chama kuwa maficho ya watu...
  10. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. Magufuli akiwa Nsimbo, Kidahwe akielekea Kazuramimba, Kigoma kwa ajili ya mkutano wa kampeni

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nsimbo (hawaonekani pichani) wakati akielekea Uvinza mkoani Kigoma katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020. Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe...
  11. D

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Kada wa CCM amrushia Tundu Lissu jiwe wakati akisalimia wana Bukoba mbele ya jengo la CCM Bukoba, Lissu alazimika kurudi ndani ya gari

    CCM siasa za uhasama mtaacha lini? Tazama hapa!
  12. JamiiForums Tanzania CCM wanatumia gharama kubwa kutafuta wananchi huku wananchi wanatumia gharama kubwa kumtafuta Lissu

    Karibu kila chombo cha Habari kinaonekana kupigia chapuo chama cha Mapinduzi. Gharama Kubwa inaonekana kutumika kwa CCM kutafuta wananchi watakaoipigia Kura CCM. Kinyume chake naona wananchi wanatumia gharama kubwa kumtafuta Lissu popote alipo hasa mitandaoni. Ukikuta Kikundi cha watu kikao...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli wa CCM, kuzuia mikutano ya siasa miaka 5 itamgharimu sana

    Viona mbali tulisema kwamba mzee baba kuwabana wapinzani wasifanye mikutano ni kuzuia waseme ya moyoni ili upate kujirekebisha. Ilikua ni wakati sahihi kuwaacha wazunguke kisha utathmini siasa zao majukwaani kisha uone madhaifu yao. Sasa umewaambia hakuna mikutano ya hadhara wajifungie kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM si tulisema Magu hahitaji kampeni 2020? Chopa ya nini?

    CCM tulimpamba mzee sana kuanzia bungeni na nje ya bunge, tukaenda mbali na kusema kuwa hahitaji kampeni 2020 bora hata uchaguzi usifanyike ili apite bila kupingwa, hizi kauli za kinafki ni za kumhujumu mgombea wetu kuanzia leo iwe mwisho. Kama kweli hatukuhitaji kampeni wala uchaguzi huo CHOPA...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa Dkt. Magufuli na chama changu cha CCM

    UJUMBE MZITO KWA MAGUFULI NA CHAMA CHANGU CHA CCM Mheshimiwa Rais wangu, Pole sana kwa majukumu yako ya uchaguzi. Unajitahidi sana kufanya campaign ya ushindi, kwa bahati mbaya mambo hayaendi vizuri. Napenda ni kosoe na nitoe ushauri, tunao muda wa kuwe kufanya mabadiliko yenye manufaa, na...
  16. JamiiForums Tanzania Kama vita vimehamia kwenye "Nyomi" hakuna uchaguzi ambao Wapinzani wamefikisha nusu ya nyomi ya CCM

    Tangu 1995. Kila uchaguzi idadi ya wahudhuriaji wa mikutano ya urais ya CCM ni kama 3/4 ya wanaokwenda kwenye mikutano ya mgombea wa upinzani. Enzi za Mkapa, Kikwete hata JPM awamu ya kwanza mfano tu CCM Kirumba ilikuwa inatapika. Wakati nyomi ya upinzani ilikuwa ikibanana pale furahisha...
  17. O

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukweli Mchungu: CCM is too complicated kwa Vyama vyetu vya Upinzani

    Mwanzoni Kabisa mwa Uchaguzi Bashiru Ally alinukuliwa akisema kuishinda ACT Wazalendo ni rahisi sana kuliko kuishinda CUF. CCM na CHADEMA au Kama CCM itajigawa ndio vyama vitakavyochuana miaka 20 tokea sasa. Imechukua siku 20 tu CCM kuivunja ACT-Wazalendo vipande viwili na kumnasa Zitto Kabwe...
  18. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Matatizo ya CCM kama chama yangevumilika, Magufuli havumiliki huo ndio ukweli

    Kichwa cha habari kinahusika. Walau CCM kama chama pamoja na madhaifu yake mengi kuna mambo watanzania walikivumilia kutokana na mila zake. Licha ya chama kulea ufisadi na kuwalinda mafisadi kwa muda mrefu bado kiliishi kwenye misingi. Hatukuwahi kupata kiongozi mwenye madhaifu mengi...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM tuwe wakweli, mpaka mwisho wa kampeni tunaweza tukashindwa vibaya sana

    Kitu ambacho narudia mara ya pili kikisisitiza, ni kwanini Mzee baba anafanya kazi ya kujibu hoja za Tundu ambaye ana akili nyingi sana na sasa ameshamjuia anacheza na milio ya midundo yake. Mimi nilisema mzee ajikite zaidi kuelezea anayotaka kuyafanya badala ya kuhangaika kumjibu Tundu, hii...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Msemaji wa Serikali anadanganya Umma juu ya Mikataba ya Madini?

    Na Thabit Jacob Nimeangalia mahojiano kati ya @TZMsemajiMkuu na Salym wa @bbcswahili Jioni hii. Msemaji Amesema serikali ya awamu ya tano imeboresa sana uwazi kwenye sekta ya madini na mikataba. Huu ni upotoshaji na naomba niweke ufafanuzi na ukweli halisi. Thread Kwanza kabisa, wananchi wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…