ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. P

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mayenga (Mbunge wa CCM) amsimanga Halima Mdee na wenzake 18 bila huruma

    Halima Mdee nje na ndani ya ukumbi unasutwa. Hata uongee point vipi ni pointless. Kusutwa na mwanamke mwenzio ni aibu. Ushauri wangu Jiuzulu Ubunge, kaombe msamaha kwenye chama chako. Ndugai 2025 ni mstaafu, nani atakukingia. Mh LUCY MAYENGA Hongera sana kwa kusema ukweli na kuonyesha wazi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM onyesheni hasira zenu kwa mwenyekiti wenu kwa nini ateue waliofata teuzi na maslahi awaacheni nyinyi

    Nyie vijana wa CCM, mimi nawaelewa kabisa hasira yenu. Nyie mmepambana kukitetea chama, wakati hawa akina Lijualikali, Nassari, Mashinji wakipambana kuwatoa madarakani. Waliwaita majina yote yakiwemo "vijana wasiojielewa", "waimba mapambio", na majina kibao ya kejeli. Lakini leo hii wanahama...
  3. JamiiForums Tanzania Vijana waliopo CCM wanalo la kujifunza hapa

    Ujumbe huu nimeutoa mahali lakini author hafahamiki ila utawasaidia sana vijana hawa kujitambua na kujua kuwa ubaguzi wao na dharau kwa wengine hauna manufaa kwao; Matokeo ya Kisiasa yanataka Moyo Sana vijana wa CCM tutulieni nchi ni yetu sote, tupunguze kuchukiana na kuumizana kimwili! Moses...
  4. W

    JamiiForums Tanzania CCM ikitawala miaka 100 bado hatutopata Katiba mpya kwakuwa kila Rais anaamua atakavyo?

    Nasikitika sana, na ninakishangaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kujiona kuwa kina hati miliki ya nchi na wananchi. Eti CCM kinasema hakina mpango na Katiba mpya. Ambayo hata walio asisi hii nchi, akiwepo Mwalimu Nyerere alikiri kuwa hii Katiba siyo nzuri kwani inampa Rais Madaraka makubwa kiasi...
  5. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Acheni kutunga uongo, mshaurini Rais Samia awataje na kuwakamata walionishambulia

    Mwanasheria nguli amekuwa mbogo na kutaka watu kutozua uongo kuwa hamkosoi mama Samia kuwa anakubaliana nae. Bali ametaka watu wamshauri ili waliompiga risasi wakamatwe na kuchukuliwa hatua. Pia ndugu Lissu amedai kuwa kuliko kuzua uongo bora wamshauri mama Samia ili yeye alipwe haki zake...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awekeze kwenye utawala wa sheria, katiba mpya na tume huru ya uchaguzi

    La muhimu ni kwa Rais Samia kwa hii miaka minne, au mitatu, aipatie Tanzania katiba mpya. Asijikweze sana kutaka kugombea hapo 2025, hilo si lake. Awaachie wenyewe. Zaidi ajikite kwenye kuwekeza utawala wa sheria, Katiba mpya na tume huru ya Taifa ya Uchaguzi, mambo matatu hayo yatamuweka...
  7. JamiiForums Tanzania Hii ni CCM toleo la 4 na la mwisho; hakuna CCM nyingine baada ya hii!

    Poleni UVCCM, Poleni sana! Poleni LMB7, Poleni sana! Poleni MATAGA, Poleni sana! Poleni CHAWA wote, Poleni sana! Hii ni CCM toleo la nne na kimsingi ndio toleo la mwisho, hakuna CCM nyingine baada ya hii! Toleo la kwamza lilikuwa CCM asili ya Mwalimu Nyerere muasisi na rais wa kwanza wa...
  8. JamiiForums Tanzania Chadema, viongozi wenu pia wametokea CCM

    Makamanda baada ya orodha ya wateule ma DC kutoka kila mmoja ameanza kejeli ooh UVCCM wametoswa wamechukuliwa waliounga juhudi. Tatizo liko wapi, kwanza ni Watanzania sio Wakenya. Pili, mbona nyie mlimpa ukatibu mkuu Dk Slaa toka CCM, mkampa Lowassa nafasi ya ujumbe wa kamati kuu ili hali wapo...
  9. JamiiForums Tanzania CCM kweli tumebadilika na kuwa chama kinachojali!

