ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali imeshusha bei ya bia huku bidhaa muhimu zikiwa ghali?

    MBUNGE ARUDI JIMBONI,AULIZWA KWANINI WAMESHUSHA BEI YA BIA? "Naipongeza bajeti ya serikali japo kuna mahali imeteleza yaani serikali inaongeza bei za mafuta na mabati lakini inashusha bei ya bia kwa nini"Joseph Haule mkazi wa Iwela mbele ya mbunge wa Ludewa,Njombe Joseph Kamonga.
  2. JamiiForums Tanzania Ombi kwa viongozi wetu wa CCM sehemu ya kwanza

    OMBI KWA VIONGOZI WETU WA CCM SEHEMU YA KWANZA. Na Frey Cosseny Niwaombe viongozi wetu wa Chama Cha Mapinduzi mnapomuongelea Hayati Mwenyekiti wetu Taifa Dr. John Pombe Joseph Magufuli muchukue tahadhari kubwa sana. Hayati Magufuli katika Marais waliyopita anayeweza kumfutia Mwalimu Julius...
  3. JamiiForums Tanzania Dawa ni kuiondoa CCM Madarakani. Raia wana Maisha magumu kwa makusudi

    Sasa hatuwezi kuendelea kuwaachia nchi watu walioshindwa kuiendesha, haiwezekani gharama za maisha kupanda kwa kiasi kikubwa huku pesa mzunguko wake ni mbovu halafu kila siku kudumu Chama chaMapinduzi. Sasahivi kununua vifaa vya ujenzi ukiwa mipakani Tarime kutoka nchi jirani ya Kenya ni nafuu...
  4. JamiiForums Tanzania Anthony Diallo anazeeka vibaya

    ANTONY DIALLO ANAZEEKA VIBAYA Kwanza kabisa nianze kwa dhati ya moyo wangu kumpongeza katibu wetu wa Umoja wa Vijana wa CCM Tanzania (UVCCM) ndugu yetu, na kaka yetu Kenani Labani Kihongosi kwa jinsi anavofanya kazi kwa weledi mkubwa kama kijana mwenye maono na anaonesha kwa namna gani ni...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali yaunda Kamati kuchunguza chanzo cha moto Soko Kuu Kariakoo. Waziri Mkuu asema hatua zitachukuliwa moja kwa moja ikijulikana kuna mkono wa mtu

    Habari wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa Soko Kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na...
  6. JamiiForums Tanzania Anthony Diallo aomba radhi kwa waliomuelewa vibaya kauli yake ya 'Viongozi waliopita walikuwa na Matatizo ya Akili'

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, bwana Anthony Diallo amewaomba radhi watanzania kwa kauli zake alizozitoa kuwa viongozi wa Serikali waliopita walikuwa na mafaili mirembe. ======== Diallo: Mimi nadhani ufafanuzi unatosha, nawataka radhi wale ambao walinielewa vibaya, kuna kunielewa...
  7. JamiiForums Tanzania UVCCM wamuonya Anthony Diallo

    Katibu wa umoja wa vijana wa CCM Khenan Kihongosi amemuonya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza bwana Diallo kuwa aache upotoshaji mara moja, kitendo cha kusema baadhi ya viongozi waliopita walitakiwa kuwa Mirembe ni cha kipotoshaji kwani Diallo yupo kwenye vikao vyote vya maamuzi kwani ni mjumbe...
  8. JamiiForums Tanzania Pamoja na kushindwa kulipa kodi, Diallo bado anaomba Uenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza!!

    Hii inaingia akilini kweli? Mamadou Anthony Diallo bado yumo na anatarajia kuchukua fomu kugombea uenyekiti wa ccm Mkoa wa mwanza
  9. JamiiForums Tanzania Kwa wapinzani hawa, CCM haitatoka madarakani milele

    Tayari wameshapotezwa maboya wana deal na alichosema Diallo. Leo Diallo ni Shujaa sababu amemsema Magufuli vibaya. Wanasahau Diallo alishawahi kuwa katika watu wanaofanya ufisaidi nchini Tuachane na Diallo. Hizi tozo za Kinyonyaji ina maana zinapita hivi hivi hatupazi sauti zetu tumehamia...
  10. JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli aliwahi kusema hata CCM kulikuwa na mafisadi wakubwa

    Kwa kauli alizozitoa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza jana kwenye kipindi cha Star TV Big Agenda bila shaka ni kweli kabisa ndani ya CCM kulikuwa na mafisadi ya kutisha na Magufuli aliyabananga vizuri na sasa yameanza kupata nafuu mbele ya rais Samia. Ikumbukwe baada tu ya kuingia madarakani...
  11. JamiiForums Tanzania Hata wana CCM tunashituka: Katiba ya kuwapa viongozi immunity!