    Wenzetu wa CHADEMA wamepotelewa na kiongozi wao ndg Mwesigwa Baregu, mtu aliye wasilisha issues za kisiasa kwa nguvu ya hoja. CCM imewakilisha kwenye msiba huo na ndg Shaka, Katibu Mwenezi na Ushirikishwaji wa CCM. Awali Mwenyekiti wa CCM alitoa salaam za rambirambi kutokana na msiba huu wa...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Tuna wajibu wa kuwaelimisha Vijana wa CCM umuhimu wa kuandika Katiba Mpya

    Vijana wengi hasa wa CCM wanadhani Katiba ya JMT ni mali ya chama inaamuliwa na vikao vya chama which is very wrong. Hebu angalia matamshi ya viongozi kama hawa. Shaka Hamdu: "CCM haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu badala yake kipaumbele zaidi kimewekwa katika kujenga nchi kwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Jafari Kubecha aitaka ACT Wazalendo kuteua vijana makini

    Na Mwandishi wetu, Dodoma Mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm Nec kupitia vijana Jaffari Kubecha amekitaja chama cha Act Wazalendo kiteue watendaji vijana makini wenye maono, upeo na kufanya upambanuzi katika kujadili na kujibu hoja za kisiasa kwa uyakinifu bila kuingilia mambo ambayo aidha...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aliposema atateua vijana naona amewaibua vijana wa CCM kila kona wanashambulia jukwaa waonekane

    Tumejenga Taifa la watu wa ajabu sana. Ni siku tatu toka vijana waahidiwe ajira za DC, DAS na DED zilizotangazwa na Mhe. Rais. Baada tu ya tangazo lile vijana wa chama Cha mapinduzi wameibuka kila Kona ya nchi kutoa matamko na kukemea baadhi ya vitu Jambo ambalo awali kabla ya kauli ya Rais...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia komesha unadishaji wa mizigo bandarini

    Mama samia raisi wetu mpendwa mama yetu msikivu naomba tondole hii kero ya muda mrefu sana wazuie TRA na TPA wasiuze mizigo ya Watanzania bandarini kwakisingizio cha kukosa pesa za kulipia kodi mizigo. umewatia watu wengi umasikini mtu anaagiza mzigo kutoka nje ya nchi mzigo unafika...
  14. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ku-survive bila ruzuku: CCM oneni aibu na iwe mwanzo wa kufuta ruzuku kwa vyama vyote vya siasa

    Kama CHADEMA wameweza ku-survive bila ruzuku mpaka leo hii, na zaidi wameweza kubuni utratibu mpya wa kuwaingizia mapato kupitia michango ya wanachama,basi CCM kama chama kikongwe kinapaswa kuona aibu na kuacha kuendelea kupokea ruzuku kutoka serikalini. Wakati umefika vyama vya siasa vianze...
  15. JamiiForums Tanzania CCM acheni kuogopa Katiba mpya, inawezekana ikawa ndiyo mwokozi wenu

    Habari wadau, CCM inasema Katiba mpya sio kipao mbele chao kwa awamu hii, lakini nikiangalia najiuliza kwanini wanaiogopa katiba mpya wakati ni mustakali wa taifa letu? Tumwombe Rais Mama yetu iundwe tume huru kila wilaya yenye mchanganyiko wa vyama vyote, hata kwa siku tatu waingie mitaani...
  16. JamiiForums Tanzania Video: Ama Mwenyekiti wa CCM Mkoani Mara ni mnafiki

    Yapo mengine unashindwa kuyaeleza hivyo unaiachia video ndio iongee, karibuni sana... Kama sifa zinalevya, basi Mh Rais Samia Suluhu Hassan kaa chonjo na watu kama hawa! Juzi kwa mwendazake leo kwako...waepuke wanafiki hawa, kaa mbali nao na waogope kama ukoma! 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7.
  17. JamiiForums Tanzania Vijana wengi CCM ni wanafki,wenye tamaa na wasio na Uzalendo

    Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa wameweka maslahi binafsi kuliko Uzalendo. Tukichukulia mfano wa Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa miaka...
  18. JamiiForums Tanzania Vijana wengi CCM ni wanafiki, wenye tamaa na wasio na Uzalendo

    Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa wameweka maslahi binafsi kuliko Uzalendo. Tukichukulia mfano wa Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa miaka...
  19. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Mara asema Rais Samia ataongoza nchi hadi mwaka 2030, awaonya wanaompinga

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Mara Samuel Kiboye maarufu kwa jina la Namba tatu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza nchi hadi mwaka 2030 kwani wananchi wa Kanda ya Ziwa wanampenda na wanamkubali. Ameyasema hayo mbele ya Rais Samia ambaye yuko ziarani mkoani mwanza. Mwenyekiti...
  20. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: CCM haina mpango wa kushughulika na Katiba Mpya, kipaumbele ni kujenga nchi

    CCM yasema haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu, kipaumbele chake ni kujenga nchi. - Wanasiasa waache kuitumia agenda hiyo kama turufu ya kuwahadaa wananchi. "CCM haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu badala yake kipaumbele zaidi kimewekwa katika kujenga nchi kwa ukamilishaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…