    Ni wazi sasa hivi kwamba Katiba imekuwa ikifanyiwa maraekebisho ya mara kwa mara, kwa convenience ya watu na siyo manufaa ya moja kwa moja ya nchi. Serikali ilipitisha miswaada na kupitisha Bungeni merekebisho ya Katiba hivi karibuni ili viongozi wa juu kabisa akiwemo Rais, Makamu wa Rais...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mtake msitake CCM imejaa viongozi waongo

    Hapa kijijini bado tunasubiri ile ahadi ya Milioni 50, sasa wale wa Mjini Kawe sijui weshanufaika? Hakuna Chama kilichojaa viongozi waongo kama CCM wao ni ahadi kwa kwenda mbele,wameshaona watanzania ukiwaahidi wanapumbaa na kusubiri ahadi na hata kama hutaitimiza wao wanakuahidi lingine...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nani anayetajwa na Mwenyekiti wa CCM Mwanza, Dkt. Diallo kwamba ana faili Hospitali ya Akili Milembe?

    Bado najiuliza huyo mwanasiasa aliyetajwa na Dr. Anthony Diallo kwamba alikuwa na jalada hospitali ya Mirembe ni nani? Na kwanini mifumo ilimruhusu kugombea? Nawasalimu kwa jina la JMT! ========= KWA UFUPI Mahojiano kati ya Mhe Anthony Diallo Mwenyejiti wa CCM Mkoa wa Mwanza na Mtozi Alloyce...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa lawama anazopewa Hayati Magufuli na Antony Diallo wa Sahara Media ni wazi CCM ya 2015 - 2021 ina Dhambi za Dhuluma

    Kama muda huu unatizama 'Mubashara' Star Tv Mahojiano ya Mmiliki wa Sahara Media na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Tajiri Antony Dialo huhitaji Elimu Kubwa kujua ya kwamba 'ameteseka' sana na 'kudharauliwa' mno na uliokuwa Utawala wa Hayati Rais Dkt. Magufuli na CCM yake. Na 99% ya Mazungumzo...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Diallo: Katiba inatengenezwa na Wananchi siyo Wanasiasa, 2014 tuliikosa katiba mpya kwa ubinafsi wa wanasiasa CCM ikiwemo!

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Dr. Anthony Diallo amesema ni makosa makubwa na hatari sana kuwaachia wanasiasa watengeneze katiba ya nchi. Diallo amesema wanasiasa ni wabinafsi hivyo lazima wajipendelee ndio maana katiba ni lazima itengenezwe na wananchi wakisaidiwa na Wataalamu kama...
  16. JamiiForums Tanzania Wabunge na watumishi wa umma isikieni sauti iliayo nyikani

    Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alisema mwaka 1995 kuwa "Ukipewa kazi ya nchi, lazima ujiheshimu. Huwezi kupewa kazi ya nchi halafu ukaishi kihunihuni." Ni kweli kuwa dunia inaenda kasi na pia wakati ni ukuta; muda ni mchache na mambo ni mengi lakini kama umepewa kazi ya nchi ni...
  17. JamiiForums Tanzania Naona kuna kila dalili ya Prof Jay kutimkia CCM

    Wakati wakina Lema na Chadema wakishinda mitandaoni kusaini petition kadhaa wakitaka Diamond afungiwe, Profesa Jay yeye anapiga show na vijana waCCM (Nandy, Diamond , Weusi nk). Wasanii ambao kwa mujibu wa Chadema ni moja ya watu waliotumika kuingiza mamlakani utwala dharimu wa CCM. Wakati...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Uhafidhina, Deko na kujuana kwa wana CCM, kunamkwaza Rais Mwinyi Zanzibar

    Hio ndio hali inayoendelea. Rais Mwinyi alikuja na nia njema kabisa akitaka kujitofautisha na watangulizi wake. Nia hio ilionekana mapema. Sasa watu wanajiuliza kulikoni ile spidi haionekani kuendana na alichomaanisha hadi sasa kunani? Kwa mujibu wa vyanzo vyetu mbali mbali vya tathmini, Rais...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia hivi CCM hawajakuelewa au hukueleweka suala la mikutano ya kisiasa?

    Ni wiki sasa tukianzia kule Zanzibar tumeona kamati ya Uongozi ya CCM ikifanya mikutano ya kisiasa , lakini pia nimeona trend ya Chadema wakiendelea na oparesheni haki kwenye mikoa mbalimbali hapa nchini japo nadhani wao wanafanyia ndani (sina uhakika). Lakini Mh Rais alikuwa ametoa kauli kuwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Sasa tuhamasike, kuwa na akaunti za Benki ni rahisi. Miamala ya simu gharama hazivumiliki

    Sasa ni wakati wa benki kujitanua zaidi na kila mmoja ajitahidi kuwa na akaunti ya benki, japo na wao wana makato Ila haya ya simu ni makubwa mno, yaani kusafirisha milioni wanakata 31,000 kutuma na kutoa. Sasa nitahamia Benki, au nitasafirisha pesa kwa Gari yaani basi, pia tujitahidi kujiunga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